#LIVE

  Рет қаралды 53,924

ISLAAH ISLAMIC  TV

ISLAAH ISLAMIC TV

Күн бұрын

Пікірлер: 268
@SAMUELWANJAU-eq1cn
@SAMUELWANJAU-eq1cn 10 ай бұрын
Kutoka Sasa hivi Nimeiacha dini ya Uislam , Kutoka Sasa Mimi ni mkristo Milele , Amina
@JumaMnyonge-js7db
@JumaMnyonge-js7db 10 ай бұрын
Nikupenda kwako Hakuna atakaye kukataza
@Is-hakaJuma-m5v
@Is-hakaJuma-m5v 10 ай бұрын
Hhhhhhh we ni mkristo hakuna Samuel muislam
@langatamc8956
@langatamc8956 10 ай бұрын
Amen
@SAMUELWANJAU-eq1cn
@SAMUELWANJAU-eq1cn 9 ай бұрын
@@Is-hakaJuma-m5v Nilizaliwa mkristo kisa nikaingia katika uislamu lakini baada ya Kumjua yesu Nimerejea kwake Milele na Milele Amina
@Ihsankeizer
@Ihsankeizer 8 ай бұрын
​@@SAMUELWANJAU-eq1cnHata kabla ya hapo hatukuwa na haja na wewe. Shida ni utapeli ndiyo inakusumbuwa... Eti nilikuwa mkiristo ,wala hujawahi kuwa muislamu na kwa hakika bado hata hatuna haja na wewe kama vile hatukuwa na haja ya Abu lahab......peleka propaganda yako kwa channel ya kaka yako Bwana Ndacha
@frankilnkahindi
@frankilnkahindi 8 ай бұрын
Ndacha, roho wa bwana, roho wa mungu, roho mtakatifu akulinde, awe pamoja nawe mahali popote uendako, ubarikiwe na roho wa mungu.
@alexkaranja5819
@alexkaranja5819 10 ай бұрын
Ndacha we are behind you,may God continue to bless you with more wisdom to change the world
@mwanaikaomar8628
@mwanaikaomar8628 10 ай бұрын
Takbiiiir.Allahu akbar.Allahu Akbar.Allahu Akbaru walillahi l hamdu
@hanifahkhamiss8485
@hanifahkhamiss8485 10 ай бұрын
Dokta sule mungu akubariki na akueke tunakupenda sana....Allah akupe umri mrefu 🤲🤲
@AkonkwaProductions
@AkonkwaProductions 10 ай бұрын
Mungu akubariki sana pasteur Francis ndacha
@millereliteendtimeministry6621
@millereliteendtimeministry6621 10 ай бұрын
Hoja hafifu Dr. Sulle! Ungepitia hoja za Ndacha!
@DennizohKimmock
@DennizohKimmock 9 ай бұрын
Ndacha mungu akubariki sana 🎉🎉🎉🎉
@mwanaikaomar8628
@mwanaikaomar8628 10 ай бұрын
Asante baba dokta Sule.Allah akulinde na maadui wa siri na wadhahir.akulipe kila la heri
@japhetndoro6533
@japhetndoro6533 10 ай бұрын
Ndacha barikiwa sana mtumishi
@jamilaathumani5481
@jamilaathumani5481 10 ай бұрын
Mashalah dokta sure,,,umejua kumsasambua uyo mkristo,,ongera dokta sure
@costantinethadei2358
@costantinethadei2358 10 ай бұрын
Ubarikiwe mwalimu wangu ndachs
@hamisisalumu5263
@hamisisalumu5263 10 ай бұрын
Assalamu Aleykum Warahmatullah Wabarakatuh. Mimi ni Muislam kutokea Nchini Tanzania Mkoani Kigoma. Nashukuru sana Dr.Sule Kwa kuniongezea zaidi ufaham wa imani yangu ya kiislamu. Allah akujalie Mema In Shaa Allah 🤲🤲. Assalamu Aleykum Warahmatullah Wabarakatuh.
@muvurwanezaanitha742
@muvurwanezaanitha742 10 ай бұрын
Ndaca yaleo ni top100% ukristo ni njiya pekee ya kweli
@callennyabonyi5580
@callennyabonyi5580 10 ай бұрын
Halleluya amen
@ReinaTave-eh3ir
@ReinaTave-eh3ir 10 ай бұрын
Amina
@themessage3508
@themessage3508 10 ай бұрын
Amen
@SalmaAbdul-zz7dy
@SalmaAbdul-zz7dy 10 ай бұрын
Kwa kweli kajitahidi kuutetea ukafiri lakini hoja hana Ivi kweli Toka mdahalo unaanza mpaka unamaliza kashindwa kusema ukristo ni dini ya mungu
@mbesinghabi1994
@mbesinghabi1994 10 ай бұрын
​@@SalmaAbdul-zz7dywapi Mungu amesema au ameamrisha mtu aandike koran kama Mungu alivyomwambia Mussa kuandika torati na sheria
@RashidMmyanya
@RashidMmyanya 6 ай бұрын
Ndacha mungu akulinde Kila uedeko
@PRODUCERDN-u2b
@PRODUCERDN-u2b 9 ай бұрын
Pastor safi Sana u are doing well my God bless you and give you wisdom
@oumacalvin4756
@oumacalvin4756 10 ай бұрын
Ndacha Mungu akubariki zaidi
@temesjames8867
@temesjames8867 10 ай бұрын
Nimejitahidi leo kusikiriza huo mdaharo nimeamini biblia ndio kitabu cha kweli waisilamu hawanyoshi majibu kiufasaha wanapidapinda ndacha hongela sana nilikuwa sijui kabisa msafu uliko toka mungu akubaliki
@callennyabonyi5580
@callennyabonyi5580 10 ай бұрын
Yes ndiye njia na uzima
@yakoboebongon8621
@yakoboebongon8621 9 ай бұрын
Ndugu yangu ndacha endelea na neno la mungu wetu YESU kristo.awashana na hawa wanapinga ukweli atajuta kwa kweli siku iko karibu
@NeymatySaleh
@NeymatySaleh Ай бұрын
Kwendeni uko na chanda wenu .safi sana sure hakika dini ya haki mbele ya mungu ni uslamu.
@sabrinajuma5562
@sabrinajuma5562 10 ай бұрын
Allah akuongoze Sheikh Wetu Dr Sule akupe maisha maref yenye kheir na ww.
@MartinMurithi-i9z
@MartinMurithi-i9z 8 ай бұрын
Waislamu waache ubishi,wabatizwa Yesu aje twende nyumbani.sikiza neno kwa mahakini bana.
@BEJAMTEZO-m6v
@BEJAMTEZO-m6v 3 ай бұрын
Mashallah Dkta unaeza Allah akuzidishie
@franklevison9477
@franklevison9477 9 ай бұрын
Ndacha Mungu Akubariki Sanaaaah 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 wewe nikiboko wa wenye ufahamu mzito
@sabrinajuma5562
@sabrinajuma5562 10 ай бұрын
Mashaallah Allah akupe maisha maref yenye kher na ww
@sabrinajuma5562
@sabrinajuma5562 10 ай бұрын
Dr Sule mashaallah..... Waache wajizonge Tu.... Ukweli haubadiliki..... Quran ni kitabu cha Allah kisichoshaka na Allah kaahid atakilinda.
@maximillan8309
@maximillan8309 10 ай бұрын
Ndacha we will support you forever ❤
@MichaelNyanje-v7t
@MichaelNyanje-v7t 8 ай бұрын
Nakubali ndacha umebobea
@vanishMekubo
@vanishMekubo 10 ай бұрын
Ndancha God bless you
@WorshippersofGodarmy-ot1mk
@WorshippersofGodarmy-ot1mk 10 ай бұрын
Ubarikiwe mkari wetu
@FrankBella-qe4tj
@FrankBella-qe4tj 5 ай бұрын
Yesu ni njia
@simainassor4574
@simainassor4574 10 ай бұрын
Doctor sule mungu akupe maisha marefu
@Sengiyumva123Donatien
@Sengiyumva123Donatien 10 ай бұрын
Mungu gani wewe
@nindemeshabourhan
@nindemeshabourhan 10 ай бұрын
Assaalam alaykum warahmattullah wabarakattuh kutoka burundi tupo pamoja 🇧🇮🇧🇮🇧🇮
@WorshippersofGodarmy-ot1mk
@WorshippersofGodarmy-ot1mk 10 ай бұрын
Asante kwa ufahamu umenifungua akili nimeidanilodi kurani na nafuatilia yote na nasoma na nimehakiki kwamba kurani inamapungufu sana na haijanyoka sijui kama shida ilikuwa ya waandishi waliokuwa wanaandika kulani, nadhani
@jamilaathumani5481
@jamilaathumani5481 10 ай бұрын
Dokta sure Naupenda saana Kwajili yamungu
@jamilaathumani5481
@jamilaathumani5481 10 ай бұрын
Dokta sure wapige hawo makafili,,hamna wanachokijua,,dokta sule oyee
@SalmaAbdul-zz7dy
@SalmaAbdul-zz7dy 10 ай бұрын
Ayo mapungufu ya Quran yapo wapi ​@@WorshippersofGodarmy-ot1mk
@SalmaAbdul-zz7dy
@SalmaAbdul-zz7dy 10 ай бұрын
​@@WorshippersofGodarmy-ot1mkmapungufu ya Quran yapo wapi? Kama kweli umeisoma Quran
@KhadijaKipua-dw7yz
@KhadijaKipua-dw7yz 9 ай бұрын
Dr sule takbiriiiiii Allah akuzidishie kheri sheikh wangu
@FrankBella-qe4tj
@FrankBella-qe4tj 5 ай бұрын
Sure kashikwa pabaya
@weldyb
@weldyb 10 ай бұрын
Watching from Kenya for education purposes though religious discussions are frivolous and can lead to religious incitement. Peace be prevailed upon us and humankind to serve their living God they they believe in in an eternal life.
@Shillingi
@Shillingi 10 ай бұрын
Ndacha ni mbishi to wa maneno ilaa ukweli hautaki na akimbiwa atoe hojaa hana ilaa kubadilisha maandiko to🇰🇪
@Egidemapenzi0114
@Egidemapenzi0114 10 ай бұрын
Acha unafiki bana
@kennedykisasatibarasa8664
@kennedykisasatibarasa8664 8 ай бұрын
Mumeungana wengi didhi ya mmoja na Bado hammuezi
@abubakarmpole4000
@abubakarmpole4000 10 ай бұрын
Inna lillah woinna ilei rajiun Ndacha Mungu akupe uongofu, manake unakufuru sana
@ssyjehx1332
@ssyjehx1332 10 ай бұрын
Assalam Aleikum ALLAH akupe umri mrefu
@marionoti5760
@marionoti5760 10 ай бұрын
Kichwa cha habari ni utapeli mtupu. Huyo anayejiita dokta sule ndio hovyo kabisa , hana hoja zaidi ya ushabiki wa kidini, labda anawabumbaza zaidi waislamu wenzie. Poleni waislamu.
@callennyabonyi5580
@callennyabonyi5580 10 ай бұрын
Ushabiki tu
@shazyahya4121
@shazyahya4121 10 ай бұрын
Mimi binafsi namuomba mwenyezi mungu adi mwisho wa puumzi yako hapa duniani usije wai kua muislam wala kuamini ili ufe hali ya kua kafiri ili tuonane siku ya mwisho tuthibitishe kati ya bibilia na Qur'an kipi kitabu cha mungu Live bila chenga wallahi usije wai kua muislam wewe na ndacha wako inshallah tukutane siku ya hesabu muenjoy kitabu cha biblia mbele ya mwenyezi mungu 😊
@hanspop6961
@hanspop6961 10 ай бұрын
Waache wajazane huko Jehanamu Wasije Maliza Makomamanga yetu 😛
@Khamissi-u2s
@Khamissi-u2s 10 ай бұрын
48:37 mdahalo nimzuri maashallwah
@MartinMurithi-i9z
@MartinMurithi-i9z 8 ай бұрын
Waislamu wasikize wafunzwe Quran
@jamilaathumani5481
@jamilaathumani5481 10 ай бұрын
Dokta sule unanikosha sana
@ramadhanmahongole9293
@ramadhanmahongole9293 10 ай бұрын
Kwa lipi
@ramadhanmahongole9293
@ramadhanmahongole9293 10 ай бұрын
Anakukosha kwakuwa mko dini moja au??
@TwalhaSalum-u8z
@TwalhaSalum-u8z 10 ай бұрын
Ndacha hajajibu swali hata moja aliloulizwa Hongera dk Sule
@ahmadimaburuki-gs7kg
@ahmadimaburuki-gs7kg 10 ай бұрын
Huyo ndacha hana aya aliyotoa zaid ya kuonganisha aya yan usipokuwa makin nae anakulisha matango por , hanajipy zaid ya kuonganisha ayat, kaulizwa swali wap katika biblia mungu , yesu au malaika wanasema ukisho nidiniya haki ? Hajatoa zaidiya kuwadanganya wakristo kwa kuonganisha aya , ila sisi waislamu tunataka aya yenyew hatutaki kuonganishiw aya , tushafahamu ujanja wako ndacha
@Sengiyumva123Donatien
@Sengiyumva123Donatien 10 ай бұрын
Mimi niko na swali moja Waislamu Musoma QuR AN eti tumeitelemusha wakinanani weme itelemush
@foreveryoung-we7oo
@foreveryoung-we7oo 10 ай бұрын
Ndacha achekesha sana. Munamfata yesu lakini ajabu munasoma zaburi na torati ambayo sio vitabu vya yesu
@ramadhanmahongole9293
@ramadhanmahongole9293 10 ай бұрын
Ndacha ATAIBUKA mshindi
@ASHURAUZIGO
@ASHURAUZIGO 9 ай бұрын
Wesule anaweza sana
@MfaumeHamisi-o6g
@MfaumeHamisi-o6g Ай бұрын
Ndacha achakuzunguka toa ushahid bibilia kitab Cha mungu
@AshilatAbas-qe4fh
@AshilatAbas-qe4fh 10 ай бұрын
Ndacha uishi milele
@nezycavanga5824
@nezycavanga5824 10 ай бұрын
Allah aurehemu uwisilamu Allah Akbar 💕💕💕💕💕💕
@stevinmwanzaa1785
@stevinmwanzaa1785 10 ай бұрын
Mbona xaxa waislaam mnajikusanya wengi na ndacha yuko mwenyewe na amewashinda kwa hoja
@callennyabonyi5580
@callennyabonyi5580 10 ай бұрын
Akili nyingi huondoa marifa(waislamu wamekuja ushabiki
@themessage3508
@themessage3508 10 ай бұрын
Yani waislam niwaoga sana Kwenye mada
@يونيسيونيس
@يونيسيونيس 10 ай бұрын
Hayuko pekee anaongozwa na roho wa mungu
@AshaMohamed-cy3oh
@AshaMohamed-cy3oh 7 ай бұрын
Dr sure wafundishe hao wagumu sana kuelewa
@donaldkombe6794
@donaldkombe6794 10 ай бұрын
Ndacha ndie anafaa kua DR ndacha sio sule Hana hadhi hio ya kua Dr korani ichomwe waislamu waache kupoteza vizazi vya watu wa mungu
@elbaricktv1632
@elbaricktv1632 10 ай бұрын
Ndacha ni kiboko yao hakuna muislam anayemuweza kwa hoja hata atoke uko madina 😂😂😂😂
@sammyngunjiri3897
@sammyngunjiri3897 10 ай бұрын
Bibilia Kitabu cha manabii wa Mungu , Quran kitabu cha Muhammed pekeyake
@nezycavanga5824
@nezycavanga5824 10 ай бұрын
Dr sule Allah akurehemu nakupe mwisho mwema maana wakristo awatoingia peponi milele😂😂😂
@DEBBOLAHCHOI
@DEBBOLAHCHOI 10 ай бұрын
Kwanzia leo mh n mkirto nmeacha kusilim kumbe nafuata ushetani
@wycliffemachika9296
@wycliffemachika9296 Ай бұрын
Ndacha the hero of Christian ✝️ after musa.🎉
@hanspop6961
@hanspop6961 10 ай бұрын
Ndacha anafunuliwa 😂
@karimmarcelo7164
@karimmarcelo7164 10 ай бұрын
Sema Waislamu wanapenda sifa
@AbdillahAlly-q6j
@AbdillahAlly-q6j 10 ай бұрын
Ndacha anafunuliwa nayeye
@MgeniNyela
@MgeniNyela 10 ай бұрын
Takibirii mnaipiga mnafata uongo ameulizwa kuruan ilitoka wapi hajajibu anaongea vingine hii shida waislam Mungu awasaidie wapate kujua kweli
@Jin-fl1hq
@Jin-fl1hq 7 ай бұрын
God bless uou
@GeofreyMtensa
@GeofreyMtensa 10 ай бұрын
Ukiacha ushabiki, NDACHA ni levo nyingine,
@johnmuriithi8832
@johnmuriithi8832 6 ай бұрын
Ndacha,roho mtakatifu hakuongoze.
@simainassor4574
@simainassor4574 10 ай бұрын
Nyinyi wakristo mbn munapotea
@jamilaathumani5481
@jamilaathumani5481 10 ай бұрын
Kichwa hicho,,mwamba kabisa yan ,,yan nampenda sana tu dokta sure fundi kabisa
@MgeniNyela
@MgeniNyela 10 ай бұрын
hata wewe unapotezwa na sure Sure wako anaeleza habari ya injili badala ya kutwambia kuruan ilitoka wapi hajajibu ameamua kuhubiri injili safi sana ila waislam mnapelekwa motoni
@MartinMurithi-i9z
@MartinMurithi-i9z 8 ай бұрын
Ndacha karibu mitunguu meru county
@JosephMagige-lf9ns
@JosephMagige-lf9ns 7 ай бұрын
Kama Mwenyezi Mungu ni mmoja.vitabu viwili vya nni?.waafirica tujitambue.
@LuisMartinsBasilioBasilio
@LuisMartinsBasilioBasilio 8 ай бұрын
Kweli bíblia ni kitabu Sha mungu
@musanike3079
@musanike3079 10 ай бұрын
Ndacha anajua ukweli upo katika Uslamu lakini ubishi tuu... Mabruk SHK. Sule 🇰🇪
@jumarobertonyancha8605
@jumarobertonyancha8605 10 ай бұрын
Nyie wahabudu majini na mizimu😂😂😂😂😂😂 qurani sio maneno ya Mungu
@musanike3079
@musanike3079 10 ай бұрын
Tibitisha na maandio sio kichwa wazi kaka
@musanike3079
@musanike3079 10 ай бұрын
Kwanza jina lako twajua sehemu kwenyu ndio wengi 😁
@RamadhaniLukambuzi
@RamadhaniLukambuzi 10 ай бұрын
@@jumarobertonyancha8605Tupe andiko ya Bibilia zako sijui ngapi yasemayo Uislamu sio maneno ya Mungu na kama maandiko hauna basi kaa kimya.
@ReinaTave-eh3ir
@ReinaTave-eh3ir 10 ай бұрын
We umejuajee kama anaujua ukwer...Dini ya kweli ni Ukristo
@mwanyunimadee4157
@mwanyunimadee4157 10 ай бұрын
Despite of ndacha being a form two drop out he deserves a doctorate degree of honour and be Dr ndacha he is better than our professors
@Ihsankeizer
@Ihsankeizer 8 ай бұрын
Hahaha,that's laughable... Doctorate in lies and spewing unsubstantiated tales? I'm surprised how he sways fellas who have no knowledge... The islamic preacher debunked all his lies and challenged him to defend the bible especially the authors of the 4 gospels..Problem is Ndacha went off topic and tackled areas that were never part of the debate. Finally he failed to defend the bible after the islamic preacher challenged him to come and defend the points he laid bare pertaining to the bibles contradictions and authorship... The problem with SDA pastors is their lack of proper bible studies unlike the more learned Catholics and Baptist's... Ndacha let down Christianity and he lost this debate to the Muslims
@MushdyAbdul
@MushdyAbdul 9 ай бұрын
wakristo watakuwa na nguv katika dunia hii kwaxababu mapapa wao ote no freemason
@jimjam-xg7rv
@jimjam-xg7rv 10 ай бұрын
Maa shaa ALLAH 🇰🇪💚💚💚
@BariisSamatar
@BariisSamatar 10 ай бұрын
MANSHALLAH ❤
@jumahamad3723
@jumahamad3723 10 ай бұрын
Wa Islamu hatuna shaka na Injiil,Zabuur,Taurat ila tuna Shaka Bibilia
@Juma-l1l
@Juma-l1l 9 ай бұрын
Alhaj Shekh Surre
@AMANIMASHAURI-zk8yt
@AMANIMASHAURI-zk8yt 10 ай бұрын
Mungu Hana dini acheni ushamba dini zote ni za wanadamu ila Sasa hizi dini zinaanzishwa kwaajili ya kuabudu asa inategemea na unaabudu kitu Gani mfana kama uisilamu wanaamini majini je utasemaje kuwa ni dini ya Mungu nawakati inaambatana na majini ko ukweli upo kwenye bibilia mana ukiristo ni dini inayomwamini na kumwabudu Mungu wa kweli aliye hai milele na milele
@seifabdulwahid4579
@seifabdulwahid4579 10 ай бұрын
Wewe chizi
@MushdyAbdul
@MushdyAbdul 9 ай бұрын
Hakuna laolote wakristo wenyew hamuelew yup mungu wenu had leo,et yesu awe mungu!?uuwiih!munaixhangaza dunia kwakweli
@AraphatAmani
@AraphatAmani 10 ай бұрын
Assalam alaykum
@jumahamad3723
@jumahamad3723 10 ай бұрын
W/ssalamu
@BOOGLE_M
@BOOGLE_M 10 ай бұрын
Ndacha Ndo dawa ya waislam Hakuna dini kwenye kwenye uislam ni dini ya wajanja wajanja
@Num3er22
@Num3er22 Ай бұрын
Nimemsikiliza Sulleh mpka anamaliza ajajibu swali ata 1.
@masubukopita7201
@masubukopita7201 9 ай бұрын
Uislam ni dini ya majin ndo maan mashehe weng niwaganga was kienyeji na wanajua Makin ko mungu wapi akawa na urafiki na majin
@KhamisSuleimanAbasi
@KhamisSuleimanAbasi 5 ай бұрын
Kwakweli bibilia sio kitabu cha mungu mana wangekua wanajiamini basi wasingetoa vitabu vile vengine ambavyo wanasema ni vya matusi
@KhamisSuleimanAbasi
@KhamisSuleimanAbasi 5 ай бұрын
Tukiangalia kama utabiri wa Mtume Muhammad SAW kwenye bibilia walikitoa kitabu kinachoitwa THE GOSPEL OF BARNABA ambacho kimefutwa mpaka mtandaoni. Kimewekwa kuanzia ukurasa wa 1 mpaka 58 lakini kuanzia 59 ambao ndio ukurasa hasa unaozungumzia utabiri wa mtukufu wa Daraja nabii Muhammad SAW umefutwa na kusema ety nikitabu kilicholaaniwa na kinamatusi tu. Hahaha hapo jamani munatakiwa mufanye research
@chanzechanze54
@chanzechanze54 10 ай бұрын
Ndacha , UONGO na ukweli Huwa mbali mbali kama mafuta na maji. Ndungu yangu usifuate pesa ukawacha dini ya Allah uislam .. dini ya kweli
@lacksonmwakanema6799
@lacksonmwakanema6799 10 ай бұрын
Huyu Jamaa anajua mno mpaka anakera. Huyu ni zaidi ya Mchungaji aisee! Sule hamuwezi huyu kabisa, hoja tunazisikia sahihi kabisa.
@LterwaLeleur
@LterwaLeleur 29 күн бұрын
Apa akuna kitu weslamu wanatuambia kwa kweli wanatoka kwa mada kabza sijui awaelewi sijui
@hanifahkhamiss8485
@hanifahkhamiss8485 10 ай бұрын
Ndacha ndacha ndacha mungu anakuona na ataenda kukuhukum vibaya kwa kuchukua aya za qurani na kuzitfsiri unavyotaka wew wakati unajua ukweli......😢😢😢😢
@يونيسيونيس
@يونيسيونيس 10 ай бұрын
Labda majini lakini si mungu. Hiyo nikitabu cha majini
@machairtv2528
@machairtv2528 10 ай бұрын
Ndaca angejua ukweli katika Islam angeslim,hawana ukweli
@callennyabonyi5580
@callennyabonyi5580 10 ай бұрын
Kama ni doctor atibu wagonjwa sio injili
@Xavierdecristo
@Xavierdecristo 10 ай бұрын
Yani Ndacha anajua biblia na mpaka quran anajua kuwapita wasilamu
@RamadanPaul
@RamadanPaul 10 ай бұрын
Ndacha kalazwa kilimanzila alibebwa na ambulance 🚑 siku ile, baada ya kukutana na Elimu ya doctor sulle 💪💪.... Anaemtafuta amkute kilimanzila...😅😅
@callennyabonyi5580
@callennyabonyi5580 10 ай бұрын
Unhindered ktk jina la yesu
@RamadanPaul
@RamadanPaul 10 ай бұрын
@@callennyabonyi5580 .... Matani tu ..... Kama simba na yanga... Sorry 😔🙏🙏
@michaeldoroleo4864
@michaeldoroleo4864 10 ай бұрын
sure kaongea kiingereza waislam waislam wameshangilia😂😂😂,bado mdogo sana kwa ndacha huyu.
@godwinkileo7702
@godwinkileo7702 10 ай бұрын
Muislam hayuko juu ya lolote mpaka asimamishe torati zaburi injiri na hivyo vitabu hawana,😅 msiba mzito
@IsackLuhende-u7w
@IsackLuhende-u7w 10 ай бұрын
Nakumbuka sule uliwahi kusema umeishia la nne nimeANZA KUAMINI
@sultansallah8772
@sultansallah8772 10 ай бұрын
Kwan yesu aliishia la ngapi
@rashidimbayo-s4d
@rashidimbayo-s4d 6 ай бұрын
sasa seule aujibu maswali ya ndacha kwa Nini ajibu korowani ninani aliye andika
@saidsobongo912
@saidsobongo912 10 ай бұрын
W/mussalaam
@SAYIMBOYI
@SAYIMBOYI 5 ай бұрын
Ndacha ni hatari na anaijua biblia
@francetrading8594
@francetrading8594 10 ай бұрын
Sulle una bwawaja bwabajuka hauna point
@Sengiyumva123Donatien
@Sengiyumva123Donatien 10 ай бұрын
Mutwambie wako wangapi wakateitelemusha muache uongo ndacha anajua kilakitu
World’s strongest WOMAN vs regular GIRLS
00:56
A4
Рет қаралды 25 МЛН
Это было очень близко...
00:10
Аришнев
Рет қаралды 7 МЛН
У вас там какие таланты ?😂
00:19
Карина Хафизова
Рет қаралды 21 МЛН
Je Majini ni Dini gani? Sheikh Mbogo Tz Vs Mch Ndacha Kenga
54:25
DAAWA ONLINE TV
Рет қаралды 10 М.
HISTORIA YA SHEIKH WALID NA WALII WA MUNGU
5:57
Mkwacha Tv
Рет қаралды 2,8 М.
QURAN SIO KITABU CHA MUNGU.. NI WAISLAMU HAWAJUI..
1:13:13
BIBLIA NURU YA DUNIA
Рет қаралды 18 М.
World’s strongest WOMAN vs regular GIRLS
00:56
A4
Рет қаралды 25 МЛН