Mawaidha mazuriiii ALLAH atuongoze sote humati muhammad
@afric012 жыл бұрын
Aslm alkm ww..... Shukran sana Sheikh. Jazakallah kheir 🙏
@muniramohamed8887 Жыл бұрын
Mashall-Allah Allah akuzidishie elim yenye manufaa uzidi kutuelimisha akujalie umri mrefu wa afya amin
@user-oo7xd9ex7m2 жыл бұрын
Masha Allah
@halimamuketi67388 күн бұрын
JazakaAllahu kheir
@alihamadi95102 жыл бұрын
Chukralilahi Alhamdu lilahi اللهم نفعنا بما علمتنا وعلمنا ما ینفعون
@khuiii90322 жыл бұрын
Mashallah
@hamjanikera12342 жыл бұрын
Allah atueke mbali na masengenyo..... Amin Amin Amin
@rajabulesale35982 жыл бұрын
Alaawakbar
@mwanaherialy9832 жыл бұрын
shukurani kwa ukumbusho jee mwanamke afaa kusali ndani kwake swala ya tarawehe
@mwanaherialy9832 жыл бұрын
pekeyake au vip
@ummsalma24618 ай бұрын
حسبي الله ونعم الوكيل الله يحفظكم من كل شر يارب العالمين 🤲🌺💚
@andallaathman38562 жыл бұрын
Mungu atustiri hapa hatoki mtu Kwa kusenhenya coz Leo litatutoa wapi Hilo sababu mtu amekuibia ukienda ukisema Kwa wenzio umeesengenya umeniona nduyoo aingila lodging na mwanaume ukienda kuongea na wazazi wako wamsemgenya viongozi nihawa Leo watusiana ukisema ni kisengenya ila mungu atujuua nibinadamu wtusamehe sabbu mashekhe watutisha mpkaa watufisha moyo kwnmba hatuna pepo hizi ibada tufanyazo ni hazina maana afadhali hawa wakiristo wenyewe wafanya killa kitu huko wajua motoni sis twajtahidi Ila masheikh watustishia Vibaya mungu atuaafu subhana llah
@munirali28222 жыл бұрын
Ameen
@nurdinmfamau34932 жыл бұрын
Hawatutishwi Ukweli Nimgumu. Hata Ukitaka Kwenda Peponi Nilazima Ufe Sasa Kufa Nikitu Kizuri. Haki Yoyote Ningumu.
@andallaathman38562 жыл бұрын
@@nurdinmfamau3493 hutishia watu Sana sasa BC haoni mtu pepo kma hali ndio hio musahau Kwa sababu Nani asie taja mtu Leo hakuna na hata usipo taka utataja tuu kivyovyote so tujipangeni na Moto kma hivi ndio ilivyo kuomba mungu atusahlishie tuu atuepushe Kwa rehma zake bt nikuubaya namna hii