MTANZANIA AGUNDUA MASHINE YA KUFUA UMEME NYUMBANI KWAKE | HANA SHIDA YA UMEME

  Рет қаралды 13,542

EastAfricaTV

EastAfricaTV

Жыл бұрын

Karibu kujiunga na group letu la What's app kwa Habari, Matukio, Burudani
BONYEZA LINK 👉👉 chat.whatsapp.com/DfwqANhvBcB...
Subscribe hapa : bit.ly/2UBtyaG
Tufuate Kwenye Twitter : bit.ly/2UFkrWH
Like Ukurasa wetu wa Facebook : bit.ly/2XbYro5

Пікірлер: 53
@mashapromise3364
@mashapromise3364 Жыл бұрын
Bro ongera sana bro achana na izo guruwe zinazo penda kukukatisha moyo endeleya tu na ujuzi wako
@anfaal03
@anfaal03 Күн бұрын
Hongera sana boss ila naona hujatoa maelekezo mawasiliano yako na bei ya hicho kifaa
@muhsinkimaro4283
@muhsinkimaro4283 Ай бұрын
Kwa idadi ya wavumbuz wa umeme ambao nishawaona, serikal ingewatumia tanzania tusingepata tabu ya umeme kabis
@oklahommy9838
@oklahommy9838 Жыл бұрын
Kuna tofauti ya innovation na invention hio si invention ni innovation coz tayari hayo mambo yapo
@khamisiddi5961
@khamisiddi5961 Жыл бұрын
Kweli hajagundua yeye video kama hiyo zimejaa tele KZbin.
@rockymalisa9446
@rockymalisa9446 7 ай бұрын
Kama hajagundua bas gundua wewe tuone kama hivi
@Laizer3
@Laizer3 Ай бұрын
Wewe unawezq nini zaidi ya kwenda chooni😅
@martinisadru9899
@martinisadru9899 21 күн бұрын
​@@rockymalisa9446mzee usilazibishe, huyo sio mgunduzi, mimi mwenyewe nimeunda generator ya 9kva kwa kutazama wazungu walivounda, watu walianza kutengeza hizo zaidi ya miaka 40, hata mimi ninayo kubwa kuliko hiyo, nimeunda mimi mwenyewe,, inaendesha pamp ya kuvuta maji 140 mita kutoa chini ya mwamba wa kisima, na kupikia kwa majiko yote ya umeme home. Pasi, microwave, refrigerator. Oven ya 2000 wat.
@aminmohammed4249
@aminmohammed4249 Жыл бұрын
Safi sana bro unaeleweka sana🙌 Kuna watu watakoment ujinga tu huku…ni wale walikuaga wanasugua mikono darasani afu wananusa kama inanuka mavi ya kuku😅
@josephjohn2114
@josephjohn2114 Жыл бұрын
Kuna tofauti ya kugundua na kubuni.
@zanriztv
@zanriztv Жыл бұрын
Kazi nzuri hata kuiga ni kazi ngumu
@genxonlinetv2219
@genxonlinetv2219 Жыл бұрын
Tattoo kubwa sana tunalo kwa Hawa Waandishi wa Habari Uchwara. Hawakutaja Jina Kamili Ła Mlengwa, hawajaweka contact zake na social media. Hawaja sema wkwamba anapatikana wami. Wameweka Ma link yao tu hapa. Pumbav sana.
@salimhamis3581
@salimhamis3581 22 күн бұрын
Naomba mawasiliano ya huyo jamaa (Mangana)
@EdnaKiyenze
@EdnaKiyenze 2 ай бұрын
Jitahidini sana kuonyesha chombo kilicho buniwa na si watu watu hapo mtakiwa mmeupiga mwingi
@Innocente1994
@Innocente1994 Жыл бұрын
Totally, lack of understanding of the law of energy and its mechanism
@mashapromise3364
@mashapromise3364 Жыл бұрын
Kwa Nini wa Tanzania wengi Wana ROH mbaya kama yaviongozi waho Pali yakumsapot mwezenu nyinyi Tena ndo wakwanza kuwa chafuwa akili zenu na vihongozi wenu ni Moja tu 😲😲😲😲 munapitwa akili na guruwe
@user-bt8bk7pm6e
@user-bt8bk7pm6e 4 ай бұрын
Matumizi yake ikoje io mashine ya kuzalisha umeme.mana tanesko oohhh
@BakriHoumadi-ub5it
@BakriHoumadi-ub5it Жыл бұрын
Hello
@chackszephaniah592
@chackszephaniah592 2 ай бұрын
Sasa huyo mtangazaji hajitambui mbona hajamwambia namba ya cm kwa Tanzania ili aweze pata wateja
@martinisadru9899
@martinisadru9899 21 күн бұрын
mzee usilazibishe, huyo sio mgunduzi, mimi mwenyewe nimeunda generator ya 9kva kwa kutazama wazungu walivounda, watu walianza kutengeza hizo zaidi ya miaka 40, hata mimi ninayo kubwa kuliko hiyo, nimeunda mimi mwenyewe,, inaendesha pamp ya kuvuta maji 140 mita kutoa chini ya mwamba wa kisima, na kupikia kwa majiko yote ya umeme home. Pasi, microwave, refrigerator. Oven ya 2000 wat.
@anthonygndegesogoranyomo7528
@anthonygndegesogoranyomo7528 Жыл бұрын
Mbunifu nakuhitaji sana ,maana mashine za dizeli zitanifirisi
@elibarikkiakyoo
@elibarikkiakyoo Жыл бұрын
Achana nazo tumia petrol utafuahia maisha diesel ngum
@SadockSkyfarm
@SadockSkyfarm Жыл бұрын
Wanapatikana wapi ndugu naomba namba tafadhari Sio vzr kuwahoji bila kutoa mawasiliano
@suleimanalzakwany
@suleimanalzakwany 3 ай бұрын
Mawasilianoooooo
@deogratiusyudatadei5658
@deogratiusyudatadei5658 Жыл бұрын
Brother naomba namba ya huyo jamaa
@isayachaula
@isayachaula Жыл бұрын
Naomba namba please
@mlionea
@mlionea Жыл бұрын
Number yake iko wapi?
@user-kb6rw5uv1n
@user-kb6rw5uv1n 5 ай бұрын
Kaka wengi tunashida na umeme huo tafadhali tia no ya mawasiliano
@yay2116
@yay2116 Жыл бұрын
Mbona hamjaweka mawasiliano yake.... anapatikanaje?
@mkoma49
@mkoma49 8 ай бұрын
mbona mawasiliano yake hamjaweka?
@abdullahliguya1104
@abdullahliguya1104 10 ай бұрын
Kazi nzuri ila kwenye upande wa ku-remove excitor (battery) ungeongeza electornic switch (High speed switching) ili kuboresha ufanisi Zaid Kuliko kuendelea kuiondoa Excitor manually after the machine attain 1500rpm.
@maalimwenga452
@maalimwenga452 Жыл бұрын
Tunapataje namba za huyu jamaaa m on hamkuziweka kwenye mahojiano
@CastoryKapinga-nb7ht
@CastoryKapinga-nb7ht 3 ай бұрын
MTAMBO MWEPESI HUO ,UKIPATA MOTA YA KUZUNGUSHA WHEEL YAILI NA UKIPATA MOTA INAYO ZALISHA UMEME TAYAR USHAMALIZA KAZI
@SadockSkyfarm
@SadockSkyfarm Жыл бұрын
Samahani naomba namba yake kupitia email yangu
@shedrackmutalemwa7310
@shedrackmutalemwa7310 Жыл бұрын
Mwambie aache uongo
@dannympollo8359
@dannympollo8359 11 ай бұрын
Naomba namba yake ya simu
@Winningodds123
@Winningodds123 4 ай бұрын
Umeshapata namba ya huyu engeneer?
@jameskahamba4023
@jameskahamba4023 Жыл бұрын
vip nayule alogungundua umeme wa smaku nae aliishia wapi jamani?
@Expedito2512
@Expedito2512 Жыл бұрын
Duu, yule wa sumaku ni kichomi hakuna umeme pale
@mch.deosinkala3120
@mch.deosinkala3120 Жыл бұрын
Kweli kabisa..tena yeye ili kuwa ni rahisi kweli haina kelele..daa serikali bhana
@jameskahamba4023
@jameskahamba4023 Жыл бұрын
@@Expedito2512 jamani hakuna umeme akati serikali wamethibitisha kabisa na hata kwake tuliona kabisa umeme unawaka!!!
@jameskahamba4023
@jameskahamba4023 Жыл бұрын
@@mch.deosinkala3120 asee nchi yetu hakuna kitu kabisa
@yay2116
@yay2116 Жыл бұрын
Hawa jamaa wanapotea ghafla... baadae kimyaaa... sijui ndio wataharibu biashara za watu... au na wao mizinguo tu
@mohammedikingazi5109
@mohammedikingazi5109 Жыл бұрын
Kagundua au kaunga unga vitu ambavo vimeshatengenezwa na wenzetu bhana
@HerriMaeda-eg1jn
@HerriMaeda-eg1jn Жыл бұрын
Unga unga basi na wew tuone
@deogratiusyudatadei5658
@deogratiusyudatadei5658 Жыл бұрын
Ww umeunga ungann au umeunganga roho mbaya na chuki
@helsonjonathan
@helsonjonathan Жыл бұрын
Asiyejua atachukulia poa mimi niliwahi kuishia njiani big up my brother wengi tumefeli
@khamisiddi5961
@khamisiddi5961 Жыл бұрын
Huyo hajagundua ' kaiga kwa wahindi.
3M❤️ #thankyou #shorts
00:16
ウエスP -Mr Uekusa- Wes-P
Рет қаралды 14 МЛН
🤔Какой Орган самый длинный ? #shorts
00:42
Always be more smart #shorts
00:32
Jin and Hattie
Рет қаралды 48 МЛН
THE POLICE TAKES ME! feat @PANDAGIRLOFFICIAL #shorts
00:31
PANDA BOI
Рет қаралды 24 МЛН
Mbunifu wa chanzo kipya cha nishati awaduwaza TANESCO/Umeme wa sumaku
6:02
Daily News Digital
Рет қаралды 29 М.
MBUNIFU WA MASHINE ZA KUZALISHA UMEME WA MAJI NA UPEPO
8:50
COSTECH Tanzania
Рет қаралды 13 М.
Immersive outdoor dining Chinese rural dog Little puppy Rural dog
0:30
Country Puppy
Рет қаралды 11 МЛН
#londonbridges
0:14
J House jr.
Рет қаралды 42 МЛН
Tiny motor, big power
0:25
Rob Rides EMTB
Рет қаралды 30 МЛН
Он просто решил сэкономить на плитке, но...
0:25
Заставил себя уважать!
0:52
МИНУС БАЛЛ
Рет қаралды 2,9 МЛН