Uharibifu wa wanajeshi kutoka Somalia kijijini Ishakani, Lamu

  Рет қаралды 60,449

Citizen TV Kenya

Citizen TV Kenya

Күн бұрын

Kijiji cha Ishakani huko Lamu kilihifadhi wanajeshi zaidi ya 900 kutoka Somalia waliokimbilia humu nchini baada ya mapigano kati ya Wanajeshi wa Jubaland na wale wa Somalia National Army majuma mawili yaliyopita. Wakazi wa kijiji cha Ishakan sasa wanalalamikia uharibifu mkubwa wa miundo msingi kama vile shule na vyoo kando uliotokana na kuhifadhiwa kwa wanajeshi hao eneo hilo. Na kama anavyoarifu Abdulrahman Hassan, wakazi hao sasa pia wanakabiliwa na mlipuko wa maradhi ya Kipindupindu.

Пікірлер: 286
@rosamariewanjiru8659
@rosamariewanjiru8659 Ай бұрын
Hatuwataki huku. Warudi kwao wakapiganie nchi yao. Tukiwasaidia wanarudi kua na kiburi sana. Hawana shukrani
@AAA-sx5ej
@AAA-sx5ej Ай бұрын
Mkundu ya mamako
@SaumuBakari-kq8hh
@SaumuBakari-kq8hh Ай бұрын
Mbn utukane mtu,, Kwan hutak kurudi kwenu😊
@AAA-sx5ej
@AAA-sx5ej Ай бұрын
@@SaumuBakari-kq8hh ndio kwetu ni ndani ya kuma ya mamako
@DubaloTV
@DubaloTV Ай бұрын
Wale wakikuyu walipelekwa lamu kama jembe je??
@danielkaruga7770
@danielkaruga7770 Ай бұрын
​@AAA-sx5eStupid! we don't want terrorist in Kenya 😊j
@Karis-i7z
@Karis-i7z Ай бұрын
The plan ya huyu Ruto ni mbaya sana. Mungu na atulinde, na asambaratishe hiyo mipango..
@harrynjenga
@harrynjenga Ай бұрын
Uko na shida ya akili?
@afandehassan1
@afandehassan1 Ай бұрын
Amekula Kuhe Huyo
@JacobOkiya-p8n
@JacobOkiya-p8n Ай бұрын
We hauna hoja ya kuongea ruto ametokea wapi hapo
@KENYANQUEENOFFICIAL
@KENYANQUEENOFFICIAL Ай бұрын
Nipitieni guys pale kwangu
@patriciambuvi8233
@patriciambuvi8233 Ай бұрын
Mko na shinda sana na upungufu wa akili kweli
@tida3727
@tida3727 Ай бұрын
Wao hawawez kutuhifadhi sisi...
@JacksonMwalimu-se7fj
@JacksonMwalimu-se7fj Ай бұрын
Wandering kwao awana ubinadamu wasomali
@waihura2039
@waihura2039 Ай бұрын
This is very serious for Kenya security as a country
@antwainebarkley9765
@antwainebarkley9765 26 күн бұрын
Kdf are more corrupt than ruto
@josephwasike5281
@josephwasike5281 Ай бұрын
Duale doing what he knows best
@elizabethmwaura3798
@elizabethmwaura3798 Ай бұрын
Kenya is a refugees country,so let's make Kenya great again,lakini msitugeuke
@davidmakumi7773
@davidmakumi7773 Ай бұрын
Warudishwe nchi yao hapa pia hakuna usalama
@Paul.G143
@Paul.G143 Ай бұрын
This s very serious.the somalis tried to encroach on the Ethiopian border but the Ethiopian military flashed them out 2 weeks ago in a place called doolodo.huyu kasongo anachezq na wakenya sana these Somalis when housed wanaanza madharau na entitlement na kunweka kama mbwa wa mtaa
@SelectaChronicles-lx6hb
@SelectaChronicles-lx6hb Ай бұрын
The same guys who said Kikuyus must go now have a foreign military base in Lamu
@westernkenyacrew2611
@westernkenyacrew2611 Ай бұрын
Hawa tunaowaonyeshea huruma na kuwapa makao ndio baadaye utuvamia sisi wakenya
@abassadan2541
@abassadan2541 Ай бұрын
Angalia nyuma Uganda is kushika
@jkphilosophy101
@jkphilosophy101 Ай бұрын
GIVE BACK WAJIR AND GARISSA BACK TO SOMALIA
@naomymose1866
@naomymose1866 Ай бұрын
Nakwambia Kenya is suffering becoz of mercy. Let them accept Jesus otherwise no peace. Jesus is source of peace
@KENYANQUEENOFFICIAL
@KENYANQUEENOFFICIAL Ай бұрын
Nipitieni guys
@jkphilosophy101
@jkphilosophy101 Ай бұрын
@naomymose1866 the British who colonised you and spread terror also accepted Jesus 🤔
@FearlessAfrican
@FearlessAfrican Ай бұрын
Somalia ni laana kwa Kenya. Hakuna kitu kizuri kwetu kutoka kwao Warudi kwao haraka!.
@abdifataxmahat
@abdifataxmahat Ай бұрын
sasa Kenya ni ya mama yako
@FearlessAfrican
@FearlessAfrican Ай бұрын
@abdifataxmahat Yes, ni my motherland.
@anonymouslyhidden95
@anonymouslyhidden95 Ай бұрын
@@FearlessAfrican congo forest is where you belong my friend
@FearlessAfrican
@FearlessAfrican Ай бұрын
@@anonymouslyhidden95 munasema Congo saa yote mukiambiwa mutengeneze Somalia. Congo is the best place to be if land was available for any human being. Imagine mountains of gold and copper?
@anonymouslyhidden95
@anonymouslyhidden95 Ай бұрын
@@FearlessAfrican exactly thats where you came from kenya si ya mamako
@decoloniz_afro
@decoloniz_afro Ай бұрын
The mess being done slowly by slowly by duale and ruto...gosh!!!!
@ahmedkulowabdi821
@ahmedkulowabdi821 Ай бұрын
Idiot Duale has nothing to do with wars in Somalia. They hv been fighting since 1991 n kenya has been hosting those who ran away
@BABAthaYAGA-kx9fu
@BABAthaYAGA-kx9fu Ай бұрын
​@@ahmedkulowabdi821 😂😂 bro
@AhmedMohamed-dy1ph
@AhmedMohamed-dy1ph Ай бұрын
Ngombe ni ngombe tu
@Arrifshizo
@Arrifshizo Ай бұрын
Aden duale
@ahmedkulowabdi821
@ahmedkulowabdi821 Ай бұрын
Whats has Duale to do with Somalia military nigga
@SaumuBakari-kq8hh
@SaumuBakari-kq8hh Ай бұрын
Hahaha,, wallah
@abdirahmanahmed7610
@abdirahmanahmed7610 Ай бұрын
Amekufira ama?
@kebasomoraraa
@kebasomoraraa Ай бұрын
2027 is too far. Lets fix us fix this mess right now.
@johnkamau1573
@johnkamau1573 Ай бұрын
Fala 😂
@ahmedkulowabdi821
@ahmedkulowabdi821 Ай бұрын
Ruto ❤
@ABUDIALLO-mx6dt
@ABUDIALLO-mx6dt Ай бұрын
I swear, Ruto should leave before 2027
@JoyzMichelles-eh8vs
@JoyzMichelles-eh8vs Ай бұрын
Fala mwenye ​@@johnkamau1573
@JoyzMichelles-eh8vs
@JoyzMichelles-eh8vs Ай бұрын
​@@ahmedkulowabdi821add volume 🎤 motivational speaker 🎤 🎤🎤
@raztallchannel9994
@raztallchannel9994 Ай бұрын
For the news piece to be reliable kindly provide video evidence from government agencies or even from locals of the soldiers/ civilians.
@Liveforhealthq
@Liveforhealthq Ай бұрын
Welcome to Kenya where Somalis do as they wish, buy citizenship and even set a safe house in ishakani all this while Ruto is in rooftops of cars akitenga
@zakgt500
@zakgt500 Ай бұрын
Focus on your own success. Stop hating on others success. Lame
@AK-ow8zn
@AK-ow8zn 29 күн бұрын
Its temporary dude, na wamerudishwa sasa
@Liveforhealthq
@Liveforhealthq 28 күн бұрын
@ does temporary make It ok, this should never have happened
@victormusyoka5942
@victormusyoka5942 Ай бұрын
Shida ya somalia huwa ni Nini ??
@samkrooo8017
@samkrooo8017 Ай бұрын
Hao hao mumewapea hifadhi watakuja kuwavamia, ni alshabaab wanajifanya wanajeshi nakwambia mtajilaumu
@annanzallo1150
@annanzallo1150 Ай бұрын
Ao wamengia bila matumaini wape miaka miwili tu wataanza kununua apartment apa Mombasa na Nairobi
@ClutchClipsyt
@ClutchClipsyt Ай бұрын
Kuna shida wakinunua kama wee hauna pesa nyamaza kaka
@Zainab-f9w5x
@Zainab-f9w5x Ай бұрын
Warudiswhe kwao jamaa zetu hawana shukuran
@ahmedfeleb4877
@ahmedfeleb4877 Ай бұрын
lazy body try ur best uwache laziness
@BariisSamatar
@BariisSamatar Ай бұрын
Kwani utaki wa endelea maisha yao mtu hawezi ku kaa pali moja
@florencezawadi3784
@florencezawadi3784 Ай бұрын
Nadhani Kenya wanafaa wafwate mfano wa tanzania na Congo, hakuna foreigner kununua chochote, n warent tu lkn wasinunue land....
@SP-bo7yp
@SP-bo7yp Ай бұрын
Si warudi kwao
@janetmugure234
@janetmugure234 Ай бұрын
Hawa sio wangeni ni alshababu
@janetmugure234
@janetmugure234 Ай бұрын
Hawa sio wangeni ni alshababu ngonja munasikia tu
@abassadan2541
@abassadan2541 Ай бұрын
​@@janetmugure234ni 😂wapajuni
@mohamedabdi4520
@mohamedabdi4520 Ай бұрын
Pumbavu wewe😡kama sio wasomali Kenya ingekuaje
@abassadan2541
@abassadan2541 Ай бұрын
@mohamedabdi4520 these people are pajunis not somalis
@vickiebenson7980
@vickiebenson7980 Ай бұрын
​@@mohamedabdi4520How is Somalia doing?
@losttribe007
@losttribe007 Ай бұрын
Wakenya msipige kelele hizi ni vita vya mara kwa mara leo wao kesho nyinyi na simaanishi kuwa ni kesho kama kesho na maanisha it can take a year or a decade or millennium. The situation of war is not good. Pray for peace🙏🇹🇿
@worldtrendingmoments4742
@worldtrendingmoments4742 Ай бұрын
Tuna karibia uchaguzi
@losttribe007
@losttribe007 Ай бұрын
@worldtrendingmoments4742 uchaguzi wapi? Ya kenya hadi 2027 na tanzania hadi 2025 mwishoni.. unasema uchaguzi upi?
@patriot_2022
@patriot_2022 Ай бұрын
Hiyo tunajua lakini shida yetu ni watu kuhifadhiwa alafu wanafanya uharibifu. Watu wakishindwa vita kwao wasije kuonyesha wakenya wa kawaida ati wao ni wanajeshi. Na tuna shida na Ruto pia ju jeshi letu wangefika uko kudeal nao sio kuwaachia civilians. Wanahatarisha watu kwanini
@losttribe007
@losttribe007 Ай бұрын
@@patriot_2022 ya kweli hayo.. uko sawa
@JK..07
@JK..07 Ай бұрын
Sisi hatupigani kisha kutorokea nchi jirani,tuna zaidi ya miaka 60 kama nchi tuna makabila na dini tofauti lakini huwa tunaketi na kusikizana baada ya vita vinavyosababishwa na siasa mbovu,wao majirani zetu kabila moja,dini wanapigana zaidi ya miaka 30 sasa...nieleza buda nikuelewe!!
@AnnAnnie-ow4tn
@AnnAnnie-ow4tn Ай бұрын
And there are Sane Kenyans,still supporting this guy,yaani heri apatieni nchi yetu Kwa Alshabaab!!!why Ruto,,I knew something was wrong the day he appointed duale,,,2027 is far
@famaufarmajo9665
@famaufarmajo9665 Ай бұрын
Nivita Vilitokea Kw Kadari ya mungu Nakama Nikimaisha watu wa kiunga Na Ishakani Wanapata chakula cha misada kutoka ras kemboni Nasahi Wamerudi mwakao kukiwa Na Amani Wala hawana njaa Ila watu waishakani ndio wako hali ngumu wasaidiyeni lakini sio wakiemboni
@Tedd64
@Tedd64 Ай бұрын
Duale na rafikiye ndio wanatuozeshea nchi
@muhmuhsini005
@muhmuhsini005 Ай бұрын
Wema wetu ndio unaotutongea Lamu
@abassadan2541
@abassadan2541 Ай бұрын
Hawa ni wapajuni
@florencezawadi3784
@florencezawadi3784 Ай бұрын
​@@abassadan2541kwa hio wako ulayaa??? Si wako lamu visiwani...
@ekkarogie5
@ekkarogie5 Ай бұрын
Now we have a Somalia military base in kenya.... kweli kasongo ameuza ata wakenya
@tonnywanjala8996
@tonnywanjala8996 Ай бұрын
Hao waria watapewa citizenship ngoja mtaona wako mitaani wanafanya biashara🤣🤣🤣🤣
@muzafarsharif9465
@muzafarsharif9465 Ай бұрын
Zamani wasomali mashifta walivamia na kuwavurusha maeneo yenu leo hii mnakaribisha wasomali na kuwapa hifadhi,,😂😂
@moliosumba8190
@moliosumba8190 Ай бұрын
nashangaa
@abassadan2541
@abassadan2541 Ай бұрын
​@@moliosumba8190😂these are pajunis not somali
@abassadan2541
@abassadan2541 Ай бұрын
😂Hawa ni wapajuni si wasomali
@florencezawadi3784
@florencezawadi3784 Ай бұрын
Sema tena, mana wanajisahulisha, walikuwa wakivua watu mpka nguo walizo vaa kwa mabasi, Sai kuntulia wanawakaribisha tena...
@florencezawadi3784
@florencezawadi3784 Ай бұрын
​@@abassadan2541waliongia si wabajuni...
@mahbubdawood2909
@mahbubdawood2909 Ай бұрын
Mchokozi hushindwa daima
@BashirHussein-rr2xd
@BashirHussein-rr2xd Ай бұрын
Mashakani niya wasomali
@naomymose1866
@naomymose1866 Ай бұрын
Sasa wasomali wako Kenya, ona, wao be wezenu pia wamkubali yesu Jesus is ALPHA AND OMEGA
@CriminalMindsUnleashed-l8v
@CriminalMindsUnleashed-l8v Ай бұрын
nOW YOULL START HEARING CASES OF ALSHABAA IN THE COUNTRY....HOW DID THIS HAPPEN AND WE DO HAVE OUR OFFICERS IN THOSE LOCATION??????
@mahbubdawood2909
@mahbubdawood2909 Ай бұрын
Wakenya pia sio kidogo kuliko wahalifu kwahivyo acheni kujitia kama waaminifu
@fridahkarimi5510
@fridahkarimi5510 Ай бұрын
Na wakikakaa huko lamu alafu baadaye wawageuke kwa wema wenu? Na kenya ikivamiwa na vita kwasababu yao ama watakaa huku kenya kwa muda mgani?
@lastborn2364
@lastborn2364 Ай бұрын
Jeshi kupigwa na kutorokea KENYA,,,😂😂😂😂😂There is alot of JOKES in our COUNTRY , I don't think we have LEADERS,,
@blessedknjugush1983
@blessedknjugush1983 Ай бұрын
jeshi ya kenya iko kwao pia🎉
@abassadan2541
@abassadan2541 Ай бұрын
Dying daily under shabab hands
@AddiAron-x5t
@AddiAron-x5t Ай бұрын
mbwa​ wewe Al shabaab@@abassadan2541
@jessicah-22
@jessicah-22 Ай бұрын
​@@abassadan2541uliskia wapi
@ShadrackAnalo
@ShadrackAnalo Ай бұрын
We interfere with people's affairs now it's is upon us
@joyful-b8x
@joyful-b8x Ай бұрын
Ceeb udinta deh. Tan fadeexad kaween malaha.
@zakihussein9591
@zakihussein9591 Ай бұрын
Fadeexo way dhaaftay
@morrismwendwa5010
@morrismwendwa5010 Ай бұрын
Wah,enyewe we are doomed
@simonmwangi1057
@simonmwangi1057 Ай бұрын
Watolewe mbio ama waende united nations wasaidiwe uko , na jeshi lakenya kifike huko haraka
@Noah-dz6kd
@Noah-dz6kd Ай бұрын
Je wanawake natumai hakubakwa
@Wpatrickwafula3432
@Wpatrickwafula3432 29 күн бұрын
Mbona mnalamika na Hali hawo ni ndugu zenu ni waisilamu endelaea kuwakaribisha na wakato watanza kuwapiga Ndio mtajua hawo walikua kunyakua inchi yetu na kuibadilisha ifuate Sheria law na ilahi hio law imeharibu Somalia hawaelewabi hawo ni alshabab jinga nini kupambavu nyinyi
@chronicles6197
@chronicles6197 Ай бұрын
Hawa wanaongea ni conmen n women akuna evidence wanataka ngo msaada ..
@salim_Mt
@salim_Mt Ай бұрын
So sudan wanajua wako area? Tuombe tu!
@sallygachui3191
@sallygachui3191 Ай бұрын
Whst do you expect with Somalians in office of DCI & NIC
@حسن-بشير-101
@حسن-بشير-101 Ай бұрын
Ni somali not Somalian. Kenya is home to many somalis and we have huge land here .sisi ni Modo wa nyumba pia. Read a book mara kwa mara
@NerdNovaTech
@NerdNovaTech Ай бұрын
@@حسن-بشير-101 What huge land are you talking about?are you insane!
@حسن-بشير-101
@حسن-بشير-101 Ай бұрын
Inaitwa North Eastern . Fanya hivi enda google maps check size a wajir pekee . Kenya sio yenu pekee ni ya sisi sote .
@NerdNovaTech
@NerdNovaTech Ай бұрын
@@حسن-بشير-101 Kenya is for kenyans not everyone our land size doesn't matter we can decide to leave it bare as it is , Somalis are immigrants and can be removed at any given time
@florencezawadi3784
@florencezawadi3784 Ай бұрын
​@@حسن-بشير-101watu wakae makwao yawa, Kenya tuna shida zetu tayar, serikali yetu imeoza upande huo, sijaona refugees tz lkn Kenya wanakaribishwa any how, baadae they attack you na huo wema wenu....
@AbdifatahAbdullahi-l2x
@AbdifatahAbdullahi-l2x Ай бұрын
Tutaleta wengi sana. Utado?
@sambrian2091
@sambrian2091 Ай бұрын
Take them back....Nani hana kwao? Sahii ni mlipuko wa kipindu pindu nexxt itakua guruneti
@daviesmuni734
@daviesmuni734 Ай бұрын
Is KDF really in charge and protecting Kenya?
@kiplangatstanley3261
@kiplangatstanley3261 Ай бұрын
Do you understand what law says on refugees.???
@davidsdavidodavis3152
@davidsdavidodavis3152 Ай бұрын
@@kiplangatstanley3261those are not refugees they are military personnels ran from Somali to Kenya
@daviesmuni734
@daviesmuni734 Ай бұрын
@@kiplangatstanley3261 I can bribe lawmakers and can create a bogus law. This is a bandit's economy
@emmanuelkimeli9397
@emmanuelkimeli9397 Ай бұрын
Huyu mtu ruto nn mbaya n yeye
@Patoh254Somie
@Patoh254Somie Ай бұрын
Shida ni wewe!
@JulixYung-kw2tr
@JulixYung-kw2tr Ай бұрын
😅 who is the cs and prezo
@favourakitsa4813
@favourakitsa4813 Ай бұрын
Murkomen
@Patoh254Somie
@Patoh254Somie Ай бұрын
Wakuje Kenya we are peaceful muache ujinga
@favourakitsa4813
@favourakitsa4813 Ай бұрын
Yhis is the people ruto wants to use 2027 for his benefits
@davidsdavidodavis3152
@davidsdavidodavis3152 Ай бұрын
Kenyans let me ask you few questions Who is Murkomen ?which position does he hold ? Who is Ruto? Fight for your country coz yale hamjaonna anakuja
@collinsmwendwa4024
@collinsmwendwa4024 Ай бұрын
Wueh
@Tedd64
@Tedd64 Ай бұрын
Hawa wasomali ni hatari
@Abdullahiibrahim-nt3qp
@Abdullahiibrahim-nt3qp Ай бұрын
🇸🇴🇪🇹🇰🇪🇩🇯 yote ni yetu unaweza Fanya nini
@nadearsmile9675
@nadearsmile9675 Ай бұрын
​@@Abdullahiibrahim-nt3qpyou wish?
@The2000.
@The2000. Ай бұрын
​@@Abdullahiibrahim-nt3qputashangaa sana buda si mjaribu hiyo ujinga yenu ya somalia kenya, hata msifanye mjaribu tuone who's the needy and who's the boss
@ABUDIALLO-mx6dt
@ABUDIALLO-mx6dt Ай бұрын
These people don't have unity, the only thing they know is violence.
@JK..07
@JK..07 Ай бұрын
​@The2000 Mnakimbia kama kuku walionyeshewa baada ya kufurushwa na vijibunduki je ikiwa jeshi la Kenya likiingia Somali na silaha nzito mtafanya nini...?!😅
@feizulhanadproduction620
@feizulhanadproduction620 Ай бұрын
Ala mxan cebobne 😢
@HDM-q5n
@HDM-q5n Ай бұрын
Yani our country is sinking slowly tu tukionaga tu
@abassadan2541
@abassadan2541 Ай бұрын
These people are bajunis not somali
@florencezawadi3784
@florencezawadi3784 Ай бұрын
​@@abassadan2541walio ingia si wabajuni, walio wa karibisha ndio wabajuni...
@Abdull528
@Abdull528 Ай бұрын
Problem occurs everywhere, we the residents welcomed them and they'll soon return to their homes. What's the problem with you, refugees are all over the world helpless and looking for a place to call home . Yes they'll come with their shortcomings but helping is a must
@missc5119
@missc5119 Ай бұрын
​@@Abdull528 not really, Somalia is safe now warudi kwao, all over the world refugees are being returned to their homes. Kenya right now has no capacity to help others it's time we look out for our own pple first
@abassadan2541
@abassadan2541 Ай бұрын
@@florencezawadi3784 nop 😂. There are bajunis who live in raskamboni and they are the ones to cross . Hiyo pua si yetu .si watu wao waliwakaribisha
@GazCheetah
@GazCheetah Ай бұрын
Mnaaita wasomali wageni?
@vickiebenson7980
@vickiebenson7980 Ай бұрын
If you hold American citizenship then you're a foreigner in Canada, in the same way if you hold Somali citizenship then you're a foreigner in Kenya, it's not rocket science.
@dunsonditaniumz2811
@dunsonditaniumz2811 Ай бұрын
hii vita yote afrika mnaona sai ni matokeo Berlin Conference
@PaulineMbeke-n6j
@PaulineMbeke-n6j Ай бұрын
2027 naofia sana
@muzafarsharif9465
@muzafarsharif9465 Ай бұрын
Wajinga sisi 😂
@ahmedfeleb4877
@ahmedfeleb4877 Ай бұрын
weh bajuni pia sisi tumewakaribisha kismayu 😂😂
@abassadan2541
@abassadan2541 Ай бұрын
​@@ahmedfeleb4877😂uwaambie ni wapajuni
@patriot_2022
@patriot_2022 Ай бұрын
@@ahmedfeleb4877 ju tunajaribu kuwasaidia. sio kutoroka kama hawa. ata kunaeza kuwa na alshabaab wamesneak in namna iyo. Hao "wanajeshi" wote warudishwe Somalia wapigane ama waende wakae maeneo kuna amani huko. Sio kuleta vituko hapa
@JK..07
@JK..07 Ай бұрын
​​@@ahmedfeleb4877Bajuni yuko kwao Kenya ,tuambie kama umeskia wakipigana wenyewe kwa wenyewe kama vile wanavyofanya wasomali kutoka somalia?!🤔
@janaleokesho8374
@janaleokesho8374 Ай бұрын
Somalia kukitulia watakubali twende tuishi huko
@abdiahaji5653
@abdiahaji5653 Ай бұрын
Am Somali sii thani if they'll even accept me as a Kenyan wachana na wewe 😂
@KevinEricNgugi94
@KevinEricNgugi94 Ай бұрын
Never
@florencezawadi3784
@florencezawadi3784 Ай бұрын
Uliza tena mpenzi, maana vya kera....
@ngashjr
@ngashjr Ай бұрын
Watajaribu kuchukua North Eastern
@tessygrays2952
@tessygrays2952 Ай бұрын
​@@abdiahaji5653😂😂😂😂
@PaulineMbeke-n6j
@PaulineMbeke-n6j Ай бұрын
Hapa kuna kitu fiche,,,,anaigiza alshabab kimpango
@maxwellousi9857
@maxwellousi9857 Ай бұрын
Lamu ni waislamu wenzao mbona walalamike
@davidluppa3556
@davidluppa3556 Ай бұрын
Idf hoyaaaa😅😅😅😅
@birgenkandie1374
@birgenkandie1374 Ай бұрын
Wapandishwe loryy🚛 warudishwe Muqdisho kisha wamwagwe kama kokoto
@davidsdavidodavis3152
@davidsdavidodavis3152 Ай бұрын
Hao wameletwa kuvamia jamii za wakikuyu. Wait and see .
@BashirHussein-rr2xd
@BashirHussein-rr2xd Ай бұрын
Wakikuyu wanafanya nini kale machakani hapo niya wasomali garissa county once we take over wajirani wataishi bt kikuyus must go back to mlima
@omarichimoche
@omarichimoche Ай бұрын
Ukabila utoacha
@blessedknjugush1983
@blessedknjugush1983 Ай бұрын
ukapokonya siraha aje??raia??😂😂
@maximus-7-m3j
@maximus-7-m3j Ай бұрын
Jaba😂
@abassadan2541
@abassadan2541 Ай бұрын
Pajuni
@abassadan2541
@abassadan2541 Ай бұрын
​@maxipajunimus-7-m3j
@abassadan2541
@abassadan2541 Ай бұрын
😂ni pajuni
@khamisisuedi1056
@khamisisuedi1056 Ай бұрын
Apo sasa amenichekesha 😂
@Abdull528
@Abdull528 Ай бұрын
Welcome this is your second home. Soon you'll go home safe.
@gugahmediaafrica9405
@gugahmediaafrica9405 Ай бұрын
Mwaishi wapi nyinyi watu huko...?? Njooni Mombasa mule Raha nyinyi
@ramadhanboru2315
@ramadhanboru2315 Ай бұрын
Boarding boats without safety jackets. 🤡🤡
@DhahaboDhahabshil
@DhahaboDhahabshil Ай бұрын
😂😂
@DhahaboDhahabshil
@DhahaboDhahabshil Ай бұрын
People are tired with life
@ramadhanboru2315
@ramadhanboru2315 Ай бұрын
@@DhahaboDhahabshil awwal warra mchele nyatu indemnaa 😂
@nduryamwadzaya3972
@nduryamwadzaya3972 Ай бұрын
Huu ni upuzi
@abassadan2541
@abassadan2541 Ай бұрын
Stop crying these pajunis not somalis
@florencezawadi3784
@florencezawadi3784 Ай бұрын
​@@abassadan2541mbona unawatetea kila mahali are you one of them???
@abassadan2541
@abassadan2541 Ай бұрын
@@florencezawadi3784 these are bajunis and they live lamu and raskamboni ya somalia 🇸🇴.are you blind or unakataa watu wenu
@abassadan2541
@abassadan2541 Ай бұрын
​@@florencezawadi3784confirming that they are your pajunis
@ahmedkulowabdi821
@ahmedkulowabdi821 Ай бұрын
As usual biased media propaganda hype
@farahmacalinadan6688
@farahmacalinadan6688 Ай бұрын
Stop propaganda this is totally untrue
@roblealbashir24
@roblealbashir24 Ай бұрын
No evidence
@samsonchilui7795
@samsonchilui7795 Ай бұрын
Jubaland woyeee.....
@nabil399
@nabil399 Ай бұрын
It is tribal politics . What happened was somalia federal forces tried to attack jubaland forces and kenyan forces in jubaland but their soldiers refused to fight and surrendered to kenyan forces at the border .
@ipetert5372
@ipetert5372 Ай бұрын
Peleka hao kakuma refugee camp
@janetmwende7280
@janetmwende7280 Ай бұрын
Ata izo refugee camp zifumgwe,wasomali ni watu wa vita tupu,Eastleigh ni mapigano tupu na kudungana na vitu, terrorist Hawa watu
Citizen Nipashe 6th February 2025
30:49
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 15 М.
REAL or FAKE? #beatbox #tiktok
01:03
BeatboxJCOP
Рет қаралды 18 МЛН
How to treat Acne💉
00:31
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 108 МЛН
Леон киллер и Оля Полякова 😹
00:42
Канал Смеха
Рет қаралды 4,7 МЛН
To Brawl AND BEYOND!
00:51
Brawl Stars
Рет қаралды 17 МЛН
Magenge yawavamia madereva Southern Bypass
3:33
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 114 М.
Trump USAID job freeze sparks outrage worldwide
4:45
Citizen TV Kenya
Рет қаралды 256
Historia Fupi ya Kisiwa cha Pate, Lamu.
19:42
Stambuli wa Sh. Abdillahi Nassir
Рет қаралды 58 М.
Jicho Pevu yaangazia saa kumi na mbili za mwisho za mwendazake Jacob Juma
36:26
REAL or FAKE? #beatbox #tiktok
01:03
BeatboxJCOP
Рет қаралды 18 МЛН