Tatizo siyo kusaign tu,pia lazima tuangalie na mikataba ya wachezaji.kuvunja mikataba ya wachezaji siyo jambo dogo.simba ina wachezaji wazuri,tuache kukariri,naamini kwenye dirisha kubwa basi yatafanyika mabadiriko kwenye kikosi
@MahendraMasanja14 минут бұрын
Mchome nawezie ametuchomesha wanaovaaa jezi za simba kimbe niyanga
@OfficialAkilinyingi4 сағат бұрын
Hahahah😂😂😂 eti mchezaji yeyote yule na team yoyote afirica
@georgeernest86204 сағат бұрын
Simba ina mapungufu makubwa,mabeki,midfielder na striker.
@taseleli91813 сағат бұрын
Waliopo wanatosha sana hakuna timu isiyo na mapungufu hata umlete mchezaji gani mapungufu lazima yawepo kubalianeni na hali