Ahsante sana kwa kuutenga muda wako kushare your experience. "Ugonjwa wa kutokamilisha jambo"👏👏👏
@zakazakazi-fn6zyАй бұрын
Baba tumekwelewa umewakilishaa zaid ya kuwasilisha thaks too broo
@kalengashoppingcenter1108Ай бұрын
😢 Umeongea jambo kubwa sana, mm mwenyewe nimewahi kufungua biashara nikawaachia watu wakafiric, wengine nawapa kazi za shamaba hawafanyi vile mm nataka mwisho unajikuta umepoteza rasiliamali muda, pesa na afya ya ubongo😢😢😢