Ameukosa uenyekiti Mi nipo paleeeee DR SLAAA NI MZISHIII TENA NZUSHI NA MUONGO
@Peterchipemba2 күн бұрын
Mbowe alifaa kwa wakati wake,,mda huu amwachie lissu,,na heche,,hawa myamba ni manabii na mitume walio tumwa na mungu kuliokoa taifa la tanzania
@MathewNathan-yb2bz2 күн бұрын
Mbowe bado anafaa sana na Lissu pia anafaa ila Lissu kauli zake zina utata sana.
@Mkopi-TZ2 күн бұрын
CCM watawala Lissu na Heche for breakfast, MBOWE the only reasonable person in CHADEMA Slaa acha lugha za kibabe will get you no where!!
@adamlubawa128123 сағат бұрын
DR SLAAAA WEWE MZEEE WA HOVYO HOVYO KABISA HIVI WEWE KUWEZA HAYO UNAYOYASEMA
@sasha-ri7tf2 күн бұрын
SLAA WEWE ULITUSALITI CHAKULA MEZANI KTK UCHAGUZI WA 2015 LEO UNAKUJA NA MISTARI MINGI KAMA WEWE SIO CCM B NI NINI?...
@josephmantago28372 күн бұрын
Nayo Chadema ilimsaliti mh slaa
@The1979bornagain2 күн бұрын
Bwana Freeman Mbowe kama hawezi kuelewa ushauri huu, basi atakuwa na roho ngumu sana . Labda ana maagano na Ibilisi wa CCM
@kassimomary2162 күн бұрын
That is points Mh Dr Slaa
@faithmlay59442 күн бұрын
Vita vya kisiasa kila mwenye macho anajua CCM inataka kuua Chadema na upinzani utoweke kabisa. Hiyo Jamani ndiyo Agenda. Si Lissu wala si Mbowe. Msitudanganye. Wote wawili ni WaTanzania wenzetu. Tuwapende. Tuwastahi. Umoja ni nguvu. Akitoka Mbowe sasa hivi, kummaliza Lissu si kazi kwa CCM. Hakuna jibu la kimwujiza kisiasa alilo nalo Lissu au Mbowe pasipo Mungu. Mfano mdogo tu: Tulimsikia Lissu akitamka kwa ujasiri atashitaki Tigo Tanzania. Tigo iko wapi?Kesi iko wapi? Hakuna mtu anayeunyea hadharani mkono uliomuuguza na kuganga majeraha yake anayeweza kuitwa kiongozi muungwana. Hatuna shida na mabadiliko. Ila hii njia inayotumika Haina ustaarabu. Kumuuza na kumkashfu Mbowe si uungwana hata kidogo na si Utanzania. Zipo njia za heshima. Musa ambariki Yoshua ili aongoze kwa baraka ...
@Sammy-xu9sb2 күн бұрын
Huyu mzee umeshaishi tuachie nchi yetu. Dr Slaa anakisasi na mbowe kwasababu ya lowassa. Compromise is what makes a person into a leader. We only have one Tanzania. Dr Slaa and all top leaders of Chadema have family abroad and citizenship. Some of us, we only have Tanzania!
@iddysekamba2 күн бұрын
Umejenga hoja kwamfano dhaifu sana..
@yaronaWilliamКүн бұрын
Misleading!
@AgustaZaile5 сағат бұрын
Pumbavu sana wewe si mliuza chama kwa lowasa? Au unawaza kwa makalio?
@tumsifuweraufoo53802 күн бұрын
Huyu silaa anajua anachohongea kweli
@nicholauskilosa53362 күн бұрын
Lissu ni mwamba tunamtaka
@kingj96062 күн бұрын
Anayeseme mbowe atoke ni slaa aliyekubali kuhongwa ubalozi na ccm. Na anayemuunga mkono anakimbia nchi kila mambo yakiwa magumu. Ndo hawa wa kuwatoa ccm 😂?.
@benedictsekajingo94712 күн бұрын
Slaa alikimbia 2015, baada ya kuhongwa na CCM na kupewa ubalozi, eti leo yeye ndio eti yuko mstari wa mbele kueleza kiongozi gani anayefaa Chadema. Chadema wakimchagua Lissu nitawashangaa sana
@sudysuleiman80282 күн бұрын
Wewe ni mnafiki mkubwa Slaa
@adamlubawa128123 сағат бұрын
Tumechoka kukusikiliza huna ishuuuuu weee😮😮😮
@MakoreMusaroche2 күн бұрын
Slaaa ni mnafiki aliwakimbia wenzake wakati walikuwa na mapambano mkubwa ya kugombea uraisi harafu leo anawapenda vipi chadema ,
@mwakileomwakileo78452 күн бұрын
Slaa leo amekuwa msemaji wa mpinzani au kwa sababu sasa hapati maslahi ya CCM, na anapewa uwanja wa kuchangia, mtu ambaye aliaminiwa na akasaliti.
@anosiata82422 күн бұрын
Mbowe akae pembeni. Miaka 20 aliyoongoza inatosha aachiye wengine waongoze chama .
@rahmamikidadi22132 күн бұрын
Kaka mbowe pumzika
@HumphreyNyiti2 күн бұрын
Mbowe pumzika asee kwasasa Huna mvuto
@husseinkonz51922 күн бұрын
Miaka 21 lazima awe kinganganiz anajiona hakuna mwingne
@masumbukosiyougomvi79002 күн бұрын
Slaa kumbe umezeeka kias hiki!!!???? Si uache siasa?
@ramadhanmahongole92932 күн бұрын
Halafu iweje wewe utaweza kufanya siasa?
@masumbukosiyougomvi79002 күн бұрын
@ramadhanmahongole9293 kama mbowe hafai. Slaa anatushauri nini?
@FrankMwakatundu-cu6bd2 күн бұрын
ASANTE SANA DR SLAA UMEONGEA VEMA SANA, USHAURI WAKO NI MUHIMU SANA KWA MH. MBOWE, NA USHAURI HUU MH. MBOWE AKIUZINGATIA UTAILINDA HESHIMA YAKE LAKINI ZAIDI ATAIWEKA CHADEMA MAHALI SALAMA ZAIDI KULIKO KUNG'ANG'ANIA MADARAKA HUKO NDIYO KWENYE MADHARA ZAIDI KWA USALAMA WA CHADEMA!!!
@goodluckjohnuiso-gt1fg2 сағат бұрын
Unadangaya watz
@juliasmtundu4422 күн бұрын
MBOWE UNAPOTEZA HESHIMA TOKA Kwa HESHIMA..utapewa HESHIMA na UTAKUWA na KAZI nyingine ya KUFANYA
@azizisergeantkapona76152 күн бұрын
Silaha nchi ilisha konbolewa usitudanganye,ulipewa ubalozi ukawa kimywa ukaharibu ukavuliwa sasa unapiga kelele,wewe nani nchi hii,kaa kimywa
@benedictmrisho18002 күн бұрын
Msuli mnaotumia kupingana ktk vyama vya siasa utumieni kuuelimsha umma uje pamoja kutaka katiba kama tulivyoutaka uhuru bila kumwaga damu. Kama tulipata uhuru kwa Mwingereza kwa nini tusipate katiba ya umma bila kuuwana?
@NorbertKagaliКүн бұрын
Kubadilishia gia angani inaruhusiwa.
@reginaldmapunda67022 күн бұрын
Lissu hawexi kumshinda Mbowe ila anaweza kupata kura nyingi kuliko Mbowe lakini hazitamsaidia kushinda uenyekiti wa chadema.
@rashidmohd1152 күн бұрын
Ndio mana mbowe akashauriwa ajitafakari ili ang'atuke(aondowe jina lake kwenye kinyanganyiro).
@benedictmrisho18002 күн бұрын
Mnaowataka watoe katiba mpya nao ni sehemu ya umma wa Watanzania. Tusigawe umma kwa wanufaika na katiba na wasionufaika na katiba hivyo tukabaki kudaiana kati ya wanufaika na wasio nufaika. Katiba ya umma ndio mpango mzima inayowagaidia wote watawala na watawaliwa.
@honestthomas15492 күн бұрын
Kwa Sasa nashauri nguvu kubwa itumike kutafuta kura kwa wale wajumbe ambao bado hawajatangaza upande wao. Wapo waliotangaza kuwa na upande ila wale waliobaki kama swing tuwekeze nguvu huko.
@JfourHumbi2 күн бұрын
Kombaini hii ndiyo tulikuwa tunaitaka lisu vs Heche
@ip_header2 күн бұрын
Slaa leo ndio anauchungu zaidi, wakati 2015 alipunguza kura za Chadema, mzee yupo kimaslahi zaidi sio wakumuamimi sana, unatakiwa kuwanae makini sana
@hamisidd812422 сағат бұрын
Hivyo ni vitisho vya hovyo ambavyo havina maana yoyote chama ni kikibwa kukiko mtu yeyote hata aondoke yeyote chama hakifi ng'o
@MakoreMusaroche2 күн бұрын
Ww ulihongwa akawasaliti wenzake 2015 leo anasemaje leo?
@SengalaRajabu2 күн бұрын
Slaaa kwa nini unasema Lisu asipopita usiwe m'babaishaji wa maneno watu kama kama nyinyi ni hatari sana kwa Taifa,hasa ni wavurugaji wa malengo ya Nchi,kwa desturi ushabiki,kuendekeza njaa tumbo, nk Slaaa huna msimamo muige Warioba jinsi alivyo na msimamo.
@albertinamichael61232 күн бұрын
MBOWE hajawahi shujaa Ni mpiga dili tu.
@RutaJuvent-d8z5 сағат бұрын
Slaa alichukizwa na maamuzi ya mbowe kukubali lowasa kugombea for chadema. Hata hivo slaa mzalendo,zawadi ya ubaloz mbona kaiacha.nimzalendo.
@HoseaZablon6 сағат бұрын
Huyo Silaa ni mmbabaishaji anaamsha kama nani kwenye chadema?, aliikimbia chadema leo ananyata akitafuta nini? Huyu jamaa ni nyoka,
@shoobl246Күн бұрын
Watanzania tumewasikia na tutaamua hatima 2025
@maftahmusa95137 сағат бұрын
HUONI AIBU WE SILAA UNATHUBUTU KUFUNUA MDOMO WAKATI ULISALITI CHADEMA UKAJIUNGA NA MAGUFULI UMESAHAU?
@adamlubawa128123 сағат бұрын
MBOWE NDIYE MWENYEKITI WETUUUU
@williammwamalanga10652 күн бұрын
DR SLAA UMEWAHI NAKUSIHI TULIA
@ip_header2 күн бұрын
Slaa kipindi cha JPM hakuyaona hayo yote? Huyu mzee ana agenda yake sio bure
@mangashajunior2423 сағат бұрын
Uuwiii mbowe achia wengineuuwwwiiiiii.
@adamlubawa128123 сағат бұрын
MI LISSU KUUNGWA MKONO NA HUYU MZEEE MZUSHI NA MUINGO
@YahayaNgenda2 күн бұрын
Siasa sio Vita ndg slaa hatutaki machafuko tuna familia zinatutegemea
@YahayaNgenda2 күн бұрын
Mnaonekana watu msioheshimiana na kustahimiliana ni hatari Sana watu hawa heshima ya mtu lazima izingatiwe
@deokessy6596Күн бұрын
Mnamimalizia mb,huyu padre mstaafu
@ExodusMarcStanley2 күн бұрын
Mbowe anapoozesha upinzani hana kauli ya kukemea baada ya kuywa chai ya ikulu, safari hii atashidwa vibaya mno na Lisu
@SengalaRajabu2 күн бұрын
Siyo lazima Lisu ashinde tambuwa kuna wagombea wewe Silaa hueleweki Busara ni muhimu juwa kiti hicho wengi wanakihitaji nawo wanasubiri Duru la uchaguzi
@juliasmtundu4422 күн бұрын
Hiki ni kifo Cha mende
@abeljames404310 сағат бұрын
Sraha wewe ni CCM tu hauna jioya ni Kwakua Samia kakuweka pembe tu ndio maana unaongea ukipewa cheo Leo unabadilika
@OmmyJames-xn7ji2 күн бұрын
WAPOTOSHAJI WANAHITAJI MIUJIZA YA WACHUNGAJI NA MAASKOFU 😢😢😢😢😢KARMA
@hasanimkamba83772 күн бұрын
wewe mwenyewe ni ccm umetumbuliwa tu acha kutuleta
@samwelmachaka9362 күн бұрын
Hunajipya dr
@MathewNathan-yb2bz2 күн бұрын
Mwacheni Mbowe agombee ana haki hiyo.Kina slaa walinunuliwa lakini Mbowe hakununuliwa.
@ihanomadiliКүн бұрын
Hufahamu kama anaramba asali kila mwaka?
@gracekagoma32312 күн бұрын
Too much noise .Sera ndiyo hiyo ya kiongozi miaka 20. Subiri kura iamue.Hajachakuliwa bado