“Tusidhalilishane hapa, kitu gani kinafichwa?” -Halima Mdee

  Рет қаралды 209,131

Millard Ayo

Millard Ayo

Күн бұрын

Mbunge wa Kawe Halima mdee ni miongoni mwa Wabunge waliosimama Bungeni kuchangia mapendekezo ya muswada wa marekenisho ya sheria ya ubia kati ya sekta ya umma na sekta binafsi, sura 103, Mdee amewataka viongozi wakiwemo Mawaziri kuzitumia nafasi zao vizuri kwa kumshauri Rais ili aweze kuliendesha vyema taifa.

Пікірлер: 202
@mengishilogela9710
@mengishilogela9710 5 жыл бұрын
Tuko pamoja 2020,, hatuhami ,,mungu akusaidie XANA!.
@simpeponestory7637
@simpeponestory7637 5 жыл бұрын
Jenista kwa nn unanyege sisizo kua na mpango kama kicheche?. Yaani mnaeleweshwa mnapinga chama tawala kwa nn hampendi ukweli ? MNA vichwa gani nyie watu?.
@ungonelamapunda4908
@ungonelamapunda4908 6 жыл бұрын
hongereni wananchi wa kawe.
@mtotowahalimamdeetunduliss6238
@mtotowahalimamdeetunduliss6238 5 жыл бұрын
asante sana yaani hapa hatukutupa kura
@muhidinmsabaha494
@muhidinmsabaha494 5 жыл бұрын
hongera dada uko sawa
@hermanaaron6945
@hermanaaron6945 5 жыл бұрын
Nzuri
@angellamwanri8414
@angellamwanri8414 6 жыл бұрын
Thats mhe, Halima....
@riwaladislaus3913
@riwaladislaus3913 5 жыл бұрын
Rais wetu ni Mbowe
@kaulimakame9444
@kaulimakame9444 4 жыл бұрын
" Wapinzani " mtapata tabu sana. Bunge lenu halijadili mantiki ya hoja linajadili mtoa hoja.Sijui tutafikia wapi hadi 2020 kwa Binge hili !!!
@elizabethpaulo4936
@elizabethpaulo4936 5 жыл бұрын
Chenge bwana
@josephinemakungu8447
@josephinemakungu8447 5 жыл бұрын
mm nakupenda sana halima kwaza iyo sauti yako kama ya muhubiri safi sana +254😂😂😂😂😂mm ni mkenya but napenda TZ sana kiswahili chenyu tena mna vituko andi kwa mbuge 😂😂😂😂kenya wana boooa sana kizungu mingi tupilia mbali
@shabanimipilo8152
@shabanimipilo8152 6 жыл бұрын
Naomba watz mjue upinzani ndio chachu ya maendeleo
@elizabethjames292
@elizabethjames292 5 жыл бұрын
Halima yuko sahihi kabisa tetea mama nchi yetu
@ndihunzefx_tz1174
@ndihunzefx_tz1174 5 жыл бұрын
Kwa mwenye maradhi ya KISUKARI NA PRESHA, nitafute kupitia whatsapp namba 0765871955, kuna uwezekano wa kupona kabisa! Kwa muda wa siku 14 tu! Kwa uwezo wa M.Mungu, , Wahi sasa nafasi za Ofa ni chache mnoo!!!...🙏
@nyondovitus7515
@nyondovitus7515 6 жыл бұрын
kiboko cha wachawi karudi mjengoni
@davidmwakanosya3694
@davidmwakanosya3694 5 жыл бұрын
Ninavyo zidi kukusikiliza nakumbuka ya kwamba ukipenda mchele kwenye ungo pumba na chenga zita jitenga juu ya mchele na ndipo hutolewa nakubakia mchele ulio nyooka mh halima songeni mbele pigeni kazi teteeni laia wanyonge N.K
@ramadhanikakoree3728
@ramadhanikakoree3728 6 жыл бұрын
Point sana dada piga kaz waeleze waache ukandamizaji
@fadhililihinda6491
@fadhililihinda6491 5 жыл бұрын
Halima unaitendea haki Elimu yako, keep it up dada.
@Ishengoma1
@Ishengoma1 6 жыл бұрын
Ipo siku yaja, ambayo tutawakumbuka hawa wapinzani. Hasa wale wanaoelewa kwa kufikiria kwa kina, maana haya mambo yatakuja kutekelezwa siku moja lakini CCM watasema ni ilani yao.
@jchuwatv1890
@jchuwatv1890 6 жыл бұрын
Dah halima wee nakupendaga buree weeee😁😁 Wachane mama
@fubanjenjele521
@fubanjenjele521 6 жыл бұрын
Kuwa mwalimu sikujua yote, mwanafunzi anaweza kuwa na uwanja mpana mana kapita kwa walimu wengi, chakula cha ubongo
@markosirikwa3874
@markosirikwa3874 6 жыл бұрын
Good point
@MusaNgao
@MusaNgao 6 жыл бұрын
jamani rasilimali watu tunayo ya kutosha ila "NGUVU" bado tatizo
@ceciliajimmy5652
@ceciliajimmy5652 6 жыл бұрын
Halima mimi nakupenda sana, sauti ya zege, kikwenu unajua, kiswahili unajua, kiingereza unajua na kifarsnsa unakijua, Big-up sana, have abig tick.
@josephmwile8594
@josephmwile8594 5 жыл бұрын
Cecilia Jimmy hata mm bro huyu sister hakika analenga kwenye ukweli mh Jems halima mdee
@shabanichugo8894
@shabanichugo8894 2 жыл бұрын
We
@redmondmulilo4852
@redmondmulilo4852 6 жыл бұрын
Ivi nikwanini sipika naibu sipika na mwenyekiti wa bunge anapokuwaanachangia mubunge wa upinzani mswada wowote ule naona hawa viongozi wanajikanyaga sana kwanini? au wanataka wabunge wote wamuunge mkono rais kwa lolote lile kama fikila za mwenyekiti zidumu
@psterinishayo4270
@psterinishayo4270 6 жыл бұрын
Clear point MP
@KishaKisha-ux4ul
@KishaKisha-ux4ul Жыл бұрын
Akasome kweli Prof Kabudi anatua aibu sanaaaa. Nakupa Big up Halima Mdee yaani uko vizuri Sanaa kichwani mwako. Ukweli utabakia kuwa ukweli tuuuu.
@jchuwatv1890
@jchuwatv1890 6 жыл бұрын
Nakupenda Halima Mdee😘😘😘❤
@josephchagevara78
@josephchagevara78 6 жыл бұрын
kusema ukweli namkubari Sana mh halima James mdee
@dawsonkachira6628
@dawsonkachira6628 6 жыл бұрын
mbunge wangu
@zingahassan5851
@zingahassan5851 6 жыл бұрын
I like your big mind Me Halima... TANZANIA NEEDS MPS LIKE YOU MP. .
@edwardmwakasege4481
@edwardmwakasege4481 5 жыл бұрын
Wananchi tumekuma sema
@sethkivuyo3342
@sethkivuyo3342 4 жыл бұрын
Wewee jenifa fala kweli kweli. Huna pointi zakuishauri serikali wala kutetea wananchi.. kazi yako kujipendekezaga tu kwa serekali boya wewe..
@nurdinrashidi4032
@nurdinrashidi4032 6 жыл бұрын
upinzani vichwa kwelikweli hadi raha
@fredreckmwakalinga3475
@fredreckmwakalinga3475 5 жыл бұрын
Cdm inawabunge vichwa sana lakini hii Siasa taka za ccm ni tatizo sana nchi hii
@cloudcavit506
@cloudcavit506 4 жыл бұрын
Nimependa
@colineljoseph5848
@colineljoseph5848 5 жыл бұрын
hujawahi kosea wape ukweli big up
@stevenpeter2260
@stevenpeter2260 6 жыл бұрын
Mh.wewe ni kiboko ya vilaza. Mfundishe huyo Kabudi.... Anafata maelekezo ya kichaa
@nicesongedward2162
@nicesongedward2162 6 жыл бұрын
nataman kama ungekua mbunge wetu huku njombe maana uku awa jamaa cjui wanafanya nn bungeni nako awaonekan yaan daa !
@rahmarahmajuma8646
@rahmarahmajuma8646 5 жыл бұрын
Nakukubari
@rahmarahmajuma8646
@rahmarahmajuma8646 5 жыл бұрын
Mheshimiwa twakuomba njoo uongoze jimbo la.bumbuli hatuna mbunge
@rahmarahmajuma8646
@rahmarahmajuma8646 5 жыл бұрын
Sijawahi msikia January.makamba sauti yake sijui hoja anasemewa au yupo kitandani jamani hilojinbo.lake tena anatia.aibu duuu
@barnabanzala8905
@barnabanzala8905 5 жыл бұрын
Halima mungu akubariki sana
@redmondmulilo4852
@redmondmulilo4852 6 жыл бұрын
Minajua saizi ndohatuji kusikia mbunge yeyote wa ccm akichangia hoja yoyote ya msingi zaidi ya kusifia serikali na rais make mpaka saizi tangia bunge limefunguliwa sijasikia mbunge wa ccm akichangia hoja yoyote ile
@wiza2309
@wiza2309 6 жыл бұрын
Kutunga Sheria sio jambo la kisport sportz lazima kuwe na vichwa
@sky-wz5zi
@sky-wz5zi 6 жыл бұрын
.
@melikiorimunisi6142
@melikiorimunisi6142 6 жыл бұрын
Wafundishe mamaaaaaa
@kizofanimusicfraver8041
@kizofanimusicfraver8041 2 жыл бұрын
Ccm wakiambiwaga ukweli wanachukia sana chama cha wasomi ni chadema niwachache tu ila wangu sana kwenye inchi hii ndomaana tunashindwa kwenda mbele zaidi kwa sababu ya ubinafsi huyo ndo ccm ambaye hataki kuvunja sheria wakati sheria mbovu
@mashakamakoye3157
@mashakamakoye3157 5 жыл бұрын
Palamagamba kaz yake nikuwatolea macho wapinzan2 ngoja wampike aive nahuyo ndo mdee
@saidinammohe2568
@saidinammohe2568 6 жыл бұрын
Dada harima mungu akupe miaka kama yotee
@eliassaid4952
@eliassaid4952 5 жыл бұрын
sana
@simonpaulokosiando4484
@simonpaulokosiando4484 6 жыл бұрын
bila ww ccm watajiona wao ndio kila k2
@ramadhanbahati5519
@ramadhanbahati5519 5 жыл бұрын
Ama kweli mbunge mmoja wa upinzani ni sawa na wabunge 50 wa ccm
@evansm8802
@evansm8802 4 жыл бұрын
Kkkkkkkk.this lady is sweet.
@zabronnkoy4908
@zabronnkoy4908 4 жыл бұрын
Harafu utasikia mafisi yanasema mwisho wako mwaka huu ..yanawaza ulaji tu badala ya kusaidia nchi ..
@erasmusnzibonela5151
@erasmusnzibonela5151 6 жыл бұрын
Muache aseme ukweli uyu sister namukubari siku zote
@cassimrobert9657
@cassimrobert9657 5 жыл бұрын
HALIMA tukuchage ww uwe raisi wa ukawa basi maana awo wanaume wa ukawa ni wahoga
@ramsonreuben782
@ramsonreuben782 5 жыл бұрын
gud bt duhh
@catherineulomi8378
@catherineulomi8378 6 жыл бұрын
Nakupenda sana jmn dd natamani ungekuw mbuge wangu
@lulenziku1238
@lulenziku1238 4 жыл бұрын
Bila kuficha maendeleo bila upinzani hayapo anaye bisha atafakali
@eliyasanga6374
@eliyasanga6374 6 жыл бұрын
😀😀😁😁😁sema mamaa nafasi yako leo
@sethkivuyo3342
@sethkivuyo3342 4 жыл бұрын
Jenny kazi yako bungeni ni kuomba muongozo ili kuvuruga hoja za upinzani
@sheikhmajidabusulaman956
@sheikhmajidabusulaman956 4 жыл бұрын
Halima mdee nataka nikuone nkifika bongo miniko Accra ghana
@nurdinrashidi4032
@nurdinrashidi4032 6 жыл бұрын
namkubali sana
@evansm8802
@evansm8802 4 жыл бұрын
Family law.kkkkkkkkk.she salutetes the lecturer for constitutional law.thats the stuff.not family law.kkkkkkk
@rahimaaaaa8699
@rahimaaaaa8699 5 жыл бұрын
Hili Zee bwana hivi litastaagu lini. Kazi yake kukatisha.watoa.hoja hasa wapinzani.
@penielmacha2435
@penielmacha2435 6 жыл бұрын
Jamn Mm namkubali Halima Mdee anaongea Point
@asiazuberi9722
@asiazuberi9722 6 жыл бұрын
Wawekezaji mchwara 😂😂
@stanfordkifaru6257
@stanfordkifaru6257 5 жыл бұрын
Kumbe unajua kaz yko hongera sana
@abasikiwope200
@abasikiwope200 4 жыл бұрын
Namuomba halima aje agombee jimbo la mkuranga
@abdullasalim9266
@abdullasalim9266 6 жыл бұрын
Profesor yeyote alie shindwa kutatua masuala yake binafsi kwa kujiletea maendeleo yake binafsi daima hatakua tayari kutoa fursa kwa mtu mwengine kufanikiwa mbele ya macho yake .
@loishiyemollel8071
@loishiyemollel8071 5 жыл бұрын
Hofu yangu ni kwamba atskuwa anamezewa mate na kile chama kongwe
@elijahsaro8063
@elijahsaro8063 5 жыл бұрын
Jenista muogope mungu umebaki umebaki kuomba muongozo tu....kumbuka wako walio kuwepo hapo ulipo na leo hawapo na hujui waliko muogope mungu
@estherkushoka
@estherkushoka Ай бұрын
Nakupenda sana Halima
@piusibrahim5784
@piusibrahim5784 4 жыл бұрын
Wachane mama wambunge wasiyo jierewa
@sagandamalechampullo659
@sagandamalechampullo659 5 жыл бұрын
Mh. Halima Hao ccm nisawa na kuwapigia gitaa Viziwi wasio sikia kabisa, wao hawana hoja ila wanasikiliza Magufuli anataka nn?
@allyomari680
@allyomari680 4 жыл бұрын
HALIMA cjawahi pitwa na clip yako DADA Nakupenda kwa chochote mdee Nakupenda Mh mbunge Nakupenda sana Sana sana Sana
@efraimjohn4956
@efraimjohn4956 5 жыл бұрын
huyu muhagama ni jipu
@winfridashango6481
@winfridashango6481 4 жыл бұрын
Halima uciwaogope hao awana jipya
@seniorlecturerperfectboy5615
@seniorlecturerperfectboy5615 5 жыл бұрын
unaniispire sanaa For sure am appreciated you
@elizabethmkali5782
@elizabethmkali5782 5 жыл бұрын
Akika wewe jembe nakuelewa sana jembe la kawe
@petrokeiya3774
@petrokeiya3774 5 жыл бұрын
Kawe kweli Wana mbunge nakupenda sana MH.Halima
@selengeselenge9922
@selengeselenge9922 4 жыл бұрын
Ebitoke
@ungonelamapunda4908
@ungonelamapunda4908 6 жыл бұрын
hongera mh mbunge
@muunganoilomo6378
@muunganoilomo6378 6 жыл бұрын
UNGONELA MAPUNDA uko z vizuri dada harima mdee
@moshijumanne720
@moshijumanne720 6 жыл бұрын
waambie dada
@burnother1760
@burnother1760 5 жыл бұрын
Halima Mdee ww ni jembe ungestahili kuwa mwanaume. Ila mwenyezi MUNGU anakutumia hivyo hivyo.
@dicksonteto6968
@dicksonteto6968 4 жыл бұрын
Wana kawe mkiachia huyu basi
@hotlinetelevision1882
@hotlinetelevision1882 6 жыл бұрын
haka kadada ni kazri kwa sura na kapo vizri kichwani Ilove you
@asiazuberi9722
@asiazuberi9722 6 жыл бұрын
Mimi siomfuatiliaji wa bunge halima mdee akisimama lzma niangalie
@karafuuclove3514
@karafuuclove3514 5 жыл бұрын
Asia Zuberi na mm nakupenda sn ww Aziza , are u singLe...??!
@thomasmasigose4372
@thomasmasigose4372 5 жыл бұрын
Hiyo kwel hata mimi upinzan wakisimama naweka kifrus kwa ajiri yao
@jamalchambo4752
@jamalchambo4752 5 жыл бұрын
yana wewe ukoju
@jamalchambo4752
@jamalchambo4752 5 жыл бұрын
yaniwewe ukoju asap halima
@tysondeo501
@tysondeo501 5 жыл бұрын
kusema kweli hua simuelewagi huyu mama alietoa hoja.
@yustosilivesta8326
@yustosilivesta8326 3 жыл бұрын
UKo vzr dada halima mdee
@erasmusnzibonela5151
@erasmusnzibonela5151 6 жыл бұрын
Sikupaki mafuta nakupenda daima ata kwakuchangia damu
@faustinmathiya3292
@faustinmathiya3292 5 жыл бұрын
We halima huna Akili
@saidymudiiry4197
@saidymudiiry4197 6 жыл бұрын
Kashabomolewa mtu
@magrethmsigwa4318
@magrethmsigwa4318 4 жыл бұрын
Newel dada Senma waambie
@sharonyasin7521
@sharonyasin7521 5 жыл бұрын
umeongea Dada,lakin mueshimiwa msukuma anakuelewa??
@calvinkitaly9376
@calvinkitaly9376 4 жыл бұрын
Halima nakupenda sana.
@mohamedmnjeja3271
@mohamedmnjeja3271 4 жыл бұрын
Halima unajua xnaaaaa..✌✌
@juliaslaizer341
@juliaslaizer341 6 жыл бұрын
Nakukubari sana
@TheLugiko
@TheLugiko 6 жыл бұрын
You always speak sense Halima. Live Longer!
@miguelraymond6518
@miguelraymond6518 3 жыл бұрын
I guess Im asking the wrong place but does anybody know a tool to log back into an instagram account..? I was stupid lost my account password. I love any tips you can offer me!
@tadeoelias512
@tadeoelias512 3 жыл бұрын
@Miguel Raymond instablaster :)
@miguelraymond6518
@miguelraymond6518 3 жыл бұрын
@Tadeo Elias Thanks for your reply. I got to the site through google and Im in the hacking process atm. Takes quite some time so I will reply here later with my results.
@miguelraymond6518
@miguelraymond6518 3 жыл бұрын
@Tadeo Elias It worked and I finally got access to my account again. I am so happy:D Thank you so much, you saved my account :D
@tadeoelias512
@tadeoelias512 3 жыл бұрын
@Miguel Raymond Happy to help :)
@mwengwamwengwa2633
@mwengwamwengwa2633 5 жыл бұрын
Kupenda kubaya kweli
@joycelugano3946
@joycelugano3946 5 жыл бұрын
Mdee mama nakukubaliiiiiii
@johnorinda8195
@johnorinda8195 5 жыл бұрын
Mzee Chenge kazeeka nimuhimu apumzike hata anaongea kwa shida! Au asiwe mwenyekit wa bunge duuuuh
@salimmnondwa3091
@salimmnondwa3091 6 жыл бұрын
Kazi wanayo wasio elewa,,
@mwanahella9650
@mwanahella9650 5 жыл бұрын
Jenister hua unazingua kishenzi yaani😤😤😤
@willycharlemanyanza8789
@willycharlemanyanza8789 5 жыл бұрын
kuna wabunge wengińe ni vilaza kweli wenyewe ni watu wa taarfatu hutowaona wakichangia ila utasikia wanaunga mkono pande Fran bila kujua undani zaid
@hosianajosephu4296
@hosianajosephu4296 4 жыл бұрын
Ww kiboko
@jacksonkilagalila6045
@jacksonkilagalila6045 6 жыл бұрын
Clear point MP
@stephanokaaya1881
@stephanokaaya1881 5 жыл бұрын
wewe Mama hueleweki badala ya kutoa mchango wa mawazo ni majungu tu. msigwa nae ni o
@babatheochriss4647
@babatheochriss4647 6 жыл бұрын
Congrats Hon. Mdee, prof Kabudi must know that you have some strong points than he think before.. Repetition of the same activity will increase skills.. Hongera Mh, na wakili msomi Halima Mdee
@bensonmutafuta2655
@bensonmutafuta2655 6 жыл бұрын
Dogo bashite anapumlia mrija
@yonangomba1396
@yonangomba1396 5 жыл бұрын
Tukaze mwendo
@mchungajimrimi8761
@mchungajimrimi8761 6 жыл бұрын
Safi sana mama
@msafirikayanda6895
@msafirikayanda6895 5 жыл бұрын
Dada mbunge wangu nakukubal sana huwa spit bila kuskilza hutuba yako
@kamboarheritage461
@kamboarheritage461 6 жыл бұрын
Kiboko ya wapiga usingizi bungeni
@marygaspar6429
@marygaspar6429 5 жыл бұрын
Kama hupendi siasa nakushauri uwe unamsikiliza Halima Mdee, utajikuta ushachukua kadi tena kadi ya Chadema!
@janesway3680
@janesway3680 5 жыл бұрын
Kamboa Rheritage wabunge ndo hawa haya MTU unaweza kutulia kwa redio ukimsikiliza,haungi mkono Bali anatengeneza hoja
@restamtuy3611
@restamtuy3611 5 жыл бұрын
Mdee wwe ni kiboko yao!!! Wasitudhalilishe!! Option ya sheria lazima iwepo!!!
@jumakwambiana6432
@jumakwambiana6432 4 жыл бұрын
Good
@erasmusmzebonera8829
@erasmusmzebonera8829 5 жыл бұрын
Kikibaki chama kimoja wanaichi tutapata tabu sana siki spk anavo mulinda kabudi kwa makosa yake
@jumannekhalifa7761
@jumannekhalifa7761 4 жыл бұрын
Hiyo ni mashine halimde nishida anajiamini anajua anacho kifanya mungu ambaliki
@andrew.gadimrinji1713
@andrew.gadimrinji1713 5 жыл бұрын
Ni kawaida yenu ccm ku-insinuate mambo. Hamtaki kuambiwa ukweli.
@mwinjumathomas5132
@mwinjumathomas5132 6 жыл бұрын
Kabudi haoni ndani kwa huyu Dada
@baruanibakari1267
@baruanibakari1267 5 жыл бұрын
safi Sana dada uko sahihi mungu akulinde dada yangu unajua kusema pwenti
Incredible: Teacher builds airplane to teach kids behavior! #shorts
00:32
Fabiosa Stories
Рет қаралды 11 МЛН
Миллионер | 1 - серия
34:31
Million Show
Рет қаралды 2 МЛН
BREAKING; FERDINAND WAITITU ARRESTED AFTER MAKING THIS SCARY SPEECH
6:46
Kenya News Alerts TV
Рет қаралды 3,9 М.
Halima Mdee afunguka kuhusu kauli ya CAG kuwa 'Bunge ni dhaifu'
9:45
Godbless Lema Aliamsha Dude Bungeni, Hali ya Hewa Yatibuka
15:51
Global TV Online
Рет қаралды 577 М.
"Mnachoma moto nyumba na watu bado mnawafunga? "- John Heche
10:36
Millard Ayo
Рет қаралды 192 М.
Ni Tundu Lissu na Joseph Mbilinyi tena Bungeni leo May 5 2017
11:11
Millard Ayo
Рет қаралды 1,4 МЛН
Incredible: Teacher builds airplane to teach kids behavior! #shorts
00:32
Fabiosa Stories
Рет қаралды 11 МЛН