Mbunifu wa chanzo kipya cha nishati awaduwaza TANESCO/Umeme wa sumaku

  Рет қаралды 30,438

Daily News Digital

Daily News Digital

Күн бұрын

#TANESCO #Mbunifu #NishatiSumaku
Tunafahamu vipo vyanzo vingi vya kuzalisha umeme Duniani nchi ya Tanzania inazalisha umeme kwa kupitia Maji,Jua,Gesi,Upepo,Mafuta mazito na mepesi,mawimbi ya Bahari,
Wakati wataalam wanafanya utafiti wa Joto ardhi ili kuona kama je joto la ardhi litafaa kuzalisha umeme?
Jijini Dar es salaam katika eneo la Kawe Mzimuni mzee Rojas Msuya yeye ameonesha teknolojia mpya kabisa ya kuzalisha umeme kwa kutumia Sumaku kitu kilicho lishangaza zaidi Shirika la umeme Tanzania(Tanesco) na hivyo Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika hilo Dkt. Tito Mwinuka kufunga safari ili kujionea maajabu hayo.

Пікірлер: 118
@Baba-JJ
@Baba-JJ 3 жыл бұрын
Ubunifu hapa ni wa source of motion zaidi kuliko ubunifu wa kufua umeme. Alternator ya gari inafua umeme ila ni mpaka izungushwe. Kwahiyo kitendawili kinakuwa itazungushwaje, na maji au upepo au engine ya diesel/ petrol? Hapo ndo penye gharama. Kwahiyo kama mzee amebuni mpangilio wa sumaku ambao unatoa renewable mechanical energy huo ndo ubunifu. Hongera zake
@solobennymwanshinga6714
@solobennymwanshinga6714 24 күн бұрын
Hamna kitu ka hicho, ni upuuzi tu
@epafrangweshemi4014
@epafrangweshemi4014 3 жыл бұрын
Hawa kina "Msuya" ndio wanatakiwa kipindi hiki. Anaesema rahisi sana eti, unagoogle tu simpendi. Ni sawa na kusema elimu au habari fulani haina impact eti kwa kuwa unaelewa inawezapatikana katika kitabu fulani. Tabia ya watanzania kudharauliana haifai kwa sasa. Unaambiwa huyu ana muda wa miaka minane anafanya eneo hilo halafu mtu unasema kitu rahisi! Acha hizo, mtie nguvu mtanzania mwenzio anapofanya kitu chema na chenye tija kwa jamii na nchi kwa ujumla. Hongera sana uongozi wa wizara kuonyesha kujali na kumsapoti Msuya.
@azizirubelwa2992
@azizirubelwa2992 3 жыл бұрын
Umeongea kweli
@wilfredkuyonza2151
@wilfredkuyonza2151 Жыл бұрын
Huyu Msuya ni muongo na tapeli mkubwa mimi keshanitapeli na ana kesi kibao za kuwatapeli watu hana hiyo nishati ni muongo kaeni nae mbali
@solobennymwanshinga6714
@solobennymwanshinga6714 24 күн бұрын
Huu ni utapeli wa kiwango cha juu sana, mtu anayeelewa nini maana ya nishati hawezi pambana na huu upuuzi
@williamgregori8776
@williamgregori8776 Жыл бұрын
Jamaa anatumia concept ya Simple harmonic motion of magnets, ambapo ukidisplace sumaku ya katikati on one side and release it, It executes SHM, but according to the fundamental laws of energy, this oscillation decreases with time, should eventually stops after some times due to damping forces. Kwahiyo kama hiyo ndio concept basi hiyo generator itaweza kuzalisha umeme kwa muda tu, haiwezi run infinitly. Muda wankustop unategemea ukubwa wa friction and air resistance forces. So huyu mzee angeeleza ameitumia kwa muda gani na changamoto ya hiyo system ni ipi
@edustudiotz3879
@edustudiotz3879 7 ай бұрын
“Maarifa na Ujuzi”, amefanyaje hapo? Sote tunajiuliza. Waliojaza nadharia kichwani wanatoka nje wakijiita 'wabobevu', magwiji wa kusimulia matunda ya maarifa (yani teknolojia). Wameshikwa na wivu, hawawezi tafsiri kwa haki ubunifu wa mteknolojia huyu. Sayansi ni maarifa, na maarifa yaliyotafsiriwa kimatendo ili kuundo chombo cha kumwondolea kero mwanadamu na kuongeza tija katika maisha huitwa teknolojia. Kuna njia kadha wa kadha za kutafsiri maarifa na hakuna njia ambayo haina mapungufu, ila ni suala la zama; kwamba katika zama husika mapungufu tajwa ni kitu cha kuzingatia au lah! Na mapungufu hayo ni 'mwanya' kwa mtu mwingine, na ndio maana tafiti zipo. Tafiti zipo ili kupima mawazo yaliyopo, kuingiza mapya inapobidi, n.k, ili kuwa faa watu wa jamii ile katika zama zao. Watu wa mishahara wwmejawa 'inda' , uchambuzi wao unaathiriwa na inda kama ambavyo chembe chanya isivyo weza kupita kwenye uga sumaku pasi kuyumbishwa. Hongera mzee, 'mnadharia na mtendaji' mpaka wa elewane lazima wote wawe na sura mbili zote (sifa zote), yani wawili katika mmoja.
@solobennymwanshinga6714
@solobennymwanshinga6714 24 күн бұрын
Huu ni upuuzi anaousema, na haujaanza leo na hauta isha leo, kabla ya newton watu wengi walipambana kutengeneza nishati, na matokeo yao yalikuwa ni yaleyale yaani walitwanga maji kwenye kinu, ndio newton alikuja kutegua kitenda wili hiki, katika utafiti wake akagundua ya kuwa neshati ni kitu asilia huwezi kukitengeneza na wala huwezi kukiteketeza bali unaweza tu kuihamisha kutoka mfumo mmoja na kwenda mfumo mwingine, mfano radio inabadili umeme kuwa sauti na mike inabadili mawimbi ya sauti (hii ni nishati iliyo katika mfumo wa sauti) na kuwa umeme, injini ya gari inabadili nishati iliyoko kwenye mafuta na kuwa kinetic [mwendo] nishati. Na kama huamini hili mtafute mzee huyo akuuzie huo upuuzi naita upuuzi kwa sababu hakuna kitu kama hicho ukinunua utakuwa umetupa pesa yako. Mnasema tumekariri notes lkn huo ndo ukweli, hata mimi kipindi sijaielewa vizuri hii nadharia ya nishati nilishajaribu kutengeneza mashine ya namna hyo. Huyo mzee atawapiga hela mpaka mchakae
@LambertKyakwe
@LambertKyakwe 7 ай бұрын
Awezweshe. Selekali nsaidieni anaweza. Mungu n mwema
@teamallyracing1780
@teamallyracing1780 3 жыл бұрын
Fanyeni haraka msaidieni patent Kabla wajanja hawaja reverse engineering, hii idea sio ngeni ila voltage ni ndogo ila huyu bwana ana configuration ambyo ni unique hapo ndo ndo pa ku patent
@wilfredkuyonza2151
@wilfredkuyonza2151 Жыл бұрын
Hamna kitu ni mwizi huyo mzee katapeli watu wengi sana
@yuvencepatrice792
@yuvencepatrice792 11 ай бұрын
@@wilfredkuyonza2151 habari
@abdallahsaid8157
@abdallahsaid8157 3 жыл бұрын
Mola amzidishie!
@luqmanhussein5551
@luqmanhussein5551 7 ай бұрын
Mnangoja nin wazeee muwezesheni mzee msuya awe chachu ktk ukuwaji wa nishati mbadala watanzania tumeteseka sana 🤝 hao wavaa makoti janja janja tu
@allyngoda761
@allyngoda761 Жыл бұрын
Mzee kweni Engineer amejieleza vizuri sana Huyo mvumbuzi endeleeni kumtunza atafika mbali na mumuwezeshe hata kama hatafaulu kwahicho alichokifanya Sasa mpatieni nyenzo na suport ya pesa ili ajiendeleze anaweza fanya mambo mazuri zaidi
@mathiaslyamunda2526
@mathiaslyamunda2526 3 жыл бұрын
Umeme wa kimyakimya safi sana
@bejoytv2702
@bejoytv2702 2 жыл бұрын
Safi sana,tafuteni hizi hazina mziendeleze,Yani angekuwa China hapo soon wangekuja na mapinduzi makubwa
@harmonize9766
@harmonize9766 3 жыл бұрын
Tunaahitaji kumpa support mzee huyu ....naomba number yake .......Bravo from kenya
@ibnually7648
@ibnually7648 3 жыл бұрын
Mm nimeukubali ubunifu wake wakati keshafanya majabibio unafanya kazi Mm naamini panahitaji maboresho tu hapo
@eliamwaisoba6537
@eliamwaisoba6537 3 жыл бұрын
Naomba mawasiliano yake nimeipenda hiyo
@tiktokx2064
@tiktokx2064 3 жыл бұрын
Kwa manufaa ya taifa, hii teknolojia isingewekwa hadharani hadi imefanyiwa utafiti, majaribio na uzalishaji mkubwa. Baadae ingekuwa ni faida kwa mvumbuzi na kulinda haki yake ulimwenguni kote kama muanzilishi.
@gynae8407
@gynae8407 3 жыл бұрын
Ingelikua ni mzungu angetangazwa kama mwana sayansi wa karne ya 21. Ila bongo! Hakunaga
@thegreat.9869
@thegreat.9869 3 жыл бұрын
Kabisa
@alexcosmas430
@alexcosmas430 3 жыл бұрын
Tupeni namba zake bas
@francismhoja8151
@francismhoja8151 2 жыл бұрын
@@alexcosmas430 namba ya huyu Mzee mlizipata nipe na mimi
@RojasiMsuya
@RojasiMsuya 8 ай бұрын
Uwezo anao Japo anasema hajasoma Lakini ukimsikiliza vzr utagundua ni mtaalam na ana uelewa wa kiwango cha juu na ndio maana hata hiyo timu ya wataalam wameunga mkono na kumsaidia
@williamgregori8776
@williamgregori8776 3 жыл бұрын
Dah, naona Kama laws of energy conservation is disobeyed
@storyfied_channel
@storyfied_channel 3 жыл бұрын
Haja_disobey... The law of conservation of energy states that energy can neither be created nor destroyed - only converted from one form of energy to another. Jamaa kafanya kugeuza energy iliyopo kwenye sumaku kutengeneza umeme.
@stonikyando6124
@stonikyando6124 3 жыл бұрын
@@storyfied_channel energy iliyopo kwenye sumaku inaitwaje😳😳
@issackjoseph6436
@issackjoseph6436 3 жыл бұрын
@@stonikyando6124 rudi kwenye roja kaguse tism
@slainhood646
@slainhood646 3 жыл бұрын
@@stonikyando6124 magnetic energy
@crausmasala8572
@crausmasala8572 3 жыл бұрын
Jamaa tism imelala kabisa sio poa
@barakadugange3234
@barakadugange3234 3 жыл бұрын
Wa Africa kwa ujumla Nina imani kuwa tunaweza kufanya au kuvumbua vitu Vingi Sana vyenye tija kwenye bara letu Kama viongozi wetu watakuwa tayari kuwekeza kwa wavumbuzi na wabunifu Wa maswala mbalimbali africa
@mohamedkazema6381
@mohamedkazema6381 3 жыл бұрын
Hicho kitu kinaitwa: free energy source using permanent magnets, ni kwa namna gani amepanga hizo magnets hiyo inatakiwa iwe siri yake au apewe patent na kama ikibidi auze hiyo patent kwa faida ya ubunifu wake, anatakiwa awe muangalifu sana asije kutoa siri za ndani kabisa za huo ubunifu wake kabla hajapewa patent.
@gabrieldenicc4502
@gabrieldenicc4502 3 жыл бұрын
Iyo ni elimu nyingine sio mpaka upate cheti baba tunza sana kwenye vitabu itawasaidia wengi watakao itaji kujua
@everlastingtreasure
@everlastingtreasure Ай бұрын
Naombeni namba za simu za huyu aliyevumbua umeme wa sumaku.
@matukimerchant5170
@matukimerchant5170 Жыл бұрын
Habari! Ni Kwa namna gani ninaweza kupata namba za huyu mbunifu Mzee msuya?
@mkoma49
@mkoma49 11 ай бұрын
Yani mtu wa tanesco hujui Magnet inazalisha umeme, ni aibu hii kwaio mechanism ya dynamoo
@YuvencePatrice-w8h
@YuvencePatrice-w8h Жыл бұрын
Kwan huy mzee anaishi wapi
@tanjaniyoman3160
@tanjaniyoman3160 3 жыл бұрын
Hongerasn mzee..ila nyie mlofika msije mkampindua hyo mzee maana tunawajuweni mwisho hata kumtambua hamtamtambuatn..wala kunufaika na ujuziwake..
@stephenking3602
@stephenking3602 Жыл бұрын
Haya kama ninyi viongozi Si wapiga Dil Huyo Mzee yu wapi leo? Nilijua tu mtampotezea ilai mtengeneze madhingira ya upigaji kuendelea... We sumaku tu kuwasha umeme haitumii mafuta wala nini,,, hapo mkiangalia pa kupigia hela hakuna duh hamuwezi kumpa nafasi Ni nipo!
@majutorajabu7509
@majutorajabu7509 3 жыл бұрын
Tupeni namba zake za simu tumtafute
@nrwawanndeny7394
@nrwawanndeny7394 3 жыл бұрын
Sasa wewe unaitwa majuto halafu unataka namba za jamaa ili umfanye naye ajute daima?
@yesunialamayakiama.9013
@yesunialamayakiama.9013 3 жыл бұрын
@@nrwawanndeny7394 Acha utani
@francismhoja8151
@francismhoja8151 2 жыл бұрын
Naomba namba yake
@mcgoodluckeventz2175
@mcgoodluckeventz2175 3 жыл бұрын
Serikali yetu isimame naye kuhakikisha anafakisha ndoto zake. Impe support
@isackurasa929
@isackurasa929 Жыл бұрын
Je ninaweza pata namba za simu za mzee Msuya
@msamgunda7684
@msamgunda7684 3 жыл бұрын
Mkiitwa wafrika masokwe mnabisha. Sasa mna subir nn kumuwezesha, tafiti ziendelee kisha matokeo yaingie kwenye mitaala ya elimu yetu?au ndio kwa sababu haipo kwenye vtabu vya watu weupe? Achen huo utumwa wa fikra.mnapaswa kuishin kwa utash wa kibinaadam.
@husseinshija035
@husseinshija035 3 жыл бұрын
Naombeni mnipatie namba yake ya simu niweze kuwasiliana nae, mwenye mawasiliano yake bwana msuya
@mikebaltazar2402
@mikebaltazar2402 3 жыл бұрын
Miaka mingapi mbona mzee wa siku njingi mpaka leo ajatoka huyu mzee anatakiwa kuw biliionea
@mashapromise3364
@mashapromise3364 Жыл бұрын
Apewe sapoti
@mlionea
@mlionea Жыл бұрын
Number yake
@augustinopanga9622
@augustinopanga9622 3 жыл бұрын
Nahisi watachukua Technology yake mwisho watamwambia hujasoma we kaa home
@alawiali3475
@alawiali3475 3 жыл бұрын
Anahitaji awe na mwanasheria kumlindia haki miliki zake za ubunifu
@ZaiduRashidi
@ZaiduRashidi Ай бұрын
Mimi nakuitaji naomba nambazako au ntakupataje
@eliasmmari1480
@eliasmmari1480 2 жыл бұрын
Naomba namba za sim za huyu mzee ama mawasiliano yake tafadhali
@manritch3029
@manritch3029 2 жыл бұрын
Mwenye no yke namuomba plss
@ramazubery2641
@ramazubery2641 3 жыл бұрын
Iyo yasumaku rahisi Sana nisumaku mota
@victormushi6641
@victormushi6641 3 жыл бұрын
WANAMCHORA TU, TATIZO MPAKA WASHINIKIZWE NDIO WAFANYE
@afratrad7214
@afratrad7214 Жыл бұрын
Hello naomba msaada wa namba ya huyu jamaaa
@gwargwemwanga322
@gwargwemwanga322 2 жыл бұрын
Naibu waziri uliingizwa chaka. Rogers Msuya ni tapeli hatari.
@pronettv3403
@pronettv3403 Жыл бұрын
Huyu mzee angepeleka tekinolojia yake kwenye nchi. Nyingiine angeelleweka
@asserimsechu7872
@asserimsechu7872 3 жыл бұрын
Kama kweli huyo mtaalamu was tanesko ana shangaa basi tuna shida kubwa sana
@asserimsechu7872
@asserimsechu7872 3 жыл бұрын
Yani magnet kutengeneza umeme anashangaa??? Tuna shida sana
@mwakilamwaki1718
@mwakilamwaki1718 2 жыл бұрын
Naomba namba yake jamani anae mjua
@manritch3029
@manritch3029 2 жыл бұрын
Kwani uyu mbunifu hna sim
@deniceurio819
@deniceurio819 5 ай бұрын
Nampataje huyu mzee serekali inachukulia poa lkn huyu anahitajika kumove mbele zaid
@muddymkamba352
@muddymkamba352 3 жыл бұрын
Magnetic levitation principle
@gloriamwanjali9371
@gloriamwanjali9371 3 жыл бұрын
Nahitaji kwa ajili ya taa nje na banda za kuku
@yuvencepatrice792
@yuvencepatrice792 11 ай бұрын
Kwani yupp mkoa gan huyo mzee?
@thegreat.9869
@thegreat.9869 3 жыл бұрын
Tupeni namba zake tafadhali
@springhareadventuretourstv7282
@springhareadventuretourstv7282 3 жыл бұрын
Tatizo bongo roho mbaya tuu,subirieni kama watamtangaza nakumpitisha ili serikali iingize pato kutoka nje ya nchi.
@gwargwemwanga322
@gwargwemwanga322 2 жыл бұрын
Huyu anayejiita fundi umeme mtambo wa umeme ni tapeli wa kutupwa. Hizo mashine nimefika kwake nimeziona ni geresha tu. Ukifanya kumpa kazi atakutaka ulipie gharama zote. Ukishalipia umeliwa.
@francismhoja8151
@francismhoja8151 2 жыл бұрын
Nipe namba yake
@hamadsalimhamad2399
@hamadsalimhamad2399 2 жыл бұрын
@J-Seven habar boss kama ulifanikiwa kupat no yake naiyomba pls
@ZaiduRashidi
@ZaiduRashidi Ай бұрын
Naomba mawasiliano yake
@byaombeswedy1674
@byaombeswedy1674 3 жыл бұрын
Number zake please, Hongera sana kabisa
@yuvencepatrice792
@yuvencepatrice792 Жыл бұрын
Ukipata nipatie na mimi
@springhareadventuretourstv7282
@springhareadventuretourstv7282 3 жыл бұрын
Tunaomba namba yake
@johnrobert413
@johnrobert413 10 ай бұрын
Kawe mzimuni, niwapi,???
@barakamwamtenga2448
@barakamwamtenga2448 3 жыл бұрын
Kuna viongozi hapo watalipuuza hilo maana wamezoea vya mzungu
@sebajseba719
@sebajseba719 3 жыл бұрын
Nipeni nabma zake
@TumsifKileo
@TumsifKileo Жыл бұрын
Mawasiliano tunapataje
@manritch3029
@manritch3029 2 жыл бұрын
Niko kwa gza
@tembomlawa2065
@tembomlawa2065 3 жыл бұрын
Hiki ndo kipaji kikubwa mpeni nafasi ili kipaji kienderee
@maganjila
@maganjila 3 жыл бұрын
Naomba namba ya huyu mr msuya
@francismhoja8151
@francismhoja8151 2 жыл бұрын
Naomba namba yake
@hassanabubakar5031
@hassanabubakar5031 3 жыл бұрын
Not mirecal it just magnet power
@hassanabubakar5031
@hassanabubakar5031 3 жыл бұрын
Edition with electronic
@evaristmzinza999
@evaristmzinza999 3 жыл бұрын
Can you do something like that?
@ahmuhally4430
@ahmuhally4430 3 жыл бұрын
Huyu mzee angekuwa Ulaya angekua Billionaire
@jeremienzilamba5080
@jeremienzilamba5080 Жыл бұрын
Hamujambo?
@JohnMhogo-hd3fs
@JohnMhogo-hd3fs Ай бұрын
Yasiwe maneno matupu alafu mwishie tu kuvujisha ubunifu wa mtu
@mwami_the_don_
@mwami_the_don_ Жыл бұрын
Eti uyu mzee yukwap
@mhogomchungu7168
@mhogomchungu7168 3 жыл бұрын
Hii technologia ni hatari kwa biashara ya mafuta, atazimwa haraka kama mshumaa
@ibnually7648
@ibnually7648 3 жыл бұрын
Kwan saiv umeme unazalishwa kwa mafuta?
@fatmamwilafi2627
@fatmamwilafi2627 3 жыл бұрын
Magnetic reaction hakuna mpya apo ni theory za phisikiatua
@zflex2559
@zflex2559 3 жыл бұрын
tengeneza na ww
@erickkihaka4370
@erickkihaka4370 3 жыл бұрын
Viongozi wa Tanzania tantalila nyingi kuliko vitendo ni nategemea nipate hiyo mashine asee maana huku kijijini ni shida
@evadotv9528
@evadotv9528 3 жыл бұрын
kishafanyika sana india tumetumia sana iyo
@josephemmanuel3175
@josephemmanuel3175 3 жыл бұрын
Acha uongo bhna
@pjelectrcian8391
@pjelectrcian8391 3 жыл бұрын
Wa tz shida yao ndo hiyo mzee nae anadirik kusema et hakijawah kufanywa na yeyote duniani, hiyo kitu nguvu zake ni ndogo itaishia kuwasha taa tu na vi flat tv redio, coz nguv itakayozalishwa hapo ni ya kuboost na transformer capacitor na diode Kiasi kwamb ukiwasha au ukitumia 24hrs vinaheat sana, seach you tube mtu anayeitwa muamar yildz alitengeneza yake ikaishia kutumika Kama fen
@evaristmzinza999
@evaristmzinza999 3 жыл бұрын
Mbwembwe
@elibarickswai2229
@elibarickswai2229 3 жыл бұрын
@@pjelectrcian8391 asee you are right hapo hamna kitu effeciance ndogo mno swali la kujiuliza ni kwanini asiutumie huo mpaka asubirie wa tanesco ukatike
@franciskomatina9731
@franciskomatina9731 3 жыл бұрын
Serkali ifanye upesi kumsapoti huyu ndg kabla wajanja hawajaiteka teknologia na uvumbuz huu
@pinnobora4129
@pinnobora4129 3 жыл бұрын
Jamani mbona raisi sana nenda Google utaona tu
@ramadhaniabdushakuru4679
@ramadhaniabdushakuru4679 3 жыл бұрын
Kivip bro unawez kupata elim hii kupitia google???
@alextaki5684
@alextaki5684 3 жыл бұрын
Ninatumaini serekali ikiwekeza kwa watalam kamahawa tutagundu vingi
@yuvencepatrice792
@yuvencepatrice792 Жыл бұрын
Wapi ulipo hata tuje tujifunze
@evaristmzinza999
@evaristmzinza999 3 жыл бұрын
Kuna wajinga watamvunja moyo mzee pambana tu. Mungu akusaidie ufikie Marengo
@dannelly1992
@dannelly1992 3 жыл бұрын
Ikowezekana awafundishe wengine
@alsonsemoka5019
@alsonsemoka5019 3 жыл бұрын
Huyu jamaa ni kichwa
@justinebahati4704
@justinebahati4704 3 жыл бұрын
kuwa mbunifu nijambo moja lakini kuwa mgunduzi ni jambo lingine kabisa huyu mzee hata kwa bongo sio yeye tu aliyewahi kufanya icho kitu kuna huyu mzee na yeye hajivuni kanakwamba ni mgunduzi kzbin.info/www/bejne/sInHp5Jql6mGqas
@barrynzeyimana6270
@barrynzeyimana6270 3 жыл бұрын
Anatoa siri kabula hajatiana mikataba
@azizirubelwa2992
@azizirubelwa2992 3 жыл бұрын
Siri bado hajatoa mkuu bado kuna ma capacitor na ma diode jinsi yanavyoungwa hapo ndio patamu Tanesco wanapenda mitambo iliyokwisha fanyiwa kazi wakapachike tu ndilo tatizo linalotukumba
ДЕНЬ УЧИТЕЛЯ В ШКОЛЕ
01:00
SIDELNIKOVVV
Рет қаралды 3,3 МЛН
UFUNDI WA SIMU
1:43
VETA Tanzania
Рет қаралды 402
Ubunifu wa Mota ya kuzalisha  Nishati
4:16
SUA MEDIA (ONLINE TV)
Рет қаралды 1,3 М.
How to win a argument
9:28
ajaxkmr (ajaxkmr1986)
Рет қаралды 583 М.
MATOLA NA WENZAKE MBARONI KWA TUHUMA ZA WIZI WA SHABA
5:54
Daily News Digital
Рет қаралды 217
Wabunifu wa Injini ya ndege (Jet Engine)
4:29
COSTECH Tanzania
Рет қаралды 15 М.