Kazi safi kaka 👏👏 Ulianza na wangapi na wamefikisha wangapi kwa sasa ?
@dorothyannan81844 жыл бұрын
Hongera, mpaka raha
@ShambaniFarm4 жыл бұрын
Asante sana.
@dionizlucas31825 жыл бұрын
Mpo wapi nahitaji training nitagharamia pia kununua mbegu za kuanzia ufugaji
@ShambaniFarm5 жыл бұрын
Tupo Dar es Salaam
@raymondjude60883 жыл бұрын
Dar sehemu gani
@farajasolomoni76605 жыл бұрын
Good
@learntoearn95884 жыл бұрын
Mnaweza elezea kwa undani juu ya uzalianaji ,changamoto na faida ....gharama za chakula ikiwa kitakua cha kununua ili kuweza kuandaa business plan?
@ShambaniFarm4 жыл бұрын
Tunaweza kukuandalia project plan kwa malipo.
@learntoearn95884 жыл бұрын
@@ShambaniFarm inaweza hitaji kiasi gani cha fedha ili kukamilisha suala hilo?
@ShambaniFarm4 жыл бұрын
Inategemea na aina ya mradi unaotaka kufanya na ukubwa wake na pia vitu gani tutatakiwa kuhusika katika project nzima - wengine wanatuachia sisi kila kitu ila wengine wanasema maswala ya majengo ya wafanyakazi au ulinzi kwa mfano wanafanya wenyewe, hivyo gharama zinakuwa tofauti kidogo.
@jacksonaser8904 жыл бұрын
Can I feed my goats with wheat bran
@ShambaniFarm4 жыл бұрын
Yes you can, so long as thats not the only food they live on.
@jacksonaser8904 жыл бұрын
Thank you
@jacksonaser8904 жыл бұрын
Thanks
@isaacochieng63543 жыл бұрын
Kwa kawaida yani mwenye kipato cha kawaida anaweza kuanza na mbuzi wangapi