kitabu cha Yeremia 1:5 "Kabla sijakuumba ndani ya tumbo la mama yako, nalikujua; kabla hujazaliwa, nalikutakasa, nalikutenga uwe nabii kwa mataifa." Kwa kiingereza inasema "Before I formed you in the womb I knew you, before you were born, I set you apart; I appointed you as a prophet to the nations." Barikiwa brother
@edwardpeter84013 ай бұрын
Hongera kaka Joel Kwa kufanya ulichoumbiwa na Mwenyezi Mungu.Keep going...
@mpambanaji-mahiri3 ай бұрын
Mr Joel Ukiwa raisi wa nchi, nchi yako itakuwa ya kupigiwa mfano sana.
@brackskinyozi32803 ай бұрын
Hongera sana kaka Joel uko Sahihi barikiwa 🙏🙏
@mwakalukwafredy19903 ай бұрын
Mungu akubariki sana Kaka joel nanauka Nimekuwa mwanafunzi wako muda wa miaka sita sasa hakika matunda ya elimu yako nimeyaona na sitoacha kujifunza kila siku
@gracesimon98013 ай бұрын
Hili somo ni la kurudia kulisikiliza mpaka liflow kwenye damu. Madini yanatolewa in a very calm voice and organised manner sio kufokewa😂 Thanks my Mentor@Joel Nanauka
@danielkidenya700916 күн бұрын
😂😂😂sure
@ManswetKimario2 ай бұрын
"Set your self apart" Ni zaidi ya shule, asante kaka, Bwana Yesu akulinde sana, ww ni tunu kwa vijana wa Taifa hili.Asante sana.
@Haleem_073 ай бұрын
Someone somewhere atakuja kuangalia hii 2050 akiwa analia machozi ya damu.
@annamallya87563 ай бұрын
Ahsante sana.Mungu azidi kukutunza kaka kwa elimu unayotupatia
@cyriluskaijage42273 ай бұрын
This is more than powerful 🔥 Thank you @Joel Nanauka
@RashmaAbdulla12 күн бұрын
Kaka mm unanifaa kwenye maishangu kweni Kila siku lazima nikufutiri naninaona sikuku inaenda vizuri mungu atupe afya na uzima nitatufuta
@kelvinDaud-c5m3 ай бұрын
Kuna wa2 Mungu amewaumba wawe daraja kuwavusha wengne🤔,,God bless ue Bro
@derrickwasike66763 ай бұрын
This is Powerful. Getting it all the way from Nairobi Kenya
@FaricevitusiNkane3 ай бұрын
kk mungu aendelee kkbak uendelee kutusaidia kwel umekuwa msaada sana kwang
@DottoAmon-bs2cr3 ай бұрын
Asante sana umenifundisha nisioyajua madin mazuri
@paulinmachlory93623 ай бұрын
Ubarikiwe Sana,aidha nakufuatilia Sana,siyo hivo tu elimu yako imenibadilisha Sana.
@MusaKasingo-l1h3 күн бұрын
Nashukuru kwa Nondo ninazopokea kutoka kwako. Barikiwa sn
@__huduma3 ай бұрын
Namba Moja hapa 💪
@derrickwasike66763 ай бұрын
🎉🎉🎉🎉
@MartinNelson-g7r3 ай бұрын
🎉🎉🎉
@upendoyohana47133 ай бұрын
Yaani ubarikiwe sana tuu, Mtumishi wa Mungu
@RehemaPetro-u3b3 ай бұрын
Kaka nakufatilia sanaa jmn pia nbarikiwa sanaa na masomo yako unayotoa ubarikiwe sanaa
@cupcandymushi91263 ай бұрын
Ahsante sana kaka Joel nmejifunza Sana mengi ubarikiwe Sana 🙌🙌🙌🙌
@habonimanachristophe35383 ай бұрын
asanteni sana ....joel ..
@LukaSimon-wz9vs3 ай бұрын
Pamoja sana
@msafiripeterluundo59252 ай бұрын
Mwenyezi Mungu azidi kukuongezea maharifa na elimu kubwa Bro 👌🙏
@CatherineJacob-yt5sy3 ай бұрын
Nilimis sana motivation zako nimeludi Tena nafurah kukusikilizaa barikiwaa,🙏
@charlesakomba59493 ай бұрын
Shukrana sana Mentor... Mungu akutangulie
@nikezstrong4467Ай бұрын
kazi safi sana apa.....God bless you sir
@furahasweya74332 ай бұрын
Asantesana kwa mafundisho mazuri hakikaungu hakukosea kukuleta dunia nawe ukajua nini cha kufanya ubarikiwe . Ninajifunza mengi san kila iitwapo leo kupitia youtube Sijabahatika kuhudhuria mikutano yako ya mafunzo live ila naamini wakati sahihi waungu ukifika nitashiriki.
@christinen82913 ай бұрын
Machozi ananitoka kabisa😢 ningesikia haya mafundisho mapema,nisingezeheka kwa umasikini 😢
@shukranjulius95263 ай бұрын
Hujachelewa mpendwa nyanyuka jifute chukua hatua
@Asiamohammed13172 ай бұрын
Majira na muda ulikuwa haujatimia ni wakati wako sasa
@JilahJoseph3 ай бұрын
Nimebarikiwa...
@sambalamkuu3360Ай бұрын
ongera kwa ujumbe mzuri
@mwamvitakilima41043 ай бұрын
Ahsante kwa darasa zuri kaka barikiwa sana
@RopianNguyai-zc2ov3 ай бұрын
Pamoja kaka joel
@nurkintv58153 ай бұрын
thnks bro u r so perfct
@deusinnocent1681Ай бұрын
Hii ndo best video ever, thanks
@Irene-rt4bf3 ай бұрын
Thnx mr joel
@shukranjulius95263 ай бұрын
Kiukweli nakosa chakusema ila barikiwa zaidi kaka umenisaidia sana
@mpeliakhim37703 ай бұрын
Tuko pamoja
@rosemarysulle92883 ай бұрын
Kaka Joel ubarikiwe mnoo.
@kesiasango793427 күн бұрын
Fire up 🔥
@rosemarysulle92883 ай бұрын
Mmmh!umeongea kaka ❤
@Saranabwire3 ай бұрын
Nakupata vizuri kaka Nanauka
@JilahJoseph3 ай бұрын
.mmekosea kwenye cover, badara ya kuandika JITOFAUTISHE MMEANDIKA JITOSHAUTISHE
@FelicianJacob3 ай бұрын
Barikiwa mtumishi
@MartinNelson-g7r3 ай бұрын
Haha kaka Joel MUNGU akubariki unakipawa kikubwa san
@NguruKamoka3 ай бұрын
Ubarikiwe Sana
@dennisghati-c3kАй бұрын
Hallow my friend vary nice ideas
@HaniyaKisingo3 ай бұрын
Madini matupu mungu azidi kukuimarisha kwa ajili yetu unatutia moyo sana❤❤❤
@Saidmarez3 ай бұрын
Ahsante sana
@KudraMohammed-d3p2 ай бұрын
Jamani napataje kitabu
@estherkeba243 ай бұрын
Namskia joshua selman kwako
@Zaytun-v2x3 ай бұрын
See you At The Top 🎉
@georgejindwa54403 ай бұрын
Ukosahihi bro,
@Haleem_0717 күн бұрын
18:08📌1️⃣ 21:11📌📌2️⃣
@ZephaniahSekwa-fl2go3 ай бұрын
50:08 to 50:36
@estherkeba243 ай бұрын
Aseeee🙏
@EliasGwaya2 ай бұрын
It's true
@TeresiaIlomo2 ай бұрын
Hoja kuntu za mafanikio
@hassanihassani71543 ай бұрын
Ukishakuwa na watu nirshc sana kupata taarifa zinazo connect mfumomza wa maishayko
@gracesimon98013 ай бұрын
Powerful
@Saranabwire3 ай бұрын
😅😅😅kujiamini umasiki ukuogope
@SAMISAI.3 ай бұрын
🔥🔥🔥🔥🔥🔥
@SharfaMtambo3 ай бұрын
Samahani naomba bei ya hiyo vitabu tafadhal
@aderiderkihupi72403 ай бұрын
Asante
@pauljosephtarimo22792 ай бұрын
Who im i Hii imenigusa sana
@NtayandiLeonard3 ай бұрын
🙏
@YusufKithi3 ай бұрын
Tunapataje vita
@hassanihassani71543 ай бұрын
Je nifanyenn dunia inijue?
@kevinpeter29413 ай бұрын
SAUTI ILIYOKO NYUMA INAKELA MASIKIO
@EFRAIMTLEMUАй бұрын
Mtu kiwa amepelekw shule au mwanafunzi amelazimishwa kusomea kitu flani nin anatakiwa afanye
@EmmanuelHhawu3 ай бұрын
Samahani kaka nina shid na hicho kitabu cha nidhamu ya fedha kwa uku manyara inapatikana wapi?
@AbuuSalha3 ай бұрын
Nini maama ya bypass????
@ObaChristopher3 ай бұрын
Sf
@mwakalukwafredy19903 ай бұрын
Mungu akubariki sana Kaka joel nanauka Nimekuwa mwanafunzi wako muda wa miaka sita sasa hakika matunda ya elimu yako nimeyaona na sitoacha kujifunza kila siku