Рет қаралды 14,185
BWANA YESU ASIFIWE
Wimbo ambao unachua jina la Album ya kwanza ya Choir Uamsho kutoka Tanzania Assemblies of God (T.A.G) Cadaf / Ebenezer Station utakua ramsi kwenye mitandao ya kijamii tarehe 29th April 2022.
Ni wajibu wako wewe na mimi ku support wimbo huu kwa ku subscribe channel hiyo , ku share, like, comment yako ili kazi ya MUNGU Isongo Mbele.
Ubarikiwe na BWANA Mtumishi wa MUNGU.
open.spotify.c...
/ uamsho-choir
audiomack.com/...
www.amazon.com...