UGOMVI MKUBWA MBOWE NA MAREHEMU CHACHA WANGWE/ MWENYEWE ALIVYOMSHUKIA MBOWE KUHUSU UKABILA CHADEMA

  Рет қаралды 13,122

JAMBO TV

JAMBO TV

Күн бұрын

Пікірлер: 52
@samwelmohonge4573
@samwelmohonge4573 8 күн бұрын
You still live in our soul🎉🎉🎉 heroe never die you are the true iconic of our people viva tata wangwe, heche is on top of your footage 🎉 to the true democracy 🎉
@hassanihamidu8546
@hassanihamidu8546 18 күн бұрын
Kitu ambacho mbowe hajui tundu atpas lisu anaenda kuanzisha chama chake, wanachadema asilimia 75 watamfuata lisu na ndioutakuwa mwisho wa chadema. Viongozi waliowengi watamfuata tundu lisu wanachama wengi watajiunga nachama kipya cha lisu, nabaada ya miezi michache ndicho kitakuwa chama cha upinzani chenyenguvu nakuogopeka. Namuona mbowe akibaki nawafuasi kutoka kwao moshi tu,wachaga tunawaachia chama chenu tunashukulu kwa kututapeli kwa miaka 33 hakika wachaga hatuto waamini daima kwenye taifa hili.
@chayogasperi9783
@chayogasperi9783 7 күн бұрын
Waraka bado unaishi na kuendelea kumtafuna Mzee Mbowe .
@malkavoice2570
@malkavoice2570 19 күн бұрын
Hii ni hatari sana kwa sasa lkn kwa Lissu huu ndio mwisho wa haya yote
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 19 күн бұрын
Hayo ni kama Tundu Lisu nae watamuua akishinda kumbe wanaisingizia CCM kumbe wanauwana wenyewe kwa wenyewe
@OscarKasalile
@OscarKasalile 18 күн бұрын
Lissu tutamlinda kwa gharama yoyote ile
@halimamasai2234
@halimamasai2234 18 күн бұрын
Mungu atawaumbua hao chadema kila siku CCM kumbe wanamalizana wao kwa wao nabado
@MwitaTv
@MwitaTv 17 күн бұрын
Wangwe ni Mwanaume kweli,ndio maana walikuondoa mapema😢
@MwakaHappy
@MwakaHappy 19 күн бұрын
Mbowe ndo alikuwa anayataka haya mzee tunamheshim sana apumzike
@Educatedmind-k9r
@Educatedmind-k9r 19 күн бұрын
Duuu mbona genge la wahuni tu😅
@MfunjoWabaBoydays
@MfunjoWabaBoydays 19 күн бұрын
Ila Mbowe ni mafioso inawezekana alihusika na ajali ya Chacha.Huyu Uchagaa kasingiziwa😂🦂
@ce-08
@ce-08 18 күн бұрын
Ukute mkikuyu
@TM-zs3rm
@TM-zs3rm 19 күн бұрын
Kwa hiyo tunayoyaona na yanayojiyokeza sasa yalishatilea na bado yanaendelea. Badilisheni uongozi. Uongozi ni tatizo kama uongozi wa CCM pia ni tatizo. Ngurumo anayaelewa haya au hataki kuyaweka hadharani na kuyachambua. Ninamshauri afanye hivyo nione kama hampendelei Mbowe.
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 19 күн бұрын
Lala salama Wangwe wamekuuwa Wachaga hicho ni Chama chao
@moureen7446
@moureen7446 11 күн бұрын
Alaahhh kumbe
@JohnBosco-d3g
@JohnBosco-d3g 19 күн бұрын
Duuuuh Huyu Jamaa aligusa sharubu za SIMBA!!!!
@OscarKasalile
@OscarKasalile 18 күн бұрын
Acha kuendesha Chama kwa ukabila, na kama unaamini kwenye ukabila basi waunge ndugu zako wote wawe kwenye Chama chako.
@salama1113
@salama1113 19 күн бұрын
Nahandiko lake leo limetimia kwahiyo ilekauli yake ilikuwa sio yabahati mbaya ya akiona chama chake kinapotea anaingia mzigoni😂😂😂😂 mbinguni tutafika hoi cc wananchi wakawaida😂😂😂
@ChancellorFelix-vm5yp
@ChancellorFelix-vm5yp 18 күн бұрын
Du kumbe Mbowe hajaanza Leo kua kibaraka wa ccm ndio maana magufuli aligomea kukaa meza moja na wahun
@rejobu9723
@rejobu9723 19 күн бұрын
Ahsante sana kwa kumbukumbu hii kimsingi chadema ni kikundi chawahuni..!!
@dogodogo595
@dogodogo595 19 күн бұрын
Wasio julikana ndio hao sasa Polis mko! Haya anzeni kazi au wanawalipa!😂
@PhilipoMwita-b2x
@PhilipoMwita-b2x 19 күн бұрын
Lissu vaa bullet hadi kichwani
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 19 күн бұрын
Mwalimu Nyerere aliwakataa Wachaga Wahaya Wanyakyusa kushika nafasi za Urais watashika nafasi nyingine tu kwa Urais laana ilishapitishwa
@MathewNathan-yb2bz
@MathewNathan-yb2bz 19 күн бұрын
Mbona hutaji wasukuma ?
@ChalesLukumai
@ChalesLukumai 18 күн бұрын
Wewe ni mpumbavu kama bandiko lako.
@annamnanka-qk1bx
@annamnanka-qk1bx 16 сағат бұрын
Ndugu yetu pumzika kwa amani kiti cha unyekiti kilikutoa roho
@fredymwanzi4448
@fredymwanzi4448 18 күн бұрын
Huu ni ukweli kabisa,wachaga sio watu wa kuwaamini.
@OscarKasalile
@OscarKasalile 18 күн бұрын
Sasa sisi tulioowa wachaga tuwafukuze na huku tayari wametuzalia?
@ce-08
@ce-08 18 күн бұрын
​@@OscarKasalilemuishi nao kwa akili😂
@gidongailo7174
@gidongailo7174 19 күн бұрын
Makubwaaaa😂😂😂
@PeterNaftalkichere-bm2wp
@PeterNaftalkichere-bm2wp 18 күн бұрын
Akienda nami naenda sitabakia chooni tena ya mitende ilioezekwa makuti
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 19 күн бұрын
Haya Dereva ni mchaga kauwawa huyoooo wachaga wana ukabila sanaaaa
@francomwalutende7864
@francomwalutende7864 19 күн бұрын
Ni genge la wahuni si chama cha siasa, chama ni CCM tu
@erasmusaloyce4398
@erasmusaloyce4398 19 күн бұрын
CCM ni chama Cha wauaji
@JacksonNyaikoba
@JacksonNyaikoba 18 күн бұрын
Baado ukweli upo njiani
@johnmichaellukindo21
@johnmichaellukindo21 18 күн бұрын
Mbowe hawezi kuachia madaraka sasa hivi mpaka atakapojilipa bb pesa aliyojikopesha chadema!
@johnesmwita
@johnesmwita 19 күн бұрын
Hiyo ndio CHAGADEMA
@furahamwikombo-p7g
@furahamwikombo-p7g 19 күн бұрын
Khaa ikisita ajabu ya Musa utayaona yabowe...Huu walaka sio wa Lisu,,, ni chacha zakayo Zakayo Wangwe.. angekuwa Lsu,,,mnasema analopoka..
@josephmantago2837
@josephmantago2837 18 күн бұрын
Kama wanauana kwanini wasikamatwe ?acha kujificha kwenye uchaguzi wa chadema ni ccm hovyo kabisa
@margarethpolepole7438
@margarethpolepole7438 19 күн бұрын
Heeeeeeeee CCM itashinda kwa kishindo Mama Samia unapeta kwa raha zako Chadema hamna kitu hapo hao ni wasaka tonge pumbavu zao
@melch3097
@melch3097 19 күн бұрын
Mbona hamsemi act wazalendo. Washenzi nyie
@JeremiahRichard-c6x
@JeremiahRichard-c6x 19 күн бұрын
Huo walaka c unaona ulikuwa wa nogwa za kisiasa mbowe aliibka mshindi baada ya kudhibitisha hlo kutoka wabnge 4 mpaka 76 na asingekuwa dictator magufuli c angekuwa ameshka Dola mbowe atakmbkwa milele hakna Kaz ngum kama kukuza upnzan huk Dola inakpga huk wanachama wanaksmanga lkn mbowe alisonga mbele
@ambrosmtupili4668
@ambrosmtupili4668 18 күн бұрын
Wabunge ni wa Lowassa ndugu
@israelian-t5f
@israelian-t5f 18 күн бұрын
Bro..damu zinamlilia, amini hatoboi ijapokuwa ana nguvu mbali na chadema..upanga uleule hautomwacha japo hili ni ngumu kuaminika na wa mwilini
@albertinamichael6123
@albertinamichael6123 19 күн бұрын
Chaga party.
@MiltonByems
@MiltonByems 19 күн бұрын
Habari za kinafiki hazitusaidii! Tuachieni tusherehekee mwaka mpya!
@King_Of_Everything
@King_Of_Everything 19 күн бұрын
👊👍✌️.
@ukweliunauma4570
@ukweliunauma4570 19 күн бұрын
Njia ya kumshinda lissu ni kumuengua tu sasa kama mbowe na vijana wake wafanye ivyo. Waseme hana vigezo vya chama au form yake kajaza vibaya kama wanavyo fanya ccm 😂 Basi
@rebekakulwa6159
@rebekakulwa6159 18 күн бұрын
Mafisiemu halafu yanamsingizia mbowe mlaaniwe nyie
@Hussein-gx4qu
@Hussein-gx4qu 16 күн бұрын
Katombwe na mboe nenda akupapanyue
LEMA AMLIPUA TENA MBOWE "APUMZIKE SASA NI LISSU"
30:56
JAMBO TV
Рет қаралды 35 М.
Beat Ronaldo, Win $1,000,000
22:45
MrBeast
Рет қаралды 158 МЛН
It works #beatbox #tiktok
00:34
BeatboxJCOP
Рет қаралды 41 МЛН
BADO SIELEWI. KWANINI TUNDU LISSU ALIMWAMINI ABDUL WA SAMIA?
29:41
SK Media Online TV
Рет қаралды 38 М.
Beat Ronaldo, Win $1,000,000
22:45
MrBeast
Рет қаралды 158 МЛН