Jamani Bwana Asifiwe sana! Leo Novemba 3, 2024 wimbo huu umenibariki sana! Mungu awabariki watunzi, waimbaji, wapiga ala za muziki. Hakika mmenipa nguvu zaidi kupitia wimbo huu. Jumapili njema kutoka hapa New Jersey! Glory and Praise to God🙏🛐 Kama nawe wimbo unakubariki gonga like👋❤️
@tonia-chimezieАй бұрын
Amen 🙏 😊
@sidimasha662611 ай бұрын
2024 kama unaskiza hii nyimbo God bless you
@StephanoAmos-p9v7 ай бұрын
Amen
@NyanjimaThomas-n3s5 ай бұрын
Amen
@E-wabwire2 ай бұрын
Amen
@EvaristeKimba-l1d28 күн бұрын
Apana kwetu Congo 🇨🇩 tunafata adi leo
@onyamonynoahnyakundi40358 ай бұрын
Hadi 2024..Bado tunasikiza utamu wa choir wa uinjilisti kijitonyama. Kenya tuko ndani kabisa
@NewphoneJordan7 ай бұрын
Uganda pia, tuko ndani kabisa
@chi30495 ай бұрын
🇰🇪 🇰🇪
@yonadaremo427610 ай бұрын
2024 barikiwa sana
@wangwarutangye530910 ай бұрын
I love this choir with all their inspiring songs. God bless you all
@mtaifahamukweli7350 Жыл бұрын
2023 tuliopo tujuane humu
@monicahmwalozi Жыл бұрын
Msalaba wa Yesu umeniokoa na dhambi 🙏🙏🙏😭😭
@preciouschild124611 ай бұрын
2024 the song is still 🔥🔥🔥🔥🔥
@susanchintu374911 ай бұрын
2024 January still enjoying this music
@ChumaBisenga9 ай бұрын
My favourite song when i was still very young❤❤❤ till now i still love it
@kefa20028 ай бұрын
Sijui mwaka huu ni upi ila jua hii nyimbo nimeisikiliza tokea Mwaka 2024,najua ulikua bado hujazaliwa,Naongea na kizazi cha 2044 miaka 20 ijayo…🙏🙏🙏
@godlistennnko17893 ай бұрын
Huu wimbo nausikiliza 2024-10-14. Naongea na kizazi cha 2050 kijue kuwa 2024 wimbo ulikuwa na miaka 20 na zaidi na tunatamba nao
@ANDREWZACHARIA-t9xАй бұрын
Hakika upendo wa Mungu kwetu umeleta uzima,furaha,aman na ushirika nayeye Mungu; kama hapa dunian nyimbo za injili zinaleta uponyaji kweli kule mbinguni ni zaidi ya apa Yesu nisaidia niweze kuipenya mbingu.
@sarahtaste2876 Жыл бұрын
Huu wimbo DJ asipopiga kwenye harusi yangu simlipi
@ANDREWZACHARIA-t9xАй бұрын
😂❤
@reginamluviji94056 жыл бұрын
kama unaendelea kuburudika wimbo huu kama mm mpka leo 2018 gonga like yako hapaa
@moseskofficial70353 жыл бұрын
If you are listening to this song now. May God be gracious to you 🙏🙏🙏🙏
@evalinemutheu73152 жыл бұрын
Amen
@charitablekunda7551 Жыл бұрын
Amen
@sabinamusembi35515 ай бұрын
AMEN AND AMEN
@nasimiyulubisia36775 ай бұрын
Amen
@NyanjimaThomas-n3s5 ай бұрын
Amen 🙏
@BrianKiprop-o9k9 ай бұрын
Amen amen, baraka mfululizo Mungu awabariki sana
@leahdaniel1117 Жыл бұрын
Nyimbo nzuri zilizojaa UTUKUFU Hadi mbinguni malaika wanashangilia haleluya
@michaellubuy75632 жыл бұрын
*THESE SONGS COMFORTED US IN THE REFUGEE CAMP MAHEBA ( MEHEBA ) SETTLEMENT AND DRAWED US CLOSER TO GOD . MAY THE LORD JESUS CHRIST REWARD YOU FOR EVER AND EVER , AMEN* 😍🥰🥰🙏🙏🙏
@veronicahmweemba326 Жыл бұрын
Still looking this song even though I don't know Swahili
@edwinaggrey97716 ай бұрын
Ooh!! May God bless you however much you don't get it ❤️
@ruthmaina-uz6mg10 ай бұрын
Unanikumbusha mbali sana 🇹🇿🙏🙏😂
@paulinershaban61703 жыл бұрын
Me naipenda sana Albam yao nzima nyimbo zao zinani bariki sana💕🙏Mungu abariki 26/5/2021
@dontweve52593 жыл бұрын
Nakumbuka sana mwaka 2001 hizi kazi zinatoka tunaenda kuangalia wanasema mkae chini sio kwenye kochi mbalikiwe sana watumishi wa mungu🤝🤝🤝🤝🤝
@mpendwacravery1263 жыл бұрын
Hi ni mwaka wa kumi na mbili tokea nianze kuisikiliza hoi ngoma....ajabu ni kwamba hakubali kupungua utamu....mwaka huu imejiova dozi....kumbe tutakuwa nayo mbinguni!!
@chisolakatungu62783 жыл бұрын
This song reminds of husband of my youth, we married very young and innocent we had our own share of problems as expected of a young couple but love always led, too bad the cold hand of death had to separate us just 9 years after marriage, Costa Gumbo rest in peace my love, your kids are all grown, we even have a grand son named after you
@TimothyWataka3 жыл бұрын
May his soul continue resting in peace 🙏🏾
@shabanihassanikabelela28392 жыл бұрын
Pole sana hakuna mponyaji kama YESU azidi kukutia nguvu
@mwanaidimdee40392 жыл бұрын
SIO you LOVELY myMY@@TimothyWataka You my Way YOU ÊEEmy youway TO my way TO YOU my wangu Anatuma
@womanofvalour7755 Жыл бұрын
If you agree with me that a song inspired by the Holy spirit will transcend generations or should I say it is not subject to time...look at the video of this song but the voices and the anointing is delivering the purpose. Bwana usifiwe milele
@deboranachula11 ай бұрын
That's true
@deniroulewahshorts4 ай бұрын
MILELE NA MILELE
@ojokrichard-c2e2 ай бұрын
very true woman of favor
@bravo2548 Жыл бұрын
Kama uko hapa in 2023 God bless you so much❤️❤️
@benardchinua6746 Жыл бұрын
Wakati mwingine huwa najiuliza kwa Nini nyimbo fulani tu zikiimba unaona mbingu na zingine hapana???? Ni swali muhimu kwangu wapendwa. God bless Kijitonyama choir ❤❤❤🎉🎉🎉
@jacklinedeus60682 ай бұрын
Ukisikiliza nyimbo unaona mbingu Ujue zina uvuvio wa RohoMtakatifu.na hizo zingine hazina uvuvio wa RohoMtakatifu.kwa dunia ya sasa michanganyo ni mingi.lakini bado Mungu kajisazia wanaomwimbia katika Roho na kweli.binafsi nilipata ufunuo kuhusu kwaya hii.wimbo huu ukipigwa mbinguni wanafurahi nao hucheza pamoja na wanaouimba.Mungu awabariki waimbaji wote wanaoimba katika Roho na kweli.Amina.
@mrtume.20533 жыл бұрын
The solo guitarist is going straight to heaven
@beatricewandia6904 Жыл бұрын
😅
@sarahkimambo5324 Жыл бұрын
😂😂😂 Amen
@StyleandMusic552 Жыл бұрын
Its beautiful
@jimmyoyat7717 Жыл бұрын
Thank you, best comment 😂❤❤❤
@Lilley963 жыл бұрын
Growing up listening to these songs gave me the best childhood memories
@nabwirecarol87953 жыл бұрын
I thank God for Tanzanian s am blessed by their music always, may God enlightened there work
@millahboy50123 жыл бұрын
True
@gabrielpetermziray18373 жыл бұрын
U spoke my mind 😍
@isayasanga13222 жыл бұрын
Aise hakuna kama mungu 🙏🙏🙏
@wangarikangangi3727Ай бұрын
Real😭
@LuciasJourney11 ай бұрын
I grew up listening to this choir and lord my childhood unlocked 😅
@RecksonSanga-te7bl Жыл бұрын
❤❤❤❤ziko pw sana
@shemmwaka87077 жыл бұрын
Music must have originated from Tanzania. God blessed that nation long ago before even they knew
@nyabisemaro20956 жыл бұрын
Even you God bless you're Nation
@godwinkibet97256 жыл бұрын
Truly blessed.. I love their music
@charlesbbosa824 жыл бұрын
Tanzanians are the most humble people on earth right from their top leaders!
@JayOchieng15 жыл бұрын
2020 listening from Kenya I remember my mother used to listen to this song back 2003 when I was 8yrs old.I that Panasonic radio
@lancevb93436 жыл бұрын
Uimbaji, ujumbe na wito hii ni kwaya bora zaidi kuwahi kutokea Tanzania. Mungu awabariki sana
@nyamitwegeorgina95606 жыл бұрын
Bolded Expression kweri kbs
@nimahsgrace59726 жыл бұрын
Bolded Expression saana na KKkT kimara ya enzi hiyo
@jacquelineulotu52796 жыл бұрын
Hakika
@danielorango58757 жыл бұрын
Nyimbo za kubariki moyo kweli. Bwana Yesu awazidishie neema ya kuimba tena ndugu zangu.
@wamburasungura68123 жыл бұрын
2022 ambae anasikiliza hii nyimbo like twende pamoja na 2022
@oscaronia16622 жыл бұрын
1qq11111q
@christabelimonje49642 жыл бұрын
Nko hapa hakuna kama mungu
@shailabushiri45782 жыл бұрын
Niko hapa
@RonnieKiprop2 жыл бұрын
24th Nov 2022
@leonel15michael2 жыл бұрын
18th November 2022
@assumptamassoi41342 ай бұрын
Jamani Bwana Asifiwe sana! Leo Novemba 3, 2024 wimbo huu umenibariki sana! Mungu awabariki watunzi, waimbaji, wapiga ala za muziki. Hakika mmenipa nguvu zaidi kupitia wimbo huu. Jumapili njema kutoka hapa New Jersey! Glory and Praise to God🙏🛐
@EvaristeKimba-l1d28 күн бұрын
Nauliza kama baba uyu na uyo mama kama wangali wazima
@KambereBengebengeFaidas-lc8ig Жыл бұрын
Mungu Awa bariki saaana, nyimbo neuro kbs
@justerdeus77905 жыл бұрын
Wangap tumeangalia tena mwaka huu nyimbo za hawa waimbaji walioitwa
@vincentdimba11375 жыл бұрын
Indeed these were inspiring songs and still inspiring 🙏🙏
@gwakisapeter929 Жыл бұрын
Dah nakumbuka mbali sana
@MihayoBalele Жыл бұрын
Jamani ukwer nyimbo hizi iwa zinanibariki sana
@markhabweotukho7416 Жыл бұрын
The Golden Songs that rocked those days and still have the same test. Kijito guys keep that spirit burning. May God bless you all. I love you
@salumdonard5014 Жыл бұрын
MUNGU awazidishie unjilishaji huu ufikembalizaidi tunabalikiwa sana
@nelsonmutwiwa11 ай бұрын
2024 still blessed with this song..am a testimony Amen
@tulotamilwai277 Жыл бұрын
2023 twende Kazi hapo
@stepheng97657 жыл бұрын
Miaka ya 2001 hii....a masterpiece from the kijito choir...big up kijitonyama choir
@floridasukums9027 Жыл бұрын
Me nimeanza kuisikia mwaka 2005
@soldier16160 Жыл бұрын
These are true celebrities
@hawtsaus4359 Жыл бұрын
Nani anabarikiwa na huu wimbo 2023?
@alfayosoita66812 жыл бұрын
I like this song coz when l listen to it l always feel blessed
@hudsonmuttijnr6327 Жыл бұрын
Listening to it in 2023
@starmobouy836 Жыл бұрын
2023 still being blessed with the song God is great
@rebornjk78966 жыл бұрын
From Uganda I used to listen to this music when I was young up to now it blesses my soul.. I love it when the man is singing very anointed
@livinohaule8442Ай бұрын
The Album is the Trending of All Time
@peteroduor78162 жыл бұрын
This song reminds me my deceased father.
@claudiasoko670 Жыл бұрын
2023 I don't know what this song means but I love it 👏♥️
@JeniferMsele3 ай бұрын
Kiukweli mbarikiwe sana zamani nyimbo zilikuwa na UPAKO hizi nyimbo zenu hazitaisha RADHA mpaka mwisho wa DUNIA MUNGU awainue sana Wapendwa
@georgechande8140 Жыл бұрын
2023/8/3 Thursday God please answer my prayers through this song (no body like)
@georgegadau71495 жыл бұрын
2019 still listening, any1?
@chileshemwila8846 Жыл бұрын
Grew up listening to this music. It still uplifts my soul 😢😢❤❤❤ listening from Zambia 🇿🇲
@turyatembadenis Жыл бұрын
This song reminds me when I used to listen guide radio kasese. Longlive kijito choir longlive kasese longlive bankonjo God bless you.
@philisalosa585 Жыл бұрын
Tuko nayo hadi 2023
@stevana.ally.4 жыл бұрын
mungu Ni mungu siku zote ikiwa unaamini yesus Ni Alfa na omega type like hapo
@EvaristeKimba-l1dАй бұрын
Cha kushangaza nikuona nyimbo inamuchango ya lugha nyingi
@marynsofwa25813 жыл бұрын
My dad liked this much back then, though he didn't understand the language. Like it too from Zambia
@daisypamela50414 ай бұрын
aah😍😍nabarikiwa sana nikiskizaaaaa,This one💯💯many years later and the song still has an effect,beautiful work
@charlesrichard72705 жыл бұрын
Hii ni kwaya bora sana muda wote kuwai kutokea na haitokuja nyingine kama hii tena basata inabidi muwajengee walau sanamu la ukumbusho ili vizazi vije kuangalizia kama kioo uko mbele
@felsonsanga85022 жыл бұрын
MUNGU hujitwalia watumishi
@davidbandajr3444 Жыл бұрын
2023 December ❤
@emmanuelmayende10642 жыл бұрын
Wimbo huu una hisia kweli unabariki mioyo ya wengi waliomwamini wanamwamini na Bado wanaendelea kumtumainia Baba Mungu Kwa kupitia Jina lake takatifu Yesu Kristi
@annaakinyi9691 Жыл бұрын
Hakuna kama wewe
@williammbewe875626 күн бұрын
Blessed be the Most High God🎉❤ you made my childhood Christianity amazing. God bless you for me 💕
@agurefrank4444 жыл бұрын
Just the guitarist 🎸🎸both solo and bass...God bless you Kijitonyama...
@justerdeus77905 жыл бұрын
Wangap tuko wote 2019 tujuane tumeangalia huu wimbo
@emanuelmkotomaka12583 жыл бұрын
Vitu adimu hivyoo laaasana
@mikealuvanze8337 жыл бұрын
There is non like you God. ...whenever i hear this song I feel blessed. God bless kijitonyama choir
@stacykossy5349 Жыл бұрын
A blessing song that will never get out version and new every now and then. It blesses me all times . Kijitonyama a blessing from God.
@happykaiza4797Ай бұрын
Leo December 8 2024 nasikiliza na bado napokea,,hakika hakuna kama Mungu 🎉🎉 ,..Mungu awabariki Kijitonyama..
@auswardvincentmnyimbiri8795 Жыл бұрын
May the name of the Lord be exalted
@chimbakapita59055 жыл бұрын
I used to listen to these song when I was a little kid so whenever I listen to these song I always remember those days may God keep on blessing these people
@vannykambale4108 Жыл бұрын
Mungu awabariki wajumbe wa Mungu nabarikiwa saaaaana
@ER-ll1tb2 жыл бұрын
Who is still getting blessed 🙌🏿 with this song 🎵 in 2022
@EmilyMbaika Жыл бұрын
You don't have to be in a expensive dress to praise God.He uses very simple tools.the soloist with a kitambas on her head,heaven is rejoicing
@charlesmunshya2939 Жыл бұрын
I remember the late father mukuka and the wife at that in Livingstone charalambous yard, rip dad and mom
@millyadhiambo238 Жыл бұрын
Here we are bieng blessed 🙌 2023 hallelujah
@maureenagapengulube45225 ай бұрын
Just woke up and heard this song playing in my Spirit. This is the kind of Authentic worship God wants.
@makassyjunior4266 жыл бұрын
daaah kitambo sana nikiwa nina umri wa miaka tisa
@WalusakoKalolokesyaАй бұрын
As the Bible never changes hence praising the Lord should not change too. Allellujah!
@milkamugomo86047 жыл бұрын
Yesu kristo anaponya unanibariki sana huu wimbo nikiwa saudi
@jodykakameka2447 жыл бұрын
Milka Mugomo hata mimi nko uko napenda sana wimbo huu
@milkamugomo86047 жыл бұрын
Jody Kakameka uko pande gani dear mm niko majumma
@jodykakameka2447 жыл бұрын
Milka Mugomo namba yangu tuongea kwa waspp 0546505783
@jodykakameka2446 жыл бұрын
Milka Mugomo aman mimi nko uko pia
@jodykakameka2446 жыл бұрын
Milka Mugomo mm nko alahasa
@felsonsanga8502 Жыл бұрын
Amen amen amen thank
@tinajames16086 жыл бұрын
Am missing this choir They played their card to praise our lord Be blessed
@stephenkabya30086 жыл бұрын
Hakuna Kama wewe, hakuna Kama wewe, muponyagi, if my people forsake their wicked ways and pray onto our God the Father, He Will hear our cries and answer!! We collectively need to forsake our wickedness, pray onto our God for mercy because our enemies that have so efficiently infiltrated our domicile are way stronger, and malciuosly evil. Wherever you are, starting right now,spread the word!!!
@BrianMulwa4 жыл бұрын
Still in the face of COVID-19, Simba wa Yuda ananguruma
@victorkiptanui-rp2te Жыл бұрын
Its the lead soloist for me, that guy, passion to the core100%
@oscarmrutu57635 жыл бұрын
Yani nabarikiwa sana nikiangalia na kusikiliza Nyimbo zenu Mungu awabariki nyie Waimbaji na Kizazi chenu ktk Jina la Yesu
@glaypalhuslah3994 Жыл бұрын
2023🤩🤩🤩🤩🙏🙏🙏wapi likes
@tmagoti Жыл бұрын
April 2023🕺🙌🏼
@JeniferMsele3 ай бұрын
Nilikuwa namiaka5 nasikia inavuma sana hadi nilitamani kuja Dar niwaone ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
@jerrynessndyamukama78397 жыл бұрын
nyimb hii imenibaliki saba msalaba wa yesu umeniokoa dhamb awabali mungu wet
@RobertKirimi-y4z17 күн бұрын
Kijitonyama choir ilinichochea kuokoka.mungu amubariki zaidi
@danielntabaungu92062 жыл бұрын
2023 gonga like Jah bless you
@nabarwaeva43355 жыл бұрын
Music is a language understood by many u don't have to know the language being sung u just enjoy it. I know this is gospel making me feel revived this 15th of DEC 2019
@mzyechewinnie5198 Жыл бұрын
I still love this teme from the beginning up to today