Tutabanana Hapahapa -Zanzibar Stars A

  Рет қаралды 636,105

bobd77

bobd77

Күн бұрын

Пікірлер: 190
@ibrahimkeya3396
@ibrahimkeya3396 4 ай бұрын
Wenye tuko hii 2024 mwezi wa sita wa Zakayo.Likes hapa tafadhali.
@sophiamsegeju3915
@sophiamsegeju3915 3 ай бұрын
😂😂
@sophiamsegeju3915
@sophiamsegeju3915 3 ай бұрын
Mwaka 2000 enzi hizooo acha tuuu hapo damu inachemkaaaa
@ramadhanmohamed1290
@ramadhanmohamed1290 Жыл бұрын
Mwana hawa ally, wimbo mzuri sana unatufundisha ili tuelimike,, dem old good day in from, Singida ,love
@vinkormedia672
@vinkormedia672 Жыл бұрын
Reminds me of my college life in Mombasa in early 2, 000 where whenever I pass by Mwembe Tayari there is music show which hardly fails to play the song throughout the day. From Kabarnet town in Baringo county in Kenya I say Zanzibar stars hoiyeee.
@josephotieno3943
@josephotieno3943 4 жыл бұрын
Wimbo huu ulikuwa lazima uchezwe KBC wakati Ustadh Wallah bin Wallah na Jack Oyoo Sylvester wakiwa kwenye kipindi chao cha kufunza watu Kiswahili mufti. Unanikumbusha nikiwa shule ya msingi kule Siaya Kenya mwalimu wetu wa Kiswahili akisisitiza kwamba lazima tusikilize mafunzo ya Wallah bin Wallah!
@boazaringo2065
@boazaringo2065 2 жыл бұрын
Ukarabati wa lugha -jina la kilindi
@jacksonsasala3566
@jacksonsasala3566 Жыл бұрын
Ukweli kabisa!
@benardesikuri7863
@benardesikuri7863 Жыл бұрын
Umenikumbusha mbali
@abdynasirhussein5651
@abdynasirhussein5651 10 ай бұрын
2005
@KaKa-if5nz
@KaKa-if5nz 7 жыл бұрын
Wakati nausikia huu wimbo kila wakati nakumbuka Afrika Mashariki! Mungu Ibariki EA. Wangapi Walla Bin Walla tumkumbuka na huu wimbo!
@catherinekeith5272
@catherinekeith5272 4 ай бұрын
This song reminds me of my High school life❤hii wimbo tulifika nayo national 🎉
@jamilasalimvilog6752
@jamilasalimvilog6752 3 жыл бұрын
Old is gold🥰🥰🔥🔥🇰🇪
@abdulbasidosman4106
@abdulbasidosman4106 5 ай бұрын
First time kuona hu nyimbo ilikua kwa vcr Yani video caset n I love it
@shabankapsaly1945
@shabankapsaly1945 3 жыл бұрын
Doh!sesemi kitu. Beats and voice raises every broken heart...wake wenza jameni
@martinsiameto3734
@martinsiameto3734 7 жыл бұрын
used to listen to this song when I was a kid. now that I have come of age, i got myself here. much love from Kenya
@mamaryaan1957
@mamaryaan1957 6 жыл бұрын
Ixixjzihxixii££'98dmzmzjzizmzmzmlz idljsizozkizuzuxxuxixiixi£'xixkxixicixm kxixiciiiiikkkzii j i i i,iziz99zi j,in,h i,9u,o,l, ushaftari q
@mamaryaan1957
@mamaryaan1957 6 жыл бұрын
Jzix9kojiiiiiii8999oiiķl 'll jxhiikjjjjiiiiiioiiooioi,€',€,€'uzFYTIGORTII4JRYURUUUUU UUZ8 UX7XX,II,IXI I II 8X8X88X888X88X9X99OUUJZLHJLŹKXJ JZJUUU8IXUÙIZI,,,
@mamaryaan1957
@mamaryaan1957 6 жыл бұрын
)))
@anakinbrentley7263
@anakinbrentley7263 3 жыл бұрын
InstaBlaster...
@alphaxityserebwah8475
@alphaxityserebwah8475 Жыл бұрын
wimbo mtamu halisi..2023 bado watia fora
@bigpompabig7074
@bigpompabig7074 5 жыл бұрын
Mwanahawa Ali jamani bado unatamba, sauti safi bado mpaka leo MashaAllah.
@innocentondiekiongwae6409
@innocentondiekiongwae6409 24 күн бұрын
Enzi zile Ustadhi Wallah bin Wallah alitufanya tukanunua kamusi na nakala za kiswahili mufti. Kulikuwa na kiswahili na viswahili❤🎉
@amourmtungo623
@amourmtungo623 8 ай бұрын
Asante bi Mwanahawa na kundi zima la Melody, waliotangulia mbele ya haki M-Mungu awape makazi mema tutawakumbukeni kwa mchango wenu mzuri na burudani ya modern taarab
@KoomeTharanju
@KoomeTharanju 5 ай бұрын
Kitambulisho halisi na hai Ukarabati wa Lugha; Ustadh Wallah Bin Wallah na Kaka JOS!
@munakassim3521
@munakassim3521 6 жыл бұрын
Dhaa enzi hizo nikiwa kigoli. Shairi limetulia japo kwa ukewenza linauma kinoma😂😂😂
@mwanaherimohamed7135
@mwanaherimohamed7135 5 жыл бұрын
Niliupenda sana hatimae nikawa bi mdogo kweli😠😠 2019 mashaallah
@mfalmeyusuf597
@mfalmeyusuf597 5 жыл бұрын
Ndo jaala yako
@rehemapima769
@rehemapima769 5 жыл бұрын
Hahahahaha👏👏👏
@mrtezura9753
@mrtezura9753 5 жыл бұрын
😀😀mashallah tulizana dadagu mana wote mnahakisawa
@hadassahsatara4709
@hadassahsatara4709 5 жыл бұрын
hahaha.......hukujua unajiimbia....! but kama umewekwa poa hamna shida bananeni.
@mwanakherymohamedy3818
@mwanakherymohamedy3818 4 жыл бұрын
🤣🤣🤣🤣🤣tupo wengi
@FakhiHaji
@FakhiHaji 13 жыл бұрын
bibi pole sana inabidi sasa uachane na mambo haya ufanye ibada waachie vijana sihaba ulipofika mtihani ulioupata sio mdogo,m.mungu anakukumbusha
@sylviamwanjala430
@sylviamwanjala430 4 жыл бұрын
Una uzuri gani si basi tumestiriwa halloooo😘😘😘😘😘
@jaelodundo5267
@jaelodundo5267 2 жыл бұрын
This song reminds me my childhood memories 😢
@lucaskogins31
@lucaskogins31 Жыл бұрын
🎉❤😢
@awuolnduklu3243
@awuolnduklu3243 3 жыл бұрын
Nakumbuka tu wallah bin Walla nikiskiza hii muziki.. 2004 nikiwa class 7
@michaelngua1691
@michaelngua1691 3 жыл бұрын
Ahalan wa sahalan asiyeijua ngeli basi hajui Kiswahili. Guess it was Sunday Afternoons. Man remembering the same too
@aminamakacha6258
@aminamakacha6258 5 жыл бұрын
Wanikosha wallah👌👌❤️
@silvestermogaka5126
@silvestermogaka5126 Жыл бұрын
Tamuuu 2023 bado yanikumbusha enzi za khadija Ali ngoma murwa Subira munje pwani kwa raha zetu kipindi cha KBC❤❤❤
@SuperAmanaa
@SuperAmanaa 12 жыл бұрын
This is my favor it, u guyz rock keep it up
@matheothomas1891
@matheothomas1891 3 жыл бұрын
Mm
@abubakarswaleh5667
@abubakarswaleh5667 5 жыл бұрын
Mwanahawa unazeeka na ubora wako. Mungu akueke.
@SalimSalim-m9w4o
@SalimSalim-m9w4o 5 ай бұрын
Lakin maisha anayo ishi c mazuri sana wamemchupa ihali yeye ndio legend wa tarabu za mafunzo 😢😢😢
@charleskiritu9177
@charleskiritu9177 6 ай бұрын
Kongole mwanahawa ally. Hii baadhi ya kazi mufti ulitoifanyapamoja na shangazi hadija Yusuf dadake Profesa wa mapenzi mzee Yusuf
@catherinethegreatmuro9571
@catherinethegreatmuro9571 9 жыл бұрын
Kama kakuweka ndani nami ameshanioa, ,,haha utezi kweli na sauti nzuri Rabana kakujalia ongera
@salimmoine1424
@salimmoine1424 7 жыл бұрын
Catherine the Great muro hahaha tuta tombana hapa
@mwanaeidizenji8264
@mwanaeidizenji8264 5 жыл бұрын
Hee
@athmanbakari5932
@athmanbakari5932 7 жыл бұрын
Yankumbusha mbali sana tukiwa sote nyumbani twaskiza,wengine walituacha Allah awarehemu.😢😭
@blacknature7637
@blacknature7637 6 жыл бұрын
Athman Bakari amin inaliza kweli ila mungu ndo kataka iwe ivo 😢😢😢
@mamapekupekupilipilimuwash9016
@mamapekupekupilipilimuwash9016 7 жыл бұрын
hellooooooo mambo kwa mbanano ndio mpango mzima 👌👌👌👌
@halimasali.8081
@halimasali.8081 7 жыл бұрын
LINAH KLINAH mash hahahahahaa halloooooooow!!!kama ww niwa nyumba kubwa mm niwa nyumba ndogo...upoooo hapoo
@mamapekupekupilipilimuwash9016
@mamapekupekupilipilimuwash9016 7 жыл бұрын
kwa taarifa zao hao wenye waume zao
@mariamk1488
@mariamk1488 7 жыл бұрын
mama peku peku nakuamini...
@aminajuma9714
@aminajuma9714 6 жыл бұрын
maneno pambe
@kwekwemahendo9747
@kwekwemahendo9747 6 жыл бұрын
swadakta mma mambo ni mbanano kama wewe wa nyumba kubwa mie wa nyumba ndogo hahaaa halooo😂😂😂
@ahmoha706
@ahmoha706 8 күн бұрын
WAAH. Tabanana hapa hapa tule mkono kwa mkono,,,,,,,,
@G.r.e.a.t.I.Q
@G.r.e.a.t.I.Q Жыл бұрын
Mzee Amour MaTV, Zanzibar Stars yetu umeipeleka wapi? 😭😭😭
@lawrencemuthoni1587
@lawrencemuthoni1587 Жыл бұрын
Nikiwa high school nikijifunza kiswahili na ustadhi wallah bin walah na na kaka josh . Kbc.. nimezeeka ukweli
@scovydarlhabibi1602
@scovydarlhabibi1602 11 жыл бұрын
Dole juu,kazi murwa kweli kweli
@georgeoparawafula7500
@georgeoparawafula7500 4 жыл бұрын
Anapenda zangu mboni na macho ya kurembua
@jumadea7957
@jumadea7957 6 жыл бұрын
nyimbo za zamani ni nzuri sana ila video zake sio nzuri
@aishanjama8971
@aishanjama8971 7 жыл бұрын
Mapenda sana nyimbo za zamani zimetulia
@jamesmartin5555
@jamesmartin5555 5 жыл бұрын
5:15 'Kwa raha na shida' 'Kwa uzima na ugonjwaa' 'Nitakwenda nawe sambamba ukitaka usitaaake' 💞💗😇
@KK-ygh
@KK-ygh 8 ай бұрын
Safi❤
@mealemalika7565
@mealemalika7565 5 жыл бұрын
Umenikumbusha vita za majirani wangu side chick akimuimba wife kwa mfeji si vita hizo mombasa nakumiss karibuni 🛫🛫 from Saudia
@williamsagala7081
@williamsagala7081 Ай бұрын
When we talk about music, this is what we mean,,, still leasing & leaning,,,ety akikupikia vibichi huyo hatoshi, kama ww ni mukewe na mm Alisha nioa,,,,😂😂
@samuelleleina7933
@samuelleleina7933 5 жыл бұрын
Nikisikia namkumbuka ustadh wallah bin wallah, Nana jamila na kaka jos ukarabati wa lugha enzi zile.
@Thuon_
@Thuon_ 4 жыл бұрын
Nakwenda nawe sambamba.....sote tuna haki sawa.
@wilberforceoongoh351
@wilberforceoongoh351 11 ай бұрын
Waz in class 8 by then, hongera ustaadh.
@FatumaSarai
@FatumaSarai 3 ай бұрын
Mume wangu alikua akiniekea huu wimbo sina nijualo mpka nilipoletewa mke mwenza masikio yakanifunguka
@misterferuzi3873
@misterferuzi3873 3 жыл бұрын
2021tutabanana hapa
@douglasnyakango636
@douglasnyakango636 5 жыл бұрын
Nikisikia taarabu hii unikumbusa mr.wala bin wala, Mr. Jack oyo ,Marehu bili omara, Hassan Ali, Timothy arege name them all.kiswahi dah.kbc
@eugeniaakochi2187
@eugeniaakochi2187 8 жыл бұрын
Dem old good days in Kenya!
@mildredalube3653
@mildredalube3653 5 жыл бұрын
taarabu hunikumbusha mamangu marehemu Njambi
@jacksonsasala3566
@jacksonsasala3566 Жыл бұрын
Oh rest in peace my former neighbor Gladys Chacha whom we shared taarab songs.
@kevinkhaemba9968
@kevinkhaemba9968 10 ай бұрын
Lazima alikuwa jirani mwema😊 Roho yake ilale pema peponi
@saidimwachibero4233
@saidimwachibero4233 9 ай бұрын
Ameen
@aishaally5352
@aishaally5352 7 жыл бұрын
pambe Tyuuuuu.husirete za kuleta kunitimua huwezi.husifikili goi goi mimi Niko Fti Kishenzi.
@shabankapsaly1945
@shabankapsaly1945 3 жыл бұрын
Dhaa dhamana yangu ni yeye kunichagua
@fanuelmulumba9976
@fanuelmulumba9976 7 жыл бұрын
Napenda sana ...hongera sana
@bensonvincent3493
@bensonvincent3493 29 күн бұрын
Tuseme ukweli tu kwenye Taarab huyu mama kinara
@mohamedamiry84
@mohamedamiry84 5 жыл бұрын
Mhh kiukweli mtuzi wahizi shairi ninyoko!nakumbuka kipndiiko niko moro mhh aisee
@raiyaomary1988
@raiyaomary1988 7 ай бұрын
We una uzuri gani kazi kwa sangoma hakutaki said prince kinyago Cha skauti
@eddysalum4275
@eddysalum4275 5 жыл бұрын
Nakumbuka marusha roho kipindi icho wimbo huu lazima watapigana tyu wanawake
@faithachola5534
@faithachola5534 2 жыл бұрын
Nmetoka TikTok aiseee this song
@Chacha-dk2fz
@Chacha-dk2fz 2 жыл бұрын
Umeiona kwa Masha kama mimi
@CalypsoCalvin
@CalypsoCalvin 3 жыл бұрын
mum R.I.P She loved this Taraab
@remymatendo1783
@remymatendo1783 4 жыл бұрын
mama waskika mpaka Congo tutabanana hapahapa karibu congo
@AminaOmurunga-if5wh
@AminaOmurunga-if5wh 5 ай бұрын
Tutazidi kubanana papa hapa aiseee
@tezuratezura8452
@tezuratezura8452 5 жыл бұрын
Aisee yanikumbusha Moro vijana sapna mhh ilikua shida
@chiffrenkrider1871
@chiffrenkrider1871 11 жыл бұрын
Awesome!!!
@jukham
@jukham 12 жыл бұрын
Kama Kakuweka Ndani Na Mimi Ashanioaaaaaa...........Ajua Yangu Thamani Ndiyo Akanichaguaaaaaaa
@doristatu518
@doristatu518 2 жыл бұрын
Nice 👍
@athmanbakari5932
@athmanbakari5932 6 жыл бұрын
Yankumbusha Mbali saana 😢😭😭😭😭😭😭
@khadijamasood5462
@khadijamasood5462 4 жыл бұрын
Unackika mpk oman mama love you 2020 😘
@jimiaotuma6758
@jimiaotuma6758 Жыл бұрын
Napenda hii nyimbo swadakta wake wenza jamani
@saidsaid9463
@saidsaid9463 6 жыл бұрын
Safi sana mwanahawa sauti mashaala
@saidsaid9463
@saidsaid9463 6 жыл бұрын
Sema sema nini kinyago usojijua haloooo
@RehemaUbwe
@RehemaUbwe 7 ай бұрын
Nimekumbuka mbal sana
@binhoseinhatibu7089
@binhoseinhatibu7089 6 жыл бұрын
Dooh nice song lakin fupi...Ahsanta mama nakupenda bure.
@nellymwangilwa4288
@nellymwangilwa4288 4 жыл бұрын
Still watching 2020 in Lebanon
@fauziahali9551
@fauziahali9551 7 жыл бұрын
nakwenda nawe sambamba huo ndo mchezo wa kisasa
@zuhrahalima5987
@zuhrahalima5987 8 жыл бұрын
ahsante sana angeal you are from which country
@mimahsaid2326
@mimahsaid2326 6 жыл бұрын
2018 october 1 bado naskiliza hii nyimbo was my fovourt mpka leo
@tezuratezura8452
@tezuratezura8452 5 жыл бұрын
mhh huyo Dada mwenye nguo ya orange mhh machoyake na kijisura kuntu
@abubakaryusuf1281
@abubakaryusuf1281 2 жыл бұрын
ina kubalika ili nyumba kubwa wa ache dharau
@martinsiameto3734
@martinsiameto3734 4 жыл бұрын
This song reminds me my childhood days
@jim9443
@jim9443 2 жыл бұрын
The Kiswahili programme with Wallah bin Wallah
@martinsiameto3734
@martinsiameto3734 2 жыл бұрын
@@jim9443 aha 😊
@IsmailIsmail-yd6rd
@IsmailIsmail-yd6rd 7 жыл бұрын
jamani yanikumbusha tu vle cwezi elezea
@millicentsamita5749
@millicentsamita5749 4 жыл бұрын
Vitu vitatu,KBC,Wallah Bin Wallah,Kaka Jo's na Bint Nana
@innocentondiekiongwae6409
@innocentondiekiongwae6409 Жыл бұрын
Hii ilikuwa intro/background music ya Wallah Bin Wallah kila weekday for Kiswahili(10am to 12pm).. baada ya kipindi, kulikuwa na takrima(tuzo kwa washindi)
@abdynasirhussein5651
@abdynasirhussein5651 10 ай бұрын
2005
@tezuratezura8452
@tezuratezura8452 5 жыл бұрын
mh kinachogombaniwa hapo ni tamu za wanaumeeee?
@saumukiduma
@saumukiduma 10 ай бұрын
Swadakta mama mambo nimoto
@Fantalbo
@Fantalbo 16 жыл бұрын
Eastafrica ni noma... hii tarab inafanya chupi zivuliwe!!!
@thumabby3655
@thumabby3655 7 жыл бұрын
Samuel Kanja
@softena1007
@softena1007 7 жыл бұрын
😆😆😆
@rehemamwaruwa7314
@rehemamwaruwa7314 5 жыл бұрын
Thoba! Umevua ngapi kufikia sasa? 😂😂
@pauloyoo6460
@pauloyoo6460 8 жыл бұрын
raha jipe mwenyewe, kwa raha zangu..................hahaha.........
@siddikimpole8301
@siddikimpole8301 6 жыл бұрын
Wimbo mzuri sana
@fatmaali5701
@fatmaali5701 7 жыл бұрын
Naukizubaaa natoa kapaa....hehehe
@carolkimaiyo4259
@carolkimaiyo4259 4 ай бұрын
This reminds me of my motherlnlaw she is a pin in my .......?!!!!
@judithemmanuel9845
@judithemmanuel9845 3 жыл бұрын
We na uzuri gani si basi tu umesitiriwa
@AumaKENYA
@AumaKENYA 9 жыл бұрын
nice song
@salimiddi7583
@salimiddi7583 4 ай бұрын
@rayjay7017
@rayjay7017 5 жыл бұрын
Tutabanana hapa hapa tu
@nimaapretty5423
@nimaapretty5423 Жыл бұрын
2022 still have vibe ✨️ 😌 😎 👌
@njorogembosha2834
@njorogembosha2834 2 жыл бұрын
Wa kitambo japo hauzeeki
@NaimaTatiana
@NaimaTatiana Жыл бұрын
❤❤❤
@bebyrux1224
@bebyrux1224 7 жыл бұрын
Yanikumbusha vidonge kumi moto na Habiba pauline matano .Baraka fm 95:5
@dastonamichaels1854
@dastonamichaels1854 3 жыл бұрын
Kitambo ..mamangu likuwa ywakipenda icho kipindi asubuhi kabla lunch
@panuelkea850
@panuelkea850 11 ай бұрын
Hapo saw
@dodoali1308
@dodoali1308 9 жыл бұрын
kwani kapatwa na nini mwanahawa?@fahki
@innosentishirima2456
@innosentishirima2456 5 жыл бұрын
Yan hunaga nyimbo mbaya
@douglasnyakango636
@douglasnyakango636 6 жыл бұрын
Kweli kabisa.zote niwamume mmoja,kama kasakuoa nami nimkeo.wewe niwanyumba kubwa nami ni ndogo.uuuuui.
@kiyungiramadhani357
@kiyungiramadhani357 5 жыл бұрын
Mashallah
@janendaki2646
@janendaki2646 3 жыл бұрын
Dah mwanahawa jamani ulisha potelea wp
paka mapepe EAST AFRICAN melodies
16:29
ARNOLD NASUBO
Рет қаралды 419 М.
SICHAGUI SIBAGUI - ZANZIBAR TAARAB
14:17
Bin Seif
Рет қаралды 1 МЛН
1 сквиш тебе или 2 другому? 😌 #шортс #виола
00:36
Когда отец одевает ребёнка @JaySharon
00:16
История одного вокалиста
Рет қаралды 16 МЛН
😜 #aminkavitaminka #aminokka #аминкавитаминка
00:14
Аминка Витаминка
Рет қаралды 2 МЛН
the balloon deflated while it was flying #tiktok
00:19
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 32 МЛН
Tutabanana Hapahapa - Zanzibar Stars B
8:24
bobd77
Рет қаралды 119 М.
JAHAZI FATUMA MAHAMUDU MTANIONA HIVI HIVI MARUPERUPE
12:30
Oliver Aswani
Рет қаралды 2 МЛН
Badi Star - Nampenda Kwa Ishara Taarab Official Audio Mp3
9:40
Badi Star
Рет қаралды 1,6 МЛН
East African Melody Modern Taarab - Zoa Zoa (Official Video)
18:24
Africha Entertainment
Рет қаралды 1,4 МЛН
Nimekinai na Umaskini wangu - Mwanahawa Ali
15:13
SANDUKU LA DHAHABU
Рет қаралды 781 М.
Mwanamke Khulka_ Mwanahawa Ali
17:07
Ali Samaki
Рет қаралды 253 М.
Niacheni Nijivune
14:34
Sabah Salum - Topic
Рет қаралды 344 М.
Taarab: Udugu Mchana
9:51
Swahili Taarab
Рет қаралды 329 М.
Tutabanana Hapahapa - Mwanahawa Ali
16:24
SANDUKU LA DHAHABU
Рет қаралды 43 М.
Utalijua Jiji Full Song
18:13
Oliver Aswani
Рет қаралды 2,9 МЛН
1 сквиш тебе или 2 другому? 😌 #шортс #виола
00:36