Nmekumiss sana dadangu lakini nashkuru tena . Nmepotelea kwa msiba wa dadangu alikuwa anakaukiwa damu kisha kaaga nami nina rhesus negative nawabeba wanangu kwa neema lakini nawazaa na operation wote na hawana tatizo lolote na hakuna mwenye amechukuwa damu yangu ya rhesus negative ... Though nina uoga kubeba ujauzito tena
@marymwombe-pwonde14423 ай бұрын
Nashkuru sana kwa mafundisho haya sikuwai kuyaskia popote
Bwana Yesu asifiwe mujakazi wa bwana niko mugeni lakini unanibariki
@NYIMBOZAROHOMTAKATIFU2 ай бұрын
AMEN AMEN karibu sana dadangu
@augenmagabila30812 ай бұрын
Naomba kuuliza swali; ukiwa nabii unaona vitu vingi ambavyo Mungu anakuonyesha, je hiyo bag (siuji ni yako) ya brown yenye logo ya LV=Louis Vutton ambaye ni mwabudu shetani, kwanini manabii wengi wanazitumia hizo bag, sio bag tu sasa kuna magauni, mashuka, makoti, leso, nguo za ndani,n.k. Je inaruhusiwa kuvitumia na nabii vitu hivyo ikiwa wakristo wengi na wasio wakristo wanatumia bila kujua??? Nimeona manabii wengi ndyo wanatumia, ila wachungaji na baadhi ya maaskof sijawaona.
@dionisiamlowe67592 ай бұрын
labda hajafunuliwa hizi logo za shetani ila ndio zimejaa Mungu atuponye maana ni milango ya kugandamiza watu wa MUNGU
@languages20153 ай бұрын
Niombee neema ya maombi nimeshindwa kuomba. Kusoma neno, nataka nimpende yesu na ni mtumikie. Niombee kijana wangu awe na neema na kunyenyekea ma kuniona mamake.
Amina ubarikiwe kwa mashauri mazuri sana sister Karen
@NYIMBOZAROHOMTAKATIFU3 ай бұрын
@@GladysNakale AMEN AMEN ubarikiwe pia na Bwana
@waleedbahar52752 ай бұрын
Amen ubarikiwe Sana mjakazi wa mungu naomba unisaidie na maombi dada mtoto wangu anatumika ki uchawi
@NYIMBOZAROHOMTAKATIFU2 ай бұрын
AMEN AMEN, Bwana naitwa nani ili tuwe tunamuombea
@waleedbahar52752 ай бұрын
@@NYIMBOZAROHOMTAKATIFU anaitwa Lilia kazungu
@NYIMBOZAROHOMTAKATIFU2 ай бұрын
@@waleedbahar5275 AMEN AMEN tutaomba na Bwana atatenda
@waleedbahar52752 ай бұрын
@@NYIMBOZAROHOMTAKATIFUAmen ubarikiwe ddngu
@zipporahmibei90073 ай бұрын
Naomba number yako mjakazi Keren
@EugénieMausa3 ай бұрын
Amen.ubabarikiwa sana. Mungu aturehemu sana
@NYIMBOZAROHOMTAKATIFU2 ай бұрын
AMEN AMEN
@PacifiqueKiza-b1h3 ай бұрын
Mungu tusaidie wanao
@DaHasha3 ай бұрын
Amina
@LouiseEbengo3 ай бұрын
Amen ubarikiwe sister.
@sifakarulange3 ай бұрын
Amen
@elizamsemwa31613 ай бұрын
Kula mikate yenye hamira ni sawa??
@InjiliyaUfalmetv3 ай бұрын
Nichukizo
@LidyaPeter-nl9bt3 ай бұрын
amen
@abigaelnelly3 ай бұрын
Amen
@NdanuMirrium3 ай бұрын
Amen
@fayreen3 ай бұрын
Shalom nina swali
@NYIMBOZAROHOMTAKATIFU3 ай бұрын
Uliza Kabisa
@PacifiqueKiza-b1h3 ай бұрын
BWANA asifiwe saaanaaaa
@NYIMBOZAROHOMTAKATIFU3 ай бұрын
Amen amen
@marymusa81363 ай бұрын
Amina
@PacifiqueKiza-b1h3 ай бұрын
Hallelujah dada
@LouiseEbengo3 ай бұрын
Amen ubarikiwe sister.
@dayemukalai34273 ай бұрын
Shalome shalome Ameeen Amen
@انيمحمد-ب9ن3 ай бұрын
Hi
@TheofridahChigumbi3 ай бұрын
Amen amen
@LUCYMOLLEL-s7j3 ай бұрын
Shalom Mjakazi wa Bwana YESU
@NYIMBOZAROHOMTAKATIFU3 ай бұрын
@@LUCYMOLLEL-s7j Shalom shalom, Bwana Yesu asifiwe sana.
@LUCYMOLLEL-s7j3 ай бұрын
@@NYIMBOZAROHOMTAKATIFUAmen
@Deborah-xd5rw3 ай бұрын
Ubarikiwe
@Mamas-06k3 ай бұрын
Dada kareen Leo sauti ,,,,,, aki usituombe sadaka ,,,japo Kwa upendo wako, tukiwa nayo tutakupea , tukupe Cha mwilini, ,, nasi utupe Cha rohoni, na pia Iko Kwa maandiko, Kwa hivo sivibaya kuwabariki watu wa Mungu