UKHTY DYDA AWALIZA WATU WOTE KATIKA TAMASHA LA EID (SWAUTUL WARDI)

  Рет қаралды 617,552

AHLU MTANGANA Ukhty Dyda

AHLU MTANGANA Ukhty Dyda

Күн бұрын

Пікірлер: 326
@DahuMsuya
@DahuMsuya 2 ай бұрын
Kila nikiwaza kifo lazima nisikilize hii kaswida 😭😭😭😭 Allah atujalie mwisho mwema. Allah akulipe dida kwa hii kaswida ❤❤❤❤❤❤❤❤❤hakika ni somo kubwa sana kwa mwenye kuelewa au mwenye d 2
@AHLUMTANGANAUkhtyDyda9154
@AHLUMTANGANAUkhtyDyda9154 3 жыл бұрын
Aslm Alykm ujumbe ni mzito sana na machozi yanapo bubujika sku zote ni ishara ya machungu, kuvunjika kwa moyo, au maumivu yasio kua na mfano safari ni yet sote Allah atupe mwisho mwema🙏🏻🙏🏻 sisahau ku subscribe, comment, like, na ku share
@shebyboy2809
@shebyboy2809 3 жыл бұрын
Wallahi ukty dida mm qaswida iyo ilinilza siku ya mauld makubwa tumbe alisoma mwalim hamadi kichawa da ujumbe mzito😭😭😭😭
@salmawangu2589
@salmawangu2589 3 жыл бұрын
Acha tyuuu na cjui km nngekuwepo cjui km nngeweza kuvumilia n mwendo wa kulia tyuui
@ziadasleiman876
@ziadasleiman876 3 жыл бұрын
Hakika yani
@salmawangu2589
@salmawangu2589 3 жыл бұрын
Ukhty Dyda cku ukija Dar niambie mapemaaaaa najiaandaa kukufuata popote utakapofikia
@halimabinthamisi3818
@halimabinthamisi3818 3 жыл бұрын
Kweli ukhty 😥😥😥nimelia kwa ujumbe huo yanikumbusha mbali.na yale yatakayo tutokea siku ya mauti 😔😔Allah atujalie mwisho mwema🤲🤲na azidi kukuhifadhi ukhty
@rukiaabdalla
@rukiaabdalla 3 ай бұрын
Hii kaswida imeniingia mpaka moyomoni mungu atujaalie mwisho mwema na mwisho mzuri na atusamehe sote
@JannatKuraishi
@JannatKuraishi Жыл бұрын
Ujumbe nzuri Sana maashaallah Allah akuhifadhi dida Namuomba Allah atujaalie mwisho mwema 🤲😭
@abdulabdalla-jt3if
@abdulabdalla-jt3if Жыл бұрын
Ujumbe umefika mungu atujalie hatima njema sisi pamoja na Waze wetu amin
@mwanakhatibu3722
@mwanakhatibu3722 3 жыл бұрын
Asant dada ujumbe mzur mwenyezi mungu awalaze mahali pema pepini wazazi wangu na ndugu zetu wote walio tangulia mbele ya khaki
@hasanatyadam750
@hasanatyadam750 3 жыл бұрын
Mashaallah ukht dida Allah akupe kila lenye khery dunia na akhera
@SalmaTelkom
@SalmaTelkom 8 ай бұрын
Ameen Ameen
@hamisihassan9041
@hamisihassan9041 Жыл бұрын
Siezi kuvumilia nikisikiliza hii kaswida allah atujaalie mwisho mwema❤😢
@fatumamohammed3734
@fatumamohammed3734 Жыл бұрын
Allah atupe mwisho mwema Kwa waislam wrote😭😭😭🤲🤲🤲
@tumatechnology2000
@tumatechnology2000 3 жыл бұрын
Dah nikikusikilizaga najikuta imani inapandasana mungu akupe umri wenye manufaa
@sadisaidi6961
@sadisaidi6961 3 жыл бұрын
Mashalla mashalla ujumbe ni mzito na ni mzur Allah atupe hatima njema na tuwe miongoni mwa waja wake wema atuongowe umat Muhammad 😭😭😭😭Allah akuhifadh DYDA 🙏🙏
@aminahamad1113
@aminahamad1113 Жыл бұрын
Mashallah ♥️ Allah atup mwisho mwem hii qasida umetukmbush xxn Allah akjalie kweny kz zako inxhallah
@fatumamasudi4963
@fatumamasudi4963 Жыл бұрын
Asslm slaykm ujuhuu nimzito Sana binadamu sichochote Allah atuongoze. Sote umma WA Muhammad tuwe n kauli njema
@maftahjr2141
@maftahjr2141 3 жыл бұрын
Ujumbe mzto shkran kwa ukumbusho😫😫😫
@AllyNuru-f6t
@AllyNuru-f6t 3 ай бұрын
Allah akup imli wenye manufaa dada Yang hakika nikaswid nzito xn
@ukhtyray2080
@ukhtyray2080 3 жыл бұрын
Maashallah ukhty dida pole sana kipnz chetu Allah atupe mwisho mwema asnt kwaukombusho twakupenda tyu swautul ward umelimilik tamasha
@RajabuJumanne-gf6ew
@RajabuJumanne-gf6ew Жыл бұрын
Allaah atujaalie mwisho mwema
@yussrakhamis3622
@yussrakhamis3622 Жыл бұрын
Mashallah mwenyez I mung atupe kaulithabt na mwisho mwem
@salmarenson3244
@salmarenson3244 Жыл бұрын
Mwenyezi mungu tujalie mwisho mwema inshallah
@chamyluna8030
@chamyluna8030 3 жыл бұрын
Nyie jishaueni jitoeni fahamu kila mkiambiwa jifanyeni hamfahamu ila mkishafika kaburini ndio mtakiona mlichokichuma kama ni wajumbe mushapelekewa sana mnachosubiri labda ni laana tu
@aishaabubakary3271
@aishaabubakary3271 3 жыл бұрын
Allah akuhifadhi na akujaalie kila la khery katika maisha yako ukhty wetu💞💕💓💗💖💝💘♥️❣️🤍🖤🤎💜💙💚💛🧡❤️
@zamomzaham
@zamomzaham Жыл бұрын
MaashaAllah ujumbe mzuri Allah akukuzidishie kher
@zuhurajuma1747
@zuhurajuma1747 2 жыл бұрын
Nakupend sanaaaaa diyda wangu
@kautharali1982
@kautharali1982 3 жыл бұрын
Mashallah tabarakallah kipenz hakika ni ujumbe mzito sana.Allah awarehemu wazazi wet waliokwisha tangulia mbele ya haki inshallah na sis atupe mwisho mwema inshallah
@shanishamsi9576
@shanishamsi9576 3 жыл бұрын
😭😭😭mashallah dida wangu allah akujaalie kila la kheri na si atujaaalie mwisho mwema ujumbe mzur mashallah nimelia 😭😭😭😭😭😭😭
@ahmedhamisi328
@ahmedhamisi328 2 жыл бұрын
Masha Allah qasida nzuri Sana nyenye mafunzo mazuri
@kassimukipingu7917
@kassimukipingu7917 2 жыл бұрын
Hii kasda hakika ni tamu lakini inatoa machozi Asante ujumbe mzuri
@mariammbaruk9662
@mariammbaruk9662 3 жыл бұрын
Mashallah mashallah diyda Allah atupe hatma njema
@salamamuhamad1926
@salamamuhamad1926 3 жыл бұрын
Masha Allah mungu akuhifazi
@aishaayoub2653
@aishaayoub2653 3 жыл бұрын
Ukhty dyda mungu akulipe kwa kila la kher kwa ujumbe wk mzito 😅😅amiin
@misbahadnan1246
@misbahadnan1246 2 жыл бұрын
Subhanallah Allah husnu khatma golden voice
@mwajumaissa2358
@mwajumaissa2358 3 жыл бұрын
😭😭😭😭🙆‍♀️🙆‍♀️Daaaah hii kaswaida Dyda huwa unaniliza mno hakika ukumbusho humfaa mwenye kuamini kweli hiyo siku huwa ni ngumu saan Allah atupe mwisho ulio mwema 😭😭😭
@fatmambaa3712
@fatmambaa3712 3 жыл бұрын
Mashaallah dida
@ziadasleiman876
@ziadasleiman876 3 жыл бұрын
Ukhty Dida tunasubiri kitu kipya inshaallah new qaswida habibty 🥰
@fatumamuiya6089
@fatumamuiya6089 3 жыл бұрын
Maa shaa Allah alhamdulillah ukty Dyda ujumbe umetufikia ni sisi tu kuufanyia kazi asante kwa ukumbusho ❤❤❤🇺🇸🇺🇸
@abalqassimqay6297
@abalqassimqay6297 3 жыл бұрын
Subhanallah ujumbe mzito niliposkia kutoqwa namachoz Ndio nikachek Shukrn
@SeleMohd-ki4ns
@SeleMohd-ki4ns Жыл бұрын
Mungu na ciyee tujaliye mwisho mwm🙏🙏🙏
@zainabmaulidi9846
@zainabmaulidi9846 3 жыл бұрын
Masha Allah tabarakaAllah ukhty Allah akujalie mwisho mwema pamoja kwa sote Insha Allah
@jumaayoub8484
@jumaayoub8484 3 жыл бұрын
Ma sha Allah. Ujumbe umefika vizuri Sana Sana. Allah akulipe kwa kutukumbusha. Allah azijalie nyoyo zetu ziwe ni zenye kulainika na kujiandaa na siku ya mwisho. Allah akulipe kila la kher. Nakupenda sana Dayda kwa Ajili ya Allaah.
@sambilahussein2045
@sambilahussein2045 3 жыл бұрын
Mashallah qaswida nzuri,Allah atupe mwisho mwema
@nashkanashka6644
@nashkanashka6644 2 жыл бұрын
Masha allah katika caswida nyungi. Hi ni number 1 napenda sana tena inanitowa mathozi.😭 masha allah
@ashuuyusuf3978
@ashuuyusuf3978 3 жыл бұрын
😭😭😭ewe mola wetu utupe na mwisho mwema yaraby
@halimaomar1723
@halimaomar1723 2 жыл бұрын
Ujumbe mzto mngu utupe mwisho mwema inshaallah
@versace7508
@versace7508 Жыл бұрын
Namu waza sana mama muzaziii tokeya iyi wimbo . Thank u sister 🙏🙏
@JasmineMushi-bs8pm
@JasmineMushi-bs8pm Жыл бұрын
Maashaallah m/mungu akulipe Kila la kheri ujumbo mzito
@salamashakour5640
@salamashakour5640 2 жыл бұрын
Allah tup mwisho mwema
@locc2dabrain767
@locc2dabrain767 2 жыл бұрын
Sub hana Allaah taala twamomba mola taala atupe mwisho mwema allaahuma ameen ya raabbiill ameen ya raab ya raab 🥰 🙏 💖
@samirajuma782
@samirajuma782 Жыл бұрын
Mashaallaah 😭😭
@MamuuOnespholo
@MamuuOnespholo Жыл бұрын
Maxhaaallha Maxhaaallha snb hana allha twaomba mola atupe mwisho mwema allaahuma ameen ya yaabaill ameen ya raab raab❤️🙏😭🤲
@hawaali7623
@hawaali7623 2 жыл бұрын
Mash allh I like nashiid and amazing sister voice 😍 From Somali brother
@salmawangu2589
@salmawangu2589 3 жыл бұрын
My Didah umenifanya nilie leo km kitoto wallah ujumbe nzt umauti unatisha jmn
@sharifamohammed985
@sharifamohammed985 3 жыл бұрын
kabisa ukhty allha atupe mwisho mwema yarabbi
@mwanalimamwanlima198
@mwanalimamwanlima198 Жыл бұрын
Manshallah ujumbe mzito . tupe mwisho mwema yarab
@khamisshehe8634
@khamisshehe8634 3 жыл бұрын
Asante sana Ukhti Dyda unanikumbuka mbali Sana juu ya hii QASWIDA tulikua tunaiita kisa cha Abuu Hanifa ilikua inaniliza tukiisoma chuoni na kuipigia dufu umeiboresha kuiweka mnanda hongera sana nikuombee kwa Allah akuzidishie kipaji akulinde na mahasidi wabaya
@khamisshehe8634
@khamisshehe8634 3 жыл бұрын
Na hapa ss iv Naiskiliza nikiwa Qatar bado inaendelea kunitoa machozi natamani nirudi tena madra kwa kweli
@ahmadjuma6083
@ahmadjuma6083 3 жыл бұрын
Ujumbe maridhawa
@ashuraaomar925
@ashuraaomar925 3 жыл бұрын
Inaliza hasa ila mnanda ni haramu
@hamisisaidmwachinyembwe5228
@hamisisaidmwachinyembwe5228 Жыл бұрын
Allah tujalie tuwe na mwisho mwema
@drdirodila3302
@drdirodila3302 Жыл бұрын
Mashallah allah akubatiki akupe uzima na swiha nzuri uzidi kuemdwlwza kutupa ujumbe kwa njia ya qaswida mungu akulinde na Kila hasadi in shallah.
@asiaiddi2539
@asiaiddi2539 3 жыл бұрын
Kifo n habar nzito sanàa...Allah tupe mwisho mwema
@arafaarafaali9930
@arafaarafaali9930 Жыл бұрын
I really miss my ummi with this qaswida walai Mungu akuweke pema penye wema
@aishagakurya1964
@aishagakurya1964 2 жыл бұрын
Subhanallah mola hatujalie mwisho mwema 😭😭😭😭
@Amina-p9c4c
@Amina-p9c4c Жыл бұрын
Mungu atupe mwisho mwema kutokana naukali wamauti
@ubasalim1148
@ubasalim1148 Жыл бұрын
😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭s Al-maut sakarat walla....Allah atujalie mwisho mwema
@NakazibaJanat-bk4dz
@NakazibaJanat-bk4dz Жыл бұрын
Mashalaah janat from Uganda really i miss my grand mother fatuma very nice and song 😂😂😂😂.
@NakazibaJanat-bk4dz
@NakazibaJanat-bk4dz Жыл бұрын
And good song
@mwanaidikhamis8223
@mwanaidikhamis8223 3 жыл бұрын
Mashallah kasida ukt dida ina huzunisha tuendako mbali waumi tufanyeni mema😥😥😥😥😥😥😥😥😥
@queenzaihameed560
@queenzaihameed560 3 жыл бұрын
Mashaaallah mashaallha kipnz mabrk kipnz ujumbe mzito sana umegusa watu wengi hongera kwaukumbush mzr jaman kifokipo
@antashaal2257
@antashaal2257 3 жыл бұрын
Mashallah mashallah hizi ndizo kasida za ukumbusho zenye maana na kusisimua
@hamisisaidmwachinyembwe5228
@hamisisaidmwachinyembwe5228 Жыл бұрын
Mashaallah Allah msitiri babaangu kipenzi mahali pema peponi Aaaaaaamin Ya Rabbii
@SitiOmary
@SitiOmary Жыл бұрын
Mashallah mungu ukupe wepesi😮
@omarykabezi3324
@omarykabezi3324 3 жыл бұрын
Nakupenda yalabi akupe maisha marefu
@aishaomar9621
@aishaomar9621 2 жыл бұрын
Mashaa Allah tabaraka Allah Allah akuzidishie
@salmarenson3244
@salmarenson3244 Жыл бұрын
❤mashallah dada yangu unakibali na sauti please 🙏 usiache kumitumikia mola
@cutieendiritu4600
@cutieendiritu4600 3 жыл бұрын
Waaa napenda kaxi yako xuri sana MOLA akubariki Hadi natamani kuwa Muslim
@aminasoud2874
@aminasoud2874 Жыл бұрын
Karibu
@fadhirampita5200
@fadhirampita5200 Жыл бұрын
Karibu saana
@ZahoroKiller
@ZahoroKiller Жыл бұрын
Asanteeeeeeee dida mungu akuweke na atuepushe na moto
@suhelaomar1777
@suhelaomar1777 3 жыл бұрын
Ma sha allah ❤️ sauti nzuri na ujumbe mzito
@Amina-p9c4c
@Amina-p9c4c Жыл бұрын
Mungu atupe mwisho mwema kutokana naukali wamauti😂😂😂😂😂😂😂
@shadeaqassim4689
@shadeaqassim4689 3 жыл бұрын
Allah atujalie mwisho mema inshallah😭😭😭😭😭😭😭
@sabihimnyalanga4231
@sabihimnyalanga4231 3 жыл бұрын
Hakika ni ukumbusho mzuri kwetu sisi wana adamu mungu akubariki na akulinde sana
@juwairiakhamu8719
@juwairiakhamu8719 3 жыл бұрын
Mashallah Mashallah huna baya wewe, akitokezea mtu anakuchukia Maskini anajitia Maradhi buree upendo umebarikiwa kutoka kwa Allah mtu mwenye Roho yake nzuri kama Tabassam lake Allah akulinde na Hasad za walimwengu
@rauphyasin6020
@rauphyasin6020 3 жыл бұрын
Masha Allah,ujumbe mzito xana dada Dida jazzaka llahu khaira Allah atupe mwisho mwema amiin
@aishadaba7045
@aishadaba7045 3 жыл бұрын
Biismika Allahumma Ameen
@yusrashakii9632
@yusrashakii9632 Жыл бұрын
Mimi nikisikiaga najikuta naliasana namkumbuka mama yangu
@marowaabubakari9195
@marowaabubakari9195 2 жыл бұрын
Mashaa llah swauti nzur sana na pia ujumbe mzito sana
@zanishaikhonge7296
@zanishaikhonge7296 Жыл бұрын
Allah tujalie mwisho mwema
@fatmamohd7273
@fatmamohd7273 3 жыл бұрын
Mashallah Asante dida kwabukumbusho
@ahmedhamisi328
@ahmedhamisi328 2 жыл бұрын
Kwa kweli kabisa ni ujumbe wa kuzingatia maana apa duniani Sisi twapita tu
@MimahMgayamgaya
@MimahMgayamgaya 8 ай бұрын
Mungu akubarikiii dyda
@zainapz4862
@zainapz4862 3 жыл бұрын
Mashaallah Allah atupe mwisho mwema Allah akubarik uhti dida
@amina2044amin-zv2gh
@amina2044amin-zv2gh Ай бұрын
Mense 😭😭😭😭💔 Mens water in wyn dié Mense 💔 woorde 😘😘 👏👏
@fauziamasuod1944
@fauziamasuod1944 Жыл бұрын
Mashallah mungu akuzidishie
@furahaskuli6047
@furahaskuli6047 2 жыл бұрын
Mashallh Allah a tujalie mwisho mwema waja wake ❤️🇰🇪🤲😭😭
@suleimanhusseinmlinde4863
@suleimanhusseinmlinde4863 2 жыл бұрын
mashallah hongera sana
@mansouramour8081
@mansouramour8081 3 жыл бұрын
Jaman Dyda unataka niongee nn mm yaan nilitamani Sana niwepo kwenye tamasha hili but no way out majukumu yemeninyima nafasi but one day tuta kutana dyda nikupe zawad yako
@seifabdallah5009
@seifabdallah5009 3 жыл бұрын
Kaka nimekupa namba haujanichek
@ashamasudi1850
@ashamasudi1850 2 жыл бұрын
Allah atupe hatima njema Amin
@aishasuleiman7016
@aishasuleiman7016 3 жыл бұрын
Wallah dida nakupenda Sana mungu akuweke
@aswilaidi7426
@aswilaidi7426 2 жыл бұрын
Mashaaalah mashaaalah mungu tumpe mwisho mwem inshallah 🙏😭😭
@luwayyussuf415
@luwayyussuf415 3 жыл бұрын
Ukhty Deyda mashallah sauti nzuri
@ramlamrishohaji1161
@ramlamrishohaji1161 3 жыл бұрын
Ni kweli sauti Mashaallah, Lknna ujimbe mzito kwa mwenye kujua
@KhadijaUmazi-q1q
@KhadijaUmazi-q1q 9 ай бұрын
Mashallah ww ndio bingwa wa kaswida
@queenzaihameed560
@queenzaihameed560 3 жыл бұрын
Yaallah tupe mwishomwema tusameh makosa yet wazamah wazaz wet nawot walotangulia
@fatumamuiya6089
@fatumamuiya6089 3 жыл бұрын
Ameen
@aisharamzan9322
@aisharamzan9322 3 жыл бұрын
Mashaallh Dida .nakupenda sana mdoqo wanqu
@abdukhamis436
@abdukhamis436 3 жыл бұрын
Tunatakiwa tutubie towbatu nnasukha Tupate wepesi wakutolewa roho
@mbumbwinimuarabu1497
@mbumbwinimuarabu1497 2 жыл бұрын
💯 very nice qaswida
@queenzaihameed560
@queenzaihameed560 3 жыл бұрын
Umenitoa choz ila twamshukur allah kwakila hatua hajatuonea waja waja wak aliondoka baba & mama namimi ninyuma yao nasot tuliop hai
@عباسعباس-ش9ه4ت
@عباسعباس-ش9ه4ت 3 жыл бұрын
Mh mashalalh mungu atujalie mwisho mwema
@mamawa3mamawa321
@mamawa3mamawa321 3 жыл бұрын
Allah atujaalie kheri ya duniani na akhera
@faakhamis7111
@faakhamis7111 3 жыл бұрын
Ila ndo khatima yetu tuzidixhe imani t
@mwanamkasinasoro5115
@mwanamkasinasoro5115 Жыл бұрын
Assalamu alaikm ujumbe huu nimzito sans Allah atupe mwisho mwema atupe kauli y haki
@jumarajabngereza6713
@jumarajabngereza6713 3 жыл бұрын
Maashaallah hakika ukumbusho mzur jazakha Allah kheir Allah atuafikishe mwisho mwema. Aamin
@ruwuianjojorachide189
@ruwuianjojorachide189 Жыл бұрын
Amin
@hamisihamisi4128
@hamisihamisi4128 2 жыл бұрын
Allah hatujalie mwisho mwema
@shebyboy2809
@shebyboy2809 3 жыл бұрын
Mm nawashangaa awo wanawake mwenzenu analia baada mukamchukuwe manamuangalia tu kasida nzito sana iyo mpaka kuimalza kazi kafanya allah akuzdishie dida
@halimamuhammad2437
@halimamuhammad2437 2 жыл бұрын
Umenena
@HanifaKassim-vy6eg
@HanifaKassim-vy6eg Жыл бұрын
MashAllah 🤲🥰🥰🥰
@swaum
@swaum Жыл бұрын
Mashaalllah swadqta ukhuty didy
DIDA : MAMA AMINA OFFICIAL (Audio 2018)
16:25
Ibrahim Zancom
Рет қаралды 429 М.
How To Choose Mac N Cheese Date Night.. 🧀
00:58
Jojo Sim
Рет қаралды 98 МЛН
How Many Balloons To Make A Store Fly?
00:22
MrBeast
Рет қаралды 149 МЛН
Can You Find Hulk's True Love? Real vs Fake Girlfriend Challenge | Roblox 3D
00:24
HAFIDH: "HONGERA FAKI.Live,Stejini..QASWIDA.
12:02
MADRASA SHOP TV ONLINE
Рет қаралды 1,8 МЛН
Ukhty Dyda - Ardhi na Mbingu
7:59
AHLU MTANGANA Ukhty Dyda
Рет қаралды 93 М.
ust #Juma #fakih achia kaswida mpya #2024 ni hatari #Turki
9:49
SIFA ZAKE NABIYA
11:28
Khalid Juma Bhoky
Рет қаралды 203 М.
Shukrani Zote
13:17
AHLU MTANGANA Ukhty Dyda
Рет қаралды 15 М.
UKHTY DYDA KWA STYLE HII SEASON 2 SWAUTUL WARDI
5:37
AHLU MTANGANA Ukhty Dyda
Рет қаралды 244 М.
Qaswida.mahari
9:33
Dhul Khifli
Рет қаралды 3,8 МЛН
WAZAZI TUJITAHIDI KULEA VIJANA WETU | UST: KHAMIS MSHAURI | VIDEO QASWIDA {ihyaul umma.}
16:38
How To Choose Mac N Cheese Date Night.. 🧀
00:58
Jojo Sim
Рет қаралды 98 МЛН