Ninahamini mtumishi ukinihobeya kwa mungu nitapokeya roho mtakatifu Amen Amen kuwa ndani ya mungu ni raha sana jamani ninavyo wa hona watumishi wa mungu waki nena kwa lugha na kujazwa na roho mtakatifu nafurahi sana mungu akubariki sana mtumishi Amen Amen
@MarcelinaKashindi4 ай бұрын
Amen nampendaga sana kujazwa na roho mtakatifu lakini bado sija jazwa na roho mtakatifu lakini mimi ni mkristo lakini katika ukristo wangu bado sija jazwa na roho mtakatifu napendaga sana ubarikiwe sana mtumishi kwasababu nimehelewa kwanini sija jazwa na roho mtakatifu Amen ubarikiwe na mungu akurehemu mtumishi Amen Amen
@hellenmutunga57852 жыл бұрын
Mtu ishi Wa mungu naomba uniombee nipokee roho mtakatatifu wa mungu na utenda kazi wa mungu
@noelsafari74562 жыл бұрын
Mungu akubariki ndugu yangu, huu ndio ukweli wa Neno la mungu
@Nolahkaluma11 сағат бұрын
Mungu aendelee kùkutumia nami napenda sana nijazwe na Roho Mtakatifu
@stephanomaduhu5426 Жыл бұрын
Mtumishi wa Mungu Nina haja Sana na roho mtakatifu❤❤❤❤❤❤ naomba unisaidie baba
@MaaDii-iz3ur Жыл бұрын
Kwa kufunga na kuomba roho mtakatifu atajidhihirisha ndani yako
@liliankaingu88182 жыл бұрын
Mungu azidi kukubariki mtume wa mungu.nitawezake kuwa kama wewe na kupokea roho mtakatifu, natamani Mungu anitumie kama wewe kwa utukufu wake Yesu kristo nimtumikie kwa roho na kweli
@failaprince9250 Жыл бұрын
MUNGU azidikukubariki sana mtume wabwana
@everlinenyaboke96072 жыл бұрын
Amen napenda sana kumpokea roho mtakatifu.Nina haja na wewe roho mtakatifu.
@brigadierjohn85982 жыл бұрын
asante sana nabii.... mahitaji ufunuo Zaidi...nimekwama kwelikweli
@JohnSekopa9 ай бұрын
Mungu hakubari sanatena sana
@annlekirapiti70858 ай бұрын
Mungu akubariki mtumishi wa Mungu.Mungu anikumbuke natamani tu saaana kujazwa nguvu hizi za roho mtakatifu.
@godzillawaithaka46212 жыл бұрын
Ubarikiwe meshak 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
@christind655 Жыл бұрын
Amina 🙏🙏 mtumishi wa mungu
@JosephEregae-r9t Жыл бұрын
Bwana akubariki mtume meshek kwa kunena kweli
@ELIZAWAMARUNGU9 ай бұрын
Mtumishi mungu akuzidishiye kwaudumawako upate mwisho mzuri
@lilianatieno78072 жыл бұрын
Nashukuru Yesu kukuleta na kukuaanda kiroho ili tupone kwa hukumu inayokuja.Mafunzo hayo ukweli yatoka kwa Mungu baba. AMEN,AMEN,AMEN.
@Reginajohnson19884 Жыл бұрын
Nina ushuhuda juu la Hii somo, mie nanena kwa lugha Ila kwa mda sikunena nikashangaaa Ila hili neno limeniinua, basda ya hili somo ni kaanza kunena kwa lugha then roho mtakatifu akanikumbusha mtumishi alivyosema utanena Baada ya hili somo, Ila wakati nanena kwenye koo kulikuwa Kama kunakitu kilibana nisinene .. mtumishi wa Bwana ubarikiwe sanaaaa na ulinzi wa Bwana yesu uwe pamoja nawe amen
@LidyaPeter-nl9bt9 ай бұрын
Mungu atukuzwe kwa ajili yako
@shirujoy69742 жыл бұрын
Praise God man of God am very sure that ni mungu emenilocate Kwa hii huduma..ya kwanza nmesaindika sana kiroho na imeona funzo na ufunuo ambao mungu amekupa ni ya ukweli...nko Kwa sku tatu siwezi kulala nikisikiza huu ujumbe...niombee nijazwe na roho mtakatifu na nikuwe na maono nisikue naenda Kwa Giza yaani mungu awe ananifunulia mambo
@elinakithi6978 Жыл бұрын
Ubarikiwe sana mutumishi mungu akuzidishie mahali ulipo pungukiwa
@antoinettendayizeye58842 жыл бұрын
Asante sana Mutumishi wa Mungu ubarikiwe Mungu atujaze roho mutakatifu
@magimm74032 жыл бұрын
Amen mtumishi wa bwana
@godfreymbalwa7172 Жыл бұрын
Amina mtumishi hatamimi leo jumatatu nilikuwa kanisani nilikuwa ninasikia roho mtakatifu dani barikiwa sana nipo Tanzania
@ELIZAWAMARUNGU9 ай бұрын
Wengi wanapata izo uduma punde wanaanguka mungu akujaze nguvu sana Amen
@Nyota1-en4oq Жыл бұрын
Nakusihi mtumishi wa Mungu ututajiye watumishi wahuongo tuwajuwe tujiepushe nao
@millicentywauii23072 жыл бұрын
Naomba kujazwa roho mtakatifu
@ShukuruDaudi-ue6in2 ай бұрын
Amen 🙏 🙏 Asante MUNGU akuzidishie
@issacksanga9617 Жыл бұрын
Amen mutumish wabwana
@angelitapaulo2 ай бұрын
Bwana YESU asifiwe mtumishi wa MUNGU mimi nilibatizwa katoriki sijabatizwa ubatizo wa maji mengi lakini baada ya kufutiria sana mafundisho yako siku moja na kumuamini sana MUNGU kwa kila jambo siku moja nilala nikaona kama nainuliwa juu sana huku naomba maombi kama yenu kwa usiku mzima nilijukuta naomba nakemea kwa sauti mpaka najikuta nimeshituka niliishangaa sana hii hali,
@bratterkmutio98082 жыл бұрын
Barikiwa sana na Mungu akutie nguvu Niko kenya
@ernesttomas852 жыл бұрын
Bwana akutie nguvu
@millicentywauii23072 жыл бұрын
Amen Jesus our lord
@Reginajohnson19884 Жыл бұрын
Nakumbuka nilimtafuta roho mtakatifu kwa nguvu zote, BWANA YESU NI WA THAMANI AMEN
@josephsilupya60132 жыл бұрын
Jambo mtumishi wa Mungu asante sana kwa mafundisho haya yana nibariki
@ndayeoliver9412 жыл бұрын
Hallelujah hallelujah MUNGU WETU NIMWEMA SANA
@sheillahwairai46913 жыл бұрын
AMEN AMEN Amen 🙏🙏🙏 mungu akubariki sana mtumishi wa mungu . This is powerful May God receive glory and honor.
@adelesifa22572 жыл бұрын
Amina Amina, tufanye nini basi tujazwe Roho mutakatifu wa Mungu mana tunamutaka sana. Ohoo Yesu tujaze Roho wako pappa
@roseandala62812 жыл бұрын
Amen, Mungu ni mwaminifu kabisa, kunao manabii wengi wanafunga nyota za hata washirika wao, sema yote mtumishi wa Mungu, nafunguliwa kupitia mahubiri haya
@faridashabanifaridashabani59502 жыл бұрын
Amina sana MUNGU aturehemu sana barikiwa sana baba 🙇🙇🙇🙏🙏
@happynesskimt62492 жыл бұрын
Amani ya Bwana iwe nanyi wapendwa, Mwenyezi Mungu tuguse kama unavyo gusa wengine roho Mtakatifu aniongoze🙏🙏
@marymbodzembodze27072 жыл бұрын
Amen barikiwa sana Mtume wa BWANA
@fidelajackson27233 жыл бұрын
Amen,Amen,Amen kwa neno la Mungu na barikiwa sana na mahubiri kupitia kwa huyu mtumishi wa Mungu.Mungu wa mbunguni azidi kukutuma neno lake.Napenda ukweli wa neno la Mungu Amen,Amen,Amen.
@maliyadinas96452 жыл бұрын
Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu
@shalomkubali48842 жыл бұрын
That's very true
@faridashabanifaridashabani59502 жыл бұрын
Amin Amina Amina sana MUNGU niwezeshe niyaweze yote kupitia njia zako amina
@charlottemwavita28822 жыл бұрын
Hasante sana mtumishi wa mungu umbarikiwe sana kaka kwakazi ya mungu
@yalalaambobe95282 ай бұрын
Mtumishi wa Mungu na mimi niko mkristo lakini ni mpate Roho mtakatifu.
@beatriceamissi3103 жыл бұрын
Amena amena mtumishi ubarikiwe mtumishi unasema kweli kabisa 🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽
@catherineawinja74172 жыл бұрын
Mungu akubariki
@papilumona18962 жыл бұрын
Mlima wa ukweli imekuwa baraka kwangu
@lilianekyalo17313 жыл бұрын
Ubarikiwe mutumishi.wa.mungu
@judithkyenze13212 жыл бұрын
Napenda kusikiza mtumishi but sasa hiyo kuongopesha unitisha🙏
@jasonplayz4394 Жыл бұрын
Ukweli katika mafudisho yako ya roho mtaka tifu unasema ukweli uwa anatafutwa ubarikiwe sana
@chrismbah62542 жыл бұрын
Asante sana Mtume na waumini wote Kwa huduma hii ninachoomba tu natamani kupata mawasiliano ya Mtume nipo dar eslaam
@margaretschrader5342 жыл бұрын
Asante kwa mafunuo ya bwana unatwambia amen amen
@priscahotieno82142 жыл бұрын
Amen servant of God natamani kutembea kwa roho na kumpendeza Mungu
@lilianluhasi50532 жыл бұрын
Yaani umenigusa kweli Mtumishi wa Mungu aliye hai katika jina la Yesu Kristo, Mimi niweze kufanya Kazi yake
@liesharehema51933 жыл бұрын
Aminaa umetufundisha neno zurii yaani ni🔥🔥🔥🔥
@gambonmgaya12862 жыл бұрын
Amen.Jesus our Lord.
@bienfaitkyalondawa19092 жыл бұрын
Ubarikiwe sana baba yangu
@rosewabangwa90002 жыл бұрын
Ubarikiwe mtumishi wa Mungu
@maryvandeheer66802 жыл бұрын
Nakutamani sana Roho Mtakatifu. Nisaidie kukunjua na kukuona.
@filemonmpenda31142 жыл бұрын
Ubarikiwe
@fideliswangari1972 жыл бұрын
Amen mtumishi wa mungu ubarikiwe sana.
@anociataniliza24392 жыл бұрын
Amen praise God .
@judithimelida33302 жыл бұрын
Amen amen
@lilianatieno78072 жыл бұрын
Nisaidie na maombi nisimame.
@stellamugure71492 жыл бұрын
Amen mungu baliki mutumishii wakooo
@rosepeter89962 жыл бұрын
Asante na barikiwa sana kwa kazi yako kwa mungu,na kutufunza zaidi kama mchungaji nasema mungu na akubariki sana kwa kua umetubariki kiroho pia🙏
@zakayomainawagaturi37412 жыл бұрын
Naomba kujazwa naroho mtakatifu
@binwadidas77672 жыл бұрын
Amen amen amen amen amen amen amen
@Shiruwanyoike67152 жыл бұрын
Mtume ni saidie njisi kufunga
@terryndunge51053 жыл бұрын
Nashukuru mungu sana barikiwa mtumishi wa mungu.
@liesharehema51933 жыл бұрын
Mungu wangu mungu akubariki sana mtumishi wa mungu ulichohubiri leo kimenigusa sana nanikweli tupu God bless you man of God 🙏🙏🙏🇿🇦🇿🇦🇿🇦
@queenesther26392 жыл бұрын
Uinuliwe MUNGU wa milele
@lilianekyalo17313 жыл бұрын
Ubarikiwe.sana babayangu
@CarolineJiveri11 ай бұрын
Only Jesus saves thanks
@nyabutokwamboka27443 жыл бұрын
Mungu na atufungue macho ya kiroho Mungu anipe nguvu nisimame wima Mimi nikipata majaribu huwa naanguka ki imani niombee tafadhali
@bubasharajabu30682 жыл бұрын
amen mungu akulide sana mtume bamojana na udumazima
@jasonmureke24603 жыл бұрын
Amen mtumishi wa Mungu.live watching from Nairobi 🇰🇪🇰🇪
@nisetameena92762 жыл бұрын
MUNGU ni mwenye huruma kuna vile nimejifunza zaidi huruma ya MUNGU kupitia somo hili
@HopeMitula-yb4hr Жыл бұрын
Jesus help and bless you
@Deboraclementgm2 жыл бұрын
Barikiwa sana mutumishi
@tamarali83253 жыл бұрын
Amen Amen Ameeeeeeen
@bazuriyaido66163 жыл бұрын
Somo nzuri sana
@sophiasophia65002 жыл бұрын
Amen 🙏🏽
@georgeogembo9042 жыл бұрын
Aki mungu atusaidie na atuonyeshe njia
@shukranimadanya94783 жыл бұрын
Mungu akubariki mtumishi wa Mungu
@cathsinkara72712 жыл бұрын
Ameen Mtume wa MUNGU
@tinataim13212 жыл бұрын
Tusamehe Baba yetu. Tusamehe ewe mola wetu muumba😢😢🙏🙏
@kknlghfblblanakere59463 жыл бұрын
Amen
@frorensemunezero30412 жыл бұрын
Tuhurumie Baba yetu 😭😭
@tatumluv60543 жыл бұрын
Amen barikiwa Mtume wa Mungu 🙏
@gladysanami1611 Жыл бұрын
Amen Mtumishi, it's true, many of us we hv been blocked our stars/Talents by being put on the hands by false servants. Through the teachings, iam seeing where my problem started. Be blessed
@Riziki.jiki66143 жыл бұрын
Amen mungu akubariki🙏🙏
@pelusiemanueli69262 жыл бұрын
AMEEN mtumishi
@onethingremains28532 жыл бұрын
Amen. Nataka. Uniweleweshhe ju yaroho. Nakuita Hawupokeye
@emmylema59112 жыл бұрын
Amina kwa neno zuri!
@suvenkanyolo61042 жыл бұрын
Amen Amen Amen Amen Amen Mungu atusaindiye sana kabisa