Asante sana kwa elimu yenu na hiyo ndio ndoto yangu ya 2025
@Nilo373 ай бұрын
It's coming soon .😅
@PmuMofp Жыл бұрын
nimeipenda hii, wingi wa mifugo haimaanishi wewe mfugaji mzuri lkn Ubora wa mifugo ndio kitu cha msingi
@christophermwageni2026 Жыл бұрын
Yes mkuu. Definetly 😀
@agrolive40272 жыл бұрын
Hongera sana, naomaba unisaidie ukubwa wa banda hilo la mbuzi 100
@lynalyna39682 жыл бұрын
We need more video like this in Tanzania
@michaelpatrick91372 жыл бұрын
Mnapatikana wapi mkuu mbona hamjaweka mawasiliano yenu
@GreatTractor2 жыл бұрын
Safi sana great content na presentation. LUGHA unaongea vizuri tu bila kubana pua, Hongera. Jaribu uwe na michoro au na idadi ya materials pia kutupa uhalisia zaidi hususan kwenye mabanda.
@indianfamilyintanzania2 жыл бұрын
Good job bro keep going 👍
@okichodira2 жыл бұрын
Kazi nzuri
@angelcaezekiel76392 жыл бұрын
Mtaji sh ngap kuanza na Mbuzi mia moja na size ya banda naomb
@MakeleleAboubakarr9 ай бұрын
asante sana kwaushauri Na Mimi napenda sana ufugaji mbuzi nanimiongoni mwandoto zangu
@isqomy2 жыл бұрын
Great work
@mavunotime65632 жыл бұрын
KARIBU SANA..UNDELEA KUTUFATILIA ILI KUPATA MAFUNDISHO ZAIDI.....😊
@KayVable2 жыл бұрын
Keep going bro.
@juvenalkimario72542 жыл бұрын
@@mavunotime6563 namba zenu siko wapi
@QueenLega Жыл бұрын
Asante sana ❤
@Mohamed-md7pl7 ай бұрын
Asante Kwa elimu 👍
@SinzotumaNoah-cu8el Жыл бұрын
Asante sana kwa ufunzo wako❤🎉
@humphrey52132 жыл бұрын
Good video sema mbuzi 100 umetubeba
@millermsozi5598 Жыл бұрын
Ni sawa kaka,100 wanakaa umo.
@RosemaryKasuka8 ай бұрын
Safi sana Tajiri
@JerryrawlingschaulaАй бұрын
Same to me
@kulindwazakaria97412 жыл бұрын
Asante sana.
@cresensiankwera17766 ай бұрын
Amina Naombakuuliza mimi natakakulima hao mbuzi wa nyama unaitwaje?
@raymondfrancis79215 ай бұрын
Ramani ya banda naijua, lkn nmependa material mlizotumia mnenifunza cheap options.
@SwalahaHusseini-v1v Жыл бұрын
Ili mfugo uingie katika orodha ya mifugo bora mfugo huo uwe na sifa zipi?
@norbertmassawe64012 жыл бұрын
Excellent video brother, Keep them coming.
@raphaelikisaka32595 ай бұрын
🎉
@SarahYona-m1bАй бұрын
Mm nataka wa maziwa nipo dar bunju A
@thommatinda4584 Жыл бұрын
Namba yenu ya sim
@priscashairock2679 Жыл бұрын
Nimejifunza Zaid ..see me at the top😂
@MadarakaMeshack2 ай бұрын
Keep his mbuzi Hawa umii kwenye mbavu zao wkati wanpolala kwa mda mrefu
@venancelusana1111 Жыл бұрын
Vip naweza kufuga mbuzi kwa zero grazing?
@abrahamsingano5372 Жыл бұрын
Tupe contacts zako
@AstonEliezaАй бұрын
Umetumia bati ngapi kuezeka hilo banda
@mabibateri5512 жыл бұрын
Nimeshukuru sana naitwa Oscar.
@christophermwageni20262 жыл бұрын
Thank you oscar
@AredFered Жыл бұрын
Wawap et
@ismailbatenga51156 ай бұрын
Hilo banda lina ukubwa gani? pia kama nafugia Dar linaweza kunigharimu shs ngapi.. Asante
@titochawe3739 Жыл бұрын
So inpire bro
@mwanatz59802 жыл бұрын
Niwe na mtaji shilling ngapi?
@patrickyohanna5120Ай бұрын
Nataka mbegu ya mbizi wa nyama ntapataje naomba Maseada
@lilianmolel99652 жыл бұрын
Nahitaji mbuzi wa nyama na wa maziwa je unao uniuzie?
@michaelmedukenya97522 жыл бұрын
Kazi nzuri sana. Naomba kujua vipimo vya banda hilo. Inawezekana kufuga mbuzi bila kuwachunga(zero grazing) na kupata matokeo?
@nsibwenekaswaga62672 жыл бұрын
Inawezekana sana kiongozi kufugia mbuzi ndani tu
@kulindwazakaria97412 жыл бұрын
Inawezekana sana tu. Tafuta wataalamu kwa elimu kidogo tu.
@PaskaliCharles-pz8ds8 ай бұрын
Asante kwa elimu
@rashidimasoud5583 ай бұрын
Mbona sehem ya kulalia mbuzi haiko flat? Hayo mabanzi mumegeuza haileti mateso kwa mbuzi??
@MohamedRajab-im6zv6 ай бұрын
Kiongoz naomba ututumie no ya sim
@prudencefrancis98632 ай бұрын
Weka no yako
@AredFered Жыл бұрын
Tupe contact bas
@ayobow563 ай бұрын
Niliwahi kuwa na mbuzi 40 ila walimwengu wakazionea
@therock53842 жыл бұрын
Can I know goats and sheep prices in tanzania?
@ahmadnyamwelu55976 ай бұрын
Mie nataka kuanza Na mbuzi Mia tano Kwa heka Mia mbili itatosha heka hizo
@jumbemkilla95568 ай бұрын
Naomba vipimo vya banda hilo lakini kama hutojali namba namba ya fundi wako shukran.
@SayyidAhmadBaalawy7 ай бұрын
Vipimo nikujikisia tu mwenyewe urefu upana wake. Hilo ukiangalia nikama miguu 15kwa 7 na urefu wajuu 15"