Ujenzi wa Banda la Vifaranga wa Kuku wa Kienyeji

  Рет қаралды 111,514

Changamkia Fursa

Changamkia Fursa

2 жыл бұрын

Ujenzi wa banda la kutunzia Vifaranga wa Kuku wa kienyeji.
Ili vifaranga wa kienyeji wakue bila changamoto za vifo kama mfugaji wa kuku haupaswi kusahau ujenzi wa banda la kulelea vifaranga. Banda la vifaranga ni sehemu muhimu sana katika ufugaji wa kuku wa kienyeji.
Vifo vingi vinavyotokea kwenye kuku wa kienyeji ni kwa sababu ya wafugaji hawaandai banda la kulelea vifaranga hivyo wanawaacha kuku wazunguke na vifaranga wao mchana kutwa bila kufikiria hatari ya wanyama na ndege wa porini waonaowahitaji hao vifaranga kama kitoweo.
Sasa kwenye makala ya leo tutajifunza Mambo muhimu ya kuzingatia wakati wa ujenzi wa banda la kulelea vifaranga wa kienyeji.
#jinsiyakutengenezabandalavifarangawakienyeji

Пікірлер: 76
@changamkiafursa
@changamkiafursa 2 жыл бұрын
*OFA OFA OFA KWA WANACHANGAMKIA FURSA* TUFUGE KUKU WA KIENYEJI ni kitabu (Pdf) cha Muongozo wa ufugaji wa kuku wa kienyeji utakao kupa mwanga wa kufuga kuku wa kienyeji kwa mafanikio kwa kukupa mbinu za namna gani ya kuzuia Magonjwa na kupunguza gharama za uendeshaji wa mradi wako. Sasa pdf inapatikana kwa punguzo la 20%, jipatie nakala yako hiyo kwa kubonyeza link na fata maelekezo. wa.me/message/XOAG2ZZZDYA6J1
@benjamininyambaso5041
@benjamininyambaso5041 2 жыл бұрын
Page yangu boraaa kabisaa
@changamkiafursa
@changamkiafursa 2 жыл бұрын
Asante kwa kuichagua CHANGAMKIA FURSA
@mlandagodfrey121
@mlandagodfrey121 2 жыл бұрын
Nzuri Sana brother kila siku najifunza kitu kipya kutoka kwako
@changamkiafursa
@changamkiafursa 2 жыл бұрын
Asante sana
@hemedabdullah6206
@hemedabdullah6206 2 жыл бұрын
Unaeleweka vizuri Kabisa.
@changamkiafursa
@changamkiafursa 2 жыл бұрын
Pamoja sana
@thepeckingorder3220
@thepeckingorder3220 2 жыл бұрын
Cluck cluck!!!👌👌😍👏
@zecktv4656
@zecktv4656 2 жыл бұрын
Safi sana VP vifarang hao unaweza ukqchanganya na vifaranga vya mwingine
@changamkiafursa
@changamkiafursa 2 жыл бұрын
Inawezekana
@etv5838
@etv5838 2 жыл бұрын
Safi sana Kiongoz nahitaji mawasiliano yako pls
@changamkiafursa
@changamkiafursa 2 жыл бұрын
Yako kwenye video hii
@salama_world
@salama_world 2 жыл бұрын
Kazi nzuri
@changamkiafursa
@changamkiafursa 2 жыл бұрын
Thanks bro
@DamasMwambope
@DamasMwambope 2 ай бұрын
Sijaelewa boss kuku mmoja unampaje vifaranga 50 iyo inakuaje nataka nijue
@barakarichOfficial1
@barakarichOfficial1 2 жыл бұрын
Bomba sana brod
@changamkiafursa
@changamkiafursa 2 жыл бұрын
Pamoja kiongozi
@judithkatabaro3294
@judithkatabaro3294 5 ай бұрын
Nataka kuanza kufuga kuku wa kienyeji na anzaje kuku waina gani ukubwa je nivifaranga au wakubwa wkaubwa nataka nianze na kuku mia
@MsaSmon-zl6fx
@MsaSmon-zl6fx 6 ай бұрын
Thanks we w ❤
@elijahmakuku6555
@elijahmakuku6555 2 жыл бұрын
honger kaka
@changamkiafursa
@changamkiafursa 2 жыл бұрын
Asante
@veronikakwandu
@veronikakwandu Жыл бұрын
Naitafta sana hi furusa lakin sijapata kufanikiwa
@ibrahimsanga690
@ibrahimsanga690 2 жыл бұрын
Local creativity..so good..
@changamkiafursa
@changamkiafursa 2 жыл бұрын
Thanks bro
@mnyukiketto1708
@mnyukiketto1708 2 жыл бұрын
good,thanks.
@changamkiafursa
@changamkiafursa 2 жыл бұрын
Asante pia
@honestykoka5317
@honestykoka5317 2 жыл бұрын
Vzr huwa najifunza vitu vingi sana kupitia kwako
@changamkiafursa
@changamkiafursa 2 жыл бұрын
Asante sana
@tubunileopmsyaliha3502
@tubunileopmsyaliha3502 2 жыл бұрын
Good work
@changamkiafursa
@changamkiafursa 2 жыл бұрын
Pamoja
@user-jn7pi4fl5m
@user-jn7pi4fl5m 2 жыл бұрын
Sante
@paschalmagubo6337
@paschalmagubo6337 2 жыл бұрын
Nimependa haya mazingira sana, ni ya kawaida na kwa haraka haraka hauwezi kuamini kama kuku wanafungwa hapo!
@changamkiafursa
@changamkiafursa 2 жыл бұрын
Ni kawaida kabisa
@changamkiafursa
@changamkiafursa 2 жыл бұрын
Wanaonitembelea huwa wastaajabu pia
@paschalmagubo6337
@paschalmagubo6337 2 жыл бұрын
@@changamkiafursa pamoja mkuu
@changamkiafursa
@changamkiafursa 2 жыл бұрын
Pamoja mpaka kieleweke
@paschalmagubo6337
@paschalmagubo6337 2 жыл бұрын
@@changamkiafursa Mimi pia naweza kukutembelea?
@barakachediel4405
@barakachediel4405 2 жыл бұрын
Bro nakuelewa sana
@changamkiafursa
@changamkiafursa 2 жыл бұрын
Pamoja sana
@banujr4915
@banujr4915 2 жыл бұрын
Nguluwe
@abshamsadick2209
@abshamsadick2209 2 жыл бұрын
Je kama chumba chako cha kulelea ni kikubwa waweza kuweka wa mama kuku wawili na vifaranga vyao labda 60 hv
@PendoYango-mp9qx
@PendoYango-mp9qx Жыл бұрын
Unauza kuku
@husseniamiri1565
@husseniamiri1565 2 жыл бұрын
Ahsante kaka, Swali je ikiwa wanatotoleka kwa wiki tofauti tofaut inakuaje??
@amanimwamluku7979
@amanimwamluku7979 2 жыл бұрын
Mimi.i ninachangamoto.vya vifaranga kupata.ugonjwa.wamabawa.anaejua dawa.msaada.naomba
@muhammedwakif6216
@muhammedwakif6216 2 жыл бұрын
Simple but sure kaka khamis
@changamkiafursa
@changamkiafursa 2 жыл бұрын
For sure
@erickjonas877
@erickjonas877 2 жыл бұрын
Asnt
@changamkiafursa
@changamkiafursa 2 жыл бұрын
Pamoja
@wigelwadavid5697
@wigelwadavid5697 2 жыл бұрын
Nataka kufunga kuku nianze na vifaranga au kuku wa kubwa
@akeem1221
@akeem1221 2 жыл бұрын
Kama una haraka na una hela basi anza na wakubwa.
@wigelwadavid5697
@wigelwadavid5697 2 жыл бұрын
@@akeem1221 inaweza ikani garim Kama shigapi
@changamkiafursa
@changamkiafursa 2 жыл бұрын
Kiasi chochote ulichonacho unaweza kuanza ufugaji wa kuku
@sikujuwabackari3554
@sikujuwabackari3554 Жыл бұрын
Panya au paka si anaweza ingia apo na kuuwa vifaranga ?
@brotherisaiahtv
@brotherisaiahtv 2 жыл бұрын
Mayai hamsini kwa kuku mmoja unawaptaje??
@jenifermselle9561
@jenifermselle9561 Жыл бұрын
Kuku ukimchanganyia vifaranga wa mwenzie hawezi kuwauwa?
@OnlineVibe
@OnlineVibe 2 жыл бұрын
Naomba kujua size ya hayo matundu ya chicken wire
@changamkiafursa
@changamkiafursa 2 жыл бұрын
Ni chini ya inch 1
@congani
@congani 2 жыл бұрын
Mafunzo mazuri Sana. Nimekuwa na tamanio la kufuga Kwa muda sana. Nimejaribu lakini nafikiri naweza kubali kweli sikuwa na ujuzi. Nipo Kenya, Sijui kama inawezekana kujiunga na mafunzo ya mara Kwa mara.
@khadijarigobert9986
@khadijarigobert9986 2 жыл бұрын
Naomba kujifuza kufuga kuku
@changamkiafursa
@changamkiafursa 2 жыл бұрын
Karibu sana, fata maelekezo ya video kujiunga
@beatricesamwel5011
@beatricesamwel5011 2 жыл бұрын
Nimevipenda hivyo vyombo vya maji naomba kujua umevitengenezaji
@beatricesamwel5011
@beatricesamwel5011 2 жыл бұрын
Je wanaweza kulala hapo hapo
@changamkiafursa
@changamkiafursa 2 жыл бұрын
Ndio wanaweza
@changamkiafursa
@changamkiafursa 2 жыл бұрын
Sawa
@banujr4915
@banujr4915 2 жыл бұрын
Mifugo nguluwe
@jackilineneemaangelo4437
@jackilineneemaangelo4437 2 жыл бұрын
Wanalala humo?
@changamkiafursa
@changamkiafursa 2 жыл бұрын
Hapana
@banujr4915
@banujr4915 2 жыл бұрын
Mifugo nguluwe
Banda Bora la Kulelea Vifaranga vya Kuku
6:00
Changamkia Fursa
Рет қаралды 63 М.
ULEAJI WA VIFARANGA WA KIENYEJI KWA NJIA YA KISASA
10:27
Changamkia Fursa
Рет қаралды 290 М.
ПРОВЕРИЛ АРБУЗЫ #shorts
00:34
Паша Осадчий
Рет қаралды 6 МЛН
Despicable Me Fart Blaster
00:51
_vector_
Рет қаралды 27 МЛН
A little girl was shy at her first ballet lesson #shorts
00:35
Fabiosa Animated
Рет қаралды 11 МЛН
UJENZI BANDA LA KUKU 1000 - 1300, SEHEMU YA PILI
11:16
Charity Farm
Рет қаралды 26 М.
Utotoleshaji wa VIFARANGA WENGI wa Kienyeji Hatua kwa Hatua
5:46
Changamkia Fursa
Рет қаралды 19 М.
CHICKEN CAGE ZENYE UWEZO WA KULEA VIFARANGA BILA VIFO.
4:05
Ufugaji Bora TV
Рет қаралды 1,3 М.
Utunzaji wa Vifaranga vya Kuku wa Kienyeji BILA VIFO
8:05
Changamkia Fursa
Рет қаралды 42 М.
JINSI YA KUANZA UFUGAJI WA KUKU WA KIENYEJI.
10:13
KingoFarm
Рет қаралды 2,3 М.
SIRI YA KUKUZA VIFARANGA VYA KUKU WA KIENYEJI
8:46
Changamkia Fursa
Рет қаралды 132 М.
Ufugaji wa samaki Kwa namna rahisi
11:24
Yaliyojiri Online
Рет қаралды 6 М.
Sasa Nafuga Kuku Chotara Kibiashara, Zaidi ya Kuku 700 wa Rika Tofauti
7:02
ПРОВЕРИЛ АРБУЗЫ #shorts
00:34
Паша Осадчий
Рет қаралды 6 МЛН