Madhabahu sio sehemu ya wanasiasa,waongere viwanja vya ziasa.
@CafeJohn-n9oАй бұрын
Siyo vizuri siasa kwenda makanisani mwenyezi mungu aturehemu
@NorbertKagaliАй бұрын
Miwaombe viongozi wetu wa dini kuwapandisha madhabahuni wanasiasa bila hadidu rejea ya mambo ya kuongea mnatukwaza sana waamini siyo sehemu sahihi ya kufanya siasa.
@SaugoNdemo-tx4leАй бұрын
Jambo hili liangaliwe sana...!
@PolycapySilayo-g9wАй бұрын
Viongozi wa dini kuwa makini sana siku za mwisho hz
@raphaelnambombi3709Ай бұрын
Waige mfano wa baba wa taifa ktk kipindi chake chote alikuwa akienda kanisani ni kusali tu na kuondoka hajawahi kwenda mbele na kuanzia kuhutubia
@mungholomakalanga8958Ай бұрын
Siasa na dini vinaenda pamoja
@festokemibala5832Ай бұрын
Kwanza hana adabu, hapo ni Kanisani siyo uwanja wa amri abeid kwenye kampeni ya ccm!! Acheni kunajisi madhabahu
@bahatikamihanda3689Ай бұрын
Jamani baba zetu wa kiroho mnatukosea sana,Wanasiasa mdhabauni hapana! Maana wengi wao SI waadilifu wanafanya siasa kanisani na kutoa rushwa ya maneno na fedha.
@benny4345Ай бұрын
Waumini wakitoka hapo watajadiliana maneno ya Makonda. Siyo neno la Mungu walilolishwa!
@mmassyferguson4959Ай бұрын
Vizur sana mh makonda
@SangaadamАй бұрын
Hizi Siasa za Makanisani mjaribu kuziepusha.... Km Wanasiasa wanataka kuongelea Siasa wafanye nje ya kanisa......
@AmanNdabatunga-l7bАй бұрын
❤
@Robust78Ай бұрын
Tunahitaji kusikia neno la Mungu hapa masuala haya ya siasa yangezungumziwa kwenye mikutano ya hadhara. Kuwahutubia watu kanisani siyo poa kanisani tunataka mahubiri.
@sambulugu9988Ай бұрын
Ulishaskkia sana na dhambi bado unafanya mojawapo ni kumchukia Makonda!
@amaniamani6391Ай бұрын
Alitakiwa atoe salamm tu hayo mengine hayana msingi protocal haipo ibada ni muhimu wamemkosea Mungu
@rogersiddyАй бұрын
Nyumba ya ibada ishakuwa uwanja wa siasa kazi kweli kweli😂😂🙌
@cmoshi7014Ай бұрын
Sasa hapo ni jukwaa la siasa jamanii??? Hizo pumba zake akaongelee huko kwenye majukwa yao akamwage huo upupu huko. Kwanza ana kesi huyo subiri time will tell
@gadlorddeuli5739Ай бұрын
Mimi no Mchungaji, lakini kupandisha wanasiasa madhabahuni ni kosa Sana. Tujidunze kwa RC.
@emmahboooooАй бұрын
Kabisa hawakuwapa nafasi Kabisa.
@josephlorri431Ай бұрын
KKKT walishindwa kutetea wamasai wa ngorongoro/loliondo sababu ya ukaribu na serikali
@ThomasAluteАй бұрын
KKKT Arusha mnafanya vibaya sana kuruhusu siasa kanisani ni utovu mkubwa sana ovyo sana
@JumbeOjasoАй бұрын
Makonda na Gambo wanachambana kanisani,na ni dhahiri hawako pamoja,kisiasa . Hawaaminiani,na hawako pamoja ktika shughuli za kila siku,na za wananchi.
@ericlowasa3097Ай бұрын
Huyu makonda mnamkaribisha wa nini......
@AlexNjelekela-e6eАй бұрын
Acheni siasa madhabahuni Mungu anajua mambo yenu ya sirini,Naamini baba askofu umewakera waumini
@dr.sarahosima8066Ай бұрын
Well said Makonda, keep it up
@gracemima5234Ай бұрын
Hawa wanao lawiti watoto kwa nini hawakamatwi?
@SaugoNdemo-tx4leАй бұрын
VIONGOZI WA DINI MJIHADHARI HAO WANA SIASA HAPO MADHABAHUNI...MSIWAPE NAFASI! KUNA TATIZO...HAPO WAUMINI TAYARI HAWAKO KWENYE TAFAKARI YA BIBLIA. WANA MAJUKWAA YAO...!
@celinengonna427Ай бұрын
makonda usitumie madhabahu kuweka siasa zako hapo ni pa Mungu utapigwaa
@DinuZenoАй бұрын
Ibada imeharibiwa hapa
@petermogha7025Ай бұрын
Ki be ipi
@lucaschisamalo2852Ай бұрын
Wewe unamaadili mungu anakuona atakulipa hapa hapa duniani
@theantara8931Ай бұрын
Pole Askofu wangu
@daviddsouza735Ай бұрын
Sadaka ishapokelewa
@meshmeshak1095Ай бұрын
Hapa hicho kinachoongelewa ni sehemu yake?? Mbona kama Kuna shida vichwani mwa watu?? Au Mimi ndo sielewi??
@menelus911mene5Ай бұрын
Jamani msishangae sana na mnamaliza mabando yenu kwanii DINI NA DUNIA ❤🎉
@nasaelmanya1850Ай бұрын
Askofu shoo.... Nampenda sana huyu Mzee kwa misimamo yake
@odoieriasmonga6591Ай бұрын
kosa kubwa sana kuwaachia viongozi wa kisiasa kutumia madhabahu kumtukuza raisi badala ya kumtukuza MUNGU WETU WA MBINGUNI
@alphascaona576Ай бұрын
🎉Eti na hapo ni kanisa halafu unaambiwa toa sadaka daa asikofu anamsikiliza kenyata hakukosea
@lucaschisamalo2852Ай бұрын
Kueni makini warutheri mnakaangwa wanasiasa wanawahalibia tatizo mnapenda pesa
@daviddsouza735Ай бұрын
Tusome Mat 13 na Barua ya Yakobo
@starlily07Ай бұрын
Aisee aisee nakosa Neno la kusema, hii ni aibu sana kwa wakristo, nahisi Mungu anaanza kukuumbua sasa, una ongea utumbo tu kanisani hakyanani, Yani ni kama umepagawa, dadeeki DAMU za watu zinamlilia Mungu sasa.
@faustinemangula8424Ай бұрын
Kanisa ni Pa Mungu siyo siasa kama Makonda anavyofanya Makonda.
@Brunn-mh2bqАй бұрын
Wakenya wametumia mtindo huu wa siasa makanisani misibani nk. Haivutii sana. Naona wakristo wa Lutheran wanayaleta Tanzania. Matokeo yake wanasiasa wanatumia makanisa kupigana vijembe kila mmoja kujifanya mzuri kuliko mwingine. Kanisa sio mahali pake watu wangu!!
@maryfranknamkumba9182Ай бұрын
Makonda wewe ni mtu wa ajabu. Wewe mwenyewe kwa ushirikina ni namba moja
@GoodluckTarimo-u3jАй бұрын
Ndio maana makanisa yamekosa mwelekeo hio seliani niyamatajiri tuu siasa kanisani aibu
@pascalmsegea4563Ай бұрын
Kuna baadhi ya watanzania ni watu wa hovyo sana, wanasiasa wasipewe nafasi madhabahuni ila viongozi wa dini kupewa nafasi kwenye majukwaa ya siasa aaaahhh
@annamushiaminaaa4367Ай бұрын
Mzee shoo anakwangalia tuuu humjui vizuri
@josephjohn2114Ай бұрын
Siku nikiwa kanisani Nimeenda kumuomba Mungu halaf viongozi wangu wakapandisha mwanasiasa kupiga siasa. Nachukua vitu vyangu natoka. Huu upuuzi siwezi kuuvumilia.
@beatricehenry6776Ай бұрын
Mbina sioni baya Arusha oyeee Makonda oyeee
@husseinbachwa8372Ай бұрын
Dini na siasa wapi na wapi jaman?
@celinengonna427Ай бұрын
Viongozi wetu hapo ni madhabahu ya makimbikio ya watu sio jukwaa la siasa mzee shoo unakwama wapi. ni Tunaumia kanisa lina sura yake j. pili katukana maaskofu kwa mwamposa leo kkkt
@samniza9015Ай бұрын
Mimi ndio maana siendagi makanisa ya bongo nikiwa huko maana ni usanii tu.
@paulrhema1782Ай бұрын
Ndio tabia yako usisingizie mtu
@jamesjoseph6825Ай бұрын
Mmmh, makubwa haya
@sethkivuyo3342Ай бұрын
Askofu Shoo anavyokuangalia... anakujua ulivyo mtekaji muuwaji toka apo mazabauni...
@deniccgabriel6153Ай бұрын
Kuongea umeme miladi ya selikali hizo ni siasa za majukwaani au kampeni nyie watu waselikali mbona mnatuchanganya? Au ndio kujifanya mnajisahaulisha na utekajii
@johnkiganga6014Ай бұрын
Niwapongeze arusha kwa miradi mikubwa ya maji. Serikali mhe Rais Dk samia inawajali sana arusha mko sawa
@benny4345Ай бұрын
KKKT mnatukosea sana kuwapa Wanasiasa majukwaa ya kufanya siasa madhabauni
@bonifacerobert2960Ай бұрын
Imedhihirika, wewe Makonda ni muuaji. Unafiki mtupu! Wakati wako umefika utaaibika. Mungu hadhihakiwi.
@maikojohn-xr5cgАй бұрын
Kweli mahali pakumuabudu Mungu pamekuwa mahali pa siasa kweli nchi hii ni ya ajabu kwelikweli
@simonlabia3877Ай бұрын
Bashity kazi ipo
@josephatmkomi6573Ай бұрын
Siasa mara akina mchengerwa wanini kanisani?
@godlistengodlisten7552Ай бұрын
VIONGOZI WA DINI WAKIKEMEA MAOVU YA SERIKALI KUHUSU WATU WANAVYONYANYASWA NA KUTEKWA VIONGOZI WA SERIKALI WANASEMA USICHANGANYE DINI NA SIASA LAKINI,HAOHAO VIONGOZI WANAENDA MADHABAHUNI KUSIFIA UHUNI WAO.
@chezariboyАй бұрын
Kweli kabisa,, watumishi makanisani wamegeuka kama mambwa bubu
@JoachimKisoka-d5lАй бұрын
Viongozi wa dini mbona mnatuchanganya wanasema msichanganye dini na siasa hapo anafanya nini? Hebu tusaidieni.
@NaomiMaro-u8bАй бұрын
Hili jambo jamani sio Hii ni madhabahu ya Mungu aliye hai Kulikoni
@ChristianKiponda-d7eАй бұрын
Huyu Askofu Shoo, Mbona hakutoa Maelekezo Yeyote kuhusu Ushoga au Kulawitiana, Hili ni Kanisa Lazima Likemee Uovu huo, Upo kiaandiko Ukisoma Warumi 1;18-32 utaona makatazo, Lakini askofu amekausha , Hili ndilo Kanisa la Kijerumani Lutheran church German shepherd.
@kevinmary7129Ай бұрын
Shule moja watoto 200 tayari wamelawitiwa , na huyu moja mzazi anayelawiti watoto yatima aende jela miaka 30
@alikokibona1583Ай бұрын
Siasa na dini vipi?
@nimrodsigulu6249Ай бұрын
Haya makanisa siku hizi sio ya kuingia..
@meshmeshak1095Ай бұрын
Na hisi Kuna ujinga mkubwa unaendeleaje kama hatutakuwa makini, hapa sio sehemu ya hawa watu, kama analawitiwa serikali Ina chukua hatua gani, serikali makini lzm iwe makini kwa uongozi Bora kwa watu wake.
@judyngowi391Ай бұрын
Mbona huyo makonda anongea sana hapo kanisani jamani, huyu kijana hajitambui, nashangaa wanaosem rais ajaye
@abrahamnyagawa1304Ай бұрын
Na Mimi nashangaa, tena nachukizwa sana.wa nini kanisani?
@ZachariaHhariАй бұрын
Hivi hii ni Nini mbn sijaelewa mmmm kanisa na siasa seemu mmoja mbn kama tumeanza kupotea jamani
@johnkiganga6014Ай бұрын
Mbona kusimikwa maaskofu..huwaarika viongozi wa serikali
@ChrissyMarcusАй бұрын
Hapa ni kanisani au mkutanoni kwa wanasiasa?? Kkkt mnajidharirisha
@stanleymanya438Ай бұрын
Sasa utataka waumini wapigie makofi ilani ya chama🎉🎉🎉
@leocadianjau7410Ай бұрын
Haya mambo mmeyarudia tena kanisani??
@NickiKimaroАй бұрын
Maaskofu veep mnafeli wapi
@AnociathaChuwa-cb5nkАй бұрын
Jamani makanisa yamegeuka majukwaa ya siasa au mimi sielewi???? Tuwe macho na hila za adui
@OmbeniShoo-kg8drАй бұрын
Yesu aliuwawa na Makuhani na Kaisari wokovu ni maisha mapya ndani Yesu Kristo, ndio jibu siku ile mbele ya kiti hukumu kitaeleweka tu.
@CondradMakoronjaАй бұрын
Jaman hapo ni kanisani vipi tena mbona siasa kanisan
@RoseKimishabhalemiАй бұрын
Wanalawiti ili wAchaguliwE
@Nineteene19Ай бұрын
Mmbo haya Romani huyakuti
@SamoraTabagaАй бұрын
Sasa mkonda unakwenda kanisani kisiasa au kuabudu?
@davidmalogo7100Ай бұрын
Mh dini sijui huko tuendako na ccm hii Yani
@TrustElbashilАй бұрын
Kwanza hukustahili kusimama kanisani
@JuliasMollel-n9yАй бұрын
😢😢😢
@saidiathuman-og6bcАй бұрын
Sasa makanisani na Mambo ya barabara ndio nini jamani mim binafs siwaelew hata kesho
@DAVIDJOSEPH-u8rАй бұрын
Tatizo siyo umeme....umeme.wa lea pesa zilitoka bank kuu ya dunia. Ilikila kijiji kipate umeme . Had leo mnazungumza habari ya umeme. ???? Kwanini mrudia rudia vitu .sisi wananchi huku chin hatusau. Kila ahadi tunaikumbuka. .hivi huu wizi utaisha lini. Kila miaka mnazungumza umeme maji .barabara .tasisi. bank zinatoa pesa lkn tunaona. Bajert kila mwaka
@charlesmbise2344Ай бұрын
Jamani hapo ni kanisani tuwe makini kuchanganya mambo,dini na siasa
@isayagilson5710Ай бұрын
Mbona nikama unaingilia majukumu ya watu.
@ManaseJubilate-kk2gzАй бұрын
🤔🤔🥺
@godfreypaul251Ай бұрын
Nitaacha kwenda kanisani sababu ya huu uovu
@pastadandan3569Ай бұрын
Ibada imevamiwa na siasa
@siamuchunguziАй бұрын
Madhabahuni sio mahala pa siasaaa
@jonasaugustine2528Ай бұрын
Makanisa yamekuwa sehemu ya siasa, wachungaji mnajikomba kwa wanasiasa. Laana itawala
@daudimerambaАй бұрын
KUMBE SIASA NA DINI HAVITENGANISHWI
@BeniJohn-xd3cnАй бұрын
Una maana kabisa unajikosha kwa kanisa
@barakamwacha8214Ай бұрын
SIASA ZIMEHAMIA KANISANI NDO MAANA KANISA KATOLIKI SIYO KILA MTU ANAPANDA ALTARENI KULETA SIASA. TUNAENDA KUMUOMBA MUNGU MNALETA SIASA, BASI PANDISHENI WOTE NA HAO WANAOAMBIWA WANA VITA KISIASA NA MAJUNGU MUONE KAMA HAMTAIBUKIA BUNGENI, MNATUKWAZA SANA.
@mgayan1222Ай бұрын
Hii hotuba ya kisiasa ya Makonda hapa kanisani ni ya nini? Wachungaji/ maaskofu wa KKKT mnazingua kwelikweli 😢 hawa viumbe tunawakimbia kwenye radio na tv kwakuswitch channels. Sasa upo kanisani unakutana nao😭
@blessjo1678Ай бұрын
Kwani c ndo Hawa wanasema siasa haihusiani na dini...huyu anafanya nini hapa??
@jacklinelyimo7407Ай бұрын
Sijaelewa kwanini anaongea hayo kanisani
@allandavid752Ай бұрын
Viongozi wa chadema wakija mtawaruhusu?? Kanisa ni nyumba ya ibada full stop
@paull8659Ай бұрын
kwanini haya majambazi mbayakaribisha madhahabuni??
@mchopacalvin2986Ай бұрын
Sasa si njema kwa afya ya imani
@sethkivuyo3342Ай бұрын
Embu toka apo damu ya Lisu inakutafuna akili
@christophershuma623Ай бұрын
Tusisahau kutubuu.
@margarethsaramaki3966Ай бұрын
Sasa hilo ni walaka wa somo au SIASA??
@kessydieselengineers3205Ай бұрын
Acha uchawa makonda
@AugustinoPeter-rn9bnАй бұрын
Kkt mwambien huyu ndg kampeni bado
@deus8629Ай бұрын
Huyu muhuni sana
@winfredcanaan582Ай бұрын
Ni hatari sana Muuaji anapewa nafasi ya kupanda madhabahuni, KANISA limeingiliwa. KKKT ni nini hiki?
@rehemamgimba179Ай бұрын
Makonda anadharau sana huyu hafai kupewa nafasi ya kuongea kanisani ni makwazo na kufuru