No video

Ugonjwa wa Wasiwasi ( Anxiety)

  Рет қаралды 9,393

Tuheda TZ

Tuheda TZ

Күн бұрын

TUHEDATalks:
Dr Pendaeli anazungumzia kuhusa tatizo la wasiwasi kuzidi kiasi, Anxiety.Tatizo hili huweza kuathiri maisha ya mtu kama halitambuliki na kutafutiwa ufumbuzi mapema.
Huwezi kuwa na afya mwili bila afya ya akili.

Пікірлер: 113
@fatmaaljabry4351
@fatmaaljabry4351 Жыл бұрын
Dah kiukweli Dr Dalglish zote ulizotaja ninazo nateseka sina raha na miezi sasa siwezi kufanya kazi yyte siwezi chchte hat ndoa yangu sina raha nayo mungu atuondolee maradhi ya waswas
@xgangtz2023
@xgangtz2023 Жыл бұрын
Asante doctor na mimi ninailo tatizo linanisumbua napataje Tiba ?
@rodsemziry4142
@rodsemziry4142 3 жыл бұрын
Nateseka sana!!
@rodsemziry4142
@rodsemziry4142 3 жыл бұрын
Naomba kuhudumiwa!
@aloycebabene6239
@aloycebabene6239 9 ай бұрын
Hongereni sana kwa ufafanuzi huu.
@raymondmgeni9953
@raymondmgeni9953 2 жыл бұрын
This is helpful
@AmosJoseph-zo1jd
@AmosJoseph-zo1jd Жыл бұрын
Somo lako linanilega kweli masikini mm nateseka sana
@dericktouch5723
@dericktouch5723 8 ай бұрын
Hii hali inanitesa kila nimienda osipitalini wananielezeq kwa hali ya kawaida kuonesha kua ni hali ya kawaida ila mfano saivi nimefika kipindi ambacho saivi naumwa na kifua kila muda mbaka nahisi kua na tatzo la moyo nisaidieni nifanyeje maana kama nakufa mimi
@RojahKamalza-lw3ls
@RojahKamalza-lw3ls 11 ай бұрын
Naumia sana jamn
@jaqlinemanyama1876
@jaqlinemanyama1876 Жыл бұрын
Unanitesa kweli kuna nyakat unapotea hata miez 4 badae unaeudi hadi kula nashindwa
@emmyanold9306
@emmyanold9306 2 ай бұрын
Jamani semenu kama kuna dawa ,mme wangu anapata shida 😅
@user-zz4uw9il5s
@user-zz4uw9il5s Ай бұрын
Piga
@eufrosinanyarusi1991
@eufrosinanyarusi1991 2 жыл бұрын
Namba za docta jamn
@jasminmsafiri3053
@jasminmsafiri3053 Жыл бұрын
Me unanisumbua sana mpaka cna raha
@ddfatma4281
@ddfatma4281 2 ай бұрын
Dokta naomba kuuliza mwanangu anamiaka miwili anaugonjwa wakudondoka nikaambiwa ni dalili za kifafa jee kunauwezekano wa kupona
@ibrahimsuleiman6980
@ibrahimsuleiman6980 Жыл бұрын
Wasiwasi inanikosesha Raha ,,,Naomba msaada wenu
@AnethExavery-qj6wc
@AnethExavery-qj6wc 8 ай бұрын
Pole sana hata mm ninalo kiasi kwamba kuna mda nataman kufa
@AnethExavery-qj6wc
@AnethExavery-qj6wc 8 ай бұрын
Hata usingizi nilikuwa sipati ila baada ya kwenda kwa daktari nikapatiwa dawa inanisaidia sana hata kupata usingiz
@Catherinemassau
@Catherinemassau 8 ай бұрын
Daaah inauma sana jmn 😭😭😭
@JanyMutta
@JanyMutta 7 ай бұрын
Daah ata mimi nateseka sana jaman tubadilishaneni number tunaweza tukapeana ata moyo.. hi kitu inatesa sana
@tastybestfood1573
@tastybestfood1573 Ай бұрын
​@@JanyMutta pole weka no yako nikutext
@ramadhanidolle1952
@ramadhanidolle1952 Жыл бұрын
Namimi nateseka sanajamani naimbeni msaada
@khadijaabdallah3074
@khadijaabdallah3074 Ай бұрын
Doctor tusaidie namba yako mimi unanitesa huu ugonjwa
@haythamabdallah158
@haythamabdallah158 4 ай бұрын
A.alykum jmn wasiwasi unkaa moyoni eh sazote unaon mbav zabana eh n moy kudund ovy
@AshaIddy-pz1qz
@AshaIddy-pz1qz 3 ай бұрын
Dokta nateseka sana unanisaidiaje yaan mimi ninahof kama nakufa kuna muda nakosa hata ham yakula sipati usingiz naomba msaada
@TimaMudimuya
@TimaMudimuya 2 ай бұрын
Duu ww ndo mm kabisa Yan hofu ya kifo inanitawala mpaka najisemea mwenyewe leo mwisho wangu lakin asubui naamka nikiwa mzima kumbe ni roho tu za hofu na akuna dawa nyengine zaid ya maombi
@mwantumually5838
@mwantumually5838 21 күн бұрын
​@@TimaMudimuyaMimi pia hvyohivyo
@user-iq1md1ml3v
@user-iq1md1ml3v 5 ай бұрын
Dr Mimi hiyo hali hiyo inanitesa sana. Na pia kichwa kinaniuma sana, upande wa kulia wa kichwa Karibu na utosini, nasikia kuumwa utazani ni sindano inanichoma Kwa maumivu makalinayoyapata
@JasminJafar-sd4wk
@JasminJafar-sd4wk 25 күн бұрын
hata mm pia
@neemaally9195
@neemaally9195 3 ай бұрын
Jamani naomba msaada huu ugojwa ninao ss ni miaka 20 bado cjapona nasikia masikio yanavuma nasikia kama vitu vinafunjika kichwani cna usingizi
@halimaabdallah8775
@halimaabdallah8775 6 ай бұрын
Uwiiii toka nijifunguwe kwa operation ni miezin9 sssa nateseka naona km sio binadamu wa kawaida msaada naogopa kila kitu hospital ndo staki ht kupaona
@haythamabdallah158
@haythamabdallah158 5 ай бұрын
Nmm jvjv
@haythamabdallah158
@haythamabdallah158 5 ай бұрын
Ndo mm nkdhan pkyng n miez8
@SelemaNdulabi
@SelemaNdulabi 5 ай бұрын
Tutaftane jaman inatesa sana
@user-qf9gv9pd3i
@user-qf9gv9pd3i 6 ай бұрын
Namba ya docter plz
@thrivehappy9610
@thrivehappy9610 Жыл бұрын
Brother naomba tuwasiliane Ili tuwasaidie wengine kuhu hili!
@xgangtz2023
@xgangtz2023 Жыл бұрын
Doctor tusaidie nambazenu tufike ofsini kwenu
@GlolyKomba
@GlolyKomba 4 ай бұрын
Naomba namba ya doctor
@SelemaNdulabi
@SelemaNdulabi 7 ай бұрын
Instead sana jmn km mtu hajui unachopitia haez kuelewa
@ZainabubakariZainabubaka-ye1ho
@ZainabubakariZainabubaka-ye1ho 8 ай бұрын
kwel kabsa na mm ninashda hyo nisaidie tafadhal nifanyaje Ili niepukane na hlo
@haythamabdallah158
@haythamabdallah158 3 ай бұрын
Jmn kun alpon waswas
@user-mt3bl8ji3h
@user-mt3bl8ji3h 9 ай бұрын
Tunaomba namba jamani
@gloriamakundi6124
@gloriamakundi6124 8 ай бұрын
Wasiwasi unanitesa Sana unapopata wasiwasi unahis kuchoka kutetemeka moyo kwenda kas unahis unakufa unakisa hamu ya kula Kila vipimo Haina ugonjwa huku ndio unaumwa unachanganyokiwa
@SelemaNdulabi
@SelemaNdulabi 6 ай бұрын
Napitia hali kama hiyo nateseka sana
@FatinaKiondo-ke9tq
@FatinaKiondo-ke9tq 3 ай бұрын
Mimi pia nashindwa hata kutoka nje moyo unaenda mbio was was mwingi Yani
@RojahKamalza-lw3ls
@RojahKamalza-lw3ls 11 ай бұрын
Dawa yake nini sasa jamn
@chikuterra6625
@chikuterra6625 11 ай бұрын
Huu ugonjwa unanitesa sana Kuna wakati nashindwa hata kukaa nyumbani. Namba please
@KazernMaster
@KazernMaster 2 ай бұрын
Naomba namba zenu tafadhali
@khadijagazal8700
@khadijagazal8700 2 жыл бұрын
Nami nateseka sana na huo ugonjwa nifanyeje?
@thrivehappy9610
@thrivehappy9610 Жыл бұрын
Naomba tusaidiane kuhusu huu ugonjwa wa wasiwasi!
@dafady
@dafady 3 жыл бұрын
Naomba namba ya simu tafadhali.
@JUSTINGEORGE-tn8fj
@JUSTINGEORGE-tn8fj Жыл бұрын
Naomb nsaidie tiba ake mama ( woga na wasiwasi)
@EmanuelallenTashi-vn2uj
@EmanuelallenTashi-vn2uj Жыл бұрын
Duu mm mtupu vp ushapona
@JUSTINGEORGE-tn8fj
@JUSTINGEORGE-tn8fj Жыл бұрын
@@EmanuelallenTashi-vn2uj yeah hakikaaa nshapona japo in other way
@pililikombola1469
@pililikombola1469 11 ай бұрын
​@@JUSTINGEORGE-tn8fj Naomba unisaidie jaman 🥺
@user-eb3fh7vf1h
@user-eb3fh7vf1h 6 ай бұрын
Mliopona mtusaidieee
@user-zh7pn2nv4z
@user-zh7pn2nv4z 6 ай бұрын
Duuuuh
@haythamabdallah158
@haythamabdallah158 4 ай бұрын
Mm umenipt tng nijfngue mtt wapl kw op
@Haulat-yc9gz
@Haulat-yc9gz Жыл бұрын
Dokta ningeomba namba yako tafadhali
@norahmakungu3855
@norahmakungu3855 2 жыл бұрын
Anxiety is ruining my life
@tracykinana8673
@tracykinana8673 2 жыл бұрын
Uko wapi makingu
@marygregory7566
@marygregory7566 Жыл бұрын
@@tracykinana8673 na mimi naomba msaada nina wasiwasi
@ClaudiaSembuta
@ClaudiaSembuta 3 ай бұрын
Inanitesa mnoo Toka nifanyiwe op mtoto wa kwanza ni miaka4 sasa
@thrivehappy9610
@thrivehappy9610 Жыл бұрын
Asanteni sana! Mimi nimeteseka na wasiwasi Kwa miaka 22 ila nashkuru sana kwa nilipo Sasa!
@EmanuelallenTashi-vn2uj
@EmanuelallenTashi-vn2uj Жыл бұрын
Ulifanya nn ukapona
@aishajuma18
@aishajuma18 5 ай бұрын
Tusaidiane
@marryphillipo2693
@marryphillipo2693 3 ай бұрын
Ulifanyaje jaman
@hasinamohd4346
@hasinamohd4346 3 жыл бұрын
Naomba namba ya cm docta
@thrivehappy9610
@thrivehappy9610 Жыл бұрын
Naomba tusaidiane kuhusu hili!
@halimaabdallah8775
@halimaabdallah8775 6 ай бұрын
Dah namba zenu jamankm mnasaidia hili tatizo mm nahisi nina afya ya akili naogopa hata kwenda hospital nipo katika hali mbaya mno
@haythamabdallah158
@haythamabdallah158 5 ай бұрын
Nmm hvhv
@IreneShalon
@IreneShalon 3 ай бұрын
Halima naomba unitafte ninashda sana endapo utaona sms hii
@baerosy1123
@baerosy1123 3 жыл бұрын
Jaman I need help Nateseka 😭😭
@fettymakoba3760
@fettymakoba3760 2 жыл бұрын
Vp dear bado ujapona huo ugonjwa
@hishaamjuma8870
@hishaamjuma8870 2 жыл бұрын
@@fettymakoba3760 njoo utusaidie
@hemedhajikiumba
@hemedhajikiumba Жыл бұрын
Naomba namba yako doctor
@albeleenalberto158
@albeleenalberto158 4 жыл бұрын
Ukipimwa na doctor unaambiwa huumwi😫😫😫
@mwantumually5838
@mwantumually5838 4 жыл бұрын
Daaah!hali inatesa san hii
@mhinamngoya5889
@mhinamngoya5889 3 жыл бұрын
Namba zako pleas
@abubakarkidungwe4405
@abubakarkidungwe4405 3 жыл бұрын
@@mwantumually5838 nawew pia umeymwa huu ugonjwa
@mwantumually5838
@mwantumually5838 3 жыл бұрын
@@abubakarkidungwe4405 ndio
@fettymakoba3760
@fettymakoba3760 2 жыл бұрын
@@mwantumually5838 vp wwe umeshapona dear
@tracykinana8673
@tracykinana8673 2 жыл бұрын
Naomba number ya simu nateseka
@tracykinana8673
@tracykinana8673 2 жыл бұрын
Unapatikana wapi aki
@tracykinana8673
@tracykinana8673 2 жыл бұрын
Napatikana mji Nairobi Kenya
@kbadijasalim5682
@kbadijasalim5682 2 жыл бұрын
Mhhh
@ashuramachupa1050
@ashuramachupa1050 Жыл бұрын
dalili zote ninazo jamani,,nateseka sn na hizo hali
@BahatiEmmanuel-ec7fk
@BahatiEmmanuel-ec7fk Жыл бұрын
Naomba namba za doctor
@AishaThabit-yr4mn
@AishaThabit-yr4mn 3 ай бұрын
Tunaomba namba mtusaidie jaman tunateseka
@rodsemziry4142
@rodsemziry4142 3 жыл бұрын
Maomba kuhidimiwa doctor
@thrivehappy9610
@thrivehappy9610 Жыл бұрын
Naomba tusaidiane kuhusu hili!
@highthemetv7857
@highthemetv7857 Жыл бұрын
Wekeni namba zenu
@Catherinemassau
@Catherinemassau 8 ай бұрын
Hali hii ndo nipo nayo
@ponciandaniel
@ponciandaniel 6 ай бұрын
Tupo wengi
@user-mt3bl8ji3h
@user-mt3bl8ji3h 9 ай бұрын
Tunaomba namba jamani
@anneokoth3466
@anneokoth3466 4 ай бұрын
Jmn tusaidien number tutakufa na wasisi jmn tunajiisia magonjwa ambayo pengn hatunayo maan me ap kidgo kufa.lkn nishukuru mungu nimeingia yutub nimepata amani lzm nilishinde jrb ili
Dr. Chris Mauki: Mambo 8 ya Kukusaidia Kuishinda Hofu
12:14
Chris Mauki
Рет қаралды 32 М.
CHOCKY MILK.. 🤣 #shorts
00:20
Savage Vlogs
Рет қаралды 31 МЛН
Мы сделали гигантские сухарики!  #большаяеда
00:44
КТО ЛЮБИТ ГРИБЫ?? #shorts
00:24
Паша Осадчий
Рет қаралды 2,2 МЛН
Prank vs Prank #shorts
00:28
Mr DegrEE
Рет қаралды 9 МЛН
UKOMAVU WA KIAKILI (MENTAL TOUGHNESS) - JOEL NANAUKA
1:11:22
Joel Nanauka
Рет қаралды 189 М.
NJIA 4 ZA KUKABILI HALI YA WASIWASI-ANXIETY - DANIEL RUHURO
5:49
Daniel Ruhuro
Рет қаралды 6 М.
Dalili Za Mtu MWenye Msongo Wa Mawazo (Stress)
7:10
Joel Nanauka
Рет қаралды 36 М.
Optogenetics: Illuminating the Path toward Causal Neuroscience
3:54:38
Harvard Medical School
Рет қаралды 1,7 МЛН
Ugonjwa wa Parkinson's (Ugonjwa wa kutetemeka) unavyoongezeka kwa kasi.
1:12:46
Afya ya Akili Uzeeni
1:00:16
Tuheda TZ
Рет қаралды 571
CHOCKY MILK.. 🤣 #shorts
00:20
Savage Vlogs
Рет қаралды 31 МЛН