Mashaalah mungu amzidishie nwezetu mungu azifufuwe nyoyo zawo wazifahamu hizo ayaati
@rajabawadh163511 ай бұрын
Allah akulindee
@AsiaBilali-ex9qp11 ай бұрын
Mashallah
@jumu196411 ай бұрын
Allah akulipe
@AliHamadi-kq1hh11 ай бұрын
Mashallh allh afanye wenye uzito wakuelewa
@shenjamamzingi795011 ай бұрын
👂'ALHAMDULILLAH'❤
@mohamedmasanga913411 ай бұрын
Waislaam tumefikishwa hapa na bado MAMBO yanakuja maadam kila sheikh anaona yeye anajua sana na anataka afuatwe yeye duuuh SUBHAANA LLAH mjuzi ni Allah SW
@salimaslalaamalekumwardah131811 ай бұрын
Baraka Allahu fiiq ya Sheikh
@hamzamwaya46311 ай бұрын
Allah akubariki, Akulipe kher na akuhifadhi sheikh wetu
@maftahmusa951311 ай бұрын
هذا قول صحيح جدا يا شيخ برك الله
@abubakarbakari937211 ай бұрын
Masha allah sheikh itisha munaqasha na sisi tuelimike acheni kipija kelele nyingi kwenye mimbar
@adamjuma61611 ай бұрын
Subhana'Allah...imekua maneno anayoongea ni kelele sio bila kuzingatia aya za Qur'an na hadith za Mtume Muhammad (S.A.W)
@ShaibmbaroukHemed-mi5rf11 ай бұрын
Wapeukweli wakikubali wakiukataa lkn umesema kweli shk wetu maulidi niushia ndio walioleta tusichoke kueleza ukweli muongoaji ni Allah Allah akuzidishie kheri akulinde namaadui
@mrsultanzimbwe674611 ай бұрын
قال المتنبي: ومن يك ذا فم مر مريض يجد مرا به الماء الزلالا....Nasaha nzuri sana ikiongozwa na Dalili za wazi lkn sio wote watakubali في قلوبهم مررض mioyo na akili zao zimejaa maradhi ya shaka nifaaq na uzushi mpka wanauona uzushi ni sunna na sunna kwao uzushi
@salimaslalaamalekumwardah131811 ай бұрын
Laak Alhamdhu ya Raby
@rajababdallah923911 ай бұрын
Maelezo na ufafanuzi uliojitosheleza .
@awatifomar518511 ай бұрын
Kabisa Maulid ni Uzushi
@mrafm728511 ай бұрын
Hao watu wa Ngoma ni matatizo tu na wabishi kupita maelezo Allah awape hidaya
@user-ze8rk9ye6r11 ай бұрын
Mi naomba wenye kukomenti waache matusi plz plz unaye mtukana ni mzazi wamwenzako,ni kaka wa mwenzko ni mjomba wa mwenzako,na zaidi ni ndugu yako kiixlamu,mi naomba na kunasihi tunao komenti tuache matusi,tafadhali Kama kuna mahali unaona pamekukera komenty kwa lugha nzuri mana komenty zinasomwa na wengi huenda tukaleta ukwa umemtukana baba wamtu we niambie mtoto wake atahisi vipi. Tuache komenty sa matusi ndugu plz
@maftahmusa951311 ай бұрын
yeyote mwenye masikio anakusikia na mwenye akili anakuelewa na mwenye macho amekuona. Umefikisha shekh ikitakacho baki ni ususwavu wa nafsi.
@lilotz-we7xq11 ай бұрын
Mnaanza kusema baada ya shehk lenu bacho kujikojolea
@yaizfamily661511 ай бұрын
Hako ka kajamaa ka said kaliongea nini? Yeye ndio kajikojelea kashindwa kujibu hata point moja na ziko point 30.
@yaizfamily661511 ай бұрын
Hakuna hata point moja watu wa twariqa mnaweza mkatetea kuhusu barzanji na maulidi. Huo ni uzushi na uzushi hauna mashiko.
@yaizfamily661511 ай бұрын
How can you defend something that has no evidence? It's impossible. What are you going to qoute?
@DonMooSTUDIO_Express11 ай бұрын
Ongeeni kwa hekma... makafiri wanafatilia video hizi. Wakija kutukana matusi zaidi ya hayo yenu mtafanyaje!?
@tanzaniaonmzamiloon862711 ай бұрын
@@yaizfamily6615 hujui hata point nizipi na kubwabwaja nikupi hivi uhukumu Hadith niuongo bila kauli za wanachuoni ndo elim inaenda hivyo ?
@user-ze8rk9ye6r11 ай бұрын
Ndugu zetu wamaulidi kwa uhakika kabisa nyoyo zao zimekuwa ngumu sana hata wasikie nini katika ukatazo sa maulidi Hata wapewe dalili gani bado,wabishi tu utasukuma tukuekee munakasha ,na lau munakasha ukamwambia sawa tueke basi atatufuta mbinu za kuukwepa munakasha,kamailivyo xhuhudiwa sehemu nyingi,sasa kilicho cha mxingi ni watu kutahasharixhwa na haya mambo yakupiga ngoma.kixha zikanasibishwa na dini basi mwenye kutakauongofu atafuata mana wengi sikwamba hawataki ukweli lakini wapo ambao wakisikia ukweli wako tatari kuifata lakini wengine hata waambiwe nini bado nyoyo zimeganda Allah atuongoze sote na ndugu zetu wajxlamu wote kwa jumla kuikubali haki na kuachana na uzuxhi.
@HarunaMohamed-ui7nq11 ай бұрын
Wemwenyewe ni uzush
@CharafimalisalimoAli-qw3hk11 ай бұрын
NA WAPINGAAO PIA NI WAZUSHI NA WANAFANYA BIDAÃ. wapo MTUME kakataza kuswaliwa.
@habibrwegoshora662411 ай бұрын
TUACHE UJINGA KILA KITU NI TAREHE...SIO KILA MWEZI UTAFUNGA RAMADHAN..NA KUNA SIKU ALIYOZALIWA MTUME MUHAMMAD SIKU HIYO BORA SANA KWA MUISLAM... YAANI SIKU ALIYOZALIWA MTUME MUHAMMAD TUKAE BILA KUSHEREHEKEA ? AU NYINYI NI MAWAKALA WA KUZUIA WATU WASIMJUE MTUME ?
@muradkhamissalim504711 ай бұрын
Elimu zenu ndogo za first 11 ndogo
@hajjisanga78911 ай бұрын
Hata mwezi WA kimataifa uzushi vile vile tarawehe rakaa nane uzushi leteni dalili ktk elimu
@halimahussein679211 ай бұрын
zote zinaushahidi ukitaka kuujua dalili zake nenda madrasa ukasome
@mudybeka669811 ай бұрын
Nakushauri tenga muda usome dini ndugu yangu...
@zafarmohamed941311 ай бұрын
Achaa uongo zafa inaanza baada ya swala ya al asir
@HamadiSwedi11 ай бұрын
Tumche Allah
@akthammuhammad784411 ай бұрын
Kuna swali napenda nielimishwe.Taraweeeh ni Rakaaa Ngapi?
@MkindiJujan11 ай бұрын
Alizoswali Mtume SAW ni rakaa 8 Lkn waweza swali zaidi ya 8 mpaka 20 kwa sbb hii ni qiyamul lay sunnah ambayo haikufungwa
@khalifaallyibnadam998311 ай бұрын
huyu nae anatafuta kiki anaongea vitu havielewi
@IsmailiallyIsmaili11 ай бұрын
Tuku ekee munaqasha
@tanzaniaonmzamiloon862711 ай бұрын
Akili huna unajiita shekh alafu unashindwa kujua maana ya maulid ?
@MohammadJumah-qk2xc11 ай бұрын
Daa ndudu samahan hata mim bado sijajua maana ya maulid nakuomba allaal allaah niambie maana yake nitoke na ujinga allah sw atakulipa badala
@JumaNgeni-ld5yb11 ай бұрын
akikujib nishtue
@yaizfamily661511 ай бұрын
Una elimu kuliko huyu sheikh? unajitafutia dhambi za bure kabisa. Muogope aliyekuumba na ujue ipo siku utalazwa ktk kaburi lako pekee yako ujibu haya mambo uliyosema hapa.
@abdulmuminabdullah129611 ай бұрын
Nasikitika sana, nilipoteza muda wangu ktkt upumbavu wa maulid, kupga madufu na kuimba, alhamdulillah nilipo amua kuitafuta haqqi, Allah ameniongoza sasa nimeacha huo ujinga
@MohammadJumah-qk2xc11 ай бұрын
@@JumaNgeni-ld5yb hajanijibu huenda hata yey hajui maana maulid anamlaumu tu huyu shekh