SHEKH JONGO AIBUKA NA MASALAFI ASEMA HAWANA ADABU WANAPINGA SHIKAMOO HUKU NCHA ZA PUA WANABUSIANA

  Рет қаралды 7,550

Saimu gwao Online tv

Saimu gwao Online tv

Күн бұрын

Пікірлер: 110
@othmanmohd3721
@othmanmohd3721 2 ай бұрын
cc chikamoo ninnzaid ya ubidaa hii alotufunza mtume wetu cc ndio salaam yetu ns hstutoiyaacha nww mzee mzma umepotea ktk ubidaa subhanallah
@Fatma-up9qs
@Fatma-up9qs 2 ай бұрын
Subhanallah sheikh Jongo wacha chokochoko zako. Mche Allah
@AliHamad-xl2mm
@AliHamad-xl2mm 2 ай бұрын
Allah amsameh hyuu shehe xx nikukuombea dua t kwa allah ampee thabati aiyelew sunna
@HamadKhamisi-t8q
@HamadKhamisi-t8q 2 ай бұрын
Ustaadh hamadi kutoka mbezi beach,,, MashaAllah tupo pamoja INSHAALLAH
@HusseinKato-dd6hu
@HusseinKato-dd6hu 2 ай бұрын
Allla akusamehe na Bid'a zako.sheikh Dini hii imekamilika ahitaji ziada Wala kuongezwa
@AllySekondo-zf2kr
@AllySekondo-zf2kr 2 ай бұрын
ALLAH ATUTUNZIE HAZINAYETU HII WATANZANIA
@Saalimmakasia
@Saalimmakasia 2 ай бұрын
Sheikh amche Allah hakika Allah katuamrisha uadilifu hata katika kuwazungumza watu usiowapenda
@mhusinigau3231
@mhusinigau3231 2 ай бұрын
Nyie ni uadilifu gani mkiwaongelea watu mnaowachukia.
@Hamis-ks1sy
@Hamis-ks1sy 2 ай бұрын
Uzuri saivi kwenye hadhara zao wanacha kuzungumzia habari zao wanazungumzia Masalafy baada ya hapo wengine wanaenda kufuatilia salafy ni nini wakijua hakk wanaacha usufi Alhamdulillah
@saedyrajabu5449
@saedyrajabu5449 2 ай бұрын
Nyie mmekuja kupoteza dini
@gift-AA
@gift-AA 2 ай бұрын
Sheikh Jongo Muogope Mungu kwenye dini Hakuna Muheshimiwa
@abunajreenELSESANY
@abunajreenELSESANY 2 ай бұрын
Kwenye DINI waheshimiwa wapo
@abunajreenELSESANY
@abunajreenELSESANY 2 ай бұрын
Mtume amesema si katika sisi yule asie heshimu wakubwa wetu.
@fiesalmohammed4488
@fiesalmohammed4488 2 ай бұрын
Waheshimiwa wapo wapi bungeni au
@hussehussein1081
@hussehussein1081 2 ай бұрын
mtume hakufundisha namna ya kuheshimu wakubwa?na asiye salimia kwa shikamoo anakua hana heshima?​@@abunajreenELSESANY
@abunajreenELSESANY
@abunajreenELSESANY 2 ай бұрын
@@fiesalmohammed4488 kokote, iwe sokoni, na hata barabarani
@SheikhHassanMussa
@SheikhHassanMussa 2 ай бұрын
Mche Allah Sheikh
@SALIMTV-vo7es
@SALIMTV-vo7es 2 ай бұрын
Hizo mila za rufiji sio za uislam mtume S.A.W ameshatufundisha maamkizi ya kiislam
@bagalucha
@bagalucha 2 ай бұрын
Huyu anafurutu ada,lakini Allah Subhana wataalla yupo,unafiki umekujaa,na Allah ndie mkadiriaji na anakuona,pumzi zisikuhadae,
@RajabuAbdallah-yp5dp
@RajabuAbdallah-yp5dp 2 ай бұрын
Kweli sheikh jongo
@9119-r4t
@9119-r4t Ай бұрын
Kweli ikifika mwezi kama.huu bangi hupanda bei kwa sababu mashekh wakisufi wanavuta sanaaa bangi.
@shilingi-Ahmadi
@shilingi-Ahmadi Ай бұрын
Sawa utaulizwa tu.
@ShamsudeenOmary
@ShamsudeenOmary 2 ай бұрын
Km suala ni kuthibiti, mbona hicho kikao chenu hakikuthibiti mfano wake??
@batashqiraa9936
@batashqiraa9936 2 ай бұрын
Sasa hapo mambo ya kutaja vyeo vya kitwaghuti vya ccm inahusu nini
@kadrimwingamno258
@kadrimwingamno258 2 ай бұрын
Mtu akingia usufi mpa ikifika jioni chizi wa kupitiliza.
@shilingi-Ahmadi
@shilingi-Ahmadi Ай бұрын
Unaujua usufi basi
@jumaasanali8819
@jumaasanali8819 2 ай бұрын
Huyu shekh amche allaah,na aache uongo na kuwazushia masalaf jamb ambalo hawako nalo
@bagalucha
@bagalucha 2 ай бұрын
Haki itabakia haki,na mwishowe itasimama tu,Ikiwa Allah ndie aliekadiria kila kitu,Qayyima yake itasimama,Allah keshatubainishia muongozo wake kutoka kwa mtume wake,hizi tafaraka na uzushi,tayari zikishatokezea kaumu zilizopita.Sisi ibada tutamfuata Allah muongozo wake,na aliyokuja nayo mtume wake,hiyo ndiyo haki. Waumini ni watulivu na ni wenye kusubira
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 2 ай бұрын
@@bagalucha wewe uumini uupate wapi?. SEMA muislamu TU ila HUJAFIKIA uumini. Omba mvua baada ya sekunde Kumi tuone imenyesha kama Wewe muumini kweli!. Wewe mshamba tu unatapa tapa na KUHANGAIKA KUUONDOA utajo WA Mtume saw na hutaweza
@zureashomari2408
@zureashomari2408 2 ай бұрын
Shikamoo salam yakitumwa wala sio heshima hovyo kabisa
@FahdIbnyussuf
@FahdIbnyussuf 2 ай бұрын
UKITAKA KUFUATA UISLAMU SHEKH JONGOOO ACHA MILA ZAKO MTU ASHATWAMBIA TUSALIMIANE VEP
@musaomary9890
@musaomary9890 2 ай бұрын
Tunakuunga mkono shekhe JONGO ulichozungumza ndodinihasa haowajiitao masalafi km hawayatakihayo wanywesumu watangulie akhera wameuharibu uislamuhasa tena kwa makusudi
@yusufmohamed8874
@yusufmohamed8874 2 ай бұрын
Jongo unazeeka vibaya Acha uhuni ktk dini
@TwahirBurhan
@TwahirBurhan 2 ай бұрын
SHEKH MUOGOPE ALLAH!! ACHENI MASILAHI YA DUNIA...NA KUJIFANYA MNAIJUA DINI ZAIDI YA MASWAHABA NA UZUSHI WENU WA MAULIDI
@idisaidi287
@idisaidi287 2 ай бұрын
😂😂kumbe kasoma kwa mawahabi
@Yue-q2g
@Yue-q2g 2 ай бұрын
Mbona wingi tu wamesoma huko na hawana mitizamo ya kiwahabi​@@idisaidi287
@allyally5156
@allyally5156 2 ай бұрын
Nawewe muogope mungu isijifanye umefaulu
@MasterOil-qm6vw
@MasterOil-qm6vw 2 ай бұрын
Wewe mwenyewe sheikh jongo ulikua salafi umekengeuka allaah akuongoze mzee wetu
@RajabAdam-p4s
@RajabAdam-p4s 2 ай бұрын
Sasa km kaona huko mnampoteza abak afanye nn
@AbdulazizMohammed-wi8qz
@AbdulazizMohammed-wi8qz 2 ай бұрын
bakwata inadidimiza uislaam
@RajabAdam-p4s
@RajabAdam-p4s 2 ай бұрын
Huna maana wala hujui nn klchokuleta dunian
@AbdulazizMohammed-wi8qz
@AbdulazizMohammed-wi8qz 2 ай бұрын
@@RajabAdam-p4s wewe msenge kweli kweli
@zureashomari2408
@zureashomari2408 2 ай бұрын
Watawapata hao hao
@SALIMTV-vo7es
@SALIMTV-vo7es 2 ай бұрын
Shikamoo sio uislam
@Zainabnoor0087-ze
@Zainabnoor0087-ze 2 ай бұрын
Huyu si ndio aliemlilia mchonga meno bunge la katiba 😅
@FahdIbnyussuf
@FahdIbnyussuf 2 ай бұрын
HALAFU HAMNA ADABU NYIE ETY BAKWATA KUNA MAULAMAA 😂
@Hamis-ks1sy
@Hamis-ks1sy 2 ай бұрын
Wajinga hao wanasikia2 ulamaa
@jamallymohammad929
@jamallymohammad929 2 ай бұрын
kumbe umetok rufiji unaleta urufij na maswala ya dini mpuuzi kwel zeee jinga kabisa hili ji sufiii
@mussahussein3583
@mussahussein3583 2 ай бұрын
Saamu aleiku? Ndio nini? Au ndio kuashiria kejeli? Mh
@kadrimwingamno258
@kadrimwingamno258 2 ай бұрын
Misufi imekutana.
@AliKhamis-j9z
@AliKhamis-j9z 2 ай бұрын
Heshma yenu rufiji heshma yauislaam Asalam alaikum
@FahdIbnyussuf
@FahdIbnyussuf 2 ай бұрын
@@AliKhamis-j9z basi tu wajanja san ndo man wapo ktk upotevu
@MasterOil-qm6vw
@MasterOil-qm6vw 2 ай бұрын
Hawezi kuvumilia njaa ndio maana akaamua bora aacha kua salafy na awe khulafi maana mashia siwanatoa bahasha
@kadrimwingamno258
@kadrimwingamno258 2 ай бұрын
Sunna hizo za baiskeli...duu
@FeisalDoctor-wr8ws
@FeisalDoctor-wr8ws 2 ай бұрын
Katik uislam hakun makundi makundi katika uislamu mtu yeyote atakae jiita jina kinyume n uislamu anakwenda kinyume na amri ya allah dini y kiislamu imekamilik haitakiw muislam yeyote kujichagulia kundi akajiita mfano: salafi ahmadiya sunni twarika n makundi mengine mnaleta mfarakano katika dini
@abdullahmsuya665
@abdullahmsuya665 2 ай бұрын
Wasanii na wahuni wa nchi hii na mashoga na walevi na makafiri hao wote si wavunjifu wa maadili lakini eti masalafi ndio wanavunja maadili, hahahahaha kweli masalafi kuna mahali wamewakamata haaha
@kadrimwingamno258
@kadrimwingamno258 2 ай бұрын
Sheikh Jongo ugonjwa wa akili umekuzidia. Unahitajia operation ya umbongo haraka iwezekanavyo.
@kadrimwingamno258
@kadrimwingamno258 2 ай бұрын
Sheikh Jongo umepinda kiwango cha flyover....wewe piga domo waokuonge elfu 10,10 ukitoka hapo nenda katika kijiwe cha kahawa. Shughuri imekwisha.
@rushu1232
@rushu1232 2 ай бұрын
Hao sio masalafi ni pote lafitna watu wote kwao hawako sawa makhurafi mahizbi mubtadii wanatoa watu kwenye dini huo ni uisalamu gani.
@SALIMTV-vo7es
@SALIMTV-vo7es 2 ай бұрын
Sharif ni Nan mnaanza kuwatukuza na sasa wanajiona wao bora
@rajabumsuya-hg8jd
@rajabumsuya-hg8jd 2 ай бұрын
Alafu hili swala la kuitana masharifu hivi mnaelewa maana ya sharifu!!?? Yan kuna watu wana nasabu na mtume sio!!!
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 2 ай бұрын
Kwani hakuna?
@rajabumsuya-hg8jd
@rajabumsuya-hg8jd 2 ай бұрын
@@hilalkhalfan1452 ndio wanatokea kilwa na mtwara???wapo huko makka na madina sasa mtwara napo kuna quraish
@hilalkhalfan1452
@hilalkhalfan1452 2 ай бұрын
@@rajabumsuya-hg8jd kwahio akihama makka na madina anakuwa ulimzaa weye?. Kwani Africa hawaruhusiwi kuja au?
@kadrimwingamno258
@kadrimwingamno258 2 ай бұрын
Hadith bila ya dalili....masufi bannah.
@sadofaraji5999
@sadofaraji5999 2 ай бұрын
Hukusikia hadith ya ibn Abbas na ibn Masoud au masikio yameziba.
@rajabumsuya-hg8jd
@rajabumsuya-hg8jd 2 ай бұрын
Baraza la ulamaa sio?!!!haya
@MasterOil-qm6vw
@MasterOil-qm6vw 2 ай бұрын
Wsnaume mnakatika viuno itafika siku mtavivalisha shanga hivyo viuno
@TwahirBurhan
@TwahirBurhan 2 ай бұрын
SAWA MABINGWA WA BIDAA
@taurehassan7399
@taurehassan7399 2 ай бұрын
Tena nyny ndo mnafnya bid'a nyngi km vp tuhorodheshe bid'a zenu mawahabi na zetu tuone ni kinanani wnfnya bid'a bila ya hoja
@FadhilyOthman
@FadhilyOthman 2 ай бұрын
Jongo mzushi tu fala mkubwa
@rashidyusuphmwatebela8802
@rashidyusuphmwatebela8802 2 ай бұрын
Kwa huku kwetu Fala ni tusi, haifai kumwambia hivyo. Ni kweli amekosea sisi tusikosee tena
@YusufuMustafa-c5m
@YusufuMustafa-c5m 2 ай бұрын
Jongo janjaja janjajanja hana hoja za kielimu.Maulidi sio ibada ingekuwa ibada wangeanza kufanya maswahaba
@taurehassan7399
@taurehassan7399 2 ай бұрын
Muulize sudes kayaelewa maulid ssahv anayasoma,ww bki na nta yko y sikio icyockia dawa,utkfa hli y kuwa kiziwi na bubu na upofu na mlemavu wa elimu
@allyally5156
@allyally5156 2 ай бұрын
Utateseka sana
@Hamis-ks1sy
@Hamis-ks1sy 2 ай бұрын
@@taurehassan7399 kwani Sudeis ni Swahaba au ulamaa wa ahlusunna?? Ungetuambia Fauzan kidogo ungetushtua
@taurehassan7399
@taurehassan7399 2 ай бұрын
@@Hamis-ks1sy ssa fauzani na ibnu taymiah Nan mkubwa kielimu?au ibn baaz,au Ahmad dahlaan au imamu suyutwi auibn hajari assaqalaani,wte Hawa wamekubali maulid ndgu yngu soma wasikupeleke peleke bila ya kusoma tumepewa akili,na wte hao kila mmoja amekubali maulid
@walidmgonja3644
@walidmgonja3644 2 ай бұрын
Masalafi ni mayahudi,ni mtandao wa ujasusi unaoratibiwa na mayahudi kwa lengo la kuudhibiti uislam.
@nurdinikisoma5452
@nurdinikisoma5452 2 ай бұрын
Naomba ubainifu juu haya maday yako
@hldysnlk
@hldysnlk 2 ай бұрын
Illa ninyi Waislaam mnaojizungumzia maneno mabaya juu ya waislaam waliokamatana kindakindaki na sunna na kunusuru na kubainisha waharibifu wa dini kuwa ni pote la uyahudi..tahadharini sanaa juu ya kauli zenu mbele ya Allah zitakuja kuwafunga. Acheni kabisa kuendesha dini kibubusa na kufuata mazoea..
@AliKhamis-j9z
@AliKhamis-j9z 2 ай бұрын
Muogope Allah utaulizwa
@faridfrefre35
@faridfrefre35 2 ай бұрын
Lete ushahid
@badirashid4668
@badirashid4668 2 ай бұрын
Toa ushahidi 😂
@abuuiqrimah1125
@abuuiqrimah1125 2 ай бұрын
Mcheni Allah nyie makurafi
@hamzakimaro3764
@hamzakimaro3764 2 ай бұрын
majahili wa KISUFI!!
@allyally5156
@allyally5156 2 ай бұрын
Utateseka sana bahati nzuri huna Pepo Elimu ndogo kama bukta Yako kwahiyo hapo unaishi maisha ya mtume
@FahdIbnyussuf
@FahdIbnyussuf 2 ай бұрын
USIITUMIE RAI KTK UISLAMU KWA KUTUMIA AKILI YAKO CHAFU MUFTI JONGOOO
@mohamedhamismagoraonlinetv459
@mohamedhamismagoraonlinetv459 2 ай бұрын
Kwahiyo uislamu umekataza mila hata ambazo hazikhalifu sheria? Mjifunze kuwa na adabu mnapojiona elimu zenu ni ndogo na mjue mipaka yenu acha kibri
@AbuwNibras926
@AbuwNibras926 2 ай бұрын
Uyu mzee ni kadhaabuu anazeeka akiwa ni kadhaabu Mjumbe baraza la ulamaaa kumbe uku kuna ulamaa nyie amuwasemi mashia wanaotukana maswahaba
@abdulmuminabdullah1296
@abdulmuminabdullah1296 2 ай бұрын
Mzee wewe ni muongo
@ahmedrage9664
@ahmedrage9664 2 ай бұрын
Weee jaaahil Yani unatanguliza Mila dhidi ya uislamu
Мама у нас строгая
00:20
VAVAN
Рет қаралды 10 МЛН
Из какого города смотришь? 😃
00:34
МЯТНАЯ ФАНТА
Рет қаралды 2,5 МЛН
Twin Telepathy Challenge!
00:23
Stokes Twins
Рет қаралды 98 МЛН
Ice Cream or Surprise Trip Around the World?
00:31
Hungry FAM
Рет қаралды 21 МЛН
MKUTANO WA WANATI WA LAMU 22 November 2024
1:00:18
Abu Shuraim
Рет қаралды 2,4 М.
SURATUL KAH FI NA MAAJABU YAKE MUUMINI SHEKHE NASSOOR BACHU
45:54
Madrasatulfurqani Tv
Рет қаралды 1,3 М.
HASIDI HAKUCHUKII WEWE TU // SHEIKH OTHMAN MAALIM
34:01
arkas online tv
Рет қаралды 14 М.
KHUTBA YA IJUMAA UMUHIMU NA UBORA WA KUKUMBUKA MAUTI SHEIKH HUSSEIN POCHO
27:42
Мама у нас строгая
00:20
VAVAN
Рет қаралды 10 МЛН