Mradi mzuri wa kimkakati katika jiji la mbeya, hongera na pongezi kubwa kwa serikali ya awamu ya 6 👍
@CharlesNgamanyaАй бұрын
Mimi sitoi pongezi kutokana kituo mnacho jengo bado nikidongo sana wakati mbeya nikubwa sana ulitakiwa kujenga hadi hoteli za kisasa Na super market
@osi_ministry3 ай бұрын
Jengo Hilo haliendani na hadhi ya Jiji
@maishasafari97242 ай бұрын
Kweli kabisa, uongozi wa Mbeya unamatizo.
@Aminmwansile-we8vn3 ай бұрын
Tuonyeshe ramani ya stendi msije mkajenga kama ile ya nane nane badala ya kujenga kama ya mbezi ya magufuli wakati mbeya ni jiji kubwa la tatu Tanzania. Kwa kuwa na uchumi mkubwa pia linashika nafasi ya tatu
@kalingaasukile87303 ай бұрын
Harafu unakutana na mtu anasema anamtaka Sugu unashindwa kumshangaa 😂
@HakeemBakary3 ай бұрын
Kabisa Yani, hata mm nilikua na huo ushabiki lakn nikaona tunajichelewesha wenyewe.