My prayer is that May God continue to lift Men like Ndacha so that people may know the truth
@abdallaabdalla998 Жыл бұрын
Aliemsikia ndacha anasema kaisoma Quran yote kuanzia suratil Fatiha mpaka suratil nnasi anipe like 😂
@RamadhaniLukambuzi Жыл бұрын
Kaisoma lakini hakuielewa
@jumarobertonyancha8605 Жыл бұрын
Kaiyelewa yote kuliko Dr sulle ambaye ni mkora anaitetea dini ya mtu mwarabu ambaye yuko Mecca
@RamadhaniLukambuzi Жыл бұрын
@@jumarobertonyancha8605 Wewe hauko tayari kuelewa na kama ni hivi basi hautaelewa kabisa;Huyu Ndacha hakuna anachoelewa katika Quran bali anawapotosha nyie kwani unaposema Uislamu ni dini ya Mwaarabu yuko Makka,Kwani Yesu unayemushabikia ni Mkenya au ni Mtanzania?Ukristo unaoufuata Makao Makuu Mbona ni Vatican;kwani huko ni Africa?Makao Makuu mengine ya Protestant yako Ujerumani,Makao Makuu ya Ukristo wa Angricana yako Uingereza,Makao Makuu ya Sabato yako USA,huko ni Kenya au ni Tanzania?Na utueleze hizo nchi ambazo ni Makao Makuu ya Ukristo Yesu alienda lini?na kwanini Makao Makuu ya Ukristo wenu duniani yasiwe Jerusalemu alikozaliwa Yesu kama kweli Yesu aliujua Ukristo?
@abdallaabdalla998 Жыл бұрын
Jumaweee
@RamadhaniLukambuzi Жыл бұрын
Mwanafunzi wa la sita shule ya msingi anaweza kukisoma kitabu cha chuo kikuu chote lakini vilivyomo ndani yake hawezi kuvifanyia kazi na Ndacha ni sawa na mtoto wa darasa la sita anaisoma Quruan lakini haielewi na anajifanya anaelewa au anafanya makusudi?
@callennyabonyi5580 Жыл бұрын
Hongera mwalimi wangu mungu akupe umri njili ya sesu hadi mwisho
@luckygmdegela8477 Жыл бұрын
sesu ni nn
@RamadanPaul Жыл бұрын
@@luckygmdegela8477 😅😅
@hurrychris26479 ай бұрын
Ndacha always have points that are straightforward much-loved from you country kenya ❤
@GwamakaWilliamskiller14 күн бұрын
Baba ndacha mungu akubariki sana
@maronchama694516 күн бұрын
Ndacha May God protect you for us
@RamadanPaul Жыл бұрын
Mashaallah sheikh... Mwenyezi MUNGU akujalie kh'eri katika maisha yako. Tunakupenda sana Dr sulle 💪💯
@jumarobertonyancha8605 Жыл бұрын
Hamjarie heri ya udanganyifu
@RamadanPaul Жыл бұрын
@@jumarobertonyancha8605 .... Unaroho mbaya wewe unaonekana.... Sasa udanganyifu gani ndugu angu, wakati anakuambia Mungu ni mmoja...
@RaimamomedSaidi-wz1yu4 ай бұрын
@@jumarobertonyancha8605ndacha ndio mdanganyifu,naona wanafrahisha ulimwengu tu huyo ndacha niwakumuombea dua akafa kabisa maana anapotosha ulimwengu wakiristo.
@IbrahimYamungu9 ай бұрын
😢 masha all ndugu zangu waislam nashukul sana kwakua mungu amenifanya nikawa muislam
@leluu-sx8zfАй бұрын
Hao wachungaji wanajuwa kama dini ya kweli ni uislamu tu wao wapo kupotowa hao wanao jiona wao niwakiristo hakika mungu atawachoma moto mkali wa jahannam milele
@alhimnamussasaid3619 Жыл бұрын
Hakika dk sule upo vizuri
@bandorajr Жыл бұрын
Ndacha is a Master
@mrpeace715010 ай бұрын
Ndacha mwalimu kweli kubalini tu ,anahoja kuliko sure
@imamudaawaakakuma3674 Жыл бұрын
Nilikuwa nawaomba watu tano waseme.......ya illahi .......يا الله
@jumarobertonyancha8605 Жыл бұрын
Kwenda kwa mapepo
@AyubuIkaku7 ай бұрын
Yaallah
@GeraldKaparata7 күн бұрын
Muna lolote
@imamudaawaakakuma3674 Жыл бұрын
Masha allah maclin
@abasingaruka187211 ай бұрын
😮 Ndach is a techer
@MakameSilima-t7oАй бұрын
Sule doz nikubw sana kwao ao punguza jman
@maisarah6819 Жыл бұрын
Allahu Akbar❤️
@peacemwesigaАй бұрын
❤❤❤❤❤❤Ndacha
@newtoniemuriithi7233 Жыл бұрын
Huyo jamaa anasoma koran ana sauti mbovuu sanaa😢
@GeraldKaparata7 күн бұрын
Huna lolote ndugu yangu
@alhimnamussasaid3619 Жыл бұрын
Ndacha unapindisha sana maandiko unayatafsiri unavotaka wewe sio kwa uelewa wa hakki
@jumarobertonyancha8605 Жыл бұрын
Wee kwani qurani ni ya wa christo kma imewashinda wakina sulle,mbogo Mazinge,shafi na kuria wanawadanganya eti uisilamu ni mila ya Abraham😅😅😅😅
@WAREENG1Ай бұрын
Maandiko yepi kayageuza?
@AbdallahBingwa Жыл бұрын
Ndacha umenifunza kitu na sio ushabiki
@SamuelngugiNjeri Жыл бұрын
Same here
@albertmwangi3297 Жыл бұрын
Mimi pia
@maulidimanzi9964 Жыл бұрын
Ndacha Hana elmu
@jumashekalage2435 Жыл бұрын
Huyo ndacha hana hoja
@DonnaAnderson-s8c4 ай бұрын
Cartwright Ridges
@BahariaWakawe Жыл бұрын
Kwa mkristo anaejua ukristo hawezikubishania dini. Kwakua ukristo sio dini. Ukristo ni maisha na kwenye ukristo dini haikuoeleki peponi. Matendo na imani ndivyo vitakupeleka peponi. Kwenye uislam dini ndichikitu pekee kitakupeleka peponi. Kwahiyo kwenye madahii lazimA muislamu ashinde maana anafundishwa dini na sio imani na matendo.
@jumarobertonyancha8605 Жыл бұрын
Uisilam ukawa nini ,kama ukristo sio dini.njoo kwenye mdahalo ujionee kwa nini kanga hakumea manyoa shingoni
@MustafaChinanda Жыл бұрын
Ndacha hakuna kitu
@jumarobertonyancha8605 Жыл бұрын
Sulle sasa ndio kitu😢😢😢😢
@WillisNapenas-i2g4 ай бұрын
Kacie Circle
@Theesnipershow Жыл бұрын
Dr sule maneno ndio mengi kuliko andiko wacha andiko liongee 😂
@jumarobertonyancha8605 Жыл бұрын
Ongeza sauti bro🎉🎉🎉🎉
@LindsayOndik-m5k4 ай бұрын
Mills Brooks
@HershelTuppen-v5y4 ай бұрын
Ritchie Extensions
@LonnieTraviss-g1k4 ай бұрын
Wilkinson Lock
@WayneCampbell-u8o4 ай бұрын
Hermann Skyway
@RobertoParadis-s6l4 ай бұрын
Darwin Pines
@JenniferLove-i9f4 ай бұрын
Marvin Locks
@WernerBolfa-i7l4 ай бұрын
Marquardt Extensions
@RayWagner-v3b4 ай бұрын
Veronica Camp
@MwashEric-wg9dx Жыл бұрын
Ndacha juuuu waislam hawaja jibu Hoja hata MOJA ya ndacha wao ni kukwepa tu Hoja .
@AmyVitale-e8v4 ай бұрын
Marion Street
@danielmwakimi2416 Жыл бұрын
Ndacha mashine
@franciscomtambakuluca28302 ай бұрын
Ni kweli❤❤
@luckygmdegela8477 Жыл бұрын
ndacha naona unafundisha vema kabisa nami nimekuelewa kabisa
@JuliethKileo-y5oАй бұрын
Sule muongo Sana qhuran ilishushwa na Nani mbona hasemi
@ShannaAnn-o4m4 ай бұрын
VonRueden Junction
@DoyleDeblasio-l8w4 ай бұрын
Lebsack Gardens
@MillicentJorge-e8y4 ай бұрын
Hickle River
@MohamedStulce-g1x4 ай бұрын
Samanta Turnpike
@KellyLee-s5y4 ай бұрын
Hunter Oval
@AdamPaulo-x2k10 ай бұрын
Toa ushahidi inje na kitabu cha Quran Maana hicho kitabu ni uongo mtupu
@AntonyManeno4 ай бұрын
Mhamad Si Mwisilam Bali Alianzisha0 Uisilam Nae Akaifanya Ndini Ya Alla Kuwapotosha Watu Ni Mungu😢 Kwani Maneno Yalio Andikwa Kw Qurowan Yana Zungumzia MUNGU Ila Ni Mungu Wa Mhamad😢
@basilejuma3 ай бұрын
Nani kama ndachaa..hakuna
@Theesnipershow Жыл бұрын
Usomi wa sule umemtumbukia nyongo 😅amejua hajui 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@PachaaHamad Жыл бұрын
Hem wacha kujifariji😂😂😂😂
@ndunguruwangazi2334 Жыл бұрын
Ndacha hakujibu swali...0%
@bassambashirou4604 Жыл бұрын
Wakristo hawajawahi kumiliki ufahamu Akili hata mbwa anazo Nini Maana ya DINI???😅😅😅
@DavidmarimbaKobia Жыл бұрын
Ndacha kiboko yao
@kamishanamustafa66523 ай бұрын
dacha wewe ni mwali waukweli
@bigmanfish63463 ай бұрын
Ukiristo ni ujanja ujanja uongo uongo 😂😂 sio dini ya Mungu hawafati maandiko ya yesu
@NolloKizitoАй бұрын
mjinga niuy sule maelezo meng kuliko mandiko
@bigmanfish6346Ай бұрын
@ SILIMU KABLA HUJAFA NDUGU UJIOKOWE NA MOTO WA MILELE ULOANDALIWA KWA WASIOKUA WAISLAMU
@SunguraShabaniАй бұрын
KAMA UISLAM NI DINI YA KWELI NA ALLAH NI MUNGU WA KWELI KWANINI WAISLAM HAWANA UHUSIANO WOWOTE NA ALLAH MUNGU WAO 😂😂😂😂
@ChristineOsanya9 ай бұрын
Sassa wewe unasema mtu bila ukristo haikingi peponi,wajua ukristo ulikuja na nani?KWA UFUPI,:ukristo ulikuja na Paulo,na Paulo alikuja kumpinga yesu, mafundisho na injili yake,na Paulo alikuwa ameingiliwa na Shetani.
@WAREENG1Ай бұрын
Ndugu nikushauri kitu kimoja tu:- USIKARIRISHWE UONGO. Yaani kwa huu uongo wa hapa tu peponi huendi. Jifunze tu Biblia wewe mwenyewe na utagundua kweli nyingi ambazo hapo kabla ukidanganywa sana. Ukristo ni UFUASI WA KRISTO. Sasa Paulo anaingiaje hapo?