Huu ni uongo, mradi unasuasua tuu hamna jipya. Mlipeni mkandarasi afanye kazi
@VisentJohn-r3r3 ай бұрын
Kila siku mmetenga mradi hauendi mnatuchosha
@B.M29232 ай бұрын
Hakuna dalili za kumaliza kujenga hiyo barabara ndani ya miaka miwili.Toka nilipoona Tanroads wanatiliana saini na mkandarasi ndiyo kazi imefikia hapo?!Tatizo mnaweka siasa kwenye ujenzi.Nahisi mkandarasi halipwi kwa wakati.Hata vifaa vilivyo kwenye mradi ni vichache sana.