UJUMBE WA MUHAMMAD BACHU KWA SHEIKH ABDUL-QADIR AL-AHDAL || 25/7/2023

  Рет қаралды 40,248

Muhammad Nassor Bachu

Muhammad Nassor Bachu

Күн бұрын

Пікірлер: 447
@rashidmohamed1949
@rashidmohamed1949 Жыл бұрын
Maa Shaa Allah.. Sheikh Muhammad Bachoo.. Allah akujaalie kheir na baraka wewe na ukoo wako wote Bali na waislam wote wenye kumcha Allah
@mwaramimwarami1479
@mwaramimwarami1479 Жыл бұрын
Baaraka llahu fik, MashaAllah!!!..tupo pamoja usijali sheikh Muhammad
@muhammadkhamis9396
@muhammadkhamis9396 Жыл бұрын
Maashaallah mungu akujaze kheri shekhe wangu umefanya kazi kubwa sana
@nabiljumaothman5912
@nabiljumaothman5912 Жыл бұрын
We Appreciate your Dawaah may Allah reward you countless times ❤ The haq and Batwil is the only battle remain in islam
@ibrahimjumaa538
@ibrahimjumaa538 Жыл бұрын
Allah atakulipa kwa nia Safi katika kuibanisha Hakki Sheikh Muhammad❤!
@saidijuma5843
@saidijuma5843 Жыл бұрын
Hongera sana sheikh Muhammad bachu, kijana mdogo lakini elm imedhiri mwako, mimi nikijana mwenzako tamaa yangu natamani au naweka nia siku moja mwanangu wa kiume ambaye kwasasa ana unri wa miaka mitatu, aje asome kwako ili siku za uson aje kuwa kama wewe nijivunie kumuona akifanya makubwa kama wewe kwaajili ya Allah na dini yake tukufu. Allah akupe maisha marefu kiongozi wangu.
@mwaramimwarami1479
@mwaramimwarami1479 Жыл бұрын
Aamin rabbil'alamin
@AbuuhudhayfaMwanyuki
@AbuuhudhayfaMwanyuki Жыл бұрын
Hakika vijana tusome zaidi
@ayubumasudi8380
@ayubumasudi8380 Жыл бұрын
Amiin yarraby
@cishahayoali1136
@cishahayoali1136 Жыл бұрын
tumekubali ukweli, Ahsante kwa kutudhihirishia, haqi na batwil, sheikh Muhammad bachu Allah akulipeni janah firdaus,Ameen!
@saidijuma5843
@saidijuma5843 Жыл бұрын
Wewe nikijana mdogo lakini elim imedhihiri kwako mashaallah.
@binumeir2873
@binumeir2873 Жыл бұрын
Hana ilmu yoyote
@saidkumpuni6599
@saidkumpuni6599 Жыл бұрын
Jazaakallaahu khayran YAA AKHIY MUHAMMAD BACHU
@fakihkhsaid9353
@fakihkhsaid9353 Жыл бұрын
Allah akuhifadhi mwalimu wetu tunakupenda.
@thetravelquestservices
@thetravelquestservices Жыл бұрын
Sabbaas tafadhali ungana na Muhammad nassor bhachu na usome kwake Allaah atakurahishia.
@ERLY1234-z9r
@ERLY1234-z9r Жыл бұрын
Ebuanaeee😂
@maulidalyaaamiin46
@maulidalyaaamiin46 Жыл бұрын
mpumbavu wee muhammed Bach u anaelimu au Ana matusi
@ERLY1234-z9r
@ERLY1234-z9r Жыл бұрын
@@maulidalyaaamiin46 shukran sana kw wazo lako ,ila kaa ukijua kua mwenye macho na ubongo haambiwi tizama tafakari
@Muswlih
@Muswlih Жыл бұрын
Shukran bado mziwanda ameanza na yeye naomb udili nae kwsbb ktk watu nguzo kwao wao 1 wapi ni yeye
@Captainome
@Captainome Жыл бұрын
​@@Muswlihmziwada anachembe chembe za kibra pindi,anapenda kujiona kujigamba sana.ila maa shaa Allah elimu ipo pale achekurusha cheche za maneno.
@hamzamwaya463
@hamzamwaya463 Жыл бұрын
Barakallahu fiyka, Allah akulipe kheri zake nyingi sana ndg yangu Muhammad
@abuubakarmuhsin219
@abuubakarmuhsin219 Жыл бұрын
بارك الله فيك يا شيخنا الفاضل، زادك الله علما وفهما.
@aminayusuf3051
@aminayusuf3051 Жыл бұрын
Mashaallah tabarakaallahu sheikh muhammad just like his father are on the sunnah may Allah give him strength and bless him from nairobi
@omarally6819
@omarally6819 Жыл бұрын
Kwakweli Shekh Muhammad Allaah akuhifadhi na akulinde na aina zote za shari, hasad, sihri, ayn, maradhi aina mbalimbali. Na akupe umri mrefu uliojaa na kuzungukwa na afya njema iliokua imara. Akufungulie milango ya Ikhlaaswi ktk matendo yako yote, na akufungulie milango ya Elimu na ufahamu ulio salimika, aikuze na ainyanyuwe daraja yako kwa Elimu ya Kitabu na Sunnah, na ayatanuwe maarifa yako kwa funuun mbalimbali za elimu ambazo zitakusaidia ktk kupambana na baatwil za watu wa twariqa na wapotofu wengine.
@mfalmenajjash2128
@mfalmenajjash2128 Жыл бұрын
Alipokuja mwalim mwengine kwenye madrasa yetu alikataa tusisome maulid wallahi tulimchukiya sana nakumsema kilakona kwakweli tulimpinga nahatukuwahi kumkubali, kwamaana tulikuwa hatujuwi chochote kwenye haqii. Alhamdulillah shekh Muhammad tangu nimeanza kukufatilya wallah nimeona haki yakweli kwenye sunnah nakutupiliya mbali bidaa hii ya maulid. Kwahabari njematu yulemwali Allah alimtiya nguvu kusimama nahaki nasisi tutaungananae kwapamoja kupinga uzushi wa maulidi. Allah atufikishe ktk haki yakweli na atuepushe na baatwili tunazozijuwa natusizozijuwa. Aamin ya Rabbi
@ushindiushindi5749
@ushindiushindi5749 Жыл бұрын
Mashaallah
@lugranmrisho6041
@lugranmrisho6041 Жыл бұрын
Allaah atujalie kil la kher hakik dini na misimamo ya sawa iko kwa Ahlussunna wal jamaa
@AllyAbubakary-q5l
@AllyAbubakary-q5l Жыл бұрын
Shekh bidaa kubwa ni kusema Kuna utatu
@mfalmenajjash2128
@mfalmenajjash2128 Жыл бұрын
@@AllyAbubakary-q5l na bidaa ndogo niipi ?
@salehkifaya392
@salehkifaya392 Жыл бұрын
Tatizo lenu nyinyi mawahabi hamna ufahamu huyo bachu hajui majaaz ni Nini na Hana hiyo fani na Hana ufahamu wowote katika fani za lugha ndo maana kujadiliana na mtu asiyekua na ilmu ni ya ufahamu Sasa kama huelewi na hujui hata utumie saa kumi huwezi kukubali majibu ya haki
@almarwazyahaythamy4905
@almarwazyahaythamy4905 Жыл бұрын
Shukran sana akhii.muhammad bacho.allah akulip kila la kheri..
@mohamadmaulidngava1510
@mohamadmaulidngava1510 Жыл бұрын
A.aleykum.Shekh tunajivunia kuwa na wewe,,,,walwahi napenda kukusikiliza sana kwaajili ya Allhwa unafahamika vizuri sana tuna muomba Alhwa akupambe kwa afya njema Shekh wetu.
@twaibumikidadi7377
@twaibumikidadi7377 Жыл бұрын
1- ukiwa muongo usiwe msaharifu. 2- Watu waTwariqa huwa hawasomi vitabu wao kazi yao ni kuimba tu. 3- Sasa kipindi hiki ndipo wanaanza kukisoma kitabu sasa ,na kujikagua ktk kila kona ya mambo yaoo. 4- Hawana tena hoja sasa hivi 5- Ibnu Bachu usifanye tene nikash tena endelea kutupa darasa tujue dini yetu, 6- Tumeshawajua hawa watu. Ile nikash imeshadhirisha kila kitu . 7- Tuyafanye yetu ktk dini yetu sasa Sunna inaenea kwa speeed Alhamdulillah 8- Hawa watwariqa kinachowasumbua jina la kitabu Et mtu katunga kitabu sasa mbona watu wametunga vitabu halafu vinekataliwa , sio hata hoja. 9- Lkn mpka sasa hajatokea mtu yyte wa kufunja hoja hizoo kila wakiangalia hawaoni pa kutokea 10- Mm naona kila shekh wa twarika akija ktk tv hulalamika tu, 11- Basi tuelezeni hayo maajaz maneno hayo Barzanj ameyatoa wapi ? 12- mbona hakuna mpka leooo 13- Shekh wetu Bachu achana nao haooo 14- Hawa watu wanahisi kuwa kutunga visa vya uongo mbele ya watu ndio elimu " Mtu kafa kanyanyuka katoa shahada kafa tena" ndio nn "Tukikukosa peponi tutaandamana " ndio nini. 15- Huu n ukristo tu Mtu kalala kaamka , mimi Nabii na watu ndioooooo mimi mtume , watu ndiooo ANHAA Ktk Sunna ( dini ya sawsawa) hatuna mambo ya janja janja kama haya, Sisi tuna Qaala Allah wa Qaala Rasuulu Allah au maneno ya wanazuoni wa kutegemewa khalas. 16- ukisema au kutunga kitabu chochote kule kinachohusu dini hii lazima useme maneno hayoo umeyatoa wapiiiiiiii??????? Usiposema dhihirisha hivyooo utakuwaMUONGO. Ndio maana Allah ametuletea mitume tumfuate yy , kisha akawajalua mas'haba watakiwa tuwaige waoo tufanye ktk dini hii kama walivyoelewa wao.
@suleymansalim5732
@suleymansalim5732 Жыл бұрын
Hapana kuacha lazima kuwapa nafasi watetee na wakishindwa basi haki itazidi kudhihirika zaidi
@khalidhemed9209
@khalidhemed9209 Жыл бұрын
Mawahabi wote asili ya ilimu Yao wamesoma Kwa watu wa maulidi kama hujui twakujuza
@twaibumikidadi7377
@twaibumikidadi7377 Жыл бұрын
@@khalidhemed9209 1-Mimi mwenyewe nimesoma huko lkn nilikuwa nikipewa kitabu cha batzanj nilikuwa nakaa ndan nskusoma taratibu nikagundua madudu nikimuuliza mwalim anajibu tu mtume kafanya hivyo hakuna cha dalili wa nini 2-Nikamuuliza mwalim wangu "kwann ww unayoa ndefu wakat wengne wanafuga ?? Hakunijib 3- kwanin ww unavaa nguo inaburuzika na wengne wanasema nguo isike kwenye makongo ? hakunijibu 4- Wapi dalili za za maulidi na khotma ? Hakunijibu Nikaenda kwa mwalimu wa kisunna ( Nikamuuliza maswali hayo hayo alininibu kwa hadith swagili kabsa Nikaona huku ndio hakki nmesoma bas nikajua zaid alhdulillah
@bakariomari8758
@bakariomari8758 Жыл бұрын
Kwanini wao hawakuja tanga wakatetea na walikua wanajua kuna munaqash. Ni wanafiq
@jaizaniimamu3880
@jaizaniimamu3880 Жыл бұрын
Kwa hiyo watu wa waulidi sio waisilamu?
@DirectorOne.t
@DirectorOne.t Жыл бұрын
Ust; Muhammad Nassor Bachu ...mashllh m/mungu akueke tuzd kupt umakini wa uwelewa
@rukiakhamis-le6kg
@rukiakhamis-le6kg Жыл бұрын
Na ww uwache majimbo(makaswida) mtoto wa kike tena muislamu
@salehrashid-fx9rq
@salehrashid-fx9rq Жыл бұрын
Shukran sheikh Muhammad sisi wanafunzi wako tuko tunajifunza kupitia wewe
@nadyasalim7956
@nadyasalim7956 Жыл бұрын
Naam
@saidmuhama9846
@saidmuhama9846 Жыл бұрын
Allah Ajaalie wakubali, huenda ikawa ndio mwisho wa Maulidi.. Jazaakallah kharaa
@mussaissa6796
@mussaissa6796 Жыл бұрын
Unaongelea gani??
@saidmuhama9846
@saidmuhama9846 Жыл бұрын
@@mussaissa6796 hawa watu wa Twariqa wakubali munaqasha ili kazi iishe.
@mwaramimwarami1479
@mwaramimwarami1479 Жыл бұрын
​@@mussaissa6796Anaongelea bunduki sio gani
@isackwaite-uf1zy
@isackwaite-uf1zy Жыл бұрын
Nakupenda kwajili ya Allah 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿💪
@dhahirdin
@dhahirdin Жыл бұрын
Maashallah wallah kama nilivyo kuwa natamani iwe hivyo mana hayo maneno kayaongea kweli kama dk. Tano apo ana sema ishirini azimtoshi
@sheikhzaidu4790
@sheikhzaidu4790 Жыл бұрын
بارك الله فيك يا الشيخ الفاضل
@jumakumala1337
@jumakumala1337 Жыл бұрын
Wallaih nafuraih sana kusikia ukiomba ombi la Munaqasha kwa masheikh wa kenya 🇰🇪 Allhamdhullillaih MUNGU ajalie akubali huyo sheriffu
@ChudiOmi
@ChudiOmi 2 ай бұрын
Kakayangu Muhamadi bachu... mayahudi hao wamekutwika mzigo mkubwa mno.... amin amin ... utakuja juta kaka.... muogope mungu.
@adilstreka
@adilstreka Жыл бұрын
Mashallah mungu akuzidishie elmu na umri tele tuzidi kunufaika naww ❤
@rukiaabubakar1257
@rukiaabubakar1257 Жыл бұрын
Swahaddiku wastayqadhwa nnasu..jogoo amewika na watu wameamka...jamaanii eee zindukeni...Allah atuongoze...ALAKH BACHU Allah akupe moyo na akuhifadhi
@SwaahibSwaahib-fs5eg
@SwaahibSwaahib-fs5eg Жыл бұрын
بارك الله فيك اخي الكريم
@kudra23
@kudra23 Жыл бұрын
Allah akulipe kheir Sheikh wetu Mohammed bin bachu na azidi ku kuimarisha Wallahi nnayofuraha mnooo kwa yote unayo yafanya Wallahi batwili ime dhiirika
@YunusMasaza
@YunusMasaza Жыл бұрын
Mashallah sheikh wangu Alihamdulillah naona walimtuma mtoto wao anae jiita sharifu akutukane kwamba wewe nimtoto wa haramu lkn yote nichuki nahusda mpaka walifikia kukuvisha msalaba yanatuuma sana namakubwa mengi wanayo kusema tena nifamil mojatu yakina majazi ali kubraa inshaallah Allah atawalipa kwa uongo wao juu yako nafamily yako ss twakuombea dua sana hatujuani lkn ss twapendatu haqi bas ,siku yaniqashi ikifika jamaa tumuombeen sheikh wetu dua kwa wingi inshaallah,
@hamzakimaro3764
@hamzakimaro3764 Жыл бұрын
HAJI UPEPO,YUSUF DIWANI,NA WALE WANAOSAIDIANA NAO KAMA BABDEO NA TV NYINGINE ZALIZOUNGANA KUPAMBANA NA HAKI NA KUTETEA UPOTEVU KTK DINI YA ALLAH,WASUBIRI MUDA KIDOGO,WATAPATA UDHALILI HAPA DUNIANI NA KESHO AAKHERA.... ALLAH AWAONGEZE!!
@mohagurey2214
@mohagurey2214 Жыл бұрын
Na hawataweza biidhinillahi
@saidhamis2411
@saidhamis2411 Жыл бұрын
BILA KUSAHAU NA MTORO ONLINE TV
@aminayusuf3051
@aminayusuf3051 Жыл бұрын
Please I beg young sheikhs from kenya to stand up with sheikh muhammad
@faridsaid60
@faridsaid60 Жыл бұрын
Masha Allah ya ustadh Allah akuzidishie illmu
@hajikomora703
@hajikomora703 Жыл бұрын
Allah akupe "thabati" juu y kusimama n haqi.
@Nuruyasunnah.official_tv
@Nuruyasunnah.official_tv Жыл бұрын
Hiiii kweli ni sawa?? mmoja anasema "WEWE BACHU NI MWANA WA HARAM " sheikh muhammad ushaur wangu ni kwamba ""mtume wetu (swa) aliambiwa ni mchawi, chizi, mjinga, mtu alie changanyikiwa, mwendawazimu, mshairi, mtu alie angamia, Lkn yote hayo ni kwa kua alikua anasema "MWABUDUNI ALLAH NA WALA MSIMSHIRIKISHE" (swa) alipigwa na kukashfiwa kwa hiyo na wewe usiache kuwalingania masufi waache shirki hata kama wazee, watoto, vijana na kinababa na kina mama watakutupia mazito lkn hutafikia maudh alo udhiwa (swa) , sisi tunakuomba fanya kwa ikhlasw na muombe allah aithibitishe da'awa yako NA MCHE ALLAH NA UWE KTK WANAO SEMA UKWELI
@Muhammad_Nassor_Bachu_.
@Muhammad_Nassor_Bachu_. Жыл бұрын
💯%✓
@omarally6819
@omarally6819 Жыл бұрын
Nikweli
@salimabdallah5176
@salimabdallah5176 Жыл бұрын
DHIKRI FIKRI SHUKRI SUBRI
@AbdallahSalim-v6o
@AbdallahSalim-v6o Жыл бұрын
Asalamu alaykum shukran shekh muhamadi bachu allah atakulipa kwa kazikubwa uliyofanya
@muhammadnassibu7706
@muhammadnassibu7706 Жыл бұрын
Wallahi mm Nina furaha kubwa mno "ويحق الله الحق بكلماته ولو كره المشركون"
@saidalihashim3797
@saidalihashim3797 Жыл бұрын
Mohamed bachu Allah akuhifadhi MASJID RAHMA KIPINI
@almarwazyahaythamy4905
@almarwazyahaythamy4905 Жыл бұрын
Dah video ya leo haina quality ya 144...bando yangu inatembea sana kwa 240p
@kheirhaji2257
@kheirhaji2257 Жыл бұрын
Almajazi atakua mpenzi mtazamaji siku hiyo inshaallah 🎉
@nasraabdallah
@nasraabdallah Жыл бұрын
Blessed brother muhammad bachu🦁🦁🦁
@jujanreeves6925
@jujanreeves6925 Жыл бұрын
Wallah Waislam Elimu ndio UISLAM tukishikamana na ELIMU maulid khitma talakin kila mji na mwezi wake ushirikina Uganga madufu na bidaa upotevu na Kuwatii na kushirikiana na Kundi potovu km Mashia Jamii ya KIISLAM itasalimika
@Ali-nl2du
@Ali-nl2du Жыл бұрын
Wapo kambini wanajiandaa 2nd round. Tuwapige knockout ya pili. Allah akujaze kheri akhy, Allah amrehemu sheikh Nasor bin Bachu.
@abdishakurshakur
@abdishakurshakur Жыл бұрын
Jazakallah ustadh
@fahadsalim3000
@fahadsalim3000 Жыл бұрын
Allah akupe umri mrefu inshaallah
@generalabdize3647
@generalabdize3647 Жыл бұрын
hatuwezi danganywa na mwaulidi tena tusha jua haki na badil sheikh muhamed nassor bachu mungu akuhifadhi umetutoa kwa giza
@mohagurey2214
@mohagurey2214 Жыл бұрын
Wallahi huu ni udhalilifu wa hali ya juu
@muniraally4091
@muniraally4091 Жыл бұрын
Allah ak u hifadhi
@successpathnetwork
@successpathnetwork Жыл бұрын
Asee hawarudii tena. Allah Akbar
@mashamassingisa8738
@mashamassingisa8738 Жыл бұрын
Nimefurahi kukuona akhy.. Barakallahu fiyka
@mashamassingisa8738
@mashamassingisa8738 Жыл бұрын
Nakufatilia sana ktk vipindi vyako
@successpathnetwork
@successpathnetwork Жыл бұрын
​@@mashamassingisa8738 Shukrani sana ndugu yangu
@muhidinally3753
@muhidinally3753 Жыл бұрын
Kila penye batwil haki hujitenga. Sheikh Sabas ulitakabali sana katika mgongo wa dunia huku ukisistiza batwil ndio njia sahihi. Allah amekudhalilisha duuuu
@badrudinsalum3139
@badrudinsalum3139 Жыл бұрын
Mashallah
@saydouside9468
@saydouside9468 Жыл бұрын
Bachuuuuuuu..kuacha kula mibiriani..na minyama..na mafungu ya mapesa ya michango...mambo safi...tufundishe maneno ya Allah
@albassammusaalbassam7487
@albassammusaalbassam7487 Жыл бұрын
Allah akupe thibati uendelee kupambana na wazushi wa bidaa sugu
@shanimpenike7568
@shanimpenike7568 Жыл бұрын
جزاك الله خير
@allyjuma9669
@allyjuma9669 Жыл бұрын
Al akhi muhmmad bachu allah akuhifadhi dawa imengia wacha wapige porojo ss tusome dini
@iddimohamed254
@iddimohamed254 Жыл бұрын
Mashallah maneno yaliyo enda shule kabisa uku mombasa tunakukubali 100%kaka tuko pamoja sanna.......
@adnanestropa7092
@adnanestropa7092 Жыл бұрын
Allah akujaze Kila la kheri❤
@allyismail4226
@allyismail4226 Жыл бұрын
Mashallah allah akuongoze ktk njia iliyo nyooka
@alizoon2720
@alizoon2720 Жыл бұрын
M.a❤
@سيفالسعودي-ي7ظ
@سيفالسعودي-ي7ظ Жыл бұрын
Assallamaleikum warahmatulah wabarakatuh. Naomba namba yake shekh Muhammad Bachu
@abuuamourmuhamed1934
@abuuamourmuhamed1934 Жыл бұрын
Sheikh muhammad masufi wanapenda kula na sio kama hawaelewi wanaelewa sana ila kuwacha ubwabwa wa maulid hawaweziiii
@halimaosmanmahando7793
@halimaosmanmahando7793 Жыл бұрын
😂😂😂😂kweli
@salmaalkyumi6030
@salmaalkyumi6030 Жыл бұрын
Salallahu Alaihi Wasalam ❤️❤️❤️
@muhammadmassoud3576
@muhammadmassoud3576 Жыл бұрын
Ikiwajia haki uwongo hujitenga.mashaallah
@ibrahimsuleyman9465
@ibrahimsuleyman9465 Жыл бұрын
Haki ina kuja INSHA ALLAH!
@saidmohammed2830
@saidmohammed2830 Жыл бұрын
Kuna hyo shekh ubavuni wa kulia pia naye huyo yumo aitwa abdrahim maarufu fahuwa😂😂😂😂😂😂pia mualike ilaa usimkose shekh wetu wa mamburui yussuf Omar Muhammad wa Sunna huyo ndio kiboko Yao
@OmayAlly
@OmayAlly Жыл бұрын
Masha Allah
@arafatabubakar001
@arafatabubakar001 Жыл бұрын
Skh BHACHU,ALLAH akuhifadhi sanaa.. Na bado mtakataana sanaa,na hio bado.nasema kwa nguvu “MAULIDI HAIFAI”
@amanitoza
@amanitoza Жыл бұрын
Ma Shaa Allah
@nasarsulaiman9549
@nasarsulaiman9549 Жыл бұрын
jazakallah khair ibn bachu
@abdallahsaid9574
@abdallahsaid9574 Жыл бұрын
Alla akuzidishie sasa imebaki matusi na kukuchafua
@FadhilSaid-mb2yk
@FadhilSaid-mb2yk Жыл бұрын
maashallah
@babatidaawa6550
@babatidaawa6550 Жыл бұрын
Mbona masufi wanaumbuana wao kwa wao jamani haqi ni haq tu sheikh bacho Ma Shaa Allah Ilm ipo kutoka kwa baba yake ..wazee wa majazi😂😂
@omarjuma3793
@omarjuma3793 Жыл бұрын
Tuelimishe shekh maana huku tulipo uwongo na uganga ndo mwingi sana ujanja ujanja tu hamna kitu mi nilikuwa mpingaji mkubwa sana wa mawahabi ila ukweli haushindwi kabisa nimetuliza akili sana nimepekenyua sana daaa Allah atawalipeni kwa kweli tuelimisheni hivyohivyo msichoke twaburuzwa sana .
@ayububakari9942
@ayububakari9942 Жыл бұрын
hahahahahahahaha
@موسعلی-ه8ث
@موسعلی-ه8ث Жыл бұрын
ماشاء الله يا محمد
@AliShee-mb2gh
@AliShee-mb2gh Жыл бұрын
wanao taka niqash wajibu zile hoja 19 kisha wapewe 11 wamalizie,namuomba Sheikh Muhammad Bachu asifanye mjadala na sufi yoyote haki ishajulikana وأن يحشر الناس ضحى haki ilionekana na mchana wanaotaka baatwil wangoje usiku
@idrisjames9392
@idrisjames9392 Жыл бұрын
Mashaallah akhii
@faisalmohamed727
@faisalmohamed727 Жыл бұрын
Sithani kama huyo babu atakubali kujitoa mhanga, akikubali furaha nitakayokuwa nayo nitafanya karamu ndogo nialike japo watu 50.
@mohagurey2214
@mohagurey2214 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂😂😂😂
@alijabal5323
@alijabal5323 Жыл бұрын
Wallahi bachu nakupenda kwa ajili ya allah.
@issicajosefu9681
@issicajosefu9681 Жыл бұрын
Allah akuhifadhi shk wetu Mohammad bachu uendelee kutufaham8sha haq
@YasinKilenza-ve2ew
@YasinKilenza-ve2ew Жыл бұрын
Allah akuhifadhi Shekhe wetu tupo pamoja
@allymnimbo4304
@allymnimbo4304 Жыл бұрын
@mohammedlipindula5415
@mohammedlipindula5415 Жыл бұрын
Inshaallah biizn Allah watakuelewa tu nakufuta Sunnah za mtume s a w
@halimaosmanmahando7793
@halimaosmanmahando7793 Жыл бұрын
Nakupenda sana kwelajiri ya Allah wallahi sheikh mohammed bacho❤
@husseinally5550
@husseinally5550 Жыл бұрын
Awaap unataka mume wew😂
@Yunusahazi
@Yunusahazi Жыл бұрын
Assalaam alaykum warahmatullah wabarakattuh hizo hoja wangekuwa na majib wangezijib bila ht ya mnakasha
@mgeninaima9866
@mgeninaima9866 Жыл бұрын
Swadakta tuko pamoja insha Allh
@ramakaingu1902
@ramakaingu1902 Жыл бұрын
Allah akuhifadhi sheikh wetu masuf hawana bahati
@abdhulihassan8501
@abdhulihassan8501 Жыл бұрын
Hawa ndio masimba sasa Maasha'Allah. Hakuna kupindapinda maneno,yaani maneno yamenyooka mpaka raha. Hakuna kumuogopa yoyote mbele ya Allah, huyu sheikh aandae mnaqasha na yeye achukue pahala pa sheikh Majaz tuone kitakacho mkuta😂😂😂😂.
@jumakumala1337
@jumakumala1337 Жыл бұрын
MUNGU akuzidishie ilmu zaidi ya hapo uweze kutufikia ss ambao ALLAH akutujalia kuwa na ilmu , lkn ktk munaqasha wote macho yangu yalikuwa yakipepesa kumtafuta Sheikh Mohammed Al athimy ndie alieanzisha haya mmb alipokuwa kwenye kikao cha Maulidi Tanzania 🇹🇿
@aminuddinwacate
@aminuddinwacate Жыл бұрын
Watch this link below and say something
@FathiSaid-j6v
@FathiSaid-j6v Жыл бұрын
Muhamad mashallah Allah amuhifadhi mpaka waote wajue haki ni ipii
@YussufSabaliy-gr8xn
@YussufSabaliy-gr8xn Жыл бұрын
Muhammad nassor bhachu Allh akujalie uzidi kutupa mambo mazur
@answaryhussein256
@answaryhussein256 Жыл бұрын
Allah atakufunza adabu kwa kudhalilisha Shekh Jafar mtunzi wa kitabu Cha maulidi
@abdallahpazia334
@abdallahpazia334 Жыл бұрын
Adabu ipi hiyo
@YunusMasaza
@YunusMasaza Жыл бұрын
Walichangisha kisha hawataji kiwango mnachapa watu aibu imewabana family ya diwani
@mahdsalim
@mahdsalim Жыл бұрын
Mwenye kumstiri ndugu yake Muislam, Allah atamstiri siku ya Qiyama
@HalfanHemedi-r8z
@HalfanHemedi-r8z 25 күн бұрын
Haqi lazima ibainishwe watu wasije wakafuata ujinga
@thetravelquestservices
@thetravelquestservices Жыл бұрын
Almajaaz alkubraaa 😂😂😂😂 nice 👌 👍.
@HassanSalum-pg9yu
@HassanSalum-pg9yu Жыл бұрын
20:37 safi,sana bachu wanyooshe
@TijosHaba-xi8vy
@TijosHaba-xi8vy Жыл бұрын
Allah akupe umri mrefu Pia atupe mwisho mwema
@JumaOmar-lj9yh
@JumaOmar-lj9yh Жыл бұрын
Ustadh Mohamad hoja ziko wazi nakushauri usiweke munakasha mpaka wajibu hoja zote 19 ulizotowa wakijibu tutafanya kumalizia hoja 11 nakuwarekebisha
Dhulma za Jamii: By Sheikh Abu Umar AbdulAziz
54:56
Abu Umar Abdulazeez
Рет қаралды 7 М.
She made herself an ear of corn from his marmalade candies🌽🌽🌽
00:38
Valja & Maxim Family
Рет қаралды 18 МЛН
When you have a very capricious child 😂😘👍
00:16
Like Asiya
Рет қаралды 18 МЛН
Don’t Choose The Wrong Box 😱
00:41
Topper Guild
Рет қаралды 62 МЛН
MAFUTA NILIKWAMBIA UNABAHATISHA UKAONA NI KEJELI ONA SASA || Muhammad Bachu
49:19
MAJIBU KWA MUHAMMAD AL-HATIMIY|| USTADH ALI ABUBAKAR AFAFANUWA MAANA YA HIKMA
27:42
CORAN POUR DORMIR QUI APAISE LE COEUR (Recitation magnifique) 2021
1:31:41
DOUAA PROTECTION
Рет қаралды 16 МЛН
40 Qiso┇40 Qiso Ee Ygu Saameynta Badan 2023ᴴᴰ┇► Sheekh Musdhafa Xaji Ismaciil
3:26:03
🔥RADDI FUPI KWA KASUKU WA KIZANZIBARI (MUHAMAD BACHU)
11:05
ATtwabary online
Рет қаралды 2 М.
Doodi Salafiyinta iyo Takfiirka Q.2 kala socofasal media
4:22:10
Fasal media
Рет қаралды 11 М.
MAJIBU KWA YUSSUF DIWANI || SEHEMU YA KWANZA || Muhammad Bachu || 2023.
44:58
Muhammad Nassor Bachu
Рет қаралды 27 М.
MDAHALO, USHIRIKINA NDANI YA BARAZANJI UKWELI WABAINIKA TANGA
1:11:24
AL MUBAJJAL TV
Рет қаралды 49 М.
She made herself an ear of corn from his marmalade candies🌽🌽🌽
00:38
Valja & Maxim Family
Рет қаралды 18 МЛН