Рет қаралды 12,819
Vijana changamkieni FURSA ya Ufugaji wa MBUZI kutokana na kuongezeka Kwa soko la nje la mauzo ya Nyama ambapo yameongezeka na sasa inachangia zaidi ya asilimia 70 ya mauzo yote katika nchi 12 zinazonunua nyama ya MBUZI hapa nchini.
Christopha Magesa mkazi wa Dodoma ameichangmkia fursa hii Kwa kufuga MBUZI na Kondoo zaidi ya 800 mkoani Dodoma. Mengi zaidi msikilize akielezea faida za ufugaji wa huu.