Kazi nzuri sana mkufunzi lakini Vipi kuhusu chicken perches zile mbao au miti ya kuku kukaa kwa juu yake ndani ya banda lako.?
@KingoFarm16 ай бұрын
Hiyo tumeweka kwenye Manda ya kuku wakubwa, ukiweka kwenye Vifaranga watakuwa hawali, maana wanapenda sana kukaa kwenye Ile miti , na humu tunaingiza Vifaranga
@saumumunisi80134 ай бұрын
Toeni hela mtaunganishwa faster
@KingoFarm14 ай бұрын
Yap
@sharonpirmohamed46653 ай бұрын
Kitabu ni Bei gani nakipata vp
@KingoFarm13 ай бұрын
Kitabu ni shilingi elfu kumi tutafute 0712188239 tunakutumia softcopy Kwa njia ya WhatsApp au Kwa email
@RenaldaMunishi5096 ай бұрын
Naomba vipimo vya banda la kuku100
@KingoFarm16 ай бұрын
9 foot × 9 foot
@MethodNdekele6 ай бұрын
nami niunganishe
@KingoFarm16 ай бұрын
Njoo what app Kwa hii namba! 0712188239
@DonataIrigo6 ай бұрын
Bei gani kanuni
@KingoFarm16 ай бұрын
Elfu tano
@DonataIrigo6 ай бұрын
Sakafu itabaki mchanga
@KingoFarm16 ай бұрын
Unaweka rafu
@DonataIrigo6 ай бұрын
@@KingoFarm1 Asante sana barikiwa
@AnethKauzen-yz1ws6 ай бұрын
NAMI niunganishe pia
@KingoFarm16 ай бұрын
Tutafute 0712188239
@ayubumitiakimitiakikivuy-fo3yp6 ай бұрын
kingo farm niunganishe basi kwenye group la WhatsApp nilipie chap ili unipe proses ya ufugaji wa kuku
@KingoFarm16 ай бұрын
Tutafute WhatsApp 0712188239
@malila45826 ай бұрын
Mashaallah mtaarama wangu
@nomattersorry67326 ай бұрын
Hongera sana . Maasha Allah.
@PaskaliCharles-pz8ds6 ай бұрын
Asante kwa elimu
@jompoultryfarm70126 ай бұрын
Gharaa za fundi hujasema..pia hiyo miti.
@KingoFarm16 ай бұрын
Miti sijainunua ila fundi nilimlipa shilingi 70000 yaani wa kuweka sakafu na kujenga banda