Uchafu Ulioanza Kusomeshwa Kwenye Mashule Yetu { Tahadhari Kwa Wazazi } - Dr Islam Muhammad Salim

  Рет қаралды 8,643

Dr. Islam Muhammad Salim - Short Clips

Dr. Islam Muhammad Salim - Short Clips

Күн бұрын

Пікірлер: 21
@bjzee1981
@bjzee1981 11 ай бұрын
Allah atunusuru. Yote haya ni kwa ajili ya umaskini. Nchi zetu zinakubaliana na upuuzi huu Kuingia ktk nchi kutoka nje kwaku hofia tu wasije waka nyimwa mikopo. Vinginevyo hakuna asie jua ni uchafu.
@user-ji6kb4qj6n
@user-ji6kb4qj6n 11 ай бұрын
Ya ALLAH tuhifadhie watoto wetu na wa wenzetu wote insha ALLAH
@bjzee1981
@bjzee1981 11 ай бұрын
Audhubillah. Hii sasa haikwepeki. Manake hata ufanyaje watasoma na yanatungwa katika mitihani ya ki Taifa
@katore1982
@katore1982 5 ай бұрын
Kama muislamu hakuna kitu kisichowezekana Kwa uwezo wake Allah nijuhudi ya kulisimamia swala zima hilo bila uoga wala kusita laasivyo utajuta Kwa wanao watakavyokuwa innalilahi wainnaillaihi rajiun!
@hamzakimaro3764
@hamzakimaro3764 11 ай бұрын
HAKIKA HAWA WAZUNGU WAMEZIDI KWA UCHAFU!!CHA AJABU NASISI WAAFRIKA TUNA WAFUATA KICHWA MCHUNGWA!! ALLAHU MUSTAANU
@AndulHida-hs5py
@AndulHida-hs5py 11 ай бұрын
Subbhanna Allah, yarabb tuomdolee janga hili kwauwezo wako inshaallah na walinde watoto wetu na jamii yetu yote inshaallah
@halimamfaume1925
@halimamfaume1925 11 ай бұрын
SubhanAllah 😭
@mwaramimwarami1479
@mwaramimwarami1479 11 ай бұрын
Subhaanallah
@yarimysahra8061
@yarimysahra8061 11 ай бұрын
صل الله عليه وسلم وعليكم السلام ورحمة الله وبركاته ألهم آآمين ألهم آآمين يارب العالمين جزاك الله خيرا وبارك الله فيك الله يحفظك يا رب العالمين
@MohammedIssa-z1k
@MohammedIssa-z1k 11 ай бұрын
shekh nakusapot sana nafatilia sana clip zako uko vizuri ww ni salaf mwenzangu lakini uko vizuri unamzidi bachu kwakila kitu unaeleweka ukisomesha hupigi kelele
@katore1982
@katore1982 5 ай бұрын
TabarakaAllah fii ila kakangu @user-wy7om5In7I usiwalenganishe masheikh unafanya makosi italeta fitna bro
@shifaaal-baity4503
@shifaaal-baity4503 11 ай бұрын
Yarab wahifadhi wtt wetu wote
@kassimfatma5361
@kassimfatma5361 11 ай бұрын
Allah atunusuru atustiri atuhifadhi sisi na vizazi vyetu vyote kwa jumla
@farijalakhalid5558
@farijalakhalid5558 11 ай бұрын
Hua nakukubali huna mada kama za bachu hata kama mpo kwenye manhaj moja. Hua nakukubali sana
@shuwehaharuna6309
@shuwehaharuna6309 11 ай бұрын
Ewe muumba mbingu ,ardhi na vilivyomo walinde watoto wote wa kiislam na jambo hili la ushoga😢
@habibasalim3092
@habibasalim3092 11 ай бұрын
Aamiin
@SuleymanSaid-ch1yh
@SuleymanSaid-ch1yh 11 ай бұрын
Amiin
@jumakumala1337
@jumakumala1337 11 ай бұрын
MUNGU hawaangamize makafiri km alivyompoteza firauni na watu wake na qaummu luthu
@Abun70242
@Abun70242 11 ай бұрын
Tulipoambiwa ilmu ya kimagharibi ni haramu tulibisha,haya makubwa yaja.
Ni Lipi La Kufanya Kwa Mwenye Kutamani Watoto - Dr Islam Muhammad Salim
7:50
Dr. Islam Muhammad Salim - Short Clips
Рет қаралды 6 М.
Comment laver le visage lors des ablutions ? (Alfa HABIBOULLAH TRAORE)
24:16
DAAROUT-TAQWA ALFA HABIB TAÏFA
Рет қаралды 127
escape in roblox in real life
00:13
Kan Andrey
Рет қаралды 45 МЛН
这三姐弟太会藏了!#小丑#天使#路飞#家庭#搞笑
00:24
家庭搞笑日记
Рет қаралды 121 МЛН
Kumtia Ila Na Dosari Muislamu Mwenzako Kwa Madai Ya Kumnasihi - Dr Islam Muhammad Salim
19:29
Dr. Islam Muhammad Salim - Short Clips
Рет қаралды 7 М.
FATWA | MJAMZITO AMEFARIKI, JE ANAZIKWA NA MTOTO WAKE? | SHK. MOHAMMED AL-BUSAIDY
7:41
Masjid Al-Tawba Makorora Tanga
Рет қаралды 14 М.
raha ya Mali ni kuwasaidia wengine na Mali yako
4:00
madrasatun najaah daawa center likoni
Рет қаралды 4 М.
tahadhari na kutafuta likes na views na comments huku unamuasi Allah
8:41
madrasatun najaah daawa center likoni
Рет қаралды 84
Fitnah Ya Baadhi Ya Wanawake Kwa Waume Zao - Dr. Islam Muhammad
6:08
Dr. Islam Muhammad Salim - Short Clips
Рет қаралды 1,9 М.
Jambo La Kuzingatia Kwa Waislamu Kuhusiana Na Yanayoendelea Palestine - Dr Islam Muhammad Salim
9:59
Dr. Islam Muhammad Salim - Short Clips
Рет қаралды 1,6 М.
Sifa Za Mke Mwema - Dr Islam Muhammad Salim
8:51
Dr. Islam Muhammad Salim - Short Clips
Рет қаралды 8 М.
Sheikh Hassan Ahmed -  Kisa cha mama na mwanawe
3:04
Thamaratul Jannah Tv
Рет қаралды 4 М.
Miongoni Mwa Fadhla Ya Kuhudhuria Vikao Vya Elimu - Dr Islam Muhammad Salim
7:07
Dr. Islam Muhammad Salim - Short Clips
Рет қаралды 1,8 М.