Hakika katika umri wa miaka yangu yote sijawahi kumuona shekh mzuri kama ustadhi anwari jongo nampenda sana kwa ajiri ya allah.
@amarsaidrashid92392 жыл бұрын
Mashaalah....Mara ya kwanza kumsikiliza iliku miaka ya 90...kwenye radio cassette
@abdulsaidi70073 жыл бұрын
ALLAH akujaalie uhai mrefu na mwisho mwema shekh Anuary jongo
@abasiomary96096 жыл бұрын
Allahuakibar shekh Anuary ni kipenzi cha wengi mi nilijua peke yangu
@shabanimohamedi98183 жыл бұрын
Mashallah Allah akuzidishiie alhabibiii
@hamzaadrin9414 жыл бұрын
Wallah niliwahi muonaga mara moja tu nilimkubali sana miaka 20 imepita sasa nilimuona kwenye zihara tandale uzur ziara ya Al-madrasat mukarama Alhamndullah leo namuona tena you tobe
@mussaally23695 жыл бұрын
masha'allah jazaka ALLAHU khaira ya habib nakupenda kwaajili ya ALLAH namuomba ALLAH atukutanishe nawe kabla ya kunifisha nakma là basi atukutanishe janaah na mtume Muhammad
@muhamedniho65006 жыл бұрын
MANSHALLAH UNASAWUTI NZURI SANA SHEIKH MUNGU AKUJALIYE UFUNDISHE WATO WENGI
@yassnibahati30426 жыл бұрын
Sheikh Anuary Abdullah Jongo ALLAH akakupe neema dunia na akhera
@AbdarahmanSoloka5 ай бұрын
Wewe ni mwalimu mkubwa sana Mungu akujaalie sana
@dasalramadhani70536 жыл бұрын
Allah akujalie sheikh sauti unayo na mm nakufatilia sana nakuelewa sana
@mohamedalhabsi39486 жыл бұрын
mashaallah sheikh sauti uliojaaliwa na Allah umeitumia ipasavyo napahali palipo takiwa
@hamisifereji27694 жыл бұрын
Ww ndio shekhe pekee ambae unasaut ya mzuri zaidi ya kusoma quarn mungu akupe mwisho mwema
@shafiisaidygongoro7181 Жыл бұрын
UST anuary jongo mashaalah kwa dawa
@salmadashlaquimanelaquiman44276 жыл бұрын
Nakupendaga kupitiliza Allah akupe maisha malefu
@rachelevarist704 жыл бұрын
Atari sana jongo
@neemainabikorwa55704 жыл бұрын
Allah akuhifadhi
@madinahamis30255 жыл бұрын
Allah Akupe.mwisho mwema inshaallah
@hajibakari69984 жыл бұрын
Mwenyezi MUNGU azidi kukujalia mema kwa daawa zako inshaallah
@salummohamed32104 жыл бұрын
Tuwe wasikivu kwa maneno ya aallah
@ridhiwanmrisho66056 жыл бұрын
Ili jamaa ni shiida nalipenda kwa ajili ya alaah
@sadasaid69076 жыл бұрын
allahu akbar allah amekupa shekh sauti yapeponi wallah
@kiyungikatoto74195 жыл бұрын
Baba unatishaaaa gogo lbahah ,mwambaaaa Allah akupe mwish mwem
@hussenhussein91254 жыл бұрын
Mashaallah
@nadiahussein58924 жыл бұрын
Mashaaallah
@maryamsinganomaryamsingano79386 жыл бұрын
mashaallah mashaallah
@bachoobachoo47494 жыл бұрын
Mashallah
@ramazubery26416 жыл бұрын
shekhe wangu anuar jongo allah akuzidishie.ila adimu humu allah akufanyie wepesi isha allah
@ramadhanihabibu3036 жыл бұрын
Nakupenda sana shkh
@jumamwadumbo12326 жыл бұрын
@@ramadhanihabibu303 j
@chichiabdallah89116 жыл бұрын
Mashaalla
@NurdinKishik5 жыл бұрын
yaallaah
@selemanteketeke69116 жыл бұрын
maashaallah
@rayaali75516 жыл бұрын
Ustaaath bismilaaah maashaallaah unatowa mawaidha mazuri ilaaa unacho kosea ni kunyooshea watuu fimbo yakooo ungeliiwekaa chinii wakati huna matatizo ya kusimama hivyoo ukiinyoosheaa fimbo yakooo inaleta maana nyenginee piaa lapiliii mawaidha hayatolewi kwa ukaliii namna hiyoo taaratibuu ilii wanao kukusikilizaaa yawaingieee vizuuri sio kwa vitishooo hivyoo ni kuogopesha na kuwakimbiza for next time kuja kukusikiliza tenaa kwa maoni yangu
@Rolemodel_wa_taifa5 жыл бұрын
Raya Ali Mungu anasema hakuna kubembelezana kwenye Dini wewe nani unataka ubembelezwe usipo kuja kwenye Utajo wa Allah basi jua kuna Moto unakungoja