Amen 🙏 🙏 Asante Sana BWANA YESU KRISTO atusaidie sana na akuzidishie 🙏
@TusaKiblaga-vp9jg5 ай бұрын
Amen mtumishi Ubarikiwe Asante
@MamaSamweli-v6d3 ай бұрын
Amen ninakuelewa mtumishi wa Mungu
@ecamlenda79822 жыл бұрын
Mungu turehemu sisi niwakosaji 😭😭😭😭😭😭😭🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽
@chengeson Жыл бұрын
Amen mtumishi nazani kuna watu watakuona chizi ila Mungu akulinde na usikate tamaa vita ninyingi ila usiogope
@harerimanaannemarie63962 жыл бұрын
Ikifika kwa maombi no nepotea Sana wakati nilikua namalisa siku 5 usiku na musichana hata maji sikunywi lakini kwasasa hata siku moja na shindwa sijui mungu wangu na hiyi Saudia mungu anisaidie nitoke salama ila nimuludilie mungu wanhu
@DEBORAHMASANJA-yz3go6 ай бұрын
Amen mtumishi wa Mungu
@harrywarren612 жыл бұрын
Nafurahi kwa kusema ukweri zidisha tupe ukweri mwuovu atutoke mtumishi
@jemaluvanda9443 Жыл бұрын
Mungu turehemu sisi
@joycejackson23202 жыл бұрын
Twaibu! Usijihesabie haki ndg yangu Kwa Mungu hakuna dini matendo yako tu ndio yatakuhesabia haki ya kuiona Mbingu na sio kuchinja watu! Eti jino kwa jino hata kwenu wavaaji suruali, nywele feki wapo
@AmosObanda23Thursday16Nov8am2 жыл бұрын
Kubali ujumbe wa Mungu jinsi ulivyo. Mchungaji anaelezea maandiko si kwamba anawahukumu. Kubali mafundisho ya Biblia. End times, watu watataka kuhubiriwa Neno ambalo maskio yao yatependa kusikiza Mungu atusaidie
@AsheryShadrackКүн бұрын
Elewa au Acha utajibu siku ikifika
@peninabensonpen870 Жыл бұрын
Amen asante yesu kwa ajli ya mtumishi wako kutuambia ukweli mjaza na nguvu zako jehova
@jeannineortance45772 жыл бұрын
Yooooooo Mungu wambinguni unirehemu mumbaji wangu 😭and help me to follow your ways 🙏🙏mana mambo haya ayahonywi kiukali katika makanisa ya sasa
@gloriaakyoo99592 жыл бұрын
Hii ndio injili ya kweli Yesu uturehemu na wakaisikie injili hii na wengne
@saurasoso15433 жыл бұрын
Mungu aendelee kukupa roho ya ujasiri Ili uendelee kutufundisha kama hivi maana Kwa sasa kupata mtumishi wa Mungu kusema hayo hakuna kabisa wapo radhi kushawishi vitu visivyompendeza kabisa Mungu hakika ubarikiwe sana
@doricemrema21772 жыл бұрын
Kweli nidhambi. Nashukuru Mungu Kwa kuniokoa 🙏😊😊
@fidestv16152 жыл бұрын
Amina sana
@charlesmapunda59052 жыл бұрын
Mungu akubariki mtumishi na uendelee kuwaambia kweli hawa viumbe maana Suruali wanazo vaa zinawavimbisha maumbile na kusababisha mifadhaiko sana kwa wanaume wote hawa huwa nawaoona ni maagenti wa Shetani kwakuangusha kanisa. Mchungaji Amiel Katekela kaongelea sana kuhusu Nywele za bandia zilivyo mbaya lakini hawaelewi kabisa hawa wanawake, Yesu tusaidie
@linetsamweli4731 Жыл бұрын
Amen barikiwa sana Nimejifunza kitu Kwa hili somo Mungu azidi kukupa Kibali zaidi Na zaidi 🙏🙏
@marrybanda78552 жыл бұрын
Aturehemu baba
@JosephSimiyu Жыл бұрын
Amina na ubarikiwe mtumishi
@roserosee54102 жыл бұрын
Mungu wangu nisamehe naomba nimejua kwel🙏🙏
@stellaphillemonrwahura21072 жыл бұрын
Mungu akubariki sana na kukuongezea ulinzi wake kwa kusema kweli.
@aidaraphael19562 жыл бұрын
YESU NiSAIDIE
@prophetislael52652 жыл бұрын
Nakufuatiliaga sana ila Leo siwewe umesema ni Mungu amefikisha ujumbe kwawatu wake
@nenoninuruyauzimatv.98012 жыл бұрын
Nimefuatilia , KATIKA mafundisho yako , kuna mambo mawili ya kuyaelewa , kuna ujumbe wa MUNGU na mawazo , vitu vingi unavyo visema ni mawazo yako na unaitafutia mistari inayo sapoti pointi YAKO , na hakuna andiko linalo mzuia Mwanamke kusuka , by Apostle N.D.Mawalla.
@UkweliMinistries2 жыл бұрын
Toka shetani wewe sio apostle.
@UkweliMinistries2 жыл бұрын
“Vivyo hivyo nataka wanawake wajipambe kwa adabu na kwa heshima katika mavazi yanayostahili, si kwa kusuka nywele, kuvalia dhahabu, lulu au mavazi ya gharama kubwa,” 1 Timotheo 2:9 NEN Munajiita ma apostle lakini hata siku moja Mungu haja kudhibitisha mna jipa majina wenyewe.
@AmosObanda23Thursday16Nov8am2 жыл бұрын
Soma Biblia na uombe roho wa Mungu kukuongoza, achana na rumors.
@Nibizichristo2 ай бұрын
Isaiah 3:24
@Nibizichristo2 ай бұрын
Mungu akubaliki mtumishi wa Mungu
@jiokio25112 жыл бұрын
Amen Dio nimejua nimekua na paka mafuta ya kuchukua gonzi am from kenya
@AmosObanda23Thursday16Nov8am2 жыл бұрын
Blessings for acceptance of your sin. May God have mercy on us. I'm also from Kenya
@lydiakivuyo-b3l2 ай бұрын
sema tupone Mtu wa Mungu
@jeannesumaili87183 жыл бұрын
Ayo ndo yalikuwa Mambo yangu ksusuka nywele, kuvaa suruali, kuvaa ereni na makeup 💄 lakini yote nimeona ayana faida yoyote Asante Mungu kwakunionesha njia nilikuwa nimepoteya na nilikuwa sioni mbele 🙏 ♥
@UkweliMinistries3 жыл бұрын
Mungu akufunile mengine Dada yangu. Mwanamke anapoweza kuacha kujipodoa kwa mnje, Mungu uwa ana mpodoa kiundani(yani kiroho.) - Mtsh. Meshak Mausa
@jeanneniyokwizera6363 жыл бұрын
Amen 🙏
@salustiashayo34863 жыл бұрын
Vyote vya mwili ni ubatili unatakiwa ubadilike kiroho sio kimwili huyu anachohubiri ni kubadili ka kimwili hiv wangapi hawajipambi lakini wamejaa uzinzi usengenyaji na kila aina ya uovu
@EngJosh3 жыл бұрын
@@salustiashayo3486 Neno la Mungu ndio mwongozo Mungu amekataa hayo acha kutafut kichaka cha kujificha.ACHA UOVU
@salustiashayo34863 жыл бұрын
@@EngJosh kila mtu na uelewa wake mi hayo siachi hata kama dhambi ila namkumbushe tu huyo anayejiita mchungaji akumbuke kudeali na roho za watu sio mwili
@casiphaabdi3896 Жыл бұрын
Mungu wangu nipe tupe maarifa ya kuwacha haya yote nikianzia kwangu
@maryamayitsa61813 жыл бұрын
Amen amen 🙏 Kaka. Ujumbe umefika wakati mwafaka, mungu atururehemu,🇰🇪🇰🇪.
@fidelajackson27233 жыл бұрын
Amen,Amen,Amen kwa ushauli huyo ni ukweli asikiaye asikie loho wa mungu anavyo ambia kanisa lake.
@PreciousZawadi-w8z Жыл бұрын
AMEN AMEN 🙏🙏 Mungu turehemu
@marrybanda78552 жыл бұрын
Mungu akubariki pasteur pia mturehemu
@melkizedekiwiliam55332 жыл бұрын
Nimekusikiliza sana mtumish wa Mungu. Lkn unakosea sana kulaumu wachugaj kutokemea kuhusu mavaz . Maan hakuna mshirika anayetembea akiwa mtupu. Nguo ni nguo tu. Kama nguo zimetoka kuzumu basi hata hizo ulizovaa wew zimetoka sehemu salama? Maan wew hujatengeneza hizo nguo ulizovaa.
@hamadishaibu84902 жыл бұрын
Ukwer unakuuma
@melkizedekiwiliam55332 жыл бұрын
@@hamadishaibu8490 ukweli up unaniuma mm? Kwani kanzu aliyovaa huyu nabii kutengeneza yeye? Sikia hatuendi pepo kwa kigezo cha nguo. Bali mtu ateenda peponi kwa matendo mema au kumwamin Yesu.
@EZEKIAMGWILANGA-hj4hj8 ай бұрын
MUNGU akusaidie kukuondolea ujinga huoo
@sarahmdindile43013 жыл бұрын
Yani Mimi huwa naumia pale ninapoenda kanisan unakuta mtu kajichubua, kavaa mawigi kajipodoa ,kavaa na kigauni kifupi utadhani anaenda bar lkn anaomba na analia kabisa na anasema Yesu arudi tu haraka atuchukue twende zetu Mbinguni.
@geitandelwa2992 жыл бұрын
Shetani kaingia kanisani watu wa MUNGU TUENDELEE KUMUTAFUTA MUNGU
@DEBORAHMASANJA-yz3go6 ай бұрын
Amen Asante mtumishi wa Mungu Mungu aturehemu sana
@emerencemusichoke57552 жыл бұрын
Mungu akubariki mutumishi unaongeya kweli
@bubasharajabu30682 жыл бұрын
amena munGu wetutu naobautusamee
@anethurio33032 жыл бұрын
Amen barikiwa sana
@innocentbaraka76092 жыл бұрын
Oooh! , Frère minaona kama uko n'a roho ya Mungu bwane🇨🇩🇨🇩
@ErnestinaKisinga Жыл бұрын
Vzur kaka
@orgashayo45622 жыл бұрын
Ongera kaka Mungu akupe nguvu ya kweli sema tu ubarikiwe
@aloycesilwela34852 жыл бұрын
Ubarikiwe sana ndugu yangu
@ivonaevarista46543 жыл бұрын
Its true son of Jesus,,I was among of them who wearing that rubishi fake hair, but Jesus rescued me and now am a child of Jesus....thanks My.beloved Jesus and i loveeeese u so much DAD for saving me..
@getrineshuma30542 жыл бұрын
Asante kwa unjumbe. Nisamehe Bwana
@neemagwivaha10193 жыл бұрын
Mungu aendelee kukutumia kutufundisha yanayotupasa kuishi. Na Mungu atusaidie kutii na kitekeleza.
@AnnOpondo-tf3uf Жыл бұрын
Amen nafurahi kwa mafundisho mazuri, ila mchungaji naomba kujua andiko linalo sema mwanamke hapaswi kunyowa please nataka kusoma
@mukeragabilodiana93912 жыл бұрын
Unafanana na shemeji yangu mtumishi
@luciaphilip65612 жыл бұрын
Ni hakika barikiwa🙏
@daudiskorei59872 жыл бұрын
Nyoa hizo nywele zinakuharibu
@lilianmugyabuso89082 жыл бұрын
Mungu uturehemu na utusaidie kutubu kwa kumaanisha
@dadaveronica71782 жыл бұрын
mungu nisamehee Kwa gairi njina lako
@mwikalijosephine51783 жыл бұрын
Jesus I cry to u only , disconnect me from this world and forgive me of my sins in whichever way have connect sin. Oh lord rescue me in ur mercy
@angelanaftael79652 жыл бұрын
MUNGU ATUSAIDIE SANA
@ipyanadanny99593 жыл бұрын
Ubarikiwe mtumishi wa Mungu
@Priscakihiyo43523 жыл бұрын
Ameeeeeeen ameeeen kubwaaa kwa Mungu aliye haiiì ubarikiwe sanaaaaa mtumishi wa Mungu
@glaceevalisti67463 жыл бұрын
🙏🏻🙏🏻 blessed sana mtumishi hakika niujumbe mzuri sana kwetu mungu aendelee kuku tunza naamini mwenye masikio na asikie asije akasema hakujuwa
@nelsonbreidon66002 жыл бұрын
Amen mtumishi neno nzuri ubarikiwa
@thefinalwhistler24932 жыл бұрын
Ni kweli kabisa
@leokadiamwamba77322 жыл бұрын
Amina ukweli haupingiki Mungu akupe nguvu ya kusimamia kweli
@elizabethotati27362 жыл бұрын
Thanks for sharing that powerful message God bless you 🙏
@faridamasha93042 жыл бұрын
Mungu akubariki sana kwa mafunzo haya
@marymgumia77152 жыл бұрын
Ameen. Asante mtumishi kwa kutuelimisha, Mungu nisaidie kufuraia maonyo yako
@sallymumia84252 жыл бұрын
Glory to Jesus Christ for,this young man.
@wesongamildred56182 жыл бұрын
Oh Father God 🙏 through Jesus Christ My dear Lord l repent of my sins and of my family!!!
@gladysflozzy83012 жыл бұрын
I like your word so much, u were really called by God.I wish u lived in my country
@meryrajabu34762 жыл бұрын
Barikiwa sana mtumishi wa Mungu aloe juu YESU AKULINDE KWELI kanisa limepotea Sanaa
@mercynyongesa9752 жыл бұрын
Amen! Asante kwa ujumbe huu
@Sara-ne3xl2 жыл бұрын
Asante Bwana Yesu kwa kweli yako.
@esthercynthia73122 жыл бұрын
Amen, barikiwa Sana.
@MIBWA2 жыл бұрын
Safi kaka
@mrsdeborahurio3 жыл бұрын
Asante sana kwa ujumbe unaohitajika sana leo; wachungaji wengi wametekwa; hawawezi kukemea!
@nuswemwaipopo95583 жыл бұрын
Kabisaa
@mariawanjiru12753 жыл бұрын
Mungu atusamehe thambi ni nyingi Kwa wanadamu tuzidi kuomba tusije kuangamia asante Kwa ujumbe barikiwa sana
@gracekitambala9282 жыл бұрын
Amen ubarikiwe sana neno ilo limenigusa sana mtumishi 😭🙏🙏🙌🙌🥺🥺🥺
@margueritamfaume38543 жыл бұрын
Eeh mwenyezi mungu tu rehemu baba
@sallygrace14953 жыл бұрын
Asante, ubarikiwe🙏
@salimajosephine16733 жыл бұрын
Ubarikiwe baba kwa jina layesu wetu sema kwe li batu tupone
@VaneNickOke3 жыл бұрын
God bless you for fearlessly telling the truth to the Body of Christ. Very few ministers can preach on these things.
@kaniyamobasa8453 жыл бұрын
Very true
@magdalenajuma62293 жыл бұрын
Hapo kwenye sherehe tunacheza nyimbo zadunia mtumishi ni mm kabisa hii kitu imenikuta week hii hivi nimesikia huu ujumbe natubu mm kwajina laYesu nageuka asante mtumishi
@deodatusmagagura67932 жыл бұрын
MUNGU tusaidie sana hakika
@Riziki.jiki66143 жыл бұрын
Amena sana mtumishi wa bwana mungu akubariki sana🙏🙏
@holinessphiladelphia88912 жыл бұрын
Ameeeeeeeeeeeeeeeeeeeen sana nikweri kweri
@elishakayagwa93713 жыл бұрын
Amina mtumishi wa Mungu
@teddymhenga30062 жыл бұрын
Kweli Mungu tunakukosea Kila siku. Tunaomba rehema. UTUSAMEHE.
@alicensabimana2137 Жыл бұрын
Sema sema
@NeemaGrace1232 жыл бұрын
Ubarikiwe sana
@nyayundunjolo87992 жыл бұрын
Jamani ka daresalam unapatikana wap
@josephinanikwelimdacki33302 жыл бұрын
Ubarikiwe
@charlottechance6752 жыл бұрын
Mungu akikuruhusu, siku moja uje utushuhudie jinsi Mungu alikuokoa. Nina amini ushuhuda wako utajenga wengi kaka.🙏
@cynpeter25172 жыл бұрын
Amen Mungu akubariki na kukulinda
@seebs11563 жыл бұрын
Ameni mtumishi ubarikiwe sana kwa kutufumbua macho
@jeannesumaili87183 жыл бұрын
Amen 🙏 🙏 Mungu akubariki
@annieadaa16202 жыл бұрын
Ameeeee🙏🙏🙏
@rashealmwikali24242 жыл бұрын
Amen amen barikiwa sana na ujumbe
@esperancebinnile46853 жыл бұрын
Aman mungu hakubariki sana🙏🙏🙏🙏🙏🙏
@agneskhakali20692 жыл бұрын
Nimependezwa na haya naomba Mungu anisaidie maana kwa uwezo wangu mie siwezi.
@margaretschrader5342 жыл бұрын
Mungu akubariki uzidi kutwambia the truth amen amen 🙏🏽
@danielomusolo32392 жыл бұрын
On point
@pharesgervas31413 жыл бұрын
Mungu atulinde sisi niwakwake siku zote
@esthermuthoni53582 жыл бұрын
God have mercy on me, forgive me all my sin
@prispeter39143 жыл бұрын
Mungu atusamehe,,na vp kuhusu ndevu
@rizikimk86352 жыл бұрын
Ubarikiwe sana sana mtumshi nina swali kusuka mikono nidhambi