Hongereni saana naomba kujuwa gharama za kujenga banda kuku 100
@EstherBao-z8y4 ай бұрын
Naomba namba zako
@zaynabnjaku25163 ай бұрын
Mikoa mnafika?
@alexntahiraja29746 ай бұрын
Mimi nataka kuanza kufuga kuku wa kienyeji burundi. Ningependa kujenga banda kama hili ambalo. Sijui kama wanaweza kufanya la juu na chini? Na itanigarimu pesa ngapi kunichorea ramani? Naomba namba tuwasiliane.
@kassimbilali57798 ай бұрын
Kujenga banda km hilo inahitaji bei gani? Pamoja nanyie mnaojenga?