Hongera sana dada Amina kwa kazi yakuingwa kwenye ufugaji wa samaki, SHAMBA lako linavutia na linatoasomo Zuri kwa waliokwenye fani hii na wanaofutiwa kuingia kwenye fani hii,Mwenyezimungu akujalie kufikia lengolako la kuwa na kiwanda cha chakula cha samaki
@elizabetty-rt7pyАй бұрын
Katika watu wonte nilio wafatilia hawa wafugaji, huyu dada sio mchoyo wa kukupa elimu, Asante dada
@zabronkalala60432 ай бұрын
Kazi nzuri dada
@KahiteMbayo-po5ehАй бұрын
Dada ni mchapa kazi kama Hayati magufuli najifunza kwako hongera sana
@RAMADHANIAMIRI-i5y2 ай бұрын
Hongera sana sana dada yangu, natamani siku moja nitembelee mradi wako kwani hata mimi ninaplan ya kufuga samaki, nimesikia changamoto ya chakula cha samaki japo nilitembelea Sabasaba Dar Es Salaam mwaka huu nikakuta SUMA-JKT wana chakula cha samaki ambacho wanazalisha hapa nchini, ukipata nafasi jaribu kuwacheck unaweza pata kitu toka kwao wakati huo tunaendelea kutafuta suluhisho kubwa la upatikanaji wa chakula kwa bei rahisi zaidi.
@aminamollel66392 ай бұрын
Asante sana Kwa kutembelea channel yetu napia Kwa ushauri mzuri Kwa dada Hawa. Ubarikiwe
@RAMADHANIAMIRI-i5y2 ай бұрын
@@aminamollel6639 Amen
@mekitridiskambanga2 ай бұрын
Dada ni mpambanaji sana nilikufuatiliaga ulipambana sana kwenye kilimo hongera sana
@jamesmbottey690829 күн бұрын
Naomba namba ya simu
@HabibuMohamedlujuo2 ай бұрын
Msimu w mvua inakuwaje
@tp-kh8hlАй бұрын
Kama unataka uchanganye na mamba kwa ajili ya ulinzi wa waizi inaruhusiwa!?..
@josephlugongo6357Ай бұрын
Samaki wote watakuwa chakula Cha mamba.
@advocateishengoma10882 ай бұрын
Hilo bwawa 15 kwa 20 ni ft au ni mita ?
@ahz69072 ай бұрын
Mita
@sanggroupofcompanylimited.2 ай бұрын
Bwawa ilo la 15 kwa 20 linachukua samaki wa ngapi
@aminamollel66392 ай бұрын
Ameweka samaki 8000 hivyo kw mabwawa 4 Yana Jumla ya samaki 40,000.
@zuheorsalim77592 ай бұрын
Hii biashara haina changa moto za tra ?
@edwinmbunda67092 ай бұрын
Kilimo na ufugaji tra sio kivile
@ahz69072 ай бұрын
Bado ila watakuja wakiona wengi wanafuga na kufaidika 😂
@zuheorsalim77592 ай бұрын
@@ahz6907 tra hawakusanyivmapato ni roho mbaya tu
@MohamedHassan-k6m6gАй бұрын
hakuna biashala inayo kosa changa moto huko pia anapambana na watu wanajiita bwana mifugo ili apate kibali cha ufugaji lakini pua tra lazima walambe chao maana hiyo ni biashara kama zivyo zingine
@edwinmbunda6709Ай бұрын
@@zuheorsalim7759 Kama zipo ni chache sana. Hakuna TRA wala bwana mifugo, wala kibali sijui nini, hiyo ni fursa adhimu ndugu yangu. Nimetoka kufanya survey, natafuta mtaji niingie huko