UJERUMANI INAVYOFILISIKA KUTOKANA NA VIKWAZO KWA URUSI

  Рет қаралды 19,871

THE WORLD NEWS

THE WORLD NEWS

Күн бұрын

Пікірлер: 61
@KisagasiLuyangi
@KisagasiLuyangi 3 күн бұрын
Mliambiwa Dunia bila urusi haiwezekani, Sasa kuleni chuma icho
@thadeombani7869
@thadeombani7869 3 күн бұрын
Mungu ni mwema sana❤
@amournassorsaid7694
@amournassorsaid7694 3 күн бұрын
Naomba Wawe wakimbizi na wao
@AmeHaji-c6h
@AmeHaji-c6h 3 күн бұрын
Tulidanganywa kwamba hawa wazungu wanakili lkn kwa mfumo huu😂😂😂😂
@SalumMasengwa-b9s
@SalumMasengwa-b9s 3 күн бұрын
From Uroa school Zanzibar wacha nione uuraaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
@HassanRamadhanPashua
@HassanRamadhanPashua 3 күн бұрын
Putin aliwaambia hamuwezi itenga urusi mtaumia nyny
@daudinyello4033
@daudinyello4033 3 күн бұрын
HAHAHAAAA
@kafwimbimilambo8556
@kafwimbimilambo8556 4 күн бұрын
Mwanakulitafuta mwana kulipata
@allysimu6856
@allysimu6856 3 күн бұрын
Anaechafua dunia ni mmoja tu tukiungana kwapamoja hakika tutamuondoa shetani uyo
@uwimana6533
@uwimana6533 3 күн бұрын
Marangapi keshanguka 😂😂😂
@NuhuJuma-k6k
@NuhuJuma-k6k 3 күн бұрын
Wafilisike zaidi
@abduljuma7807
@abduljuma7807 3 күн бұрын
Wazungu nilikuwa najua tangu zamani kuwa niwajinga kuliko watu wengine wote ila nimaji wauwaji walafi wachoyo roho mbaya utapeli wivu wachonganishi magaidi wakora mashoga wapumbavu niwale wanaowaamini wanaowategemea wanaokwenda kusoma kwao nakuwaiga
@abduljuma7807
@abduljuma7807 3 күн бұрын
Majizi sio maji
@salimfaraj5509
@salimfaraj5509 4 күн бұрын
Wacha wafilisike tu mashoga hao
@babazizu1255
@babazizu1255 12 сағат бұрын
Yan km amri yangu ugeruman wangekufa njaaa maana ndyo mashetani wakubwa hawaaaa
@barikiringo6311
@barikiringo6311 3 күн бұрын
Walijua mrusi ni mwarabu na mtu mweusi??😂
@stellanyamuhogota1832
@stellanyamuhogota1832 4 күн бұрын
Acha inyeshe😂
@Sarah-e1o9k
@Sarah-e1o9k 3 күн бұрын
Kabsa upande uvune😂😂😂😂
@ZakariaYahya-c3n
@ZakariaYahya-c3n 3 күн бұрын
Ww wamuekea vikwazo mtu na Mali zake huo siniujinga
@issalyanali4119
@issalyanali4119 3 күн бұрын
Ujerumani ni umbwaaa tu,,,,urusi ni baba lao
@alisaid9920
@alisaid9920 3 күн бұрын
Acha ujerumani ife imejitakia wenyewe ,marekani nao acha wafe waukaribisha umasmkini kwa kumkubalia marekani mshenzi huyu
@AyoubHajj
@AyoubHajj 4 күн бұрын
Huyu ni shoga wale wale tuh Kama vile hajuwi lilomueka pale juu baada ya kutafuta naamna ya kuendeleza maendeleo yake inaenda kujitiya katika chaka kwa kumfata bwana ake marekan
@rashidichuri1149
@rashidichuri1149 3 күн бұрын
wamesahau tajiri hanuniwi
@nizarrama225
@nizarrama225 4 күн бұрын
😂 hawa walikuwa wamelala naona wameanza kuamka!
@Awatee
@Awatee 4 күн бұрын
😂😂😂Kipara kinaanza kuamka
@Sarah-e1o9k
@Sarah-e1o9k 3 күн бұрын
Nimeona uko wnasema wanajuta wmemwambua china asilete vitu vyake yni wanajuta😂😂😂😂😂 alafu putini ndio kwanza inaendelea
@fidelfidel-jz4iw
@fidelfidel-jz4iw 3 күн бұрын
Bado watafikisika wanajeuli Sanaa hawa watu wanajiona wanaweza lakini law materials zote wanatoa nje wao Wana akili za technology sasa walifikili urusi atashindwa vita vikwanzo zaidi ya thelathini bado anaendelea wao waliona umoja wao ndio nguvu sasa joto . ujanja ujanja sasa dunia
@babazizu1255
@babazizu1255 12 сағат бұрын
Urusi oyeeeeeeee m2 anamiliki gesi utashindana nae
@zakariaabdalla-uo3nk
@zakariaabdalla-uo3nk 4 күн бұрын
Mbn hawajahipo kumuekea vikwazo netanyau
@hamisisalum6116
@hamisisalum6116 3 күн бұрын
Ni mtu wao wa kimkakati, wanamtumia kuikamata na kuidhibiti mashariki ya kati kiuchumi
@daudinyello4033
@daudinyello4033 3 күн бұрын
@@hamisisalum6116 HAWAWEZI KUMUWEKEA SHOGA MWENZAO VIKWAZO
@braystuskibassa3842
@braystuskibassa3842 3 күн бұрын
Watajua hawajui
@latestfunnyvideo2187
@latestfunnyvideo2187 Сағат бұрын
Ulaya mashariki kuna mataifa masikini mengi tama sio tegemezi, wazir mkuu wa ufaransa alishauri wataifa ya liyojiunga na NATO kuwa wachague upande sahihi ambako hakutaleta madhara kwa raia wao ila wakakalia masikio nchi kama Spain France na German ni baadhi ya nchi zinazoumia saivi pia deni la USA limekua kubwa sana, tatizo wanaona aibu kugiveup
@habibukalema3127
@habibukalema3127 Сағат бұрын
Bora wajerumani waishiwe ili waje Africa kuomba misaada africa
@gonanzaro5580
@gonanzaro5580 3 күн бұрын
Ubwa sana haw
@TeddyDickson-w5p
@TeddyDickson-w5p 2 күн бұрын
Zama zile walituaminisha Urusi ni nchi masikini,kumbe ndio tajiri yao
@babazizu1255
@babazizu1255 12 сағат бұрын
Urusi inchi tajil sanaaaa duniani kwahyo wao walikuwa wana2potosha
@Nicolauskuboja
@Nicolauskuboja Күн бұрын
Ngoja nasi tushuhudie ujinga ktk enzi zetu, tupate jumbe kwa wajukuu wetu
@mohamedsaidalhabsi7862
@mohamedsaidalhabsi7862 3 күн бұрын
Hi ndio ile linalo semwe mchimbia shomo nduguye
@JosephAmos-z4g
@JosephAmos-z4g 3 күн бұрын
😂😂😂
@amirinestory
@amirinestory 4 күн бұрын
na nado😂😂😂😂
@TatuMuanda-ub7ud
@TatuMuanda-ub7ud 3 сағат бұрын
Urusi ndio baba lao
@SM-fu1yv
@SM-fu1yv 3 күн бұрын
Waishe kabisa hao ujerumani
@mohammedimpeme
@mohammedimpeme Күн бұрын
BORA WAFILISIKE😮😮😮😮
@DanielHailonje
@DanielHailonje 3 күн бұрын
wafilisiketu
@frankmwashovya5532
@frankmwashovya5532 2 күн бұрын
o i
@GeremihJuma
@GeremihJuma 3 күн бұрын
Habiyera 🐆🐆🐆
@bonifasiemanueli21
@bonifasiemanueli21 20 сағат бұрын
Hali siyo mbaya hizo ni propaganda tu
@babazizu1255
@babazizu1255 12 сағат бұрын
Amka utajinyea ww kushakucha
@janiafaomaa5120
@janiafaomaa5120 3 күн бұрын
UNAFILISIKA WEWE KIYAKILI UNAZANIKUWA UJARUMANI NI TANZANIA UJARUMANI INAHAKIBA YA PESA ZA SEREKALI $ 12 TIRON URUSI WANA $ 8.4 TIRION USA $ 24 . 8 TIRION NICHI YAKWAZA INAYO HAKIBA YA PESA KUBWA TANZANIA WANA $ 75 BILIONI RUDISHULE USIWE MJINGA UMEFILISIKA WEWE AKILIYAKO
@danstanirubazibwa2494
@danstanirubazibwa2494 3 күн бұрын
Samahani kiongozi unajua kuyofautisha kati ya GDP na akiba ya fedha?? Hebu fikilia vizuri
@danstanirubazibwa2494
@danstanirubazibwa2494 3 күн бұрын
Samahani kiongozi unajua kuyofautisha kati ya GDP na akiba ya fedha?? Hebu fikilia vizuri
@danstanirubazibwa2494
@danstanirubazibwa2494 3 күн бұрын
Samahani kiongozi unajua kuyofautisha kati ya GDP na akiba ya fedha?? Hebu fikilia vizuri
@danstanirubazibwa2494
@danstanirubazibwa2494 3 күн бұрын
Samahani kiongozi unajua kuyofautisha kati ya GDP na akiba ya fedha?? Hebu fikilia vizuri
@PAULNYANDILE
@PAULNYANDILE 3 күн бұрын
tatizo akili zako ziko katika makalio yako, elewa kwanza kiini cha taarifa na ni nini maana yake jinga wewe.
@daudinyello4033
@daudinyello4033 3 күн бұрын
WAZUNGU NI WAJINGA, WAUWAJI, WALAFI, WACHOYO, ROHO MBAYA, MATAPELI, WACHONGANISHI NA MAGAIDI
@babazizu1255
@babazizu1255 12 сағат бұрын
Sanaaaaaaa boss wangu na cjui kwann wapo hvyo
@daudinyello4033
@daudinyello4033 3 күн бұрын
GERMAN A.K.A GAYS
Hassan Nasrallah Mwiba uloinyima usingizi Israel Umeanguka
19:11
An Unknown Ending💪
00:49
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 57 МЛН
How To Get Married:   #short
00:22
Jin and Hattie
Рет қаралды 25 МЛН
Ndege 10 za Kivita Bora zaidi duniani! Marekani, China na Urusi wachuana
11:00
Why they want me impeached-DP Gachagua speaks
1:25:41
KTN News Kenya
Рет қаралды 255 М.
IRAN YATEGA NYUKLIA ZAKE KUELEKEA ISRAEL|YASUBIRI KISASI CHA NETANYAHU
5:15
MWAMBA TRAORE AMENUNUA NDEGE AIR BURKINA
10:21
UKUU WA MWAFRIKA (IBM)
Рет қаралды 18 М.
MAZRUI ATANGAZA KUSTAAFU SIASA ASEMA AMECHOSHWA NA MAGUMU ANAYOPITIA
11:57
ISRAEL NA MAREKANI KAMA HAWAKUACHA~~~ MAANGAMIZI YAPO MBELE YAO
12:58
BILAL ONLINE TV
Рет қаралды 1,7 М.
An Unknown Ending💪
00:49
ISSEI / いっせい
Рет қаралды 57 МЛН