Simba Bora zaidi ya ZOTE ni ya Kocha Nab Camara kutoka Guinea mwaka 1976-77 ambapo. Yeye alochukua jukumu la kuisimamia timu, bila kuingiliwa na Uongozi. Hakuna mchezaji mkubwa kwake, Kibabeni anamuelewa Mwamba huyu aliyewezesha Mnyama kuifunga Yanga 6-0. Mwalimu Fadlu ana uwezo mkubwa, aachiwe KAZI yake.
@jawahiriaelmy16 күн бұрын
Je kwa goli kipa mbons camara tu wengine vipi
@einhardnorbert752816 күн бұрын
Taarifa hii imejaa uongo aidha mwandishi kasimuliwa wakati huo alikuwa hawajaliwa. Nabi Kamala alikuja Simba mwishoni mwa mwaka 1975 na mpaka anaondolewa na Serikali na mwenzake Tambwe leya hakuwahi kufundisha zaidi ya miezi mitatu ilikuwa Januari, 1976. Simba kumfunga Yanga 6-0 ilikuwa Julai 1977.
@suleimanmwenyemvua99516 күн бұрын
Simba sports haiwezi kufuzu kucheza robo fainali huo ndiyo ukweli wenyewe....😅😅😅
@michaelngoda593316 күн бұрын
Itakapo ingia lobo utatuliatuu
@hassanshunda522616 күн бұрын
ila utopwinyo anafuzu bila shida...ndo akil za bwawani hizi