UKIMUONA NI KAMA CHIZI LAKINI MANENO YAKE NI YA BUSARA

  Рет қаралды 142,712

Sheikh Muhammad Bahero

Sheikh Muhammad Bahero

Күн бұрын

Пікірлер: 235
@yaedlifemedia3203
@yaedlifemedia3203 Жыл бұрын
Dah amenities uyu jamaa Allah amjaalie sana aisee kaomgea vitu vikubwa kwa muda mchache ALLAH AKUJAALIE NDUGU YANGU HAKIKA USILAM NI DIN SAHIH❤❤❤
@eshasalim5496
@eshasalim5496 Жыл бұрын
Maa Shaa ALLAH, Tabaaraka ALLAH! Kwa kweli Haya Alioyasema Niyakutafakari ❤
@SheikhMuhammadBahero
@SheikhMuhammadBahero Жыл бұрын
Shukran sana Allah akubariki
@jeremiahsefania170
@jeremiahsefania170 Жыл бұрын
Mnatia Aibu wewe Badala muendelee na biashara yenu mnaangalia biashara za wenzeni ndio maana wakristo wataendelea kuwa juu mmeanza vizuri mmemalizia vibaya Ila mmelifanya JINA la YESU liwe Kubwa zaidi ❤❤❤❤❤ Thank you Jesus
@ikramzamando810
@ikramzamando810 Жыл бұрын
Huna ujualo we endelea kutafuta ugali wako kwanjia ya uongo Ila tambua kesho kazi unayo
@jumahamad3723
@jumahamad3723 Жыл бұрын
Maaashallah ww Allah akuzidishie uwezo wako na elimu yenye manufaa duniani na Akhera
@aminabdalla7824
@aminabdalla7824 Жыл бұрын
Masha Allah kaka umefunza wengi wasio jua ishara za Allah.... Allah akulinde na mabaya
@JidahHamisi-wq5yh
@JidahHamisi-wq5yh 8 ай бұрын
Mashaallah mashaallah mwenye kuelewa ameelewa ila ambay hajaelewa naomba a plye ten kripu ili ajitafakari mi imeniingia san mashaallah ukimuona ni kama chiz lakin maneno yak ya busar
@AmeenaTanzania
@AmeenaTanzania Жыл бұрын
Nikweli nichizi au? Mbona yupo timamu kuliko timamu😂😂😂😂😂❤❤❤
@hassanussein1817
@hassanussein1817 Жыл бұрын
Ameongea maneno si Dhani kama wewe waweza kuyapangilia alivyo ya tamka. Kwamba kuongea nao ufundi
@hilalabdallah1555
@hilalabdallah1555 Жыл бұрын
Mashallah brother Allah akuhifadhi ww na family yako amen yarabi
@HasnaaAli-rc8nw
@HasnaaAli-rc8nw Жыл бұрын
Kijana mola akuongoze zaidi akupe khatma njema na familia yako sikudhani kama wawaeza uliyoyaweza
@husnahemedy8376
@husnahemedy8376 10 ай бұрын
Mashallah Allah akuhifadh na awakinge wote na mabalaa na awaweke mzid kutupa elim yenye manufaa inshaallah
@mzeemzee7503
@mzeemzee7503 Жыл бұрын
ALLAH ANAVIPENZI VYAKE ELMU GHAYBY HATA WENGI SANA HAWAJUI SHUKRAN KAKA
@lastkinglastking3326
@lastkinglastking3326 Жыл бұрын
Huyu kijana amenifanya nifikiriye zaidi.vipi mjukuu awe na pica ya babu wakati hana picha ya baba nini kiko hapo katikati
@aloycesamba998
@aloycesamba998 Жыл бұрын
Mimi mwenyewe ndy nafikiria hapa
@winnermediapro8003
@winnermediapro8003 Жыл бұрын
viongozi wa dini ndio walikataa isitengenezwe filamu yenye kumuonesha mtume na ndio manakuna za ma swahaba na zinginezo nyingi lakini hakuna ya mtume @@aloycesamba998
@ZeraGeofrey
@ZeraGeofrey Жыл бұрын
Wala hakuna chakuwaza hapo mbona inajulikana wazi kuwa yule ni mtu ambaye alijitolea kuigiza Maisha ya yesu au nabii issah kutokana na historia yake toka kuzaliwa mpka kufa kwake na kwa mafunzo ya dini ya kikristo wao wanaona ni sahihi kwao kufikisha ujumbe kwa njia ya video kuigiza matendo ambayo alikuwa anafanya nabii issah au yesu. Lakini kwenye uislam hamna picha za mtume sababu dini hairuhusu kuigizwa kwa maisha ya mtume kama kusoma historia yake alaf atokee mtu arekod video yale maisha ya mtu yote nakuosambaza kwa kusema anaufundisha umma kwa kumuigiza mtume video zake hiyo kwenye dini ya uislam sio rahic
@alitante4279
@alitante4279 Жыл бұрын
Na kwan nyi mnamuabudia yesu au mnamuabudia mungu wa yesu ?
@alitante4279
@alitante4279 Жыл бұрын
Waulizeni wakristo hilo swali hapo??
@HemedMuhammad-zr3my
@HemedMuhammad-zr3my Жыл бұрын
MASHALLAH USTADH MUHAMMAD ALLAH AKUHIFADHI
@SheikhMuhammadBahero
@SheikhMuhammadBahero Жыл бұрын
Amiin ya rabb
@hanifa9153
@hanifa9153 Жыл бұрын
Mashallah tabarakallah hakika amenena mazito Allah ampe kheri💞💞💞
@MdNasr-jm8pj
@MdNasr-jm8pj Жыл бұрын
Nimekupenda kijna umenifundisha maana sijajua km mkono na utumbo jina la Allah
@hassanussein1817
@hassanussein1817 Жыл бұрын
Vidole vya MKONO , viko dhahiri
@sabrinajuma5562
@sabrinajuma5562 Жыл бұрын
Mashaallah Allah akuzidishie na akuhifadhi ktk kila LA kheir.
@gka9147
@gka9147 Жыл бұрын
Picha Ya Yesu Haipo, Yule aliyeigiza ni Mwigizaji tu anaitwa Brian Deacon. Asante Sheik Kwa Elimu
@mussamgonola3983
@mussamgonola3983 Жыл бұрын
Wa kumuigiza Mtume Muhammad hawapo ? Tafakari chukua hatua
@leonceuwandameno760
@leonceuwandameno760 Жыл бұрын
​@@mussamgonola3983 tafakari wewe Sasa. Kwa nn hawamwigizi? Kuigiza ni dhambi?
@nailaomar4810
@nailaomar4810 Жыл бұрын
Kabisa tena wala haitotokea mpaka dunia itasimama
@alisaidabdallah1480
@alisaidabdallah1480 Жыл бұрын
Mbona paka makanisani ipo na Sanu lake na mama yake mkalichonga mukaliweka kanisani wakiristo muna shida nyinyi
@JonathanNelson-l8h
@JonathanNelson-l8h Жыл бұрын
​@@alisaidabdallah1480na wewe kaweke lako😂😂
@RamahhabibuHanss
@RamahhabibuHanss Жыл бұрын
mashaallah ndg yetu sijajutia kutumia bando langu
@basharahamtzhalisi6871
@basharahamtzhalisi6871 Жыл бұрын
Daah! BARAKA LLAHU FIYKUM NYOTE MLIOUTUMA UJUMBE HUU.
@stivinshedrack7841
@stivinshedrack7841 Жыл бұрын
Amini njia yako kama ninavyoiamini ya kwangu. Usitake nipite njia yako maana siijui, kama imani ninayo kwamba Mungu ni mmoja basi sina shaka moyoni mwangu. Maaa ninachoogopa ni kutenda dhambi, Amri 10 za Mwenyezi Mungu zatosha kunifanya msafi. Uislamu au Ukristo usikutoe akili na kujiona bora kuliko wengine ili hali watenda dhambi kwa mawazo, mAneno au matendo...
@SyrenByresh
@SyrenByresh Жыл бұрын
Kwan nan mwenye picha ya yesu ?? Yale ni mafunzo tuu!! Jesus is a King ……
@SalmaMsikiti-lu5eb
@SalmaMsikiti-lu5eb Жыл бұрын
Maashallaah umeogea maneno ambayo hata MTU awe mbishi lakin ndio uhalisia Wa mwanadam
@malandojames5151
@malandojames5151 Жыл бұрын
Huwezi kujadili Jambo usilolijua. Hata unachokiongea hukijui, na hata wanaokusapoti hawajui pia. Ni sawa na kipofu kumushika mkono kipofu mwenzie, unazani Nini kitatokea?
@jumamohamed4808
@jumamohamed4808 Жыл бұрын
Mashaallah kama utamua kusoma bc utakua na jambo hapo baadae
@saumkisira9328
@saumkisira9328 Жыл бұрын
Asalam alykm warahatullah wabarakatuh samahani shkh naomba msada ndugu waislamu kuna sehemu yaitaji madrasa na msikiti kiwanja kipo lkn wamejaribu kujinge wa miti na pia haujaisha na watoto wasoma hivyo
@Big2satosangara
@Big2satosangara Жыл бұрын
ALLAH AKBAR mwislam yeyote popote alipo ni mwenye akili hata kama atakuwa chizi kiasi gani
@alitante4279
@alitante4279 Жыл бұрын
Najua wakristo watachukia san hii ila huo ni ukweli baada ya kifo ewe mkiristo ndio utakuja kiamin ukiwa tyr umeshakula hasara " na km picha ni filam tu why kila nyumba zenu na makanisa yenu yupo huyo huyo mwana filam na mnamtukuza ikiwa mnajua ni muigizaji tu sio yesy ??
@SALAMA_COLLECTIONS
@SALAMA_COLLECTIONS Жыл бұрын
Allah afunguwe mambo ya waumini hawa
@mwanaaminahusseinsuleiman6980
@mwanaaminahusseinsuleiman6980 Жыл бұрын
Mashaa Allah tabaraka rahman kasema kweli ❤
@ayubunelson130
@ayubunelson130 Жыл бұрын
We kama unatetea dini Yako usikashfu dini za watu wengine dini ya waarabu wewe Yesu ndiye njia kweli na uzima kama umjui Yesu wa Nazareth humjui na MUNGU pia
@ylessderoyaltz6181
@ylessderoyaltz6181 Жыл бұрын
hamna picha ya yesu wewe mungu akusamehe
@MagrethSadick
@MagrethSadick Жыл бұрын
Kwanini usiiyangarie diniyako kwaupanda zaidi munatu futili wakristo mutuache
@ibrayomapenzi7048
@ibrayomapenzi7048 Жыл бұрын
mashallah kijana wangu
@kassimhassan8426
@kassimhassan8426 Жыл бұрын
MashaAllah shukran
@zuwenagharib7085
@zuwenagharib7085 Жыл бұрын
Na masikio pia ukayaangalia vzr kwa umakini inasomeka Allah1
@malonymomadito6411
@malonymomadito6411 Жыл бұрын
Masha allah
@jimjam-xg7rv
@jimjam-xg7rv Жыл бұрын
Maa shaa ALLAH 💚💚💚💚
@hassanboru
@hassanboru Жыл бұрын
Masha Allah ❤️❤️❤️
@abdulsalamiissa9503
@abdulsalamiissa9503 Жыл бұрын
Hhhhh hemu tulia wee kinywaaaa😂😂😂
@wemakalama6458
@wemakalama6458 Жыл бұрын
SubhaAllah Allahu Akbar
@salumjumaruhaga2513
@salumjumaruhaga2513 Жыл бұрын
Hata yesu picha zake hazippo zile ni picha ya blayani ,na yule mariam wa mchongo sie
@hanifahassan-sf1gg
@hanifahassan-sf1gg Жыл бұрын
Ma shaallah ❤
@abdulragmababdulsalam5107
@abdulragmababdulsalam5107 Жыл бұрын
Mashaallah ❤❤❤❤
@Yussuf-qj6bu
@Yussuf-qj6bu Жыл бұрын
Hemutulia we kinywa😄😄😄😄😄😄😄
@NeemaMuna
@NeemaMuna Жыл бұрын
Hizo picha ni ya muigizaji alie ibiza kama yesu nihisi mmemielewa
@fatuma5208
@fatuma5208 Жыл бұрын
Mashallah ❤❤❤❤❤
@apostlesammymutachicfc.3744
@apostlesammymutachicfc.3744 Жыл бұрын
Lakini kuhusu Yesu, hata wee mwenyewe umesema ni micheso, sasa mcheso una kuigiza kama flani, hapo umejidhihirisha kuwa wewe ni mwehu.
@HannahDevidRichad
@HannahDevidRichad Жыл бұрын
😅😅😅Shalom
@apostlesammymutachicfc.3744
@apostlesammymutachicfc.3744 Жыл бұрын
@@HannahDevidRichad huyu amechanganyikiwa.
@JonathanNelson-l8h
@JonathanNelson-l8h Жыл бұрын
Sasa mchezo c hata wewe unaweza kuigiza ili kufikisha ujumbe kwa watu😂😂 mbona haelewi
@MohamedAhmada-ie7ke
@MohamedAhmada-ie7ke Жыл бұрын
​@@JonathanNelson-l8hsasa na kanisani munaweka picha zake zinahusiana na nn sasa
@saidasama-m5y
@saidasama-m5y Жыл бұрын
nayule mnae mueka mazabaun yule ndo yesu au muigizaji
@castorchipalo84
@castorchipalo84 Жыл бұрын
Ile ni filam nasikuzote hadithi ndo inatengeneza filam siyo filam inatengeneza hadithi fungua fikra siyo unafungua akili
@amiromar4435
@amiromar4435 Жыл бұрын
Picha ni za yule aliegiza ile Movie cha kushangaz ndio imekua kigezo cha picha inayotumika kila kanisa duniani
@suleim505
@suleim505 Жыл бұрын
YAKHE TARATIBU BIASHARA ZA WATUIZO 🤣🤣 MBONA WAMWAGA UGALI WA WATUYAKHE !?.
@MgeniShabani-i8i
@MgeniShabani-i8i Жыл бұрын
Mashalah mungu akuhifadh
@mwesi527
@mwesi527 Жыл бұрын
Jibu kwanza nani alimtuma mwamad? Mana ya yesu huwezi kuyajua abadan
@NeemaMuna
@NeemaMuna Жыл бұрын
Mimi ni mkiristo ila naamini katika dini zote maana dini haiwezi kukufanya wewe uyione pepo isipokuwa ni matendo yako mema
@HashimAli-h6b
@HashimAli-h6b Жыл бұрын
Mashallh
@muznesaid
@muznesaid Жыл бұрын
Mashallh ❤
@ZulehaChampunga
@ZulehaChampunga 11 ай бұрын
Manshaallah
@haroubhbm5728
@haroubhbm5728 Жыл бұрын
Ukimuona kama chizi tumia kauli mzuri
@shabamuhidin634
@shabamuhidin634 11 ай бұрын
kijana ameongea ukweli,kila siku vitu vinaongezeka kwa Wakristo,zamani CRE wanafundisha etu Yesu ni mungu,walipoona maswali yamekua mengi wakaongeza ati Yesu 100% mungu and 100% binaadam,hii zamani haikuwepo kabsaa wanazidi kupotezana
@ummuhaniali7634
@ummuhaniali7634 Жыл бұрын
Mwili ushajizalilisha😅😂😅😂
@isaacwgcgmelicomWGC-po5qv
@isaacwgcgmelicomWGC-po5qv Жыл бұрын
Ninaimani yesu unamufahamu vizuli ata kwenye kitabuchenu cha kiisilamu .ila sisi atumujuwi uyo mutumi kwani nani ? Mana kwenye bibiliya ayumo . Au unaongeleya kijana ichimaeli mutoto wa inje ya thowa ?
@NasraYunus
@NasraYunus Жыл бұрын
Mashallah
@عائشة-ص5ي
@عائشة-ص5ي Жыл бұрын
kwer kbs😊❤😂😂
@73chengosaro4
@73chengosaro4 Жыл бұрын
Mna bidii ya da'wwa huko Tanzania mbona msiende kwa wajomba zenu -Wagiriama Huku Pwani Muwa LINGANIE uislamu ?? -- waswahili wa Kenya walilelewa kudharau Watu weusi hususan mijikenda kwa kuwaita wanyika -hivyo Roho zao zinakataa kuwatakia mema yoyote hata ya ulinganizi wa DINI !!!
@cantiomedian7228
@cantiomedian7228 Жыл бұрын
Kafatilie roma wali fanya utafiti miaka 500bc mtume muhammad ata atambuliki
@salimmalaka256
@salimmalaka256 Жыл бұрын
UTAFITI WA NINI WALIFANYA NA HIYO HISTORIA UMEITOWA WAPI WEWE
@yussuphsultan1400
@yussuphsultan1400 Жыл бұрын
Subhannallah
@JonathanNelson-l8h
@JonathanNelson-l8h Жыл бұрын
Nyinyi watu mbona mnawawaza sana wakirist kwanini msipambane na upande wenu😂😂
@ramadhanamohamed8668
@ramadhanamohamed8668 Жыл бұрын
Nakumbushia coz mnaufinyu wa fikra
@mosesmwailenge5192
@mosesmwailenge5192 Жыл бұрын
​@@ramadhanamohamed8668Toka apa ndyo maana mmepigwa napepo ra umasikini nadini lenu mmebaki kuwa miomba omba tuu😡😡😡
@salimmalaka256
@salimmalaka256 Жыл бұрын
​@@mosesmwailenge5192NANI KAJA KWAKO KUKUOMBA CHAKULA WEWE NA HILO PEPO LIMEWAPIGA NYINYI MAKANISANI KILA SIKU MNAPANDISHA MASHETANI UJINGA HUWO HU UWONI MSIKITINI WALA HAUTA UWONA KONDOO WEWE
@robertplasidus5179
@robertplasidus5179 Жыл бұрын
Siyo mzima huyu, mpiga kampeni tu nan alikwambia ile ni sura halali ya yesu, yale ni maigizo km ulivyosema michezo ya yesu
@SALAMA_COLLECTIONS
@SALAMA_COLLECTIONS Жыл бұрын
Mashaallah mtihani
@salimujuma-kb7wv
@salimujuma-kb7wv Жыл бұрын
Sahihi sana
@johnjaimejoseukoti4174
@johnjaimejoseukoti4174 Жыл бұрын
Michezo gani ya yesu na picha gani ya yesu? Uliiona wapi picha ya yesu?😅
@ommyally3951
@ommyally3951 Жыл бұрын
mashAllah
@MuniraShughuli-kc7vj
@MuniraShughuli-kc7vj Жыл бұрын
Ma sha Allah
@abdillahchilai1185
@abdillahchilai1185 Жыл бұрын
Huyu ni chizi mzima mwangalieni tuu
@mwanah3643
@mwanah3643 Жыл бұрын
Kwakweli ❤
@bentybenty2343
@bentybenty2343 Жыл бұрын
Masha ALLAH 😂😂😂
@shuwehaharuna6309
@shuwehaharuna6309 Жыл бұрын
Anaakili nyingi sana
@lil_yn982
@lil_yn982 Жыл бұрын
Huenda mtume ni swala la kufikirika ndio maana hata sura yake haiwezi fananishwa
@fahadfaraj6474
@fahadfaraj6474 Жыл бұрын
Mantiki hafifu hiyo
@emmabrownmissana6996
@emmabrownmissana6996 Жыл бұрын
Uelewa mdogo sn
@PaulineMkongo-k2d
@PaulineMkongo-k2d Жыл бұрын
Ww kojoa ulale fala hii
@aliyomar6532
@aliyomar6532 Жыл бұрын
Mashaallah
@aliarkam9548
@aliarkam9548 Жыл бұрын
Mashaa allah
@Divertida-t8y
@Divertida-t8y Жыл бұрын
Ambia huyu kijana wako kikubwa MUNGU yupo. Sis hatukua na hizi dini zote wakubwa, zmeletwa baada ya sisi kuuzwa kama mayai vile. Mababu zetu wakapelekwa uarabun wakapelekwa uzunguni na wakanyimwa haki yakutumia majina yao na ndio leo tunatetea hivi vitu. Saii kuna Ramadhani, Hamisi, christofa, jackline. Sasa hiv ndio majina utayaskia kwa watu waliozaliwa karne 20+
@hassanussein1817
@hassanussein1817 Жыл бұрын
Afrika ili miliki ulimwengu kabla ya wazungu Na warabu. Ilimu kubwa Iko Afrika. Ila ilimika
@AaliyahNasir
@AaliyahNasir Жыл бұрын
Ww pia hujui hakuna mwafrika aliepelekwa uarabun waadrika waliepelekwa ulaya na america wazungu ndio waliwauza waafrica
@samwelishilabhi6005
@samwelishilabhi6005 Жыл бұрын
😂😂😂😂😂 Sasa swali liko wapi mbona anajichanganya maana hata FILAMU ZINAZO HUSU SIMULIZI LA Musa ZIPO
@husnahemedy8376
@husnahemedy8376 10 ай бұрын
Lakin si hamna picha ya mussa na hiyo ya yesu inawezekanaje
@zainabrashid385
@zainabrashid385 Жыл бұрын
Manshallaah
@رحمهبهاري
@رحمهبهاري Жыл бұрын
Subhanallah mashallah
@jahblessmiguen6097
@jahblessmiguen6097 Жыл бұрын
Nachoweza kumsaidia huyo kijana kumjibia ni kwamba wanamuamini yesu au jesus wasiamini kua yey ni MUNGU ila waamini yeye alichokua anaamini ni ALLAH kma tunavyovyo muamini MTUM MUHAMMAD ( SWW) ametuletea dini yakutuongoza kwa ALLAH subhnahu wataala na kuamini ALLAH ndio MUNGU wetu pekee
@abilahitonya
@abilahitonya Жыл бұрын
Yesu hana michezo kichwa weweee
@Abraahfx30
@Abraahfx30 Жыл бұрын
Nice❤
@AndreyMalisa-qj3ds
@AndreyMalisa-qj3ds Жыл бұрын
Ukweli baada ya kifo
@arnoldluwibwakila3458
@arnoldluwibwakila3458 Жыл бұрын
Mna uhakika hakuna Filamu ya kumuhusu mtume ?
@aloycesamba998
@aloycesamba998 Жыл бұрын
Kama vile nataka kumuelewa huyu mwamba
@FeluziAbdallah
@FeluziAbdallah Жыл бұрын
Tatizo sisibinadamu tunakimbiza akilizetu tumekalia ubishi tuu nahatutaki kusoma kuujua ukweli mtu kazema fatilia nikweli? wewe unataka kubishana halafu hukijui unacho bishana nacho
@philej
@philej Жыл бұрын
Picha ya yesu we umeiona wapi
@victorianganyagwa2467
@victorianganyagwa2467 Жыл бұрын
😂 ni vituko tu
@barnabasanderson313
@barnabasanderson313 Жыл бұрын
AKILI KIDUCHU
@castorchipalo84
@castorchipalo84 Жыл бұрын
Ile ni filam kua na akili watuwamesoma hadithi alafu ndoikatoka filam nasikuzote filam ni hadithi
@AnwarKilunga-n7l
@AnwarKilunga-n7l Жыл бұрын
Lakini picha ile inawekwa mpaka makanisani na mna mpaka masanamu
@godwin5884
@godwin5884 Жыл бұрын
Hujui unaloongea
@husnahemedy8376
@husnahemedy8376 10 ай бұрын
Nawe unaejuaa unasemaje
@daru2549
@daru2549 Жыл бұрын
MashaAllah
@jamesngadaya2791
@jamesngadaya2791 Жыл бұрын
Aisee this is too much nw hivi hili swali wa kujibu ni nani sasa wakristo au waislam hivi kwa mfano kama wewe hauna pesa nani tukamuulize kwanin hauna pesa kama sio wewe mwenyewe Hapo waislam ndo wakujibu swali kwanini nyie mlokuja baadae mkose sinema... Embu kueni serious basi alf kwenye sinema zipo nyingi tu tofaut tofaut lengo ni kuhubiri matendo na kufikisha ujumbe
@husnahemedy8376
@husnahemedy8376 10 ай бұрын
Kumbe unaelewa kwamba picha ya yesu hamna ila ubish tu na we jiulize inakuwaje mtu BC picha yake ipo af AD inakosa wap kuna uwezekano wa hicho kitu kupatikana mbona mnakaza mafuvu someni muelewe bhana
@amirabdul1977
@amirabdul1977 Жыл бұрын
Duhu
@AjmalHamad
@AjmalHamad Жыл бұрын
Yaani utofyoro eti mtoto anapicha ya babu yake lakini hana picha ya baba yake
@mussamgonola3983
@mussamgonola3983 Жыл бұрын
Nilijua tu hamuwez kosekana
@basharahamtzhalisi6871
@basharahamtzhalisi6871 Жыл бұрын
Yale yenye ubongo wa shetani 😈 huwa hamkosekani.
@salimmalaka256
@salimmalaka256 Жыл бұрын
MAKONDOO MAJINGA SANA
MLEMAVU AMBAE NI MWALIMU WA SHEIKH MUHAMMAD BAHERO
12:12
Sheikh Muhammad Bahero
Рет қаралды 4,9 М.
CHUNGENI SIMU YANGU ILIIBWA HIVI "KWELI NIMEKARIBISHWA NAIROBI"
4:35
Sheikh Muhammad Bahero
Рет қаралды 3 М.
Seja Gentil com os Pequenos Animais 😿
00:20
Los Wagners
Рет қаралды 67 МЛН
У вас там какие таланты ?😂
00:19
Карина Хафизова
Рет қаралды 12 МЛН
the balloon deflated while it was flying #tiktok
00:19
Анастасия Тарасова
Рет қаралды 34 МЛН
THE PLACE MY PARENTS HOUSE FURNITURE WAS BOUGHT  - Dem wa Facebook
22:29
DEM WA FACEBOOK TV
Рет қаралды 4,1 М.
ANAYE MKATAA BABA YAKE  HATOIYONJA PEPO MWENYE KUTOA MADA SHEKH KISHK
3:06
AQIIDA ONLINE TV
Рет қаралды 2,7 М.
When Royal Guards Fight Back!
8:08
Fighting Spirit
Рет қаралды 8 МЛН
SHEIKH MUHAMAD BAHERO AJIBU KIBUSARA BAADA YA KUULIZWA SWALI HILI NA MKRISTO
7:15
Sheikh Muhammad Bahero
Рет қаралды 4,2 М.
MDAHALO, USHIRIKINA NDANI YA BARAZANJI UKWELI WABAINIKA TANGA
1:11:24
AL MUBAJJAL TV
Рет қаралды 47 М.
WAKRISTO WAKIRI KUWA YESU (AS) HAKUWA MKRISTO BALI MUISLAMU
51:48
Straight Path Dawah
Рет қаралды 38 М.
MASHEIKH HAWA WAWILI WANAMNASIHI MUHAMMAD BAHERO NASA MZURI MNO
11:27
Sheikh Muhammad Bahero
Рет қаралды 13 М.