No video

🚨Kocha Julio AMLIPUA Kibu Denis kwa alichokifanya,huu ni utapeli kama utapeli mwingine

  Рет қаралды 29,568

mtanange tv

mtanange tv

Күн бұрын

#football #youtube #ahmedally #alikamwe #yangafc #yangasc #yangatv #simba #simbatanzania #simbaislive

Пікірлер: 63
@user-hu4el2rx2u
@user-hu4el2rx2u Ай бұрын
Chama ndio kawaalibu wachezaji wa Simba ndomana haya ndio matunda ya chama Bora halivoondoka Simba
@mussammanga7791
@mussammanga7791 Ай бұрын
Wacha wakatafute maokoto, kama vile alivyokwenda tafuta makoto Fei.
@LucyJob-x8v
@LucyJob-x8v Ай бұрын
Borachama ameondoka chama ndonani wewe acheni upwir wakiseng nyinyi chama ndonani tuangalie Sasa ameondoka Kama Mr auto chezeka maboya nyiny
@LucyJob-x8v
@LucyJob-x8v Ай бұрын
Nyie amjuw nini Mana ya mkatab nandoman mnaongea pumba kibu anazingua uyo mtu atamponza kib Denis awe Makin Mimi npo
@LucyJob-x8v
@LucyJob-x8v Ай бұрын
ilo kosa kamavp avunje mkatab namkatab ataakiambiwa bilioni kumi naapigwe fain asilet ujinga mpuuz mkubwa yeye ninan
@shizoshop2469
@shizoshop2469 Ай бұрын
Julio huwa hanaga kupepesa macho 😂😂😂😂 anapasuka kweli kweli 😂😂😂
@rexgodwill7353
@rexgodwill7353 Ай бұрын
Kuna watu walipanga kubijumu simba kwenye usajili walishawapanga nakuwavuruga wachezaji wetu wote muhimu ila hawakujua ya nyuma ya pazia kwamba simba imejipanga na imeshusha vyuma... Sasa wanashangaa tu... Asante MO
@reginaldnyinge8802
@reginaldnyinge8802 Ай бұрын
Yaani siku hizi kuna wachambuzi wengine wanashindwa kutumia akili hata kidogo. Kibu ni tapeli na anatakiwa afikishwe mahakamni kwa kose la kujipatia fedha kwa njia ya udanganyifu. Hakuna kuremba eti ooh inawezekana kuna release clause ni ujinga tuu
@chinashao4679
@chinashao4679 Ай бұрын
Mkimsifia feitoto mlijua hili litakuja kwenu????pole sana
@user-pj4mx2ro4h
@user-pj4mx2ro4h Ай бұрын
Huyo kibu anatakiwa kufungiwa maisha asijihusishe na mpira ili iwe funzo
@IddyMeya
@IddyMeya Ай бұрын
Yaani wachezaji kama Kibu ndiyo wanauzaga mechi
@MchichaMchicha
@MchichaMchicha Ай бұрын
Toka apo kwa fei toto uliona yupo sawa
@moizjohnston3841
@moizjohnston3841 Ай бұрын
We nae hauna akili unasema hauna uhakika km kapewa hela,ss ange Saini bila hela,na wakala wake kasema haidai Simba chochote
@MeckMsea-cx1ct
@MeckMsea-cx1ct Ай бұрын
Jurio kiboko safi katema nyongo
@kishimbaboy5403
@kishimbaboy5403 Ай бұрын
nayy apewe thenk you aondoke zake
@rexgodwill7353
@rexgodwill7353 Ай бұрын
Akili ya kikimbizi kila siku hujui nyumbani ni wapi kutwa unafikilia kupuyanga tu
@user-ik7km9rq1v
@user-ik7km9rq1v Ай бұрын
Arudishe gari na hela na ikibidi tuvikamate very simple
@EstomiMoshi
@EstomiMoshi Ай бұрын
Wakati fesali anaisumbua yanga mlikua mnasemaje kwani wachambuzi?
@princemesha9611
@princemesha9611 Ай бұрын
ilojamaaa ni jinga linasema et kibu yupo sahihi linajielewa kweli hilo
@user-iz3hs8jl5p
@user-iz3hs8jl5p Ай бұрын
huyo atakua hajsaini kama walimwekea hela akiwa uko aliko imekula ubaya ubwelaaa
@silasjacob-j2l
@silasjacob-j2l Ай бұрын
mkongo kapewa urai then katokomea
@josiamwambona2785
@josiamwambona2785 Ай бұрын
Mtu kama huyo fukuza atauza mechi hivi inawezekanaje unasema una mke anaondoka bila kuaga anakaa mwezi unambembeleza ni udhaifu fukuza ukimuacha atakuzungusha jaman jamani fukuza huyo wachezaji wengi wageni atawaambukiza tabia ya hovyo kabisaaaa
@hassaniibrahim300
@hassaniibrahim300 Ай бұрын
HUYO KIBU TIMU YOYOTE IKIHITAJI SIGN YAKE LAZIMA SIMBA NDIO INATAKIWA ILIPWE ASILIMIA 100.
@ursulinenyandindi3051
@ursulinenyandindi3051 Ай бұрын
Wachezaji wa bongo hawapendi timu ilipwe (auzwe). Wakiamka tuu asubuhi anasoma kipengele cha kurudisha hela kile anadeposit basi ndio kashagoma hapo. Kazi kwenu
@user-yh3dv2bl7u
@user-yh3dv2bl7u Ай бұрын
Kibu lazima apigwe fain kubwa halafu alete watu wake hao wanaomtaka aende hawa ndo akina chama bado wapo Simba wamebaki hatuwataki voongozi mlione Hilo huyo asibaki Simba ataendelea kuza mechi
@AbisinaRashidi-c8d
@AbisinaRashidi-c8d Ай бұрын
Kibu Hana lolote aende TU tapeli ndo maana Hana ndevu
@SamsonMwambope
@SamsonMwambope Ай бұрын
Kibu sio mchezaji wakucheza ulaya anajidanganya ni mchezaji wakawaida sana
@boniphacebango5367
@boniphacebango5367 Ай бұрын
Alie mtetea feisali ndio yote haya yanayotokea wachazaji wote wanamuiga yeye
@user-uo6zj2jm3e
@user-uo6zj2jm3e Ай бұрын
Yani atapeli rimu halafu mnasema hana kosa
@HajiSimai-pp9cm
@HajiSimai-pp9cm Ай бұрын
Mnasema kibu anjielewa lakini kibu hajielewi mtu mwenyeakili nakujielewa hafanyi hivyo huo ni uhuni nawizi
@joelmichael9752
@joelmichael9752 Ай бұрын
Kibu arudishe pesa aende anakotaka ku cheza,hataisaidia tena timu hata akirudi..kwani yeye ni nani?
@Innocdesultan08
@Innocdesultan08 Ай бұрын
Wakat feisal anasumbua yanga mliona kawaida Aya kuleni vyuma ivyo
@ismailchilonga2878
@ismailchilonga2878 Ай бұрын
Ishu ya Feisal nakibu tofauti kabisa
@mussammanga7791
@mussammanga7791 Ай бұрын
@@ismailchilonga2878 Hakuna tofauti, ni maslahi tuu!
@rehemamkumba9233
@rehemamkumba9233 Ай бұрын
Usahihi ni "PRESS RELEASE" au "RELEASE PRESS" ???!!!! 😂😂😂
@Dastanikasanda
@Dastanikasanda Ай бұрын
Hivi huyu kibu anae mzungumzwa kila medie nihuyu huyu wa goal moja msim mzima. Tena wa kubebwa kwajicho la huruma...kudadeki huyu apigwe azabu ya maana iwe fundisho. Wasimbembeleze kabisa. Afungwe kabisa maana nimshenzi wa tabia.
@LucyJob-x8v
@LucyJob-x8v Ай бұрын
Msfikil kib uko alipo atachez awez kuchez akiwa amesaini mkatab alipo tok
@errydeo8865
@errydeo8865 Ай бұрын
Game anacheza Carlos! Anawadai millions! Kwanini humuongelei hilo?
@MeckMsea-cx1ct
@MeckMsea-cx1ct Ай бұрын
Kibu. Ni mhuni kabisa tunamwosha simba kubwa
@OmariNgurangwa
@OmariNgurangwa Ай бұрын
Asaiv akuna habari tena kibukibukibu uyo kajidanganya2 rabda aache mpila
@user-no5xr7qc8y
@user-no5xr7qc8y Ай бұрын
Kigeugeu,kibu,inonga,lomalisa,shishimbi,baleke na wengine
@JafetDeus
@JafetDeus Ай бұрын
Ndiyo nihuyo wangara kumnyange
@salehhemed9388
@salehhemed9388 Ай бұрын
Eti lakujinza😂
@user-os9ps3ry6x
@user-os9ps3ry6x Ай бұрын
Wachambuzi aangalie kabla ya kuongea
@minaniormar5841
@minaniormar5841 Ай бұрын
YA FESAL MLISHANGILIA KWA KIBU PIA PAKO KIPENGELE CAKUVUNJA MKATABA KELELE ZA NINI
@elkanangosha9588
@elkanangosha9588 Ай бұрын
Kibu mpumbavu tu,hata kiingereza hajui ameingiaje mipango ya kwenda trial? Kibu hawezi kiwa na hizo akili
@amosikomba9162
@amosikomba9162 Ай бұрын
nikweli
@econmirajifacts5411
@econmirajifacts5411 Ай бұрын
Hatuna uhakika labda viongozi wa simba nao wahuni labda hawajampa hela ciunaona kwa lawi mpaka leo ngoma ngumu. waseme kweli..
@hendricksjohn6201
@hendricksjohn6201 Ай бұрын
Wakongi hawanaga akili kabisa
@user-no5xr7qc8y
@user-no5xr7qc8y Ай бұрын
Wacongo hawadhaminiki hata kidogo,muda wowote,muda wowote wanakugeuka na kukusaliti,simba hii ndio iliyosimama kupiga kelele apewe uraia.
@jumannemsengi2195
@jumannemsengi2195 Ай бұрын
Ndio mjue ujinga uliowajaaaa
@jumannemsengi2195
@jumannemsengi2195 Ай бұрын
Misifa mlimpa nyie,eti KIBU DENGAAAAA, MKAMDAJI kisa kumfunga Diara😂😂😂
@daudkondo4069
@daudkondo4069 Ай бұрын
Tusihukumu, jee tuna uhakika Simba wameweka pesa?
@salehhemed9388
@salehhemed9388 Ай бұрын
Agent wake kathibitisha
@user-iz3hs8jl5p
@user-iz3hs8jl5p Ай бұрын
apo ndipo ejiulize ww unaakili sana
@braitonmhagama9102
@braitonmhagama9102 Ай бұрын
Uhakika upo, agent wake kasema so ni muhuni km wahuni wengine
@jonamnyone8014
@jonamnyone8014 Ай бұрын
Hawezi kucheza duniani popote labda aende kucheza mwezini ambako CAF & FIFA hazipo.
@ReymoldMlay
@ReymoldMlay Ай бұрын
Shida ni elimu kibu hajasoma ana tamaa za kijinga
@user-os9ps3ry6x
@user-os9ps3ry6x Ай бұрын
Amefanya vibay
The FASTEST way to PASS SNACKS! #shorts #mingweirocks
00:36
mingweirocks
Рет қаралды 13 МЛН
Touching Act of Kindness Brings Hope to the Homeless #shorts
00:18
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 18 МЛН
HOTUBA YA MWAMBA IBRAHIMU TRAORE NI YA KUWAKERA MABEBERU
15:11
UKUU WA MWAFRIKA (IBM)
Рет қаралды 59 М.
ALLY KAMWE: ATHIBITISHA JEAN BALEKE KUONDOKA YANGA
2:25
IZZO MEDIA
Рет қаралды 2,9 М.
TANZANIA YAINGIA BALAA SHEIKH KUBATIZWA NA KUMTUKANA MTUME MUHAMMAD
43:48
SHEIKH MWAIPOPO TV
Рет қаралды 3,1 М.
HASHIM IBWE KUMBE YUKO  VIZURI KWENYE QURAN SIO MPIRA TU
13:12
BABDEO MILADU
Рет қаралды 47 М.