TUNDU LISU "NIKIFIKA CHATO NITAWAAMBIA NDUGU YENU SIKUPATANA NAYE LAKINI KWENYE BANDARI HAHUSIKI

  Рет қаралды 22,592

KUSAGA TV

KUSAGA TV

Жыл бұрын

Endelea kufuatilia taarifa mbalimbali za kina na zenye ukweli na kuaminika
Tufuatilie kupitia mitandao yangu kila siku kama ifuatavyo:-
Facebook: / kusagamedia
Instagram: / kusaganews
KZbin : www.youtube.com/@kusagatv6320...
Tiktok. www.tiktok.com/@kusaganews?la...

Пікірлер: 85
@abelbehumble255
@abelbehumble255
Mweshimiwa tunakupenda na unasema ukweli ila ukiachana na Magufuli watanzania wote watakuelewa lakini ukiendelea na mambo ya Magufuli Lissu watanzania kukuelewa ni vigumu sana
@peterbalyagati7834
@peterbalyagati7834
Ukitaka kueleweka achana na makofuli toa hoja zako
@tonniebarry9804
@tonniebarry9804
Siku nyingine pangilia hotuba huku ukimtoa Hayati Magufuli acha kabisa kumwongelea hatutakuelewa
@jacobonaftari8082
@jacobonaftari8082
Acha wasasambue yote ccm tumichoka
@genyawantere1356
@genyawantere1356
Mikutano ya vyama isikike nchi nzima kupitia radio
@allanbenja5892
@allanbenja5892
Kuna wakati nikitafakari Aya maisha inauzunisha Sana maana wengine ni kama wasindikizaji tu
@coolruler6820
@coolruler6820
Ungeachana na Magufuli ungeeekeweka zaidi,,,,alifanya mengi mazuri yanayofaa kusifia, kila mtu ana mapungufu mengi kama wewe uliyo nayo,,,Sembuse Nabii Musa walimpiga mawe Ile kuwa Magufuli,,,mpotezee fanya siasa isiyo ya masimango
@humaidalnaamani7859
@humaidalnaamani7859
Hujapigwa risasi ila ulipigwa na driva wako risasi 0 umekuwa nani upigwe risasi 25 bila kufa
@marieconnect6389
@marieconnect6389
Lissu kwa ushauri tu achana kabisa na biashara ya kumchafua magu haitakufukisha popote sana sana inakuharibia.
@jimmymnuano7165
@jimmymnuano7165
Tundu Lissu yaani wewe umewaona watani zangu hawana elimu nini ? Wenzio hao wanakuchora ujuwe hivyo wanakuona haujielewi ujuwe hivyo
@user-pd1kk3xd4u
@user-pd1kk3xd4u
Uyo samia anaakili fupi km pumb ya briskeli hawez endesha chi tajiri km Tz
@ladisching1951
@ladisching1951
Wewebmzee husomi Alana za nyakati, uko kwenye maeneo ya JP badala ya kuzungumzia masuala ya Bandari, unaendekeza kumsema Magufuli, umekosea dira, na unazidi kupotaza wapenzi, huyo mtu Ana wapenzi wengi, unajitoa kwenye reli mwenyewe, kutaka kuunganisha Mambo mengi
@magidalenarauya4286
@magidalenarauya4286
Acha history,sema wewe utafanya nini ,hao wazungu sii ndio wanaokulisha huko ulaya? Na wanaocheka hapo wanakupaka mafuta Kwa mgongo WA chupa wanaocheka ujinga.
@philbertluhunga5932
@philbertluhunga5932
Yaani akimgusa Magufuli hawezi kufanikiwa kabisaaaaaaa. Ataokekana hivyooooo
@paschalfausitine7108
@paschalfausitine7108
Unapokosea ndo hapa kumtaja magufuri sema bandari magufuri jeshi muache tupambane na bandari yetu iludi magu muache apumzike
@user-jl5un4wf3u
@user-jl5un4wf3u
Herikuvunja mkataba kwakuwamadeni huhamia kwenye zilewanazotupa wakidai ni mikopoilihalinifedhazetuwali walizopolakarnezilizopita.
@oscaramandusvicent-uy4ik
@oscaramandusvicent-uy4ik
Mtego wa bandari Kuna mtu ametegwa na amenaswa bila yeye mwenyewe kujijua ametegwa yeye
@nyambegamatoro6817
@nyambegamatoro6817
Mbona wanaohubiriwa ni vicheko tuu, wanaelewa kweli hayo mahubiri? Lisu unatwanga maji kwenye kinu.
@marieconnect6389
@marieconnect6389
huwezi kuacha na magufuli?:yule alikua mwamba hata msiuchanganye limited issued 10 hanuwezi kumfikia kiutendaji kazi na kiuzalendo.
@MakameAbdallah-wn3hc
@MakameAbdallah-wn3hc
Kawaida ya mabaradhuli wamekosa haya huyu ni baradhuli wa kutupwa, leo hii anamkubuka Magufuli aliyemwita dikteta uchwara. Wana chato amkeni huyo jamaa ni mlugaluga asikubabaisheni. His ndio tabia ya watu wanaopumuliwa kisogoni
LIVE: TUNDU LISSU ANAONGEA NA WAKAZI WA  SENGEREMA MJINI
53:52
The Chanzo
Рет қаралды 1,6 М.
BOMOA BOMOA  YAZUA VURUGU ZANZIBAR
8:03
AL FATAH TV ONLINE
Рет қаралды 3,9 М.
Spot The Fake Animal For $10,000
00:40
MrBeast
Рет қаралды 171 МЛН
50 YouTubers Fight For $1,000,000
41:27
MrBeast
Рет қаралды 203 МЛН
Iron Chin ✅ Isaih made this look too easy
00:13
Power Slap
Рет қаралды 35 МЛН
ВОДА В СОЛО
00:20
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 30 МЛН
WATCH: Trump speaks at Turning Point USA event summit | LiveNOW from FOX
58:18
LIVE: Donald Trump speaks at Turning Point summit in Florida
1:05:06
The Times and The Sunday Times
Рет қаралды 483 М.
Robert Greene: A Process for Finding & Achieving Your Unique Purpose
3:11:18
Andrew Huberman
Рет қаралды 10 МЛН
Spot The Fake Animal For $10,000
00:40
MrBeast
Рет қаралды 171 МЛН