ujenzi unaendelea wa Bei nafuu

  Рет қаралды 37,607

Jiver Kasigara

Jiver Kasigara

Күн бұрын

Пікірлер: 127
@evancymassawekenya7521
@evancymassawekenya7521 2 жыл бұрын
Broo una roho Safi Sana umeweza kuweka wazi mambo ya ufindi inaonyesha Ni kiasi Gani uko mwaminifu Na kazi zako Mimi Ni mmoja nitakaye kuhitaji anytime nitakupigia kiongozi
@pascalinamukui8400
@pascalinamukui8400 2 жыл бұрын
Nyumba nzuri sana ,ni ya room ngapi?mi niko kenya nimeipenda
@AminaHasan-n6l
@AminaHasan-n6l Жыл бұрын
Jenyumba ya vyumba viwili na seble na jiko . Itatumia tofali ngapi? Mm nahitaji
@jiverkasigara6504
@jiverkasigara6504 Жыл бұрын
1500
@abdulabisalum8120
@abdulabisalum8120 4 ай бұрын
Achan apo hamna fund kuna camera matuu hesabu ni zirioo
@habibakhalfan1065
@habibakhalfan1065 2 жыл бұрын
Unafuu_uko_wapi_tofali_nyingi_sana
@jn_mustonez7842
@jn_mustonez7842 2 жыл бұрын
Yeah, tofali ametudanganya
@bahatibahatinyerere5586
@bahatibahatinyerere5586 Жыл бұрын
Naomba namba kaka
@nicholauspeter9454
@nicholauspeter9454 3 жыл бұрын
Kwenye tofari umetudanganya
@jiverkasigara6504
@jiverkasigara6504 3 жыл бұрын
Asante
@jiverkasigara6504
@jiverkasigara6504 3 жыл бұрын
Tofali hizi sio kubwa kama Brock ya kawaida dar Wabongo jamani ulizeni we imajin chumba na sebule kinaweza chukua 1500 Brock??? Haiwezekani
@abdulabisalum8120
@abdulabisalum8120 4 ай бұрын
We fund au camera man tuu
@neemamasudi7988
@neemamasudi7988 2 жыл бұрын
Andika namba Za simu ili tu kutafute
@mohamedimuya9425
@mohamedimuya9425 2 жыл бұрын
Kaka naomba ramani ya chumba na seble
@abdulabisalum8120
@abdulabisalum8120 4 ай бұрын
Aah fund tofal 1500 alfu msingi wa mawe uongo sasa
@AllyMajaliwa-u6z
@AllyMajaliwa-u6z 10 ай бұрын
Kaka salama naomba unitumie namba yako ya WhatsApp tuongee vizuri
@AlbertWilbert-uy8qz
@AlbertWilbert-uy8qz Жыл бұрын
Naomba namba mkuu nipo mbeya
@jiverkasigara6504
@jiverkasigara6504 11 ай бұрын
Kwa sasa nipo mbeya
@mikageorge3076
@mikageorge3076 2 жыл бұрын
naomba nambayasim natakakujengewa
@judithmgaya7733
@judithmgaya7733 2 жыл бұрын
Tofali 1000 zinajenga nyumba sebule chumba self choo cha wageni na jiko
@umi2515
@umi2515 2 жыл бұрын
namba yako ya mawasiliano??
@florencesafari9787
@florencesafari9787 Жыл бұрын
Nimependa
@jiverkasigara6504
@jiverkasigara6504 Жыл бұрын
Asante kwa kucuatilia channel yetu
@halimaswaum4022
@halimaswaum4022 2 жыл бұрын
Uko wapi kak
@hamzaabdallah1969
@hamzaabdallah1969 11 ай бұрын
Jaman nataka kujenga nikasema nianze na chumba kimoja nimalizie nikiwa palepale kheee fund ananiambia chumba tofar 700 ni kwel jaman au saidia
@jiverkasigara6504
@jiverkasigara6504 11 ай бұрын
Nichumba chenye jiko kikolidoselfu na selfu ndo maana ni tofali 700
@abdulabisalum8120
@abdulabisalum8120 4 ай бұрын
Msingi jumla tofali 150 + tofali za ukuta ambazo ni 280 sawa na tofal 430 tu had chumba inakamilika
@sundarmapunda1792
@sundarmapunda1792 2 жыл бұрын
Habari
@jiverkasigara6504
@jiverkasigara6504 2 жыл бұрын
Safi
@kadijahajali3918
@kadijahajali3918 3 жыл бұрын
Kaka habari yako mm nipo oman lakini nasubir ninuliwe jiwe kwanza niaze fondeshen towa namba yako ya sim mafundi wapo kwetu pemba lakini wanajenga hali sana
@jiverkasigara6504
@jiverkasigara6504 3 жыл бұрын
0766555867
@فاطمةسعيد-ث2ق
@فاطمةسعيد-ث2ق 3 жыл бұрын
Masha Allah nimeipenda
@jiverkasigara6504
@jiverkasigara6504 3 жыл бұрын
Asante
@ZuwainaSd
@ZuwainaSd Жыл бұрын
Naomb namb zako
@jiverkasigara6504
@jiverkasigara6504 Жыл бұрын
0766555867
@ruthruthckkhaindi3428
@ruthruthckkhaindi3428 3 жыл бұрын
Vizuri lakini haujasema mchanga ni lorry ngapi
@evancymassawekenya7521
@evancymassawekenya7521 2 жыл бұрын
Nimechukua Namba yako nitakuhitaji kiongozi
@GuzuraGuzura
@GuzuraGuzura 4 ай бұрын
Bro kwa tofali 1500 nimekataa, hapo tofali hazizid 1000
@jiverkasigara6504
@jiverkasigara6504 4 ай бұрын
Sawa karibu sana
@mobellamobenimpenda7055
@mobellamobenimpenda7055 3 жыл бұрын
MashaAllah tunaomba nomba yako jmn
@aminaomary9273
@aminaomary9273 2 жыл бұрын
Takupataje Maana mie mwenyew nlikua naitaji
@lightnesspoul2303
@lightnesspoul2303 2 жыл бұрын
Namba ya simu
@lall2037
@lall2037 3 жыл бұрын
Tunaomba namba yako
@kkllooo8161
@kkllooo8161 3 жыл бұрын
Namba yako naomba
@aishaissa2512
@aishaissa2512 3 жыл бұрын
Ungetutajia namba yako mm nahitaji fundi
@avitusandrew6920
@avitusandrew6920 2 жыл бұрын
Namba
@BonifacseverianOfficial
@BonifacseverianOfficial 2 жыл бұрын
Nitumie namba yako
@jiverkasigara6504
@jiverkasigara6504 2 жыл бұрын
0766555867
@azizaisack2572
@azizaisack2572 3 жыл бұрын
Mh hapo kwenye tofali ndo nmeshangaa au inategemea nasehemu maan nikajua lbd tofali 700
@jiverkasigara6504
@jiverkasigara6504 3 жыл бұрын
Tofali hizi sio kubwa
@jiverkasigara6504
@jiverkasigara6504 3 жыл бұрын
Kama no zile kubwa zinakuwa 800
@azizaisack2572
@azizaisack2572 3 жыл бұрын
@@jiverkasigara6504 ooh sawa na cemnent mifuko mingp na nondo ngp
@jiverkasigara6504
@jiverkasigara6504 3 жыл бұрын
Njoo wasp 0766555867 ndo tutawasiliana vizuri
@jiverkasigara6504
@jiverkasigara6504 3 жыл бұрын
Cement 8 nondo 2
@stellajoseph9334
@stellajoseph9334 3 жыл бұрын
Nipo Dodoma nawapataje?
@jiverkasigara6504
@jiverkasigara6504 3 жыл бұрын
0766555867
@neemafusi5001
@neemafusi5001 2 жыл бұрын
Brock 1000 sawa na shingapi
@jiverkasigara6504
@jiverkasigara6504 2 жыл бұрын
Laki 9 na nusu
@eliasmondo7600
@eliasmondo7600 3 жыл бұрын
Hiyo ni tofali 700 tu..
@jiverkasigara6504
@jiverkasigara6504 3 жыл бұрын
Mmmm
@nicholauspeter9454
@nicholauspeter9454 3 жыл бұрын
Tofari 2500 ametudanganya kumbe na weww umesanuka
@jiverkasigara6504
@jiverkasigara6504 3 жыл бұрын
Hizi tofali in ndogo sio kubwa kama Brock ya kawaida muulizage
@elisantemrita9490
@elisantemrita9490 2 жыл бұрын
Naomba namba mm nipo morogoro naninahitaji kujenga tofali mchanga na kokoto zipo saiti tayari
@jiverkasigara6504
@jiverkasigara6504 2 жыл бұрын
0766555867
@mwalimsubira7341
@mwalimsubira7341 3 жыл бұрын
Mbona ajatoa namba
@mawazoaliselemani
@mawazoaliselemani 3 жыл бұрын
ametoa namba
@jacklinemhina8337
@jacklinemhina8337 Жыл бұрын
Upo mkoa gn
@jiverkasigara6504
@jiverkasigara6504 Жыл бұрын
Nipo shinyanga
@reiladinanimependapz.9872
@reiladinanimependapz.9872 3 жыл бұрын
nataka namba yako
@jiverkasigara6504
@jiverkasigara6504 3 жыл бұрын
0766555867
@andiqueantonio3377
@andiqueantonio3377 3 жыл бұрын
Namba yako kaka
@jiverkasigara6504
@jiverkasigara6504 3 жыл бұрын
0766555867
@simonfred1332
@simonfred1332 2 жыл бұрын
@@jiverkasigara6504 hivyo vyumba vinaukubwa gani?
@salamakombo3257
@salamakombo3257 3 жыл бұрын
1500 mashallah 10saruji
@Fahadnunu
@Fahadnunu 3 жыл бұрын
Sio Chini ya 30
@immaneuldotto8218
@immaneuldotto8218 3 жыл бұрын
Kwa mufan ukitak kujifufunza kujenga kwenye mtandao inawe zekana
@jiverkasigara6504
@jiverkasigara6504 3 жыл бұрын
Ndio
@shafiisalim1686
@shafiisalim1686 3 жыл бұрын
Lini utakuja Dar bloo unifanyie na mm japo vyumba viwili
@jiverkasigara6504
@jiverkasigara6504 3 жыл бұрын
Hahahaha
@shafiisalim1686
@shafiisalim1686 3 жыл бұрын
Mbona unacheka blooo
@jiverkasigara6504
@jiverkasigara6504 3 жыл бұрын
Nimefurahi ntakuja Siku moja
@shafiisalim1686
@shafiisalim1686 3 жыл бұрын
Ukija fanya tutafutane blooo
@ahmedzahor2975
@ahmedzahor2975 3 жыл бұрын
@@jiverkasigara6504 inaonyesha umetangaza kitu halafu hupo sirias watu wameitikia unawafanyia joks
@neemafusi5001
@neemafusi5001 2 жыл бұрын
Block bey gani
@jiverkasigara6504
@jiverkasigara6504 2 жыл бұрын
950
@reginamarwa8636
@reginamarwa8636 3 жыл бұрын
Unapatikana wapi.no yako ya cm unijengee kanyumba Kama hako mwz
@wilfredkilasara368
@wilfredkilasara368 3 жыл бұрын
Safi sana
@shijaenock7638
@shijaenock7638 2 жыл бұрын
Chumba na sebule si ni heri niendelee kupanga tu
@jiverkasigara6504
@jiverkasigara6504 2 жыл бұрын
Sawa
@jiverkasigara6504
@jiverkasigara6504 2 жыл бұрын
Kumbuka utakuwa mwenzetu unapesa acha sisi walala hoi tujenge kila mtu na maisha yake
@florashirima1224
@florashirima1224 2 жыл бұрын
Nikomoshi nimependa ushauri wako nitakupata je nataka yarumoo tat
@jiverkasigara6504
@jiverkasigara6504 2 жыл бұрын
0766555867
@فاطمهنزوى
@فاطمهنزوى 3 жыл бұрын
Namba zao tunaomba
@jiverkasigara6504
@jiverkasigara6504 3 жыл бұрын
0766555867
@zainabmohd6524
@zainabmohd6524 3 жыл бұрын
@@jiverkasigara6504 nyumba ya nyumba vi 4 matofali mangp na pes ya ujenz
@halimahussein917
@halimahussein917 3 жыл бұрын
Bro hio size inachukua bati ngapi
@jiverkasigara6504
@jiverkasigara6504 3 жыл бұрын
22
@halimahussein917
@halimahussein917 3 жыл бұрын
@@jiverkasigara6504 thanx
@batuliissa1826
@batuliissa1826 3 жыл бұрын
Unapatikana wapi
@halimahussein917
@halimahussein917 3 жыл бұрын
@@jiverkasigara6504 hy plz yaani how many days you take 4 this
@jiverkasigara6504
@jiverkasigara6504 3 жыл бұрын
Bati 23
@shijaenock7638
@shijaenock7638 2 жыл бұрын
Tofari za block ndo nn? Block nn kiswahil chake😂
@jiverkasigara6504
@jiverkasigara6504 Жыл бұрын
Daa hapo sijui kabisa
@abdallahmuttaq7306
@abdallahmuttaq7306 4 жыл бұрын
Kaka nyumba ya vyumba viwili na sebule ni tofali ngpi na ni bajet ya kias gni
@harunakilyamuhogo7022
@harunakilyamuhogo7022 3 жыл бұрын
No yako tunaomba
@jiverkasigara6504
@jiverkasigara6504 3 жыл бұрын
0766555867
@zainabsisso3544
@zainabsisso3544 3 жыл бұрын
Unapatikana WaPi
@jiverkasigara6504
@jiverkasigara6504 3 жыл бұрын
Shinyanga Tanzania
@nasraabdallah850
@nasraabdallah850 3 жыл бұрын
@@jiverkasigara6504 kumbe nilijuwa dar dah yani ungenijengea leoleo kaka ang
@nasraabdallah850
@nasraabdallah850 3 жыл бұрын
@@jiverkasigara6504 SHINYANGA viwanja bei gani funda
@teclamastone7098
@teclamastone7098 3 жыл бұрын
@@jiverkasigara6504 nitumie nambayako
@SaraSara-zj3sj
@SaraSara-zj3sj 3 жыл бұрын
Ukowap
@jiverkasigara6504
@jiverkasigara6504 3 жыл бұрын
Shinyanga
@saidalhabsi9257
@saidalhabsi9257 2 жыл бұрын
Kaka boma lisipo fungwa lenta kwa muda mlefu linahalibika
@jiverkasigara6504
@jiverkasigara6504 2 жыл бұрын
Hapana labda kuwe kuna tatizo jingine au kama boma LA tofali za kuchoma halafu la tope
@shijaenock7638
@shijaenock7638 2 жыл бұрын
Hyo nyumba au ni banda acha kutupa mawazo ya kiumaskin bas
@jiverkasigara6504
@jiverkasigara6504 2 жыл бұрын
Hahahahahahaha
@paschalrobert7602
@paschalrobert7602 3 жыл бұрын
Nyumba ya chumba na sebure tofari 1500 mbn tofari nyingi san
@jiverkasigara6504
@jiverkasigara6504 3 жыл бұрын
Inaselfu ndani na stoo
@muzneali387
@muzneali387 3 жыл бұрын
@@jiverkasigara6504 Chumba na sebule tofali 1500???😳😳😳
@reonardzabron5986
@reonardzabron5986 3 жыл бұрын
@@jiverkasigara6504 ata km mkuu
@jiverkasigara6504
@jiverkasigara6504 3 жыл бұрын
Altitude kaka
ujenzi wa chumba na sebure na choo
6:22
Jiver Kasigara
Рет қаралды 17 М.
Beat Ronaldo, Win $1,000,000
22:45
MrBeast
Рет қаралды 158 МЛН
My scorpion was taken away from me 😢
00:55
TyphoonFast 5
Рет қаралды 2,7 МЛН
ujenzi unaendelea wa bei nafuuu
2:45
Jiver Kasigara
Рет қаралды 12 М.
KIMBIA KODI HATA HAKA KAKUSHINDE??? #ujenzinafuu
5:01
Sanuka Media
Рет қаралды 11 М.
Small House Plan 11 x 9m 2 Bedroom with American Kitchen 2020
7:04
View Additional Features
Рет қаралды 3,7 МЛН
TAZAMA MUENDELEZO WA ILE NYUMBA YA GHARAMA NAFUU
4:04
Sanuka Media
Рет қаралды 19 М.
120 Days Work in 30 Minutes - Step By Step Complete House Construction Video
28:55
Beat Ronaldo, Win $1,000,000
22:45
MrBeast
Рет қаралды 158 МЛН