UBUNIFU WA NISHATI MBADALA ULIVYOKUA MWAROBAINI KWA SHIDA YA UMEME KYELA

  Рет қаралды 3,548

Busokelo TV

Busokelo TV

2 жыл бұрын

#BusokeloTv #UmemeMbadala
Makala maalum inayomuangazia kijana fundi mbunifu wa umeme mbadala ambao imekua mkombozi pindi nishati inayotumika kutoweka na kukwamisha baadhi ya kazi muhimu,fuatilia kujua namna aliyoianza teknolojia hii na namna wateja wanayonufaika na umeme huu mbadala.

Пікірлер: 15
@gordfreysangawe7535
@gordfreysangawe7535 5 ай бұрын
Nipo Dr nakupataje naitaji taa za fens nijulishe
@fredysiwale5413
@fredysiwale5413 9 ай бұрын
Naomba namba yako mie nipo Tunduma
@ShomaShabani
@ShomaShabani 6 ай бұрын
Habar
@jafarimpili9688
@jafarimpili9688 Жыл бұрын
Toa namba zako za sim
@WAKYELA
@WAKYELA 2 жыл бұрын
❤️❤️❤️💝💝💝
@barakamwamasage4428
@barakamwamasage4428 2 жыл бұрын
Shukrani za pekee ziwaendee busokelo TV
@BusokeloTV
@BusokeloTV 2 жыл бұрын
🙏
@anthonygndegesogoranyomo7528
@anthonygndegesogoranyomo7528 10 ай бұрын
Hakuna ubunifu hapo corpy tu 🙌 kazi chafu ufungaji wa waya ,sioni kipaji hapo
@MusaMusa-ik9ib
@MusaMusa-ik9ib 9 ай бұрын
😂😂😂😂wewe umeunda Kama hivyo hata Kama ikiwa koppy?
@barakamwamasage-hy2jo
@barakamwamasage-hy2jo 9 ай бұрын
Kaka toa ushauli usiponde siku zote kazi niatua uwo ilikuwa mwanzo tu👍
@barakamwamasage-hy2jo
@barakamwamasage-hy2jo 9 ай бұрын
​@@MusaMusa-ik9ib nashukuru kaka nahili ndio tatizo letu wabongo hatu sapotiani
@sikindenehacxony9372
@sikindenehacxony9372 2 жыл бұрын
Mwamwaja na mm Nina kipaji mdogo wang uje nijitangaze mdogo wang By afsa acxony sikindeneh
@WAKYELA
@WAKYELA 2 жыл бұрын
🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@vaghoghontweki9827
@vaghoghontweki9827 3 ай бұрын
Sikosoi kazi anayoifanya ila naomba kujua kipi alichokibuni hapo...naomba nisaidieni nami nijue wakubwa
@barakamwamasage-hy2jo
@barakamwamasage-hy2jo 23 күн бұрын
Uundaji wa inverter out matic
ОСКАР ИСПОРТИЛ ДЖОНИ ЖИЗНЬ 😢 @lenta_com
01:01
The day of the sea 🌊 🤣❤️ #demariki
00:22
Demariki
Рет қаралды 101 МЛН
My little bro is funny😁  @artur-boy
00:18
Andrey Grechka
Рет қаралды 13 МЛН
🔴#LIVE PART: 1 SUMBAWANGA MUNICIPAL 2023 STREET VIEW
2:36
Rukwa Online TV
Рет қаралды 2,2 М.
Utengenezaji wa mkaa mbadala.
22:06
ITV Tanzania
Рет қаралды 7 М.
Mbunifu wa chanzo kipya cha nishati awaduwaza TANESCO/Umeme wa sumaku
6:02
Daily News Digital
Рет қаралды 29 М.
JINSI YA KUFUNGA TAA YA SOLAR
4:55
DARASA LA UMEME
Рет қаралды 1,8 М.
ОСКАР ИСПОРТИЛ ДЖОНИ ЖИЗНЬ 😢 @lenta_com
01:01