Good job kuja kisii club kamel park resort Kenya tukule raha
@marykagusa8910 Жыл бұрын
Heri ya mwaka mpya ndugu zangu watwanga pepeta mungu awape Afya njema nawapenda sana dada maduga mpanda
@rafikitv1 Жыл бұрын
Na kwako pia. Mwaka ukawe wenye mafanikio na Afya tele.
@MartinSwai6 ай бұрын
Bendi yangu pendwa hii naweza kutaja kikosi chote hicho
@kenmcoha6349 Жыл бұрын
choki karudi...lo hata kenya alikua vile vile..toka rudi toka rudi
@rafikitv1 Жыл бұрын
Music ni Maisha ndugu yangu Kenmcoaha na kawaida ya maisha huwa ayana kanuni au formula. Yanaweza kubadilika muda wowote kutegemea na mazingira. Hivyo Choki yupo sahii.