VURUGU ZAIBUKA MSIBANI, WANANCHI KWA HASIRA WAZOMEA WAZIRI AKIONGEA, WAFANYA FUJO KUBWA/ "AONDOKE"

  Рет қаралды 69,360

Uhondo TV

Uhondo TV

Күн бұрын

#UhondoTV #Uhondo

Пікірлер: 321
@RegnaldMushi-y2q
@RegnaldMushi-y2q 7 күн бұрын
Kuna cku hii nchi haitakalika hi miyoyo Ina majeraha sana!
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 7 күн бұрын
Tumeumia sana sana kwahiyo tunaumia sana kwa kumtolea uhai wa Ally Mohamed Kibao.
@GraceKazi-z8d
@GraceKazi-z8d 6 күн бұрын
Safi sana nawapongeza ! Inaumiza sana tena zaid ya sana kuondoa furaha ya familia! Polen sana ndg zang, Mungu atatujibu maombi yetu,hao majambazi watakutana na hasira na gadhabu ya Mungu kabla huu mwaka haujaisha. Inshaalah
@Zivago12
@Zivago12 7 күн бұрын
Masauni AONDOKEEEE
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 7 күн бұрын
Hata sisi ambayo hatuko kwenye msiba tunaumia sana kuona majambazi yanakuja kwenye huo msiba.
@rosetreffert4179
@rosetreffert4179 7 күн бұрын
Mnatanguliza watu alafu bado mnapa kazi Mungu wetu 😢
@HassanMaftaha-w4e
@HassanMaftaha-w4e 7 күн бұрын
anapata wap ujasir wa kuzungumza akiwa yy ndio kiongoz wa hilo genge la utekaji😭😭😭
@kichenjekichenje2072
@kichenjekichenje2072 7 күн бұрын
Na Mimi pia najiuliza hili swali
@FunnyChess-ns9vf
@FunnyChess-ns9vf 7 күн бұрын
Una uthibitisho wa hicho unachokisema Yaani mngejua sheria za msiba Mnaleta siasa hadi misibani Inah lilah wainah ilayh rajiun
@MesiaMtui
@MesiaMtui 7 күн бұрын
Usisahau alikuwa mwanasiasa kwa hiyo lazima waseme wasifu wake ktk kazi na ndio mahali pa kusemea kwa waziri husika mana wengine hawaonekani ndugu Yako akipotezwa au kutekwa utaelewa tu​@@FunnyChess-ns9vf
@charlesmakuri792
@charlesmakuri792 7 күн бұрын
Una uakia jinga ndio nyie mnaeneza uzushi
@kichenjekichenje2072
@kichenjekichenje2072 7 күн бұрын
@@charlesmakuri792 mbona wewe humuulizi Mama ako ili upate uhakika kama huyo ulienae ni baba ako kweli au alichepuka ndipo ukazaliwa wewe mbwa?
@SamsunGalaxy-e5k
@SamsunGalaxy-e5k 7 күн бұрын
Moyo wa subira upatikane wapi mnavozidi kuteketeza watu
@abdallamohdhiyonineematush408
@abdallamohdhiyonineematush408 7 күн бұрын
Mauti leo imegeuka siasa Allah ampepepo maiti wetu amina
@SmilingElectricCar-ds4li
@SmilingElectricCar-ds4li 6 күн бұрын
Kweli 😢😢😢 wanageuza jukwaa la siasa
@siaammo1104
@siaammo1104 7 күн бұрын
Mmm tunakoelekea kwa kelel hizo siyo kuzuri serikali inatakiwa itafakarii upya haya mambo yanayoendelea siyo mazurii kwenye jamii yetu.
@jeremiahblazio4781
@jeremiahblazio4781 7 күн бұрын
Viongozi wa nchi ndio watakaoharibu amani ya nchi.
@DeogratiusAndrew-zi7zv
@DeogratiusAndrew-zi7zv 7 күн бұрын
Amani haipo ndugu upo utulivu
@BakariMapua-t9u
@BakariMapua-t9u 7 күн бұрын
​@@DeogratiusAndrew-zi7zvkwel kaka
@DeogratiusAndrew-zi7zv
@DeogratiusAndrew-zi7zv 7 күн бұрын
Kwasababu watu wanauliwa kama kwa kagame rwanda maana nimekuwa huko mtu akimkosoa tuu anauliwa, sasa tutaenda wapi kama hali nihii kaka?
@DeogratiusAndrew-zi7zv
@DeogratiusAndrew-zi7zv 7 күн бұрын
Unafikiri kaka kwa hali ilivyo watu tunaishi hakuna raha watoto wanabakwa wanauliwa hali sio shwari kabisa kama tupo nchini Rwanda
@user-bz2yc2td3c
@user-bz2yc2td3c 7 күн бұрын
Ewe mwenyezi mungu tuepushe na ghasia nchini mwetu amiiina insha allah
@zidinayusuphyusuph
@zidinayusuphyusuph 7 күн бұрын
Mungu tulinde na haya
@Zivago12
@Zivago12 7 күн бұрын
UMETIWA AIBU MASAUNI
@lulanjamd3886
@lulanjamd3886 7 күн бұрын
Kifupi hatuna imani tena na Ccm
@FadhiliDolla
@FadhiliDolla 7 күн бұрын
Sio CCM serekali yote kiujumla haijali wananchi wake kama uhuru wa kutoa maoni haupo katiba haifatwi haki hatutaipata😢
@HanifaOman-oo4pl
@HanifaOman-oo4pl 7 күн бұрын
Ukiwamru waselikali kweli hanakua ugali Dini. Masaun ni.muislam maashaallah. Ilamtihani waimani anaahindwa kuendahaki kwaajili ya pesatu. Za chama Allah atuongoze
@DiwaniMwafongo
@DiwaniMwafongo 7 күн бұрын
Huyu waziri boya Sana...hakuweza kusoma alama za nyakati? Aleta DS wakati ndio wauaji??
@FranckDaniel-cc5rg
@FranckDaniel-cc5rg 7 күн бұрын
Una ushahid siasa ni mchezo hatar Acha kukurupuka
@DiwaniMwafongo
@DiwaniMwafongo 7 күн бұрын
Marehemu kauawa na vyombo vya ulinzi..... Kama umeenda shule he has been assassinated, ameuwa kwa Sababu za kisasa... Wauaji ni askari, wa serikali ya CCM... Unahitaji degree kujua Hilo... Au uko mwezini?
@zawadimbwambo1091
@zawadimbwambo1091 7 күн бұрын
Namkumbuka yule kijana aliemchapa mwinyi kofi kama angekua hapo angemtoa mate huyo pwaa
@DiwaniMwafongo
@DiwaniMwafongo 7 күн бұрын
@@zawadimbwambo1091...Nchi hii ya ajabu.. Eti waziri atoka serikali inayoteka na kuua watu ahudhulia mazishi ya waliyemuua( Mzee Ali has been assassinated) Sisi watanzania SI mbwa ni makondoo !!!
@SmilingCityMap-xb9md
@SmilingCityMap-xb9md 6 күн бұрын
Watanzania wana moyo wa uvumilivu sana sana sana kweli na amani yetu iko moyoni tunaomba selekali yetu mtusaidie kuilinda amani yetu hatutaki kuona damu zinamwagika hapa hatutamani kupoteza vijana wetu hapa tunaomba mungu atusaidie
@ESTERMWAKAJUMBA-b6u
@ESTERMWAKAJUMBA-b6u 5 күн бұрын
Mungu wa mbinguni ataijibu
@kilianakitanda9470
@kilianakitanda9470 7 күн бұрын
Inabidi ifike mahara watu wa ccm tuwakatae kuhutubia kwenye misiba kama hii. Wanajua wanayoyafanya.
@mugemainyas5241
@mugemainyas5241 7 күн бұрын
Mbowe ana busara sana. Anaumia anajua kilichofanyika. Viongozi angalieni sana kuja kwenye msiba na kusema mnasindikiza aende mbele ya haki ambayo ninyi ndo mnasadikika kuwaharakisha watu waende mbele ya haki sio sawa. Police na mkuu wao waachoe ngazi mara moja.
@ThomasMayogu-z2h
@ThomasMayogu-z2h 7 күн бұрын
🤔dah!! mheshimiwa waziri kaadhirika sana hii inafanya serikali kushushiwa hadhi waziri kugomewa n raia🇹🇿 MUNGU atuepushe.
@HolloJuma
@HolloJuma 7 күн бұрын
Wazili jiuzuru tumechoka
@rosetreffert4179
@rosetreffert4179 7 күн бұрын
Kabisaa
@RestitutaNjau-k8x
@RestitutaNjau-k8x 7 күн бұрын
Kweli kabisa hatoshi kwenye hiyo nafasi.Hivi Rais haoni hilo
@evodirudo4813
@evodirudo4813 7 күн бұрын
Hatoshi kabisa Yani aachie ngazi hiyo
@user-lt1bi5nr1x
@user-lt1bi5nr1x 7 күн бұрын
Sasa waziri afanyeje jamani
@masalakulwa7601
@masalakulwa7601 7 күн бұрын
​@usera-lt1bi5nr1x ajiue
@mwalimukhalid3580
@mwalimukhalid3580 7 күн бұрын
Mungu amrehemu maiti wetu na tumwachie Allah ndiye hakimimu wa yote
@gatimakonge8678
@gatimakonge8678 7 күн бұрын
CCM....😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭 MUNGU YUPO NA ANAWAONA
@bettyrugemalila9185
@bettyrugemalila9185 7 күн бұрын
Hao waliomteka na kumuua c waje hapo msibani wateke watu wote hao na kuwaua.hvi kwani wenyewe hawtakaa wafe wataishi milele,pumbavu kabisa😢😢 inauma cna
@JojoJoji-h8g
@JojoJoji-h8g 7 күн бұрын
Uwe bas na huruma kufa kwa binadamu siyo jambo dogo usiongee ujinga subir imkute mwanao
@christinenyagiro6662
@christinenyagiro6662 7 күн бұрын
Kwa nini asipigwe na kutupwa kwenye msitu Jambazi kubwa linalo tuma majambazi yake kuendelea kuteka watu. Tulia alisema hajaona watekaji ni katika wale wanaongoza majambazi kuteka watu na kuuwa.
@nikodemmwahangila3334
@nikodemmwahangila3334 7 күн бұрын
Mungu ibaliki Tanzania yaondoe haya matukio mabaya ktk nchi yetu poleni sana
@BabaBabalili
@BabaBabalili 7 күн бұрын
Kuna muda mambo mengi hayahitaji kuwa na elimu ya uchunguzi ni akiri ya kawaida2 kwamba serekali inahuska moja kwa moja na pia serekali imebak ya family frani syo ya wanainch tena bari watu wanao jipenda wenyewe na family zao huku wakiumiza family za wengne. 😢😢😢😢
@gatimakonge8678
@gatimakonge8678 7 күн бұрын
CCM....... UUUIIIIIIIIIIIII 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
@adoniemanuel908
@adoniemanuel908 7 күн бұрын
Haya ndio viongozi watakutana nayoo kila mahali
@BrunoNamanga
@BrunoNamanga 7 күн бұрын
Mungu ibariki Tanzania ama kwa hakika Mungu ibariki Tanzania na watu wake
@RestitutaNjau-k8x
@RestitutaNjau-k8x 7 күн бұрын
Kweli hatorudi,ila dhuluma inayoendelea ktk Taifa letu ndiyo inayopigiwa kelele
@AndrewMoses-c7c
@AndrewMoses-c7c 7 күн бұрын
Je itakua mwisho wa utekaji, upoteaji na uuaji wa watu ndani ya Taifa hili!?😭😭😭
@EnockManase-df9sf
@EnockManase-df9sf 7 күн бұрын
Damu wanazomwaga zitawatafuna
@rosetreffert4179
@rosetreffert4179 7 күн бұрын
Viongozi mzigo wa taifa 😢 kazi imewashinda
@hakambashe8421
@hakambashe8421 7 күн бұрын
Wanachi wako sawa bana viongizi they are playing incapable, wazir anaongea nin sasa hapo
@sebastianthadeus5270
@sebastianthadeus5270 7 күн бұрын
We nyumbu sana sijui kwa Nini watanzania ni wavumilifu sana huyo anatakiwa apigwe mawe !!
@machintangachibwena5922
@machintangachibwena5922 7 күн бұрын
Kabisa apigwe mawe hapo hapo
@emmanuelmogela5871
@emmanuelmogela5871 7 күн бұрын
Mboe unabusara ya Hali ya juu
@LeonidasStephano
@LeonidasStephano 7 күн бұрын
kuna siku watapigika hadharani
@allymbaga2162
@allymbaga2162 7 күн бұрын
Watu wamechokaaa
@sskondopoleani9616
@sskondopoleani9616 7 күн бұрын
Mhhhh haya ukweli UTAJULIKANA.
@josephmahando493
@josephmahando493 10 сағат бұрын
Kumbe Mboye anajuwa , chadema ndo wenye vurugu nchini, yawezekana hata watekaji ni hao hao, Mboye akikataa wataacha, Waziri katafutiwa nafasi ya kuzungumza ila sijasikia cha maanaa kutoka kwake.
@omarimamboleo2634
@omarimamboleo2634 7 күн бұрын
Msiba juu ya msiba dunia kweli imeesha watu wanaleta siasa kwenye misiba Nyie waendekezeni tu wanasiasa tutakujakulia midomo juu
@DesertTears
@DesertTears 7 күн бұрын
Yani mumuue Kisha mumuombee dua??? Aise🤔🤔🤔🤔
@user-pw4bc7sr5y
@user-pw4bc7sr5y 7 күн бұрын
Asalaam kwenye MSIBA huwa hamna tabaka ni kumwombea maiti aliyetangulia mbele ya HAKI aminaaaaaa
@MuzneOthman-l7i
@MuzneOthman-l7i 7 күн бұрын
HAKIKA
@RestitutaNjau-k8x
@RestitutaNjau-k8x 7 күн бұрын
Anyamaze tu
@chage97
@chage97 6 сағат бұрын
Huyu mbwa ndo muuaji namba moja
@msukumamnywamaziwa2785
@msukumamnywamaziwa2785 7 күн бұрын
😮😮😮😮
@allynassoro8448
@allynassoro8448 7 күн бұрын
Nashangaa kwa Nini mnamkaribisha adui huyu
@maryamsuleiman6340
@maryamsuleiman6340 7 күн бұрын
Kwa Allah umeenda kuzika na Mungu atakuona amekupokea ,ila kw hali ilivo hukupaswa ,mana vidole vimekuelekeeni ,na Mungu ndoanajua kilichojiri ALLAHU YAALAAM
@gerevasliyunga9831
@gerevasliyunga9831 7 күн бұрын
Dah dah hii aibu sana
@samwelnevele7796
@samwelnevele7796 5 күн бұрын
Polisi mko wapi waziri anafanyiwa hivi nchi inaenda wapi mtandao umerekodi hayo waitwe polisi hakuna nchi isiyo na sheria
@omarymbaraj8072
@omarymbaraj8072 6 күн бұрын
Mtihani
@matakamataka9438
@matakamataka9438 7 күн бұрын
Inalilah wainaillah rajiuun
@user-kd9dc4li7f
@user-kd9dc4li7f 6 күн бұрын
Kwani Nyinyi CCM munataka kukaa madarakani mpaka mwaka gani ww masauni ni mnafiki mkubwa ww Unamjua mwenyezi mungu kweli
@VailetPiter
@VailetPiter 6 күн бұрын
Huna haya
@EzekiaKabuje
@EzekiaKabuje 6 күн бұрын
Tumechoshwa tanzinia tukimbilie wapi ichi yangu jamani mludishe kamanda siro alimdu sana ichi ilitulia makamanda mnaobadilisha hao inawakosti selikali yangu
@aliyageorge6794
@aliyageorge6794 7 күн бұрын
Huu msiba umeniuma! Huyu muuaji yupo humu kwa nini?
@tanzanite9944
@tanzanite9944 7 күн бұрын
Alimuua bMwma yako?
@MusaOgwoko
@MusaOgwoko 7 күн бұрын
Mko sawa kabisa
@MonicaMushi-z8s
@MonicaMushi-z8s 6 күн бұрын
Wahusika anawajua vizuri sana. Wanajikoaha. Kwani wameanza leo eti nchi haijawahi kuvumilia na haitaweza kuvumilia. Kwani walimpiga risasi lisu walikuwa hawajulikani?
@dorafrank523
@dorafrank523 6 күн бұрын
Mnaofanya utekaji na mauaji mnaiingiza nchi kwenye machafuko jaman acheni ubinafsi angalien hali ya nchi watu wanapoteza uvumilivu kidogo kidogo
@salimumohammedsalimu1720
@salimumohammedsalimu1720 7 күн бұрын
Masauni you must go for real this is more than pain
@samwelnevele7796
@samwelnevele7796 5 күн бұрын
Waziri ametembea bila ulinzi kwanini wanaruhusu hilo litokeee
@khaliduhadi2336
@khaliduhadi2336 5 күн бұрын
Ndugu yangu katika Imani mh masahuni Kwa hili Fanya hekma jiuzuru Kwa manufaa ya heshima ya family Yako na taifa pia Hali Tete sana watu sasa wakikamatwa na police Imani imekuwa ndogo kuliko zamani police wakikukamata unajuwa upo mikono salama mpaka ishu Yako inakwisha lakini sasa taharuki imejaa watu wana hofu.
@JfourHumbi
@JfourHumbi 7 күн бұрын
Safi sana mumeonyesha ujasili
@Ahmedseif-l5g
@Ahmedseif-l5g 7 күн бұрын
Anafanya nini hapo huyo dhalimu mkubwa hao ndio wauwaji ccm
@nbwchannel4997
@nbwchannel4997 7 күн бұрын
Kwani kauwa yeye?
@ismailmutanda3007
@ismailmutanda3007 7 күн бұрын
​@@nbwchannel4997 wauwaji wako chin ya nani kwani ??
@Ahmedseif-l5g
@Ahmedseif-l5g 7 күн бұрын
@@nbwchannel4997 ndio kundi lao hao hao wenyekujichukulia madaraka yasiyo kua halali yao
@evodirudo4813
@evodirudo4813 7 күн бұрын
​@@nbwchannel4997kwani wewe huoni watu wanvyo potea na kuuawa hivyo nayeye ndiye wazuri mwenye dhamana
@JacksonMarko-qb7kj
@JacksonMarko-qb7kj 7 күн бұрын
Wanafki wakubwa asingetia miguu hapo
@MathayoLazaro-h3k
@MathayoLazaro-h3k 7 күн бұрын
Hii haivumiki Tanzania hii imegeuka kuw kiziwa Cha damu siyo Cha amani kama Wanacho dai wao serikali wa nchi hii inaumiza sana
@rosetreffert4179
@rosetreffert4179 7 күн бұрын
Acheni kumpa Mungu kazi ziada 😢 Mungu ajasema watu wauawe😢😢 huyu waziri anatia hasira
@khadijahamisi5561
@khadijahamisi5561 7 күн бұрын
Kifo kimeniuma hiki mpaka sasa kichwa kinaniuma san naona km nibaba angu kupingwa mzee kama uyu mpaka kufa jaman jaman
@SalehSonda-bz3hl
@SalehSonda-bz3hl 5 күн бұрын
Mueshimiwa mboe in kiongozi
@herryabely3831
@herryabely3831 7 күн бұрын
Waziri ajitathimini under Doctrine of Accountability
@mage5371
@mage5371 6 күн бұрын
Huu msiba c wa mwenyekiti wenu" no huu ni wananchi wote tunalaani ndani na nje ya tukio na wengine hatuna cha siasa, ivo tafuteni maneno yakuongea TUMECHANGANYIKIWA SANA SANA
@iddijuma6152
@iddijuma6152 7 күн бұрын
waziri wewe nikiongozi bora na mungu akupe subra na hekma katika maisha yako
@apostlemussaonlinetv
@apostlemussaonlinetv 7 күн бұрын
Anaubora gani? Kusifia ujinga tu
@martinisadru9899
@martinisadru9899 7 күн бұрын
Inauma sana, japo niliipenda CCM! ivi kweli askari mstaafu anauliwa kama kuku, je sisi tusio askari itakuaje? Pumzika kwa amani ally kibao mwanga wa milele ukuangazie.
@saidrakwe8727
@saidrakwe8727 7 күн бұрын
Mr bowe ana falsafa kubwa ya uongozi na ya uongeaji: tofauti ya viongozi wengine hufuata shangwe tu
@RajabuLanda
@RajabuLanda 7 күн бұрын
Wakirishe kwann kwako mwenyewe usiyesikiya virio vyawatu
@MkudeSimba-fg1sf
@MkudeSimba-fg1sf 7 күн бұрын
WATANZANIA MPUNGUZE WOGA MTU ANACHUKULIWA KWENYE BASI ANAONDOKA LEO TUNALIA UONGO TUPU KWENGINE ASINGE SHUKA LABDA ANGENUSULIKA
@josephmahando493
@josephmahando493 10 сағат бұрын
Hivi masauni ametokea jimbo gani, Aibu tupuuuuuu
@issaissa1361
@issaissa1361 6 күн бұрын
Uyo ni anae fahamika wsio fahamika ni wangapi wameuwawa
@FadhiliDolla
@FadhiliDolla 7 күн бұрын
Achia maiki jasusi msaididizi wa serekali wew
@PartySekemi
@PartySekemi 6 күн бұрын
Waziri afukuzwe kazi hadi mfagizi wa ofisi
@FrankzenoMbwago
@FrankzenoMbwago 7 күн бұрын
Chadema hamjitambui,viongizi wenu ndio wauwaji Kwa uchu wa madaraka
@hemedchuma9-cq4nh
@hemedchuma9-cq4nh 7 күн бұрын
Dua la mh waziri amemeksi na vijembe hahahaha ❤tz
@peterbujari5128
@peterbujari5128 7 күн бұрын
Mmemuua halafu mnaenda kujitimisha kusudi lenu??? MUNGU anawaina
@josephjulio6112
@josephjulio6112 7 күн бұрын
Pointi za maombi yake za kihuni
@SamsunGalaxy-e5k
@SamsunGalaxy-e5k 7 күн бұрын
Ccm ndio mtaletesha vita tanzania na tukiangalia ilikuwa nchi ya amani
@BakariMapua-t9u
@BakariMapua-t9u 7 күн бұрын
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ nimependa sana ujasil i huo 😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢
@errydeo8865
@errydeo8865 7 күн бұрын
Akitaja jina kwanini anadhindwa kusema ALIYEUWA!?
@MkudeSimba-fg1sf
@MkudeSimba-fg1sf 7 күн бұрын
WAZILI TUNAJESHI KWELI INAONEKANA WAZI SERIKALI NDIO SIMBA MLA WATU
@ibnkhaldoun9694
@ibnkhaldoun9694 6 күн бұрын
@ HHHH KAKA UNAKIMBUSHA MBALI ,MIAKA ILE YA 80 TUNDURU ALIIBUKA SIMBA AKAITWA SIMBA KIDAWA ALIKUWA AKITAFUNA WATU KWELI KWELI.JE SIMBA KIDAWA KARUDI?
@DeogratiusAndrew-zi7zv
@DeogratiusAndrew-zi7zv 7 күн бұрын
Huyu kiongozi masauni amepoteza kibali kwa umma kwani kwanini hana sauti kama mawaziri wa wizarahiyo walio mtangulia , mpaka rais aongee yeye kaziyake nini ?
@YusufDuale-eq4kl
@YusufDuale-eq4kl 7 күн бұрын
Anajifanya hajui kinachoendelea kuusu mauaji
@Kusag-i9z
@Kusag-i9z 7 күн бұрын
Wamechuakua mazambi zake
@nelsonnyamle
@nelsonnyamle 7 күн бұрын
Inaudhi sana kuona watu wanatekwa halafu wanauwawa halafu kiongozi wa wizara huzika hajiuzulu yaani imekuwa poa tu😭😭😭😭😭😭😭
@FadhiliDolla
@FadhiliDolla 7 күн бұрын
Putin tuletee bunduki tusonge front tu ishakua too much😢😢
@SamsunGalaxy-e5k
@SamsunGalaxy-e5k 7 күн бұрын
Mtu akiongea ukweli mumteke si vizuri watoweni wote mliowateka
@glorykastai3996
@glorykastai3996 7 күн бұрын
Sasa waziri anaomba nini badala ya kusema yaliyompeleka kisha aondoke ameyataka mwenyew watu wanajaziba yeye anasali kweli shida Mungu utusaidie
@heripaulo1008
@heripaulo1008 7 күн бұрын
Hatari soma hilo
@allyalsubhy6899
@allyalsubhy6899 7 күн бұрын
Allah Akbaru
@melichmahingule2896
@melichmahingule2896 7 күн бұрын
WAZIRI AMEKOSEA KWENDA MSIBANI, INSUMA SANA, VIJSNA WAKE WAMRUA HALAFU NAYEYE ANAENDA HAPO TENA,??
Je peux le faire
00:13
Daniil le Russe
Рет қаралды 19 МЛН
ПРИКОЛЫ НАД БРАТОМ #shorts
00:23
Паша Осадчий
Рет қаралды 5 МЛН
МАИНКРАФТ В РЕАЛЬНОЙ ЖИЗНИ!🌍
00:31
⚡️КАН АНДРЕЙ⚡️
Рет қаралды 35 МЛН
Nastya and balloon challenge
00:23
Nastya
Рет қаралды 52 МЛН
Je peux le faire
00:13
Daniil le Russe
Рет қаралды 19 МЛН