Kama mbele vile jpm amgemaliza muda wa miaka 10 hivi bongo ingekuwa kama mamtoni vile
@NDEWARA2 жыл бұрын
Pole 😂😭
@jiweg-unit54082 жыл бұрын
Siyo poa
@issayasosolo60332 жыл бұрын
Kwani unapoanzisha mradi mnajuwa hajajandaa? Au yaleyale ya ubabaishaji utaendelea Ktk hiyo miradi! Usikute viongozi tayari mmehodhi hivyo vituo vitakuwa Mali ya viongozi walafi wataanza kuvikodisha kwa Bei kubwa matokeo yake mradi utakuwa hauna tija kwa mikwmo ya viongozi madalali,!
@husseinmramba Жыл бұрын
Mkuu vip lakn mbona unaongea kiushabiki, umefuatilia na kusikiliza vzr juu ya muendelezo wa mradi huu? au we ni wale tu wakuponda serikali ilimradi tu ujickie raha....una uhakika/ushaidi gani na hayo yote unayoongea