TWAHA KIDUKU AFUNGUKA KUMFUKUZA KOCHA WAKE BAADA ya KUPIGWA MWANZA, ISHU ya DULLAH MBABE..

  Рет қаралды 11,396

Bongo Boxing Safari

Bongo Boxing Safari

7 ай бұрын

TWAHA KIDUKU AFUNGUKA KUMFUKUZA KOCHA WAKE BAADA ya KUPIGWA MWANZA, ISHU ya DULLAH MBABE..
BONDIA Twaha Kiduku na mabondia wengine watakaopogana kwenye usiku wa mabingwa 'Boxing Day' wamezungumza na wanahabari kuelekea pambano hilo.

Пікірлер: 23
@adilhabib8988
@adilhabib8988 7 ай бұрын
Maa shaa allah Twaha umeongea vizur kuhusu mwalimu wako ukimdharau alie kufunza utakuja pata laana ya mwalim baki ivo ivo na nidhamu yako mm shabik wako
@omarmwabege
@omarmwabege 7 ай бұрын
Busara utulivu uwazi unyenyekevu ukweli.hizo ndio sifa za Twaha kiduku.
@deonyagawa2499
@deonyagawa2499 7 ай бұрын
Nakukubali sana champion bendera chuma mlingoti chuma👊
@ngadumbishi1405
@ngadumbishi1405 7 ай бұрын
Safi Sana champion asiekubali kushindwa sio mshindani
@lucasmombo-di4zr
@lucasmombo-di4zr 7 ай бұрын
Uko vzr sana🎉
@user-rp3ew9lw6g
@user-rp3ew9lw6g 7 ай бұрын
Uyu ndochampion counapgwa unakataa ukpgwa kubal
@user-yq4wf4qo9t
@user-yq4wf4qo9t 7 ай бұрын
One day utakuwa mfalme wa mchezo ngumi Tanzania nakuombea ufike mbali sana tusihishie hapa tu mpaka mbele tukawachape visa card💳 ni haki yako wafundishe nidhamu michezoni.
@GodfreyStanslaus-qb2tq
@GodfreyStanslaus-qb2tq 7 ай бұрын
Umeongea kisport sana brother kiduku yaan show show
@rshidmwasa8493
@rshidmwasa8493 7 ай бұрын
Safi
@yasiniselemani8672
@yasiniselemani8672 7 ай бұрын
safi
@user-yq4wf4qo9t
@user-yq4wf4qo9t 7 ай бұрын
Brother bendera chuma mlingoti chuma show show nakubaliana na wewe pepelusha bendera tusonge mbele morogoro vipaji michezo ndio azina yetu.
@sheikhidrisa9793
@sheikhidrisa9793 7 ай бұрын
Show show bendera chuma mlingoti chuma baba tutakufa nawewe mwamba twaha kiduku
@user-qk1iv2is9f
@user-qk1iv2is9f 7 ай бұрын
Hamna bondia hapa bondia ni mwakinyo tu
@user-qp5vi9yt6m
@user-qp5vi9yt6m 7 ай бұрын
Kabisa washazoea kuwapeleka peleka tu ao wakina kiduku
@user-qp5vi9yt6m
@user-qp5vi9yt6m 7 ай бұрын
Kiduku ni bondia mzuri lakini kocha amna apo ndo mana anapigana kizamani
@MaxZingeli
@MaxZingeli 7 ай бұрын
We unataka apiganaje mbn mengi kashinda
@stevenkimaro65
@stevenkimaro65 7 ай бұрын
Show show bendela chuma mlingoti chuma
@sarapianmatiku5689
@sarapianmatiku5689 7 ай бұрын
Hiyo mikataba inavyosainiwa halafu baadae usikie bondia analalamikia kiasi cha pesa, sijaona akiusoma labda kama aliusoma mapema
@mbwanarashidi1774
@mbwanarashidi1774 7 ай бұрын
Acha kubeza mapungufu kila mjaa anayo
@masoudhamad1592
@masoudhamad1592 7 ай бұрын
Ati "Twaha afungunga kumfukuza kocha wake baada ya kupigwa Mwanza " Pumbavu zenu acheni uongo hapo ameongelea mambo mengine na nyie mnasema lengine.
@user-qp5vi9yt6m
@user-qp5vi9yt6m 7 ай бұрын
Amna bondia apo
@adilhabib8988
@adilhabib8988 7 ай бұрын
Hio yako ww ni roho mbaya
What it feels like cleaning up after a toddler.
00:40
Daniel LaBelle
Рет қаралды 73 МЛН
Smart Sigma Kid #funny #sigma #comedy
00:26
CRAZY GREAPA
Рет қаралды 10 МЛН
PATACHIMBIKA! DULLA MBABE,TWAHA KIDUKU WATAMBIANA 'LIVE'
2:00
Mtanzania Digital
Рет қаралды 149 М.
VITUKO VYA MORRISON IKULU MBELE YA RAIS SAMIA VYAWAVUNJA MBAVU
7:06
What is your favorite soccer player?
0:18
Jay cok
Рет қаралды 3,5 МЛН
Leo Messi 👽😈#ytshort #shorts #trending #viral
0:10
RZ 20
Рет қаралды 1,2 МЛН
World Cup 2010🔥 #football #worldcup
0:15
TalentWithSJ
Рет қаралды 1,9 МЛН
Установил мировой рекорд🔥
0:25
FERMACHI
Рет қаралды 2,2 МЛН
❌🔴🟡 WHO DID WIN!? | SPEED CHALLENGE💨
0:13
ag_soccer team
Рет қаралды 164 МЛН