"IGP, WAZIRI MASAUNI, MKURUGENZI WA USALAMA WA TAIFA KWANINI HAWAJAJIUZULU?" MZEE BUTIKU

  Рет қаралды 3,863

Uhondo TV

Uhondo TV

Күн бұрын

Пікірлер: 8
@user-vf8wv8hi5b
@user-vf8wv8hi5b 5 күн бұрын
Hongera sana Mzee wangu kwa kusema ukweli
@marwamagere
@marwamagere 6 күн бұрын
Mzee butiku wambura hawezi jiuzulu kwa sababu hiyo kazi ya utekaji ndoo sifa ilyomfanya ateuliwe kuwa IGP hiyo anatekeleza maelekezo tangia kuteuliwa kwake
@AmiriAbdallah-g5x
@AmiriAbdallah-g5x 6 күн бұрын
Butiku hongeara, lkn kuna mijitu humu haijitambui, hata mashehe wanajua na wachungaji kuwa vitabu vya dini vinasema tukemee maovu vinginevyo tunakwenda motoni.
@jumadinya3796
@jumadinya3796 6 күн бұрын
Tuwajibeke kwa vipi mbona unatoa fumbo kwa njia gani naona ushauri unakwenda sehemu sio tushauri maneno ya msingi kwa vijana wetu tusiwajaze hamasa
@robertzamani5612
@robertzamani5612 6 күн бұрын
Wanahabari wetu ni waoga hawezi kwenda kumuuliza hilo swali IGP au Waziri wa mambo ya ndani
@abdallahabdu8194
@abdallahabdu8194 6 күн бұрын
hayo maandishi majinga sana, hayawezi hata kuuliza ,siku hizi wanakusanya na kutembea na msajili wa hazina ili waandike taarifa za serikali tu.
@RwegoshoraPatt-os2ik
@RwegoshoraPatt-os2ik 5 күн бұрын
Mzee mazingira sio rafiki sana vijana wako wasije wakakuponza usione wazee wenzio wamekaa kimya ukafikiri niwajimga wewe ndio mwamba
@stanslausbernard5950
@stanslausbernard5950 7 күн бұрын
Wewe Mzee mwongo. Haya mambo hajaanza wakati wa magufuli. Hata wakati wa mwl Nyerere utekaji ulikuwapo. Wakati wa kaka Yako mwl, watu walitekwa na kutishwa. Ndiyo maana mwl Nyerere aliogopeka kwa sababu hiyo. Wewe uliwahi kuwa Waziri iliyeshighulika na usalsma wa taifa. Nakumbuka enzi zako watu walitekwa kama inavyofanyika hivi Sasa.
هذه الحلوى قد تقتلني 😱🍬
00:22
Cool Tool SHORTS Arabic
Рет қаралды 105 МЛН
Cute
00:16
Oyuncak Avı
Рет қаралды 10 МЛН
SCHOOLBOY. Мама флексит 🫣👩🏻
00:41
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 7 МЛН
He bought this so I can drive too🥹😭 #tiktok #elsarca
00:22
Elsa Arca
Рет қаралды 55 МЛН
Africa Down Under 2024 Ali Hassan Joho Republic of Kenya
9:16
New look opposition: Don't speak for Gen-Zs- Wajackoya
23:30
KTN News Kenya
Рет қаралды 87 М.
THE MOUNTAIN BATTLE: HOW GACHAGUA HAS OUTSMARTED THEM
19:08
Herman Manyora
Рет қаралды 36 М.
هذه الحلوى قد تقتلني 😱🍬
00:22
Cool Tool SHORTS Arabic
Рет қаралды 105 МЛН