Kweli sisi Hatumpendi Mtume ﷺ ? | Sheikh Ally Shomari

  Рет қаралды 2,030

IHSAAN TV

IHSAAN TV

Күн бұрын

Пікірлер: 31
@Mneka
@Mneka Жыл бұрын
Allah akuhifadhi mwalimu wangu uliye kuwa sababu ya kunifanya mm niweze kujua nini maana ya Sunna na nini Bidaa hata leo namimi naitwa Shekh katika sehemu nilipo.
@ahmedabry293
@ahmedabry293 Жыл бұрын
Allah akupe kila la kheri sheikh wetu.. Hakika ukweli ushajulikana na anaetaka kufata uongofu ni kwa ajili ya nafsi yake na anaekataa basi ni kwa ajili ya nafsi yake pia..
@ayauii
@ayauii Жыл бұрын
Allah akulipe kheri Kwa kuutumia mda wako kwa ajiliyetu jazakallah kheri .Allah atunusuru na bidaa
@HalimaHaruna-yv6nr
@HalimaHaruna-yv6nr Жыл бұрын
Masheikh endeleeni kufanya daawa sababu hizi n zama za fitna,bid'a zimekuwa nyingi Subhanah Allahu
@rajabawadh1635
@rajabawadh1635 Жыл бұрын
Allah akuhifadh shekh Ally
@omaryabdallah8734
@omaryabdallah8734 Жыл бұрын
Masha Allah
@athumanmatimbwa4144
@athumanmatimbwa4144 Жыл бұрын
Mashallah
@munnihussein9352
@munnihussein9352 Жыл бұрын
barakaLlah fik
@MkindiRama-lp6hy
@MkindiRama-lp6hy Жыл бұрын
Wapoteza muda sheikh tafta mada nyingine
@IddiNkupe-no8lh
@IddiNkupe-no8lh Жыл бұрын
Duuh!! Soma dini yako wacha kuwakejel wenye kufundisha hakki bado haujachelewa achana na ushabik
@Sheba4651
@Sheba4651 Жыл бұрын
Wewe mpenda bidaa tu, wabidaa hata wasikie chochote kile kisichowafaa hutukana. Kwenye ulimwengu kuna makundi mengi kiimani, nawe umechagua Uislamu kuwa kundi ( imani) bora, na kwenye Uislamu pia kuna makundi, Mtume kasema yatafika hata 73 na ni moja tu ndio la peponi, litafute. Ni lake na masahaba zake.
@Sheba4651
@Sheba4651 Жыл бұрын
Ukumbusho.
@AhmedAli-gh1lm
@AhmedAli-gh1lm Жыл бұрын
Sheikh Mtume (saww) alijenga Universities na kusomesha wanafunzi kwa miaka 3-4 masomo ya Kiislamu na kuwapa degrees? Mbona siku hizi Saudia na sehemu nyengine wafanya na hatupigi kelele kuwa hiyo ni Bidaa, kwa sababu Mtume (saww), masahaba zake na Salaf Salih hawajafanya? Mashindano ya Qur'an na washindanaji kupewa zawadi, yafanyika Saudia na kwengineko, kuna dalili yoyote Mtume (saww) na masahaba wake na Salaf Salih walifanya hivyo? Kama hawajafanya mbona hampigii haya kelele? Kuna dalili yoyote kuwa Mtume (saww), au masahaba zake au Salaf Salih walikuwa wakisali sala ya Taraweh juzuu moja kila siku. Kama hakuna, jee hii si bidaa? Mbona Saudia na sehemu nyengine duniani watu hufanya hili na hatuoni kelele zenu?
@eddieeddie2755
@eddieeddie2755 Жыл бұрын
Ivi we akili zako zina akili? Kwa hiyo na magari tusipande? Kweli Maulidi yamewaharibu akili.
@SalmaAbeid-w9t
@SalmaAbeid-w9t Жыл бұрын
Ndugu yangu NENDA ukasome uijuwe Haki iko wapi sio ubishani
@AhmedAli-gh1lm
@AhmedAli-gh1lm Жыл бұрын
@eddieeddie2755 Sheikh jibu hoja. munadai kuwa Maulid hayafai kwa sababu Mtume (saww), masahaba zake na Salaf Salih hawajafanya, je hayo yaliyoelezwa hapo juu waliyafanya? Toeni dalili basi? sio maneno tu.
@eddieeddie2755
@eddieeddie2755 Жыл бұрын
@@AhmedAli-gh1lmmaulidi ni ibada? Na kama ni ibada umeitoa kwa nani? Haya jibu kama wewe ni mkweli.
@AhmedAli-gh1lm
@AhmedAli-gh1lm Жыл бұрын
@eddieeddie2755 Maulidi si katika ibada ziliziforadhishwa kama sala, saumu na kadhalika. Lakini ni ibada kama ibada za kawaida ambazo ukifanya unapata thawabu hukufanya hakuna lawama. Mfano kufanya kazi kujipatia kipato cha halali ni ibada, tendo la ndoa na mkeo ni ibada, kumsalia na kumsifu Mtume (saww) ni ibada, kusoma chuo (University) ili kujielimisha ni ibada hata kama wakati wa Mtume na Masahaba kulikuwa hakuna University. Kwa hivyo, Maulid (kukaa pamoja kutaja sifa na sira ya Mtume (saww) ni ibada pia. Kwa ufupi kila tendo jema linalofanywa na Muislamu ni ibada. Kusoma Quran, kula, kulala, kwenda kazini, kuwawatembelea wagonjwa, kukaa kwa wema na majirani na kadhalika vyote hivyo ni ibada.
@akthammuhammad7844
@akthammuhammad7844 Жыл бұрын
Mawahabi ndio kazi zao mwatokwa na mate taratibu nyie ni sumu kwa jamii wahabiiiio
@alumbulaisinda9746
@alumbulaisinda9746 Жыл бұрын
Hivi hata huyu nae msomi!? Nae anawafuasi amalweli dunia imekwisha!!!!! Ninani alikwambia kuna mwiko kuitikia swallallahu alaihi wasallam? Hata ikisomwa qurani unaweza kuitikia swallallahu alaihi wasallam
@IddiNkupe-no8lh
@IddiNkupe-no8lh Жыл бұрын
Wacha kejeli shekh kwa wanawofundisha hakki kuwa na akili au itakuwa Allah amekupiga vifuniko na muhuri moyon mwako tayar umeshahukumiw kupotea wew huenda maana wenye kufundisha kwa dalili unawakejeli
@IddiNkupe-no8lh
@IddiNkupe-no8lh Жыл бұрын
Muombe Allah akuongoze akubadilishie kadar akuandikie kadar nzuri halafu tafuta muda ukasome dini yako
Alhamis ndio siku Bora ya Kusafiri - Sheikh Othman Maalim
38:57
UFC 308 : Уиттакер VS Чимаев
01:54
Setanta Sports UFC
Рет қаралды 927 М.
ROSÉ & Bruno Mars - APT. (Official Music Video)
02:54
ROSÉ
Рет қаралды 274 МЛН
Trapped by the Machine, Saved by Kind Strangers! #shorts
00:21
Fabiosa Best Lifehacks
Рет қаралды 14 МЛН
the balloon deflated while it was flying #tiktok
00:19
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 35 МЛН
Dunia ni TAMU SANAA!! | Sheikh Hassan Mohammed
34:13
IHSAAN TV
Рет қаралды 178
INAJUZU KUOA MKRISTO?
5:32
Ustadh Khatib Omar
Рет қаралды 6 М.
Chanzo cha Madhehebu katika Uislamu - Sheikh Salim Barahiyan
14:33
TUFUNGENI NDANI YA GHAAR HIRAA (PANGO LA HIRAA) SHEIKH HASSAN AHMED
37:53
ANGALIA Muhammad Bachu AKIJIBU MASWALI KITAALAMU||HUWEZI KUAMINI.
41:26
Muhammad Nassor Bachu
Рет қаралды 68 М.
FADHILA ZA KUMSWALIA MTUME MUHAMMAD (S.A.W)
9:40
SHEIKH WALID ALHAD TV
Рет қаралды 77 М.
UFC 308 : Уиттакер VS Чимаев
01:54
Setanta Sports UFC
Рет қаралды 927 М.