Hongera wananchi wa chadema Tarime mnajitambua sana! Ccm haifai kupata hata mwenyekiti wa mtaa!
@usembiphonedar56324 күн бұрын
Mungu akulinde daima Tundulissu, hao mashetani wa kijani ccm muda wao wa Mungu kuwafuta katika uso wa Taifa hili umewadia, Wananchi msifanye makosa kuichagua ccm! Mtakuwa mmechagua shida na utumwa kwa Taifa na vizazi vijavyo! Ikatae ccm uchaguzi huu kuanzia wenyeviti wa vitongoji,mitaa, vijiji, madiwani, wabunge na Rais