WAKILI MWABUKUSI "NINGEKUWA NA MAMLAKA IGP NINGESHAMFUTA KAZI /AFUNGUKA WATU KUTEKWA NA KUPOTEA

  Рет қаралды 22,690

KUSAGA TV

KUSAGA TV

Күн бұрын

Endelea kufuatilia taarifa mbalimbali za kina na zenye ukweli na kuaminika
Tufuatilie kupitia mitandao yangu kila siku kama ifuatavyo:-
Facebook: / kusagamedia
Instagram: / kusaganews
KZbin : www.youtube.co...
Tiktok. www.tiktok.com...

Пікірлер: 78
@nathanpallangyo5244
@nathanpallangyo5244 Ай бұрын
NAMKUBALI SANA WAKILI MWABUKUSI HATA URAIS WA NCHI ANAWEZA.
@davidmalogo7100
@davidmalogo7100 Ай бұрын
Kwa shangwe hili lakumkalibisha mwabukus inaonyesha watanganyika hawataki kuonewa nautawala uliopo
@nicholasakeya6790
@nicholasakeya6790 Ай бұрын
From kenya namkubali saana mwabukusi
@meshacknyandongo577
@meshacknyandongo577 Ай бұрын
Kiukweli bila kuficha maneno ni kwamba uongozi wa nchi hii unachosha sana tunahitaji uongozi mpya
@nurulutembeja
@nurulutembeja Ай бұрын
Nakupenda bureeeeeeee!MWABUKUSI,waoooooooooo.
@user-gx4gt2pe4w
@user-gx4gt2pe4w Ай бұрын
Pili ni jasiri mno na tunataka watu jasiri asanteni sana
@clarencehilary5588
@clarencehilary5588 Ай бұрын
Wewe ndie rais wa TLS na ningependa uwe raisi tanganyika maana tanganganyika ni muhimu kwetu kuliko tanzania
@omariabeid3291
@omariabeid3291 Ай бұрын
Kila la kheri Mwabukusi Boniface
@meshacknyandongo577
@meshacknyandongo577 Ай бұрын
Kaka unafaa sana huenda itumike tu figisu figisu lakini huna mpinzani
@EMANUELMUSHI-kk4df
@EMANUELMUSHI-kk4df Ай бұрын
Nimeirudia mara ya nne na sichoki kumsikiliza
@jumamagoma1743
@jumamagoma1743 Ай бұрын
Mpeni.mwanpukusi.uwezo.wake.mkubwa.sana.mzalendo.wa.kweli.sio.mwoga.watu.wa.namna.yake.mungu.asaidie.ashinde.amen
@janethpallangyo3855
@janethpallangyo3855 Ай бұрын
Wewe ni Ķichwa❤❤❤❤❤❤
@BahatiBhusumabu
@BahatiBhusumabu 4 күн бұрын
Hongera sana mwabukusi Kwa kuzungumza ukweli , tunaomba msaada msaada wako uje utusaidie ktk bonde la ifakara tumefukuzwa kama wanyama
@patrickmunishi2277
@patrickmunishi2277 Ай бұрын
NILICHO GUNDUA KWENYE HII NCHI AKILI NDOGO INAONGOZA AKILI KUBWA.AISEE HUYU KAKA NI KIONGOZI WA KWELI
@matridahtongamwakipagala2078
@matridahtongamwakipagala2078 Ай бұрын
Si mgeweka na wasio mawakili tupige kura kajujnjumele💪💪💪
@user-sw7tf1ob1b
@user-sw7tf1ob1b Ай бұрын
Mungu akupiganie ndio mwenye nguvu na maraika wanaojua kupigana vita
@rogersiddy
@rogersiddy Ай бұрын
Huyu ndo mwabukusi sasa hana hofu wala wasi wasi kbs tunaitaji watu wa hivi wengi zaidi tuvuke tunapotaka🙏
@zebedayokatamaduni9676
@zebedayokatamaduni9676 Ай бұрын
Mwambugusi ❤🎉
@DuxMauriginal
@DuxMauriginal Ай бұрын
Huyu ni mwamba hatarii kbsaa
@rogersiddy
@rogersiddy Ай бұрын
Dah tunaomba hii itumike adi kwenye chaguzi kuu ya nchi yetu Samia na wagombea wengine wote wa uraisi vyama mbali mbali ifanyike Dodoma ila wagombea ubunge na madiwani ifanyike kwenye majimbo yao wananchi washuhudie sera zao kwa pmj wachague wenyewe mbali na kampeni🙏
@pauloropian2367
@pauloropian2367 Ай бұрын
Hakika uwepo wa Mungu yupo ndani ya mtu huyu Mr mwabukusi utashinda.100%>
@user-fn6xy1ku7d
@user-fn6xy1ku7d Ай бұрын
Nikimsikiliza huyu jamaa natokwa machozi, natamani awe mwanasheria mkuu aondoe ubovu na uoza uliopo serikalini
@isaacmwaseba9972
@isaacmwaseba9972 Ай бұрын
Ndugu hapo anaongea yeye akiingia huko kuna kataba na taratibu zake labda aamue kufumua upya utaratibu.
@tonysadick5338
@tonysadick5338 Ай бұрын
Mungu akusaidie mwabukusi utapita
@simonzelote5998
@simonzelote5998 24 күн бұрын
Uko vizuri ila kwa serikali hii na viongozi wake hawatakubali
@MrSeanflavournh2vr
@MrSeanflavournh2vr Ай бұрын
Mwabukisi go ahead
@lucasbatano333
@lucasbatano333 Ай бұрын
Upo vizuri sana Mwenyezi Mungu akujaalie ushindi
@user-hf1zf5ge1n
@user-hf1zf5ge1n Ай бұрын
Kiti ni chako baba
@user-xi2mf4xh7r
@user-xi2mf4xh7r Ай бұрын
Boniphace Kajunjumele Mwabukusi Yesu kristo afanyike njia akupeleke kwenye kiti cha TLS maana tunategemea mabadiliko makubwa kupitia wewe . hasa ukisimama imara kuamasisha upatikanaji wa katiba mpya.
@bakarikayugwa3295
@bakarikayugwa3295 Ай бұрын
Hongera sana mwabukusi
@RaymondKilomeye
@RaymondKilomeye Ай бұрын
Akili kubwa sana tunahtaj wa2 makini km Hawa kwenye uongoz wainch co Hawa walipo wachumia tumbo, wamegeuka madalali nakuidalalia nch
@philimonkibangali1288
@philimonkibangali1288 Ай бұрын
Kila la het Boniface mwambusi ww ni Rais wa TLS tutaka mtu jasil kama Daud nawe mm nakuita mfalme Boniface, Hongera sana
@AnnoyedDove-oo3kk
@AnnoyedDove-oo3kk Ай бұрын
❤❤
@user-xs3ko8pg2g
@user-xs3ko8pg2g Ай бұрын
MUNGU wa mbinguni mtangulie mwabukusi apate kushinda, ni kichwa, wajinga walishituka mapema wakataka wa muengue
@malkavoice2570
@malkavoice2570 Ай бұрын
Umepita boss
@simonchristian6319
@simonchristian6319 Ай бұрын
Juzi nilimwambia mwanangu awe mwanasheria
@beneginoboniface
@beneginoboniface Ай бұрын
Mpeni mwabukusi
@user-xi2mf4xh7r
@user-xi2mf4xh7r Ай бұрын
Mfumo wa utawala wa nchi hii ukifikiri sana unaweza ukajiletea magonjwa yasiyotibika.
@simonchristian6319
@simonchristian6319 Ай бұрын
Mawakili tunaomba mjitoe wote,muacheni mwambukuzi ,nchi inamhitaji hii
@yustodonald9772
@yustodonald9772 Ай бұрын
Huyu mwamba hachoshi kumsikiliza mara ya tatu narudia
@PaschalGerad-xq4lw
@PaschalGerad-xq4lw Ай бұрын
Kweli umestahili kuwa rais wa tls mungu akulinde na usibadilike baba tutetee siku utakuwa rais wa tz maana wewe na makonda mmoja iposku hii comment itunze
@EmanuelMfugale
@EmanuelMfugale Ай бұрын
Umepita
@rebeckamashala4535
@rebeckamashala4535 Ай бұрын
Dah!! Ama kweli huyu shujaaa wa sheria katika presentation zake zote ziko vizuri mpeni kura akapiganie hii secta
@user-gx4gt2pe4w
@user-gx4gt2pe4w Ай бұрын
Huyu mtu anatufaa sana naomba ni vizuri mumpe kura Kwa zaidi ya wingi yaani yaani namaanisha zaidi ya matarajio
@patrickmunishi2277
@patrickmunishi2277 Ай бұрын
HUYU MWAMBA ANAWAFAA SANA TLS,
@Kwelihukuwekahuru
@Kwelihukuwekahuru Ай бұрын
Anajielewa huyu ni tunu ya taifa mtu asiyependa rushwa ni adimu kwa jamii ya sasa imewashinda hata watumishi wa MUNGU wananunulika kama njugu za 200/-
@saidimdoe5246
@saidimdoe5246 Ай бұрын
Unafaa
@victormponzi5328
@victormponzi5328 Ай бұрын
Mpeni kura mwambukus
@BahattiMashaka
@BahattiMashaka Ай бұрын
Mpeni mwabukusi ndugu zangu
@healingclinic698
@healingclinic698 Ай бұрын
Mwabukusi unafaa kubwa Rais wa TLS
@IbuGang
@IbuGang Ай бұрын
Mwabukusi hicho kit ni chako
@Zuberigangisa-dk9ne
@Zuberigangisa-dk9ne Ай бұрын
Mimi zuberi gangisa/ kula yangu chukuwa
@AthumanAdam-di5iw
@AthumanAdam-di5iw Ай бұрын
Mwabukus ww nikifaa labda iwe figisu
@elibarikimollel7149
@elibarikimollel7149 Ай бұрын
Loh! Hapa Mwabukusi umefanya interview ya maajabu iliyotukuka, kama mpokeaji na mtoa rushwa hana tofauti na mnyama anayemfuga, hakika unachukia rushwa. usipopita lazima pana jambo...
@tumainimwaifunga3884
@tumainimwaifunga3884 Ай бұрын
Tunaimani na Mwabukusi oyaoya!!
@healingclinic698
@healingclinic698 Ай бұрын
Katiba mpya ni kumnyang'anya Rais kumiliki Ardhi na pesa zote hiiii sheria ya kipumbavu sanaaa
@samsonsimon3138
@samsonsimon3138 Ай бұрын
Upo usingizini umelala na unaota
@RomanMwinyi
@RomanMwinyi Ай бұрын
Kwaiyi ww una taka awenavyoo laisiii sii
@samsonsimon3138
@samsonsimon3138 Ай бұрын
@@RomanMwinyi tafuta maana ya kiongozi utajua ni vigumu kuteganisha mali za umma na rais
@samsonsimon3138
@samsonsimon3138 Ай бұрын
@@RomanMwinyi labda useme kiongozi anatakiwa aongoze vizuri katika matumizi ya rasilimali za umma
@healingclinic698
@healingclinic698 Ай бұрын
@@samsonsimon3138 angalia sheria ya zambia usiongee tu ardhi haipo chini ya Rais ni mali ya wananch
@user-sw7tf1ob1b
@user-sw7tf1ob1b Ай бұрын
Mwabukusi oyaa ingawa tulipenda uwe mubunge wa mbeya mjini
@stellakaguo8728
@stellakaguo8728 Ай бұрын
Mpeni ubunge atawafaa.
@yustodonald9772
@yustodonald9772 Ай бұрын
Anafaa awe mbunge wetu tukuyu
@EbenezerMagari
@EbenezerMagari Ай бұрын
@abdillahiabdallah438
@abdillahiabdallah438 Ай бұрын
Akipata urais NAHAMIYA ALIPO ROMA , , TUWAPE WATU WASIONEZA CHUKI , UKABILA NA MIGOGORO KUWA NI MTAJI WA KUJIJENGA KISIASA
@PeterNyalusi
@PeterNyalusi Ай бұрын
Mungu akusaidie ufanye kazi yataifalako kwauzalendo nahaki mungu akulinde
@user-bz5ti6op6z
@user-bz5ti6op6z Ай бұрын
Kumbe huna mamlaka unachongabtu
@mwamakaassely2260
@mwamakaassely2260 Ай бұрын
Kichwa papayii
@user-bp7nb7yp2o
@user-bp7nb7yp2o Ай бұрын
Mwabukusi nyambala.
@thomasbrotherscotractorslt1299
@thomasbrotherscotractorslt1299 Ай бұрын
😂😂😂😂😂
@exaverysimon1064
@exaverysimon1064 Ай бұрын
ILA NAKUSHAUR KAMA UTA CHAGULIWA UNADILIKE ACHA MIHALEMKO MAKE UKIENDEKEZA MIHEMKO WAKAT UTAKUWA N KIONGOZ MKUU WA TAA SIS KUNA BAADHI YA MAENEO INAHITAJIKA BUSARA SO UKITANGULIZA HASIRA JOMBA UTA POTEA
@simonchristian6319
@simonchristian6319 Ай бұрын
Hivyo ndo alivyo,hata magu alikuwa na style hii hii,siyo lazima wote tufanane
@adelinelyaruu3036
@adelinelyaruu3036 Ай бұрын
All the best Wakili Mwambukusi 🎉🎉🎉
@PeterNyalusi
@PeterNyalusi Ай бұрын
Umepata kaka simama katika haki ❤❤❤❤
@BahatiBhusumabu
@BahatiBhusumabu 4 күн бұрын
Hongera sana mwabukusi Kwa kuzungumza ukweli , tunaomba msaada msaada wako uje utusaidie ktk bonde la ifakara tumefukuzwa kama wanyama
MBOWE AELEZA MAZITO KIFO CHA MOHAMEDI ALLY KIBAO
11:55
JAMBO TV
Рет қаралды 22 М.
GTA 5 vs GTA San Andreas Doctors🥼🚑
00:57
Xzit Thamer
Рет қаралды 26 МЛН
❌Разве такое возможно? #story
01:00
Кэри Найс
Рет қаралды 6 МЛН